Mfanyabiashara wa Nakuru aliyelia baada ya kukosa wateja hotelini mwake asema alipoteza KSh 2.3m
Mwanasiasa maarufu wa Nakuru aliyejirekodi akilia kwa ukosefu wa wateja alishiriki kwamba aliingiza KSh 2.3 milioni katika biashara yake kabla ya kuporomoka.