Mnyarwanda kupewa majukumu mapya Dodoma Jiji
WAKATI Dodoma Jiji ikikaribia kumtambulisha, Amani Josiah, kukiongoza kikosi hicho, kwa sasa uongozi wa timu hiyo uko katika hatua za mwisho za kumpa majukumu mapya, Vincent Mashami raia wa Rwanda,…
WAKATI Dodoma Jiji ikikaribia kumtambulisha, Amani Josiah, kukiongoza kikosi hicho, kwa sasa uongozi wa timu hiyo uko katika hatua za mwisho za kumpa majukumu mapya, Vincent Mashami raia wa Rwanda,…
#HABARI: Kesi ya jinai namba 25480 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said…
Unakumbuka nini kuhusu safari ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga Unayakumbuka mapito ya safari yake ya siasa Unaukumbuka vipi urithi wake mwanaharakati huyu wa kisiasa Tazama video…
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe imesema katika kipindi cha mwaka 2025 pekee imepokea zaidi ya watoto njiti 200 ambao wamepatiwa matibabu na wengine wakiendelea kupata huduma katika hospitali…
BAADA ya kiungo mkabaji, Baraka Majogoro kurejea nchini na kujiunga na kikosi cha KMC alichowahi kukitumikia hapo awali, nyota huyo amesema haikuwa rahisi kuzikataa ofa mbalimbali za timu kutoka ndani…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah, amewataka wafanyabiashara kuhakikisha wanazalisha bidhaa zenye ubora zinazokidhi viwango vya kimataifa. Wito huo umetolewa ili kuhakikisha bidhaa zinazozalishwa nchini…
#HABARI: Wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari, eneo la Dongobesh Wilayani Mbulu mkoani Manyara wameanza kunufaika na huduma ya maji safi, ambapo awali walilazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma…
Huenda Afrika ikawa na wawakilishi 10 katika mashindano yajayo ya Kombe la Dunia huko Marekani, Canada na Mexico yatakayofanyika kati ya Juni 11 na Julai 19 mwaka 2026.
Mgombea wa urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuongeza uzalishaji wa miche ya kahawa na kutoa matrekta kwa wakulima wa Kagera kwa gharama…
Shirika la Maendeleo ya Petrol Nchini (TPDC) limeendeleza utaratibu wa uchimbaji wa visima viwili vya gesi asilia ambavyo vinatarajiwa kuongeza uzalishaji wa umeme. Visima hivyo vinatarajiwa kuongeza uwezo wa uchimbaji…
Abiria zaidi ya 700 wa treni inayofanya safari kutoka Dar es Salaam kuelekea Kigoma kupitia reli ya kati wamekwama kwa zaidi ya saa 15 katika stesheni ya Dodoma. Meneja wa…
Walimu wa masomo ya sayansi katika Mkoa wa Ruvuma wanapatiwa mafunzo maalum ili kuongeza maarifa yao katika ufundishaji wa masomo hayo. Uamuzi huo umechukuliwa na viongozi wa mkoa huo kama…
Wakazi wa Mtaa wa Lalata na Kulangwa Goba, wanaoishi kando ya Mto Tegeta katika Wilaya ya Ubungo, wamelalamikia uchimbaji wa mchanga unaoendelea katika mto huo unaosababisha uharibifu wa mazingira. Kilio…
🔴MEZA HURU: ...OKTOBA 15, 2025
#HABARI: Serikali ya Kenya imetangaza siku saba za maombolezo ya Kitaifa na Bendera kupeperushwa nusu mlingoti, katika maeneo yote ikiwemo balozi zote za Kenya, kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu…
Hii ni safari ya maisha ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga kabla ya kifo chake. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
Watu wanne wamekamatwa wilayani Mpanda kwa kosa la kutumia umeme kwa muda mrefu bila kulipia. Kufuatia tukio hilo, Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limewataka wananchi kutojiingiza kwenye wizi au matumizi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
Ivory Coast imeifunga Kenya 3–0 mjini Abidjan, huku winga wa Manchester United Amad Diallo akifunga bao maridadi kwa mkwaju wa Freekick kunako dakika ya 84, na pia alitoa pasi ya…
Ulaya imejikuta pembeni katika mpango wa amani wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu Gaza, lakini viongozi wa bara hilo wameonyesha nia ya kuchukua nafasi ya uongozi katika kujenga mustakabali…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
#HABARI: Mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, Bi Anna Mary Polepole akiwa baadhi ya ndugu wa Polepole katika viunga vya Mahakama Kuu Masjala ndogo ya…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limevifungia viwanja viwili kutumika kwa mechi za Ligi Kuu Bara na Ligi ya Championship kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za…
Michuano ya PFL Africa inazidi kushika kasi na sasa ni hatua ya nusu fainali kutafuta mabondia watakaofuzu hatua ya fainali. Ni Jumamosi hii jijini Kigali, Rwanda utapata kushuhudia jumla ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
Safari ya Raila Odinga katika siasa ilianza miongo kadhaa iliyopita.
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokuwa inaendelea katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirishwa hadi kesho Oktoba 16, 2025.…
#HABARI: Rais wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Raila Amolo Odinga, na kwamba taifa limempoteza kiongozi mahiri, Mwanamajumui wa Afrika, mpenda…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtama kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amewasihi vijana na Watanzania kwa ujumla, kuepuka kushawishika na kuingia katika migogoro ya kisiasa ambayo…
Wiki hii ndani ya Kisimbuzi chako cha AzamTV. Yanga na Simba watakuwa viwanja vya ugenini katika mechi za ligi ya mabingwa Afrika kuwania hatua ya Makundi. AzamFC na Singida BS…
#TANZIA: Baada ya taarifa za Kifo cha Waziri Mkuu wa zamani nchini Kenya Raila Odinga waombolezaji wamefika Nyumbani kwa Raila eneo la Bondo. Rais wa Kenya William Ruto, anatarajiwa kuhutubia…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
#HABARI: Mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM wilayani Kalambo mkoani Rukwa Ndugu Edifonce Kanoni, amesema andapo akichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo, atahakikisha anamalizia ujenzi wa masoko yaliyojengwa kwa…
#MEZAHURU: Je kitu gani kifanyike kuweka ulinzi kwa watoto juu ya vitu hatarishi kwenye mazingira yetu nyumbani.?
Akaweka mkazo katika ujuzi huo akaenda kusoma katika chuo cha udereva hadi akapata leseni ya udereva. Muddy akaanza kuendesha daladala kwa muda mrefu, hapo alipata mafanikio kwa kiasi fulani...
Kila mwaka ifikapo Oktoba 15, dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake wanaoishi vijijini. Maadhimisho haya yanalenga kutambua mchango mkubwa wa wanawake wa vijijini katika nyanja mbalimbali, ikiwemo uchumi, uzalishaji…
“…Taifa halijagawanyika… anayefikiri limegawanyika, yeye mwenyewe ndiye amegawanyika…” - Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, akielezea hali ya siasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 19. #AzamTVUpdates Mhariri | John…
Kulingana na familia yake, Raila odinga amekuwa akipokea matibabu nchini India kwa siku kadhaa kabla ya habari za kifo chake kutangazwa mapema Jumatano.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amewataka Watanzania kuwa makini na taarifa za upotoshaji zinazochapishwa kwenye mitandao ya kijamii. Amesisitiza umuhimu wa wananchi kutumia vyanzo rasmi vya habari na…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
Raila Odinga aliazimia miaka mingi kuingia Ikulu Kenya kama Rais, japo kila jaribio lake lilisindikana, na kuachiwa sifa ya kuwa muandaaji wa wafalme, bila yeye mwenye kuweza kuwa mfalme.
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga amefariki dunia leo Oktoba 15, 2025 akipatiwa matibabu huko Kochi nchini India. Kwa mujibu wa msemaji wa hospitali ya Ayurvedic, Hayati Odinga alipata…
#HABARI: Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatano, Oktoba 15, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Tundu Lissu ikitarajiwa…
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amesema kwa mujibu wa takwimu, Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi pekee ambaye amekutana mara nyingi na kuzungumza na viongozi wa vyama vya…
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga (80) amefariki dunia leo Oktoba 15, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Ayurvedic iliyopo Koothattukulam, Kerala nchini India. #AzamTVUpdates Mhariri |…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
#HABARI: Rais Donald Trump amesema, Marekani imeishambulia boti nyingine kwenye pwani ya Venezuela na kuua watu sita, katika chapisho kwenye mitandao ya kijamii, Trump amesema boti hiyo ni ya magaidi…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa tiketi ya Chama cha SAU Majalio Kyara, ameahidi kwamba akiingia madarakani atahakikisha anamaliza changamoto ya upatikanaji wa soko la uhakika…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UTENGENEZAJI WA BIDHAA....OKTOBA 15, 2025
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, amewataka watumishi wa umma na Watanzania kwa ujumla kufanya mazoezi, kula mlo sahihi na kupumzika vya kutosha ili kulinda afya za…