Magata atambia rekodi mpya Mtibwa Sugar
KIUNGO mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Fredrick Magata amesema kufunga bao katika mechi ya Ligi Kuu Bara akiwa na kikosi hicho msimu huu kwake ni rekodi mpya katika maisha yake, kwani…
KIUNGO mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Fredrick Magata amesema kufunga bao katika mechi ya Ligi Kuu Bara akiwa na kikosi hicho msimu huu kwake ni rekodi mpya katika maisha yake, kwani…
MASHINDANO Maalumu ya Gofu ya Dar es Salaam Mzizima 'Lions play for Sight' yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Gymkhana yakishirikisha wachezaji 70, yamekusanya jumla ya Sh112 milioni, zitakazotumika katika kuchangia huduma…
UONGOZI wa Pamba Jiji umemalizana na aliyekuwa beki wa kati wa Mbeya City, Gabriel Mwaipola ambaye anaenda kuziba pengo la Abdallah Kheri 'Sebo' aliyetimkia Singida Black Stars.
Simba imeendelea kukutana na matokeo mabaya kwenye michezo ya Ligi Kuu msimu huu baada ya jana kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar.
KLABU ya Yanga, imemchukua kwa mkopo wa miezi sita golikipa wa Singida Black Stars, Hussein Masalanga ambaye atahudumu kikosini hapo hadi mwisho wa msimu huu.
KIUNGO mkabaji wa Pamba Jiji, Kelvin Nashon amesema mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) 2025 yaliyomalizika jana huko Morocco, yamemwongezea uzoefu na kujiamini, jambo ambalo litamsaidia katika Ligi Kuu…
BAO la pili lililofungwa na kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ katika dakika ya 35 wakati timu hiyo ikiizamisha Coastal Union kwa mabao 3-0 juzi usiku kwenye…
WAKATI zikibakia takribani wiki mbili kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 30, 2026, mabosi wa Namungo wamefungua mazungumzo rasmi ya kuipata saini ya kiungo mshambuliaji wa kikosi cha…
UONGOZI wa Fountain Gate uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa JKU FC ya visiwani Zanzibar, Tariq Mohamed Mkonga, baada ya pande mbili kati ya…
KMC inaendelea na maboresho mbalimbali dirisha hili dogo na kwa sasa uongozi wa kikosi hicho uko katika mazungumzo ya kumnasa kiungo mshambuliaji wa Geita Gold inayoshiriki Ligi ya Championship, Richardson…
GOLI alilofunga jana mshambuliaji wa Al Nassr ya Saudia, Clara Luvanga dhidi ya Neom SC Ligi Kuu ya wanawake ya Saudi Arabia limemfanya afikishe idadi ya mabao 12 na asisti…
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Zuwena Aziz ‘Zizou’, anayekipiga katika timu ya Mogbwemo Queens ya Sierra Leone ametaja utofauti wa ligi ya nchi hiyo na Tanzania.
VIONGOZI wa Mendiola inayoshiriki Ligi Kuu Ufilipino wako kwenye mchakato wa kumboreshea mkataba winga wa Kitanzania, John Mgong’os baada ya kuridhishwa na kiwango chake.
KASI ya wachezaji wa Kitanzania wanaocheza soka nje kurudi nyumbani inazidi kuongezeka baada ya kiungo mshambuliaji wa zamani wa Beykoz Anadolu Spor ya Uturuki, Shafii Omary Kimambo naye kuunga juhudi…
KIUNGO fundi wa JKT Queens, Elizabeth John amesema ushindani wa namba katika kikosi hicho ni mkubwa hasa eneo la kiungo, lakini umechangia kuongeza kiwango cha wachezaji.
KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema sababu kubwa ya timu hiyo kutofanya vizuri mwanzoni mwa msimu wa Ligi Kuu ya Wanawake ni kukosa mshambuliaji mwenye uwezo wa kufunga mabao.
MECHI sita alizocheza golikipa wa Tausi FC, Chelsea Ngole zimemuamsha kupambana zaidi kuhakikisha anaisaidia timu hiyo kutoruhusu bao.
MFUNGAJI bora wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) msimu uliopita, Stumai Abdallah hajafikia kiwango alichokionyesha msimu uliopita baada ya kuanza msimu huu kwa kufunga bao moja na asisti nne.
BAADA ya Mbeya Kwanza kumuuza, Boniface Mwanjonde aliyejiunga na Fountain Gate dirisha hili dogo la Januari 2026, mabosi wa kikosi hicho wamekamilisha usajili wa aliyekuwa mshambuliaji wa maafande wa Tanzania…
KILICHOTOKEA msimu wa 2012-2013 katika Ligi Kuu Bara, kinabaki kuwa kumbukumbu nzuri kwa Mtibwa Sugar inapokwenda kucheza dhidi ya Simba leo Jumapili kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar kwani…
FOUTAIN Gate imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Mbeya Kwanza inayoshiriki Ligi ya Championship, Boniface Mwanjonde baada ya kuonyesha kiwango bora msimu huu.
KIUNGO mshambuliaji wa Mlandege, Juma Kidawa ‘Pogba’ aliyekuwa akihusishwa kutua Azam FC, ameibukia KMC kwa kusainishwa mkataba wa miaka ili kuitumikia timu hiyo inayopambana kujiweka katika nafasi nzuri kutokana na…
MABOSI wa Coastal Union wanaendelea kufanyia maboresho kikosi ambapo kwa sasa wako katika mazungumzo kumsajili beki wa Mbuni inayoshiriki Ligi ya Championship, Ambokise Mwaipopo.
BENCHI la ufundi la Alliance ya Mwanza limemaliza mkataba wa mwaka mmoja liliosaini msimu uliopita, huku likisubiri uongozi uamue kuanza mazungumzo ya mkataba mpya au kuliachia likatafute changamoto kwingine.
KMC inaendelea na maboresho katika dirisha hili dogo la usajili ambapo kikosi hicho cha Kinondoni jijini Dar es Salaam kiko kwenye hatua za mwisho za kumsajili kiungo Omary Chibada.
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ameondoka nchini leo Januari 16, 2026 kwenda Morocco tayari kwa ajili ya kupokea kijiti cha maandalizi ya Kombe la Mataifa (AFCON)…
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba anatarajia kunogesha tamasha litakalowakutanisha watumishi wa Bunge na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wanaoshabikia klabu za Yanga na Simba akiwa mgeni rasmi.
UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena usiku wa leo kwa kupigwa mechi moja ya kiporo kati ya wanafainali wa Kombe la Mapinduzi 2026, Azam FC na Wagosi wa Kaya,…
BAADA ya Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars kupangwa kundi B ya michuano ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON), Nahodha wa kikosi hicho, Anastazia Katunzi amesema wanafahamu ugumu na wanakwenda…
KMC inaendelea na maboresho katika dirisha hili dogo la usajili ambapo kikosi hicho cha Kinondoni jijini Dar es Salaam kiko kwenye hatua za mwisho za kumsajili kiungo Omary Chibada.
BEKI wa kulia wa Pamba Jiji ya Mwanza, Yunus Lema ameshindwa kulishawishi benchi la ufundi la timu hiyo kumrejesha kikosini katika dirisha dogo licha ya kuwa na takwimu nzuri katika…
SIKU chache tu tangu winga wa Simba, Edwin Balua kuondoka Enosis Neon Paralimniou inayoshiriki Ligi Kuu Cyprus ikiwa na maskani katika Jiji la Paralimni aliyoitumikia kwa mkopo, kwa nyota huyo…
KINARA wa mabao wa Geita Gold, Maulid Shaaban amesema lengo alilonalo msimu huu ni kufunga mabao mengi katika mechi za timu hiyo ili mwisho wa msimu awe mfungaji bora katika…
DURU la kwanza wa Ligi ya Championship, unahitimishwa rasmi wikiendi hii na baada ya jana kuchezwa mechi mbili, nyingine tatu zitachezwa leo Jumamosi na kesho Jumapili, huku vita kali ya…
BAADA ya siku 40 za kupisha Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 na Kombe la Mapinduzi 2026, Ligi Kuu Bara inarejea tena leo kwa mechi moja kupigwa na…
KIKOSI cha Mashujaa FC tayari kimeshatua jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi ya kiporo cha Ligi Kuu Bara dhidi ya watetezi ikiwa na akili nyingine kabisa na kocha…
TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imepangwa Kundi B katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, droo iliyofanyika leo mjini Rabat, Morocco.
KIPA wa zamani wa Simba, Ahmed Feruz amerejea katika Ligi Kuu Bara baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuidakia Namungo akitokea Stand United inayoshiriki Ligi ya Championship.
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Mohammed Muya amesema wachezaji wa timu hiyo wapo tayari kuendeleza vita na ushindani mechi za Ligi Kuu Bara baada ya kurejea tena huku akitamba keshokutwa…
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania na Jeshi la Polisi, Transfora Mussa Ngimbudzi ameondoka nchini leo kwenda Uholanzi kushiriki mashindano ya Montferland Run Half Marathon yatakayofanyika Januari 18, 2026, ikiwa ni…