Zaidi ya wafanyakazi 32 waliokuwa wakifanya kazi katika kiwanda cha kuchakata majani ya chai cha Ikanga, kilichopo Tarafa ya Lupembe wilayani Njombe, wameiomba Serikali kuingilia kati sakata la madai yao dhidi ya mwekezaji Kampuni ya DL Group Limited, wakidai kutolipwa mishahara na stahiki zao kwa zaidi ya miezi sita sasa, zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mia moja.
(Feed generated with FetchRSS)