Manusura waongoza mapambano dhidi ya ukeketaji wanawake na wasichana (FGM) katika jamii
Ukeketaji wanawake na wasichana au FGM, kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi, UNFPA, unatajwa kuwa ni ukiukaji mkubwa wa haki…