Ruto Awafokea Sakaja, Maafisa Wengine wa Serikali Kuhusu Maadili ya Mavazi
Rais Ruto alimkosoa Gavana wa Nairobi Sakaja kuhusu mavazi yake akiwa Ikulu, akisisitiza kwamba mavazi yanafaa kuonyesha uzito wa kazi rasmi........
Rais Ruto alimkosoa Gavana wa Nairobi Sakaja kuhusu mavazi yake akiwa Ikulu, akisisitiza kwamba mavazi yanafaa kuonyesha uzito wa kazi rasmi........
Jackie Kiaraho alishiriki heshima ya kugusa moyo kwa marehemu mumewe Mbunge David Kiaraho akitafakari mapenzi yao na kutaka Ol Kalou kutumia busara wakichagua mrithi
Adriana Luna na mchumba wake Anthony Lerma walisherehekea kuwasili kwa malaika 4, na kuifanya familia yao kuwa ya watoto 5. Baraka hiyo adimu ilileta furaha
Mbavu Destroyer amewashtaki Majembe na Oga Obinna baada ya kushindwa pambano la Vurugu, akidai kuchezewa rafu. Katika kasi anataka pambano lifutwe na kulipwa fidia.
Ripoti ya hivi karibuni ilimtaja Dem Wa Facebook kama influenza wa tatu anayelipwa pesa nyingi Kenya, lakini amejitokeza na kupinga madai hayo akiyataja uongo.
Mwanamuziki mkongwe Guardian Angel amefichua mradi wake mpya wa Shamba la Waingo la ekari 20 ambalo ameapa kulibadilisha ndani ya miezi mitatu ijayo.
Elis Sumari alisimulia kifo cha kusikitisha cha bintiye na kutaka haki itendeke baada ya kukataa zawadi kutoka kwa wakwe wanaohusishwa na mauaji hayo nchini Tanzania
Idara ya Hali ya Hewa Kenya ilitabiri mvua katika mikoa sita katika siku tano zijazo. Tarajia mvua, ngurumo za radi, na halijoto tofauti katika kaunti kadhaa.
Abiria alijifungua angani kwenye ndege ya Caribbean Airlines BW005 kuelekea New York. Wahudumu katika ndege hiyo walijitahidi kuhakikisha mama na mwanawe wako salama
Mlinzi wa rais, mkewe na watoto wao wawili wachanga wafariki katika ajali ya barabara, na kuzidisha huzuni ya kitaifa na kuibua wasiwasi wa dharura wa usalama njiani
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) ilitoa ripoti inayoeleza jinsi rushwa hongo inavyotekelezwa katika serikali za kaunti kote nchini.
Hakimu mkuu wa mahakama ya Milimani Lucas Onyina aliwahukumu kifo wafungwa 4 kwa mauaji ya aliyekuwa mbunge wa Kabete George Muchai, walinzi wake wawili na dereva
James Okello, mhitimu wa KU, amegeukia kubebea watu mizigo Nairobi kutokana na uhaba wa kazi, akisimulia safari yake ya maisha licha ya changamoto za kifedha.
Mwanaume wa Kisii anamjengea baba yake wa kambo nyumba nzuri kama ishara ya shukrani kwa kujitolea kwake. Gundua hadithi hii ya kutia moyo ya upendo na kujitolea.
Mchekeshaji Sammy Kioko atoa shukrani kwa usaidizi wa jamii wakati wa kupona kutokana na shambulio la kikatili na maafisa wa kaunti huku akidai KSh milioni 19.
Harambee Stars inatathmini maendeleo katika Mradi wa Nyumba za Bei Nafuu mtaani Starehe, kufuatia ahadi ya Rais Ruto ya baada ya kutia fora CHAN 2024.
Seneta wa Vihiga alidai kuwa watu wanaoshukiwa kuwa wahuni waliomvamia Kisumu walinuia kumuua. Alisimulia jinsi masaibu hayo yalivyotokea, na kumuacha na majeraha.
Viongozi wa upinzani wanamtaka Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani Raymond Omollo kujiuzulu baada ya seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi kumhusisha na wahuni waliomchapa.
Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua na washirika wake wamekashifiwa kwa kugeuza ibada ya mazishi ya mbunge wa Ol Kalou David Kiaraho kuwa uwanja wa ksiasa.
Rais Ruto aliamuru kubomolewa kwa ukuta wa Ikulu kwani umejengwa kwenye mkondo wa maji akiwaonya kuhusu hatua kali zinazohitajika kuchukuliwa kukabiliana na mafuriko
Ian Mbugua alikuwa miongoni mwa wageni kwenye shoo ya Jeff Koinange. Ila alilazimika kuondoka kwenye mahojiano baada ya Cleophas Malala kusema anapendelea serikali
Mrengo wa Linda Mwananchi umeshughulikia uvumi kuhusu shambulio la seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi, na kutupilia mbali madai ya mchepuko kama ilivyohusishwa na CCTV.
Hali ya wasiwasi imejiri Kisumu huku seneta akidai jaribio la kumuua. Wakenya wanadai haki kwa Godfrey Osostis huku uhasama mkali wa kisiasa ukizidi kuchacha.
Rais Ruto na Rigathi Gachagua walikutana Nyandarua wakati wa misa ya mazishi ya Mbunge David Njuguna huko Nyandarua, ambapo malumbano yao ya kisiasa yalijitokeza
Idara ya Hali ya Hewa ya Kenya yaonya kuhusu mvua inayoendelea katika kaunti teule, ikitabiri mvua, dhoruba za radi, na upepo mkali katika maeneo mbalimbali leo.
Muuguzi Joseph Simiyu alipoteza maisha katika ajali iliyotokea eneo la Kariandusi na kuacha jumuiya ya wauguzi ikiomboleza mchango wake mkubwa katika huduma ya afya.
Ryan Ogam anakabiliwa na mwanzo mpya katika Wolfsberger AC akiwa na kocha mpya Thomas Silberberger huku wakilenga kuzuia kushushwa daraja katika Bundesliga.
Maina Kageni alimshangaza Jeff kwa kununua Range Rover ya KSh 50 milioni, asimulia maarifa kuhusu anasa, kuendesha gari, na chaguzi za maisha zilizomfanya kulinunua.
Msiba katika Barabara ya Ngong huku mwalimu wa Shule ya Upili ya Wavulana ya Machakos Mwalimu Ronald na mkewe wakifariki katika ajali ya pikipiki wakielekea nyumbani
Opta Yatabiri Arsenal, Bayern Munich, Atletico Madrid, na PSG zitafika nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa, huku Arsenal ikitarajiwa kupata taji lao la kwanza.
Ida Odinga anaanza nafasi yake katika UNEP kwa usaidizi wa kifamilia, na kuzua hisia tofauti mtandaoni. Ndugu wa Odinga wanasherehekea wakati wa fahari na urithi.
Mwanafunzi akataa nafasi ya kusomea udaktari nchini Cuba kwa sababu ya imani yake ya kidini, na hivyo kuzua hisia mseto mtandaoni kuhusu kanisa nchini Afrika Kusini
Walionusurika walisimulia ajali ya kutisha Nyeri iliyoua watu 16. Dereva wa lori Ken Waweru alinusurika na majeraha, akisimulia hadithi za kuhuzunisha za siku hiyo.
Mbavu Mwangamizi alirudi nyumbani kwake na kuwapa wanawake pakiti za unga kama ishara ya shukrani, na kuwaacha watumiaji wa mtandao wakimpongeza kwa ukarimu wake.
Mwanamke wa Uganda kwa jina Edith Katende amefariki dunia baada ya kuugua saratani huku mumewe, Alex Waiswa akiendelea kuzuiliwa korokoroni.........
Jackton Masibo, aliyeachiliwa hivi punde kutoka kifungo cha miaka 17, alimuoa mpenziwe mwaminifu, Coleta, katika sherehe naridadi ya kurasmisha penzi lao
Makamu wa rais wa zamani Rigathi Gachagua alidai uchunguzi wa kina kuhusu shambulio dhidi ya seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi na wahuni katika kaunti ya Kisumu.
Benni McCarthy amefichua mipango ya kukuruta wachezaji kutoka Ujerumani wenye asili ya Kenya kwa ajili ya Harambee Stars, na kuimarisha kikosi kabla ya AFCON 2027.
Rais William Ruto alisema hatatishwa na aliyekuwa naibu wake, Rigathi Gachagua, ambaye alikutana naye kwenye ibada ya mazishi huko Ol Kalou.......
Mmiliki wa ghorofa Nairobi, Samuel Kamau Karanja, amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela baada ya jengo lake kuporomoka mwaka wa 2016, na kuwaua wapangaji 52
Gavana wa Siaya James Orengo alisema Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi alishambuliwa katika Java House, Western Mall, Kisumu na wahuni wanaoshukiwa kuwa wa serikali.
Vuta n'kuvute inaendelea na Rais Ruto na Rigathi Gachagua waligongana matangani, huku kashfa ya mafuta na shambulio la huko Kisumu vikitawala vichwa vya habari.
Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua anaashiria yuko tayari kwa mapatano ya kisiasa na Rais William Ruto, akimtaka kufanya amani na Mlima Kenya.
Seneta Godfrey Osotsi alikabiliwa na majeraha mabaya kufuatia shambulio lililochochewa kisiasa Kisumu. Gavana James Orengo alisimulia jinsi kisa hicho kilivyotokea.
Ndani ya makazi ya Wamunyoro ya Rigathi Gachagua huko Mathira, nyumba ya KSh 45 milioni yenye muundo wa kifahari, nyasi zilizopambwa ambapo anapangia sera zake.
CCTV zimefichua shambulio la kikatili dhidi ya seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi katika mkahawa wa Java House Kisumu, na hivyo kuibua hofu kuhusu usalama wa raia.
Mvutano ulizuka katika mazishi ya Njuguna Kiaraho huku matamshi ya mafumbo ya Mbunge wa Kinangop Zachary Thuku kumhusu Rigathi Gachagua yakizua mkanganyiko.
Seneta wa Nyandarua, Methu aliongoza mashambulizi hayo, akifuatwa na Gachagua, ambaye alimshutumu Ruto kwa kusaliti Mlima Kenya na kumtaka asahau uungwaji mkono wao.
Rais Ruto amekanusha madai ya Gachagua ya kupoteza uungwaji Mlima Kenya, akiangazia hatua za maendeleo huku akitetea miungano yake ya kisiasa malumbano yakichacha.
Aliyekuwa DP Rigathi Gachagua amemshutumu Kiongozi wa Wengi Kimani Ichung’wah kwa kumpotosha William Ruto, akionya kuhusu usaliti wa jamii..........