Marekani yaiwekea Iran vikwazo vipya muda mfupi baada ya mazungumzo kukamilika nchini Oman
Tangu muhula wa kwanza wa Trump, Marekani imeweka vikwazo ili kuzilazimisha nchi nyingine zote kuacha kununua mafuta ya Iran.
Tangu muhula wa kwanza wa Trump, Marekani imeweka vikwazo ili kuzilazimisha nchi nyingine zote kuacha kununua mafuta ya Iran.
Rais wa Uturuki amesema ndani ya miaka mitatu miji iliyoathiriwa imejengwa upya na kuimarishwa.
Taarifa zimesambaa katika mitandao ya kijamii ya kuwa kocha wa timu ya taifa ya Morocco, Walid Regragui amependekeza kujiuzulu.
Maelfu ya Walibya walijitokeza kwa ajili ya mazishi ya mtoto wa Gaddafi ambaye alipigwa risasi na kuuawa wiki hii.
Pande zote mbili zimesisitiza umuhimu wa kuimarisha uratibu katika masuala ya usalama na muunganisho wa kikanda katika maeneo ya Bahari Nyeusi, Caucasus Kusini na Asia ya Kati, ikiwemo nishati, usafirishaji,…
‘The Special One’ ni mmoja tu duniani. Huyu si mwingine, ni Jose Mourinho.
Tume ya Umoja wa Afrika imeliita shambulio la hivi karibuni katika uwanja mmoja wa ndege nchini DRC , kama “tukio la kigaidi”.
Kulingana na Rais Recep Tayyip Erdogan, ukarabati ulifanyika katika maeneo yaliyoathirika zaidi na tetemeko la mwaka 2023, akisema kuwa waathirika wataendelea kukumbukwa.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki yalaani kitendo cha ugaidi na kutoa rambirambi kwa familia za walio poteza maisha kufuatia shambulio lililotekelezwa na makundi yenye silaha katika jimbo la…
Sheria ya nchi hiyo inamruhusu kuwania muhula mpya kufuatia mageuzi ya kikatiba mwaka 2015.
Uturuki inaimarisha uwepo wake wa kijeshi huku Somalia ikikabiliana na wimbi jipya la mashambulizi ya kigaidi ya Al-Shabaab.
Uturuki na Saudi Arabi zatia saini makubaliano 'muhimu' ya ushirikiano wa sekta ya ulinzi huku Rais wa Uturuki Erdogan akieleza azma ya Uturuki ya kupanua mikataba hiyo.
Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania chaadhimisha miaka 49 tangu kuanzishwa kwake.
Upekee wake ni kwamba nyumba hizi zimejengwa katika muundo wa kasri na zinaonekana kama ghorofa ndogo.
Kifo cha nyota wa Nigeria kimefanya watu waangazie tatizo la kugongwa na nyoka na ukosefu wa huduma za dharura hata maeneo ya mji kama Abuja.
Mkutano na Rais Tshisekedi nchini Marekani uliangazia Makubaliano ya Washington ya Amani na Ustawi, pamoja na mustakabali wa uhusiano wa pande mbili kati ya Marekani na Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Emine Erdogan amesema kuwa mazungumzo yao yalilenga masuala ya mshikamano wa kijamii yanayohusu ubinadamu kwa ujumla, huku akieleza matumaini kwamba ziara hiyo itaimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili katika nyanja…
Katika nchi mbalimbali kuanzia Uturuki hadi Australia, mabadiliko mapya ya kisheria yanaonyesha mtazamo wa pamoja kwamba uangalizi wa wazazi pekee hauwezi kuzuia madhara ya mitandao ya kijamii kwa watoto.
Rais wa Uturuki Erdogan asema nchi yake inataka kuimarisha ushirikiano na Misri katika nyanja mbalimbali.
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, na Rais wa Misri, Abdel Fattah el Sisi, wanatarajiwa kuhudhuria kikao cha kufunga cha jukwaa hilo.
Viongozi wa Uturuki na Saudi Arabia wamepinga vikali harakati za kujitenga na mifumo sambamba katika Pembe ya Afrika walipokutana jijini Riyadh, Saudi Arabia.
ACT-Wazalendo imesisitiza kuwa, ni kosa la jinai kuharibu ushahidi wakati kuna shauri la kisheria linaloendelea.
Uturuki inalenga kuwasaidia watu wa Sudan na mamlaka za nchini humo katika kushughulikia matatizo ya watu.
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) lilitoa adhabu kali kwa Senegal na Morocco kufuatia vurugu wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 (AFCON 2025).
Afrika inakabiliwa na changamoto za kipekee zinazoathiri wagonjwa wa Saratani ikiwemo ugunguzi wa kuchelewa na ukosefu wa vifaa vya kutosha vya matibabu
Hakuna maelezo zaidi kuhusu kifo cha Gaddafi hadi sasa.
Kituo cha kwanza katika ziara ya kikanda ya Rais Erdogan, inayolenga kuimarisha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi.
Waziri Mkuu wa Ethiopia amepinga madai ya Rais wa Marekani Donald Trump, akisema kuwa hakuna mikopo wala msaada wa kifedha wa kigeni uliopokelewa kwa ajili ya ujenzi wa bwawa hilo.
Idara ya Ujasusi ya Urusi (SVR) imedai kuwa utawala wa Ufaransa unajaribu kurejea kisiasa barani Afrika baada ya kupata “hasara”.
Uamuzi huo unakuja siku moja baada ya kikao kilichofanyika Doha, kilichohusisha wawakilishi wa kikosi cha waasi cha M23 na wajumbe kutoka DRC.
Timu za taifa za Urusi zilisimamishwa kushiriki michuano iliyoandaliwa na FIFA na UEFA, mwezi Februari 2022, baada ya taifa hilo kuivamia Ukraine.
Kwa sasa, Msumbiji ndiyo kinara wa uzalishaji wa madini hayo, ikifuatiwa na Madagascar na Tanzania.
Kulingana na Waziri Mkuu wa Ethiopia, bwawa hilo lilijengwa kwa kutumia fedha za ndani za nchi hiyo.
Kulingana na Waziri Mkuu wa Ethiopia, bwawa hilo lilijengwa kwa kutumia fedha za ndani za nchi hiyo.
Shirika la Afya Duniani-WHO linasema wagonjwa wengi wa ukoma wanaamua kujificha kwa sababu ya kunyanyapaliwa, licha ya ugonjwa huo kutibika.
Kiongozi wa Uturuki asema mikataba ya hivi punde imefungua ukurasa mpya kwa watu wa Syria, na kuonya kuwa yeyote atakayejaribu kudhoofisha hali hii atakandamizwa chini yake.
Mvutano huu inakuja baada ya uchaguzi wa hivi karibuni nchini Uganda, ambapo Rais Yoweri Museveni alishinda muhula wake wa saba wa miaka mitano.
Jeshi linasema lilifanya operesheni katika msitu wa Sambisa jimbo la Borno
Mchekeshaji Noah, ambaye alitangaza kuwa huu utakuwa mwaka wake wa mwisho kuandaa Grammys baada ya zamu sita kama emcee, amekuwa akiepuka maoni ya kisiasa katika miaka iliyopita.
Operesheni hiyo ililenga viongozi wa Al Shabaab katika eneo la katikati mwa Shabelle, na baadhi yao waliuawa, anasema waziri wa habari.
Kufunguliwa kwa Rafah ilikuwa hitaji muhimu chini ya awamu ya kwanza ya mpango wa Kufunguliwa tena kwa Rafah lilikuwa hitaji muhimu chini ya awamu ya kwanza ya mpango mpana wa…
Ndege za shirika la ndege la Sudan Airways zikitua katika uwanja wa Khartoum kutoka Port Sudan, hatua ya kiishara ya kurejesha usafiri wa anga baada ya takriban miaka mitatu ya…
Taharuki iko juu sana kati ya Tehran na Washington baada ya vitisho vya vita vya Trump.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki inatoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa "kushughulikia pande hizo mbili za Kisiwa kwa usawa na hatimaye kuanza kutoa juhudi…
Katika barua kwa Umoja wa Afrika, TPLF ilisema iliidhinisha "wito wa kujizuia na mazungumzo."
Tehran inachukua hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya Umoja wa Ulaya baada ya umoja huo kulitaja Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi kama "shirika la kigaidi".
Hati hizo pia zinaonyesha Epstein na watu binafsi katika mtandao wake wakijadili Somaliland, iliyojitangazia kujitenga tangu 1991.
Serikali ilitoa notisi ya siku 60 tu ya kusitishwa licha ya migogoro na ukosefu wa utulivu unaoendelea katika baadhi ya maeneo ya Ethiopia - masharti ambayo yalihalalisha kuulinzi wa TPS…
Takriban miongo sita baada ya kurusha matangazo yake ya kwanza , televisheni ya umma ya Uturuki inasherehekea ukuaji wake katika jukwaa la vyombo vya habari duniani kote Ulaya, Afrika na…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alithibitisha tena msimamo usio wa nyuklia na uwazi kwa diplomasia wakati wa ziara ya Uturuki.