EPRA yaongeza bei ya dizeli kwa KSh 40, petroli kwa KSh 28, wengi wasinywa: “Kwendeni huko”
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli (EPRA) imetangaza Bei za Juu za Mafuta ya Rejareja kwa Kipindi cha 15 Aprili 15, 2026 hadi Mei 14, 2026.
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli (EPRA) imetangaza Bei za Juu za Mafuta ya Rejareja kwa Kipindi cha 15 Aprili 15, 2026 hadi Mei 14, 2026.
Maandamano huko Mbeere Kaskazini, Embu, yaliishia vifo vya 2 waliokuwa wakilalamikia hali duni ya Hospitali ya Ishiara Level 4. Polisi wamelaumiwa kwa tukio hilo
Sehemu ya ukuta wa Ikulu jijini Nairobi utabomolewa huku kaunti ya Nairobi ikizindua mpango wa urejeshaji wa mto utakaogharimu KSh 50bn kuokoa chemichezi jijini.
Mary Njoki Mburu, adaiwa kuuawa na mpenziwe katika kaunti ya Nakuru. Dadake aliyevunjika moyo alifichua mambo yenye kuhuzunisha ya tukio hilo lenye kuhuzunisha.
Wachezaji 33 huenda wasiruhusiwe kucheza mechi za nusu fainali za Ligi ya Mabingwa ikiwa walionyeshwa kadi wakati wa mechi za marudiano za robo fainali.
Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro ametoa tahadhari kuhusu uwazi na bei ya sekta ya mafuta, akikosoa hatua za serikali zinazohusiana na kashfa ya KSh bilioni 4.8.
Mwanaume alifariki jijini Nairobi baada ya kuanguka kutoka jumba la KICC. Polisi tayari wameanzisha uchunguza kuhusu tuhuma za kujiua ili kubaini ukweli wa tukio hil
Ida Odinga ameelza kutokuwepo kwake katika siasa kufuatia kumuomboleza mumewe, Raila Odinga, akifafanua utambulisho wake kama mfanyabiashara wa viwanda si mwanasiasa
Wapelelezi wa DCI walifichua mlolongo wa matukio ya kusikitisha katika mauaji ya kikatili ya Rose Benter Apondi, anayedaiwa kuuawa na mpenziwe wa zamani huko Kisumu.
Hatua ya mwanamke kuhudhuria harusi ya ex wake iliibua gumzo mitandaoni alipolemewa na hisia kwa kupoteza mpenzi waliyechumbiana kwa miaka............
Mwanamuziki Karangu Muraya anamuomboleza nduguye Paul aliyeaga dunia baada ya ajali ya barabarani. Kumbukumbu za dhati na heshima zinaingia akiwa katika majonzi.
Rais William Ruto aliahidi KSh 10 milioni kwa ajili ya hifadhi mpya ya maiti ya Nyamache wakati wa ziara yake ya Kisii, na kuimarisha ahadi za afya na miundombinu.
Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi ameandikisha taarifa na DCI kuhusu shambulio la watu wanaoshukiwa kuwa wahuni, akililia haki na kukamatwa kwa waliohusika.
Kanda ya CCTV yamulika wakili Harrison Kinyanjui akipokonywa simu wakati wa hotuba ya Rais William Ruto, na hivyo kuzua wasiwasi kuhusu usalama na kuwepo kwa polisi.
Mvulana wa miaka 10 huko Siaya alikufa kishujaa baada ya kuwaokoa ndugu zake kutokana na moto. Alikuwa akirudi kuchukua godoro la mama yao alipoaga dunia.
Simulizi la kuhuzunisha la watoto wanaokabiliana na mshtuko baada ya kifo cha mama yao, likifichua ukweli wenye uchungu na msiba mzito katika maisha yao ya ujana.
CCTV ilionyesha tukio la kutisha nje ya kituo cha polisi cha Kisumu, washambuliaji wawili wakimvamia jamaa peupe, na kuzua wasiwasi kuhusu ukosefu wa usalama.
Shabiki wa Manchester City, Tal Rehman, alisambaa sana mitandaoni kwa kuidhihaki Arsenal kule Stamford Bridge. Amezungumzia utani wake kabla ya pambano la Etihad.
Mwili wa Benter Apondi ulipatikana katika Msitu wa RIAT baada ya kutoweka Aprili 5; mpenzi wa zamani Steven Coleman Okoth alikamatwa kufuatia mauaji hayo katili.
Maisha ya dada wa miaka 22 yamebadilika baada ya penzi lililoanza Facebook kupelekea kukamatwa kwake na kufungwa miaka 20. Mercy Mwende anasimulia kilichotokea
Manchester City iliishinda Chelsea 3-0, na kuongeza mbio za ubingwa wa Ligi Kuu na kupunguza pengo kati ya vinara Arsenal na pointi 6 kabla ya mchezo wao muhimu.
Mnamo Aprili 14, Waziri wa Nishati Opiyo Wandayi alikabiliwa na maswali kuhusu kashfa ya mafuta ya KSh12 bilioni, huku Rais Ruto akizuru kaunti ya Kisii
Mahakama Kuu ya Zimbabwe imehitimisha kesi kubwa ya talaka kati ya mfanyabiashara wa Harare, Wicknell Chivayo, na mke wake wa zamani Sonja Louise Madzikanda
Polisi wameanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha ghafla cha afisa wa gereza Homa Bay Benard Ochieng, aliyepatikana amefariki saa chache baada ya kupewa barua ya uhamisho
Rigathi Gachagua amemkosoa Rais Ruto kwa kutochukua hatua dhidi ya uhuni wa kisiasa, akionya huenda nchi ikaingia katika machafuko kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Brian Muendo, mchuuzi wa mayai, alidaiwa kupoteza maisha yake mikononi mwa kilabuni Nairobi baada ya kuzuka kwa mzozo. Familia yake inashinikiza kutendewa haki.
Msiba umezuka kule Nyeri baada ya Mary Wanjiru mwenye umri wa mwaka mwaka mmoja na miezi minane kudaiwa kuuawa na binamuye Linet Wangechi kutokana na mzozo wa miwa.
Polisi walianzisha uchunguzi kufuatia kupigwa risasi kwa Kokunda Patricia katika Jiji la Sokoti. Marehemu aliuawa na washukiwa wa wa wizi wa kimabavu.
Maoni ya Karangu Muraya katika Ikulu yanayohusisha msingi mpana wa kanisa lake na utawala wa Rais Ruto, yamewaacha wanamtandao wakishangaa.........
John Methu, Seneta wa Nyandarua, ameibua mjadala baada ya kutoa kauli ya ucheshi kuhusu ndevu zake, akizihusisha na hali ya maisha ya kisiasa anayopitia
John Methu amejitetea kuhusu uhusiano wake na Rais Ruto baada ya hotuba yake ya Ol Kalou yenye utata kuzua mhemko mitandaoni. Amesisitiza hamuogopi yeyote.
Chama cha ODM kilitaka kipewe heshima kamili kutoka kwa chama cha Rais William Ruto, UDA. Junet Mohamed alisema kuna maafisa wa serikali wanaojaribu kuhujumu ODM.
Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua alielezea masikitiko yake kwa waumini wa Akorino waliochezewa shere na Rais William Ruto wakati wa ibada ya shukrani katika Ikulu.
Hafla hiyo ilikuwa ya ndoa ya Ronnie Kiprono na Terry Mwendwa, na ilitajwa kuwa mojawapo ya harusi za kifahari zaidi kuwahi kushuhudiwa Nairobi karibuni.
Harusi ya kifahari ya mwana tajiri Ronnie Kip ilishuhudia magari ya kifahari yaliyowabeba maafisa wakuu serikalini wakihudhuria hafla hiyo na kuzua gumzo mitandaoni
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje Raphael Tuju aliwashangaza wengi aliposema kwamba akifa angependelea kuzikwa ndani ya saa 48 baada ya kifo chake.
Wanaanga hao walisafiri mbali zaidi kutoka Duniani kuliko mwanadamu yeyote katika historia. Safari ya chombo cha Orion ilitua salama katika Bahari ya Pasifiki
Wanaoshukiwa kuwa wahuni waliwasha mioto kwenye barabara ya Southern Bypass, Kikuyu na kuwapora madereva na watembea kwa miguu. Mbunge Ichung'wah amemlaumu Gachagua.
Naibu rais wa zamani Rigathi Gachagua alimkabili Rais William Ruto kwa ujasiri wakati wa misa ya wafu, na kugeuza tukio hilo kuwa pambano la kisiasa.
Msemaji wa serikali Isaac Mwaura alikataa kuachia kiti kilichotengwa kwa ajili ya Waziri Lee Kinyanjui wakati wa mazishi Kabarak. Alizua hali ya sintofahamu na aibu.
Edwin Sifuna amepata muda zaidi wa kuwa ODM huku jopo la nidhamu la chama likimpa muda wa ziada wa kujiandaa kwa utetezi wake kutokana na hatua ya kumtimua.
Katibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Raymond Omollo amelaani shambulio dhidi ya Seneta Godfrey Osotsi, akionya vikali dhidi ya magenge yanayofanya ghasia za kisiasa.
Bondia wa Kenya Majembe anajivunia ushindi wake na gari jipya aina ya Toyota Noah, zawadi kutoka kwa kampuni ya kamari. Alisema mipango ya familia na mustakabali.
Dada wa zamani Mkatoliki Shako Annastasia amewashangaza wanamtandao kwa mabadiliko yake, akifichua kwamba ana zaidi ya barua za uchumba 80 tangu tukio la kutimuliwa.
Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba Murkomen ameamuru kukamatwa kwa wahuni wanaohusishwa na wanasiasa, akilaani mashambulizi dhidi ya Seneta Godfrey Osotsi.
Tukio la mshangao wa dhati wa bathidei kutoka kwa mke kwa mumewe umeonyesha gari la kifahari na pesa taslimu na kuatua hisia katika mitandao ya kijamii.
Waziri wa zamani wa Raphael Tuju ameiomba familia yake kumzika haraka, ndani ya saa 48 atakapofariki, na kutoihusisha kivyovyote serikali katika mazishi yake.
Mwakilishi wa Kike wa Kakamega Elsie Muhanda amewasilisha kesi mahakamani akitaka fidia dhidi ya matamshi ya Gavana Fernandes Barasa anayodai yalimchafulia jina.
Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi ameapa kuendelea na shughuli za kisiasa licha ya majeraha aliyonayo kutokana na shambulio Kisumu, ambalo limezua hasira ya kitaifa.
Kuongezeka kwa uhasama wa kisiasa kunaunda mazingira ya makabiliano nchini kabla ya uchaguzi wa 2027. Matukio ya punde yanazua wasiwasi mkubwa kuhusu mstakabali.