Margaret Kenyatta: Wakenya Wamunyeshea Mama wa Zamani wa Taifa Upendo Akitimiza Miaka 62
Wakenya walifurika kwenye mitandao ya kijamii na kumtakia heri mke wa rais wa zamani Margaret Kenyatta, wakisherehekea urithi na uhusiano wake na Uhuru.
Wakenya walifurika kwenye mitandao ya kijamii na kumtakia heri mke wa rais wa zamani Margaret Kenyatta, wakisherehekea urithi na uhusiano wake na Uhuru.
Familia ya Mtoto James, anayetunzwa na Mike Sonko, iliomba Msamaha kwa tukio la mjomba kumlaumu. Sonko alidumisha kujitolea kwa utunzaji na ufikiaji wa familia.
Seneta wa Nyandarua John Methu alimkabili Rais William Ruto wakati wa mazishi ya Mbunge Kiaraho, akitaja ahadi ambazo hazijatimizwa na kuzua matukio ya kusisimua.
Rais William Ruto na aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua walishiriki jukwaa baada ya miezi kadhaa ya majibizano makali. Hata hivyo hawakusalimiana.
Rais William Ruto na aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua walishiriki jukwaa baada ya miezi kadhaa ya majibizano makali. Hata hivyo hawakusalimiana.
Makamu wa Rais wa zamani Rigathi Gachagua awasihi wafuasi wake kumheshimu Rais Ruto wakati wa kumbukumbu ya Mbunge David Kiaraho, akiheshimu urafiki wao wa kina.
Gundua majengo 10 ndefu zaidi duniani mwaka wa 2026. Jengo la Burj Khalifa la Dubai linasalia kifua mbele 2026 likiwa na futi 2,717, mbele ya Merdeka 118.
Askofu Kathy Kiuna ametafakari kuhusu huzuni baada ya kumpoteza mumewe, akijadili mashaka kuhusu kuchumbiana tena huku akitoa maarifa kuhusu maombolezo na urafiki.
Mike Sonko alisuluhisha mzozo wa kulea na familia ya Mtoto James, na hivyo kuhimiza kuungana tena na babu yake na kuhakikisha uhusiano wa kudumu na jamaa Kisii.
Ushindi wa Arsenal dhidi ya Sporting CP sio tu unaongeza matumaini yao ya Ligi ya Mabingwa lakini pia unaibeba Chelsea, Man Utd na Liverpool katika safari hiyo
Wanawake watatu kutoka Busia walifariki katika ajali njiani wakirejea kutoka mazishi na kuacha familia zikiwa na huzuni na wengine sita kujeruhiwa vibaya.
Mzee mmoja kutoka Tanzania aliwagusa watu kwa jinsi alivyokuwa akiimba kwa uchungu wimbo wa mapenzi. Mwanaume huyo amesema msichana mdogo alichanganya maisha yake.
Ajali mbaya ya barabarani yagharimu maisha ya bintiye Kapteni Ruto, Mitchell, eneo la Taita Taveta. Heshima ya dhati huangazia hasara na kumbukumbu za baba.
DCI huko Meru wamemkamata Morris Kithinji Tirimiti, mfungwa wa zamani katika gereza la Kamiti kwa tuhuma za uhalifu mtandaoni. Walinasa simu sita na kadi 39 za simu.
Polisi Kaunti ya Siaya wanachunguza kisa cha mauaji baada ya washukiwa wawili kufumaniwa wakitupa mwili ambao haukutambuliwa kwenye Barabara ya Busia-Kisumu.
Familia ya Gachagua ilipuuza madai ya wosia wa Rais William Ruto, ikifafanua maelezo ya urithi wa marehemu gavana wa zamani wa Nyeri Nderitu Gachagua.
Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanawake ya Australia, ikiongozwa na Sam Kerr, imetua rasmi Kenya kwa mashindano ya Msururu wa FIFA ya Wanawake.
Wakenya wamesimama na Dennis Munyao, askari aliyefutwa kazi kwa sababu ya kushiriki maandamano ya Gen Z ambaye sasa ameambulia huuza mahindi chemsha.
Waziri wa Nishati Opiyo Wandayi aliamuru kuregeshwa yalikotoka mafuta yaliyoagizwa nchini kiharamu nje ya mpango wa G2G, na kusababisha mhusika kupoteza KSh 12 b.
Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua amewaonya maafisa wa serikali dhidi ya kugeuza shughuli ya mazishi ya mbunge wa Ol Kalou David Kiaraho kuwa uwanja wa kisiasa.
Nevnina Omondi, mjane mwalimu aliyeuawa Albert Ojwang', amewaduwaza watu kwa anavyong'aa huku familia ikiadhimisha kumbukumbu yake kwa sherehe ya kitamaduni ya dhati
DP Kithure Kindiki alianzisha mashambulizi dhidi ya kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua kabla ya uchaguzi mdogo wa Ol Kalou, akitilia shaka rekodi na dhamira yake.
Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua alimzindua Vincent Kibet Rotich kugombea ubunge wa Emurua Dikirr baada ya kifo cha kusikitisha cha mbunge Johanna Ng’eno.
Kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Oburu Oginga alitoa kauli nzito kuhusu kashfa ya mafuta ya KSh 4.8 bilioni. Alimtetea Waziri Opiyo Wandayi.
Mwanahabari mkongwe Jeff Koinange anazindua podikasti yake, akifichua maungamo ya kibinafsi kuhusu mahusiano ya zamani na kugundua ana binti wa miaka 30.
Familia ziliomboleza wahasiriwa wa mkasa wa Kariandusi, zikishiriki mazungumzo ya hisia ya mwisho na mipango ya Pasaka waliyokukuwa nayo na wapendwa wao.
Jack Odhiambo anakumbuka nyakati za mwisho za bosi wake wa zamani Raila Odinga na ukarimu katika ofisi yake ya Capital Hill kabla ya kifo chake nchini India.
Bondia mahiri Majembe alitetea ushindi wake dhidi ya Mbavu Destroyer katika makabiliano ya Vurugu, na kuzua hisia tofauti mtandaoni baada ya pambano kali Kasarani.
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Moi alikufa maji kwenye maporomoko ya Kesses River, dadake alimlilia kwa uchungu huku wanafunzi wakionywa kuepuka eneo hatari.
Mwanamume Mkenya amefichua jumbe zake za mwisho kwa dadake, aliyefariki kwenye ajali ya kutisha Gilgil, na kuibua hisia za kina na kutafakari kuhusu kupoteza.
Kauli ya Mbunge wa Homa Bay Peter Kaluma ya 'taka taka' ilichochea mjadala miongoni mwa Wakenya. Alidai kuwa wito wa ODM wa kugawa maeneo si kwa kuhofia ushindani.
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna sasa anakodolea macho kutimuliwa kutoka wadhifa wa katibu mkuu wa chama cha ODM. Chama kinamtuhumu kwa kukinzana na maadili.
Gavana wa Homa Bay Gladys Wanga alisema Orange Democratic Movement (ODM) inasalia kuwa chama kikubwa zaidi nchini. Alisema watadai nusu ya serikali.
Esther Passaris alikutana na Kennedy Arnold ambaye aliomba waende deti naye, na kuzua hisia tofauti mtandaoni. Mkutano wao uligeuka kuwa mazungumzo ya kusisimua.
Ruth Odinga amekosoa mpango wa UDA kutaka kuwa na wagombea katika ngome za ODM, akisema ipo haja ya chama cha chungwa kuepuka udhaifu katika mamlaka ya 2027.
Seneta wa Narok Ledama Olekina yuko tayari kuchukua nafasi ya Seneta Edwin Sifuna kama katibu mkuu wa ODM, akisisitiza uaminifu wake kwa chama......
Familia ya Carolyne Khamete inapinga madai alizama, wakihisi kulikuwa na njama ovu katika kifo chake cha kusikitisha. Matokeo ya uchunguzi wa maiti yanaibua shaka.
Familia ya Albert Ojwang imemheshimu mjane wake, Nevnina Onyango, kwa kumlipa mahari katika sherehe ya kitamaduni, hatua iliyotimiza ahadi yake kwa taadhima kubwa.
Mvutano ulizuka katika mazishi mwanamke mmoja akikabiliana na wakwe zake, akiwashutumu kwa kupuuza mahari na majukumu yao ya kitamaduni, na hivyo kuvuruga hafla hiyo
DCI ilitishia kumchukulia hatua aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua kufuatia matamshi yanayomhusisha Rais William Ruto na kashfa ya mafuta ya KSh 4.8 bilioni.
Wingu la huzuni lilitanda katika mazishi ya Elvis Juma, maarufu Gustavo Rides, ambaye alihusika katika ajali ya kuogofya ya pikipiki na kupoteza maisha yake.
Mbunge wa Rangwe Lilian Gogo alimkosoa Seneta Edwin Sifuna, akimtaka kutafuta elimu zaidi kwa heshima. Alidai kuwa mbunge Babu Owino anampotosha.
Waziri wa Biashara Lee Kinyanjui na mwenzake wa kawi, Opiyo Wandayi, wanaangaziwa katika kashfa ya mafuta ya KSh 4.8 bilioni. Watahojiwa.........
Aliyekuwa DP Rigathi Gachagua ajitayarisha kwa kumkabili Rais William Ruto kwenye mazishi ya mbunge David Kiaraho huko Ol Kalou. Hali tete inahisiwa Nyandarua.
IEBC ilifafanua kuwa ni wapiga kura waliokosa usajili wa kibiometriki wa 2012 pekee ambao wanapaswa kusasisha maelezo yao, ikisema orodha ya sasa inabaki sahihi.
Rais Ruto alithibitisha kujiuzulu kwa maafisa watatu wakuu wa mafuta, huku IEBC ikiahidi kuwajibika huku uchunguzi ukiendelea kuhusu madai ya ukiukwaji wa sheria.
Mwenyekiti wa KANU Gideon Moi ameelezea wasiwasi wake kuhusu kumwachilia binti yake, Lulu aolewe, kwenye harusi ya rafikiye, akionyesha upendo wa baba kutoka moyoni.
Kampuni ya Kenya Pipeline imemteua kaimu Mkurugenzi Mkuu baada ya kukamatwa kwa Joe Sang kwa madai ya kuhusika katika uingizaji wa mafuta yasiyo ya kiwango.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari za Kenya, Kapteni William Ruto, Amehusika Katika qjali ya barabarani. Familia iko katika hali nzuri; KPA imetoa rambirambi.
Waziri wa zamani Charles Keter alishuhudia harusi ya kitamaduni na ya kifahari ya bintiye Tracey ambaye alimuoza kwa Robin huko Chepsir. Watu mashuhuri walihudhuria.