Geita Gold kuamua leo kupanda Ligi Kuu Bara
HISTORIA mpya inaenda kuandikwa leo kwenye Uwanja wa Nyankumbu mjini, Geita, wakati Geita Gold ikisaka ushindi wake wowote dhidi ya Songea United ili kupata tiketi ya kurejea Ligi Kuu Bara.
Yakoub afanyiwa upasuaji, atakosekana hadi nusu ya msimu ujao
SIMBA imepata pigo jingine baada ya kipa wake, Yakoub Suleiman kufanyiwa upasuaji wa goti lake utakomuweka nje ya uwanja hadi nusu ya msimu ujao.
Wasauzi waichokonoa Yanga
WAKATI mabosi wa Yanga wakipiga hesabu za kumsajili mshambuliaji wa Power Dynamos ya Zambia, Mkenya Moses Shumah ghafla mabwanyenye wa AmaZulu FC kutoka Afrika Kusini wameingilia kati dili hilo.
Dar Leopards waliamsha Raga Dar
WAPENZI wa mchezo wa raga jijini Dar es Salaam wanatarajia kushuhudia wikiendi yenye shamrashamra na ushindani mkubwa baada ya klabu ya Dar Leopards RFC kwa kushirikiana na wadhamini wake wakuu…
Mkenya aingia anga za Azam FC
UONGOZI wa Azam FC unaendelea na mchakato wa kuboresha kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao, ambapo kwa sasa inafuatilia saini ya beki wa kulia wa Kenya Police FC ya…
EXCLUSIVE INTERVIEW PART 1 || Magori afunguka mazito Msimbazi
Rekodi ya familia 27, kuvunjwa Kombe la Dunia Katika historia ya Kombe la Dunia ni familia 27 tu za baba na mwana ambazo zimewahi kuwakilishwa kucheza mashindano hayo, zikihusisha familia…
Kwanini chapa nyingi za Tanzania zinashindwa kuacha historia ya kudumu kwa watumiaji
Kwa miaka mingi, chapa nyingi nchini Tanzania zipo kila mahali lakini ni ngumu mtu kuzikumbuka. Nembo kubwa jukwaani, DJ’s maarufu, vinywaji vya bei nafuu, na watengeneza maudhui wa mitandoni wakituma…
Kocha Serengeti Boys: Tupeni nafasi muone kazi
KOCHA Mkuu wa Serengeti Boys, Elieneza Nsanganzelu, amesema ni wakati sasa kwa wadau wa soka nchini kuendelea kuwaamini makocha wazawa kutokana na uwezo mkubwa wanaouonyesha katika timu za taifa na…
Dakika 90 za kihistoria kwa Geita Gold kurejea Ligi Kuu
BAADA ya Geita Gold kudumu katika Ligi ya Championship kwa siku 740, ambazo ni sawa na miaka miwili na siku 10 au miezi 24 na siku 10, hatimaye kikosi hicho…
Dili iliyokufa – 11
ILIPOISHIA “Kutoka siku hiyo Sharifa akaajiriwa na Wakwetu. Alitakiwa kuanza kazi siku ile ile. Baada ya kufanya kazi kwa miezi mitatu, Wakwetu alibadili mawazo yake. Siku moja alimwita ofisini kwake…
Fainali ya Maveterani kupigwa Azam Complex
FAINALI ya Ligi ya Maveterani inatarajiwa kupigwa June 07 Uwanja wa Azam Complex huku viongozi wa Chama cha ligi hiyo wakisisitiza kuwa lengo ni kuendeleza afya, furaha na mshikamano kwa…
Dili iliyokufa – 10
ILIPOISHIA “Wako Zambia kwa nani?” “Haijulikani wako kwa nani lakini inawezekana wamekwenda kutafuta maisha” Baada ya kuwaza kidogo Wakwetu alimwambia mzee huyo. “Ningependa unikutanishe na huyo mwanamke ili aweze kunipa…
Kocha Serengeti Boys aomba manne
BAADA ya kuipeleka Tanzania kwenye Fainali za Kombe la Dunia la Vijana chini ya miaka 17 zitakazofanyika nchini Qatar, Kocha Mkuu wa Serengeti Boys, Elieneza Nsanganzelu, amesema kazi kubwa iliyobaki…
Msako wa pointi tatu Tanzania Prisons
TANZANIA Prisons inaendelea kujifua kwa ajili ya mechi tano zilizobaki, huku kocha mkuu wa timu hiyo Shedrack Nsajigwa akitangaza msako mpya wa pointi tatu kila mchezo ili kuihakikishia timu hiyo…
Malindi yakubali yaishe Ligi Kuu Zanzibar
MENEJA wa timu ya Malindi, Ramadhan Sanga amekubali yaishe kwa timu yake kushuka daraja msimu huu huku akisema wana mikakati madhubuti ya kurejea Ligi Kuu Zanzibar (ZPL). Amesema wanakwenda kucheza…
Katwila asimulia mazito Championship
WAKATI Geita Gold ikisaka pointi tatu pekee kurejea tena Ligi Kuu, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Zuberi Katwila amesema hataisahau Championship ya msimu huu, huku akifichua siri kwa timu hiyo.
Mtihani wa Chole MVP wa AFCON U17
MICHUANO ya Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 (AFCON U17), imefikia tamati Juni 2, 2026, huku ikishuhudiwa Serengeti Boys ikikosa ubingwa baada ya kufungwa na Senegal kwa…
Wanne Serengeti Boys wazama kikosi bora AFCON U17
Licha ya kukosa ubingwa wa Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U17) 2026, Serengeti Boys imetamba kwa kuingiza idadi kubwa ya wachezaji…
Taifa Stars yapata pigo Morocco
Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imepata pigo baada ya kufutwa kwa ratiba ya michezo yake ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Uganda na Rwanda kutokana na uwepo wa…
Dili iliyokufa – 9
ILIPOISHIA Katika nyumba ya jirani na kiwanja hicho Wakwetu alimkuta mzee aliyekuwa ameketi barazani kwenye kiti cha uvivu. Akaenda kumsalimia. “Shikamoo mzee.” “Marahaba. Hujambo?” “Sijambo. Unajisikiaje hali yako mzee wangu?”…
Wabunge waliosafiri Morocco bila kibali, Zungu awapa siku nne wajieleze
Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu ametoa siku nne kwa wabunge waliokwenda Morocco bila kibali cha Spika wajieleze huku akitoa onyo kwa wabunge watoro bungeni.
Pemba inavyonawiri na viwanja vya kisasa
UNAWEZA kusema kwamba zile dhana na imani za kuwa Pemba haiwezi kujengwa, hususan kwa upande wa michezo, kwa sasa mambo yamekuwa tofauti na matarajio ya kila mmoja. Kati ya kundi…
Makonda atoa masharti mazito kwa vijana wa Serengeti boys
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema tayari baadhi ya klabu zimeanza kuvutiwa na nyota wa Serengeti Boys baada ya kiwango walichoonyesha kwenye fainali za Mataifa ya…
Pamba yammezea mate Lanso
WAKATI Singida Black Stars ikifanya tathmini ya kikosi chake kuelekea msimu ujao, beki wa kulia Abdallah Said Ali 'Lanso' ameanza kuingia kwenye rada za Pamba Jiji FC.
Singida yapanga kumrudisha Nouma, Imoro Yanga
WAKATI msimu wa 2025-2026, ukienda ukingoni, tayari kuna vita ya usajili imeanza mapema kwa timu mbalimbali, moja ya majina yanayotwa kutikisa usajili huo ni mabeki Valentin Nouma na Ibrahim Imoro.
Ally Salim aanza tizi Dodoma
KIPA wa Dodoma Jiji, Ally Salim amesema anaendelea na programu ya mazoezi magumu ya gym, ili kujiweka tayari kuungana na wachezaji wenzake baada ya kupona majeraha yaliyomuweka nje kwa muda…
Fabrice Ngoy aigomea Namungo FC
UONGOZI wa Namungo FC 'Wauaji wa Kusini', umefikia makubaliano ya kutoendelea na mshambuliaji raia wa DR Congo, Fabrice Ngoy baada ya mkataba wake kufikia tamati mwishoni mwa msimu huu.
Tishio la Ebola laivurugia Taifa Stars Morocco
Mechi mbili za kimataifa za kirafiki za timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ dhidi ya Rwanda na Uganda zilizopangwa kuchezwa Juni 5 na Juni 9 mwaka huu zimefutwa.
Okello akabidhiwa medali ya ubingwa Vipers
AKIWA kambini na timu ya taifa ya Uganda (Uganda Cranes), kiungo mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello amekabidhiwa medali ya ubingwa wa Ligi Kuu ya Uganda baada ya kuhusika katika mafanikio…
Serengeti Boys yazoa tuzo, ikipoteza fainali AFCON kwa Senegal
Matumaini ya Serengeti Boys kutwaa ubingwa wa AFCON U17 yamezimwa katika mchezo wa fainali jana jijini Rabat, Morocco baada ya kupoteza kwa mikwaju ya penalti 4-2 mbele ya Senegal.
Dili iliyokufa – 8
ILIPOISHIA Zainab akatabasamu. “Nitafurahi sana” “Nataka mke wangu upate afya nzuri uweze kumlea mtoto wetu aliye tumboni mwako” “Usijisahau mume wangu. Ukumbuke kuwa umeacha mke wako akiwa na kitoto chako…
Florent Ibenge aigomea Mali
DILI la kocha Mkuu wa Azam FC Florent Ibenge kwenda Mali limebuma, huku sababu kubwa ikitajwa ni bosi huyo kugoma kwenda nchini humo kwa kuwa anataka kubaki Tanzania.
Mayanga ataja maeneo mawili Mbeya City
KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Salum Mayanga amesema atatumia mapumziko ya siku 14 kuimarisha safu ya ulinzi na ushambuliaji wa timu hiyo katika harakati za kujinasua kutoka hatari ya kushuka…
Bodi yategua mtego Ligi Kuu
BODI ya Ligi Kuu Bara (TPLB) imefanya mabadiliko kwenye muda wa michezo mitatu ya mwisho ya ligi hiyo ili kuepuka upangaji wa matokeo, lakini mashabiki kupata nafasi ya kutazama mechi…
Nahodha Serengeti atoa ya moyoni
NAHODHA wa Serengeti Girls, Elizabeth John amesema timu hiyo imeshindwa kufikia malengo waliyojiwekea ya kufuzu Kombe la Dunia la Wanawake chini ya miaka 17 baada ya kupoteza mchezo wa kwanza…
Singida Black Stars yamfugia kazi msauzi
Singida Black Stars imeanza mipango ya kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao kwa kuweka macho kwa kiungo mshambuliaji wa Golden Arrows ya Afrika Kusini, Siyanda ‘Skhwishi’ Ndlovu.
Singida Black Stars yamfungia kazi msauzi
Singida Black Stars imeanza mipango ya kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao kwa kuweka macho kwa kiungo mshambuliaji wa Golden Arrows ya Afrika Kusini, Siyanda ‘Skhwishi’ Ndlovu.
36 kushiriki Yamle Yamle Cup
JUMLA ya timu 36 kutoka Zanzibar zinatarajiwa kushiriki mashindano ya Yamle Yamle Cup 2026 yenye lengo la kutoa fursa kwa vijana kuonyesha vipaji vyao vya soka.