Jumamosi hii Januari 31 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki patakuwa hapatoshi ngumi, vitasa zitapigwa ni katika Bongo Fighting Championship
Zaidi ya mapambano 10 ndani ya ulingo mmoja, Dulla Mbabe na Fadhili Majiha ndani.
Vitasa hivi vitaanza saa 12:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.
Mapema hakikisha kisimbuzi chako kina kifurushi ili usipitwe na Vitasa hivi.
#Vitasa #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)