NBCPL: Shassiri Nahimana wa Pamba Jiji ameshaweka chuma mbili nyavuni
NBCPL: Shassiri Nahimana wa Pamba Jiji ameshaweka chuma mbili nyavuni. 85’: Pamba Jiji 2-0 Coastal Union LIVE #AzamSports1HD Saa 10:15 ni Prisons dhidi ya Mashujaa FC. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates…