🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Bara, Mussa Peter Mwakitinya, amesema nia ya mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. Samia…
Serikali ya Kenya imetangaza Ijumaa ya Oktoba 17, 2025 kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, Raila Amolo Odinga, aliyefariki dunia jana…
Meneja Mkuu wa Simba SC, Dimitar Pentev, amesema wachezaji Mohammed Bajaber na kipa Moussa Camara wataikosa mechi dhidi ya Nsingizini Hotspurs kutokana na majeraha.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Bara, Ndg. Mussa Peter Mwakitinya, amesema nia ya mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt.…
Kifo cha Raila Odinga, mechi saba Ligi Kuu ya Kenya za ahirishwa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), limeahirisha mechi saba zilizokuwa zimepangwa kuchezwa wikiendi hii ikiwa ni kwa heshima…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UJASIRIAMALI....OKTOBA 16, 2025
#VIDEO: Mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Hayati Raila Odinga, ukiingizwa kwenye ndege tayari kurejeshwa nyumbani nchini Kenya, kwa ajili ya Mazishi ya Kitaifa, mwili wa Odinga utapumzishwa Jumapili…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
Kikosi cha Yanga SC, kimeondoka leo asubuhi Oktoba 16, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kuelekea Malawi kwa ajili ya mechi…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 16,2025 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates
Kifo cha Raila Odinga, mechi saba Ligi Kuu ya Kenya za ahirishwa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), limeahirisha mechi saba zilizokuwa zimepangwa kuchezwa wikiendi hii ikiwa ni kwa heshima…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ....OKTOBA 16, 2025
🔴KUMEKUCHA: NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KWENYE UCHAGUZI....OKTOBA 16, 2025
#KIPIMAJOTO: Wanaotumia mitandao kusambaza hofu na uchochezi. Je, wanadhibitiwa kwa wakati kuepusha madhara kwa jamii?
🔴MAGAZETI: VIGOGO CHADEMA WANA SIKU 8 KUJITETEA WASIENDE GEREZANI / PANTEV ABANWA....OKTOBA 15, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 16, 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 15, OKTOBA 2025
#HABARI: Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imetupilia mbali ombi la Bw. Luhaga Mpina na Bodi ya Wadhamini ya Chama cha ACT- Wazalendo kupinga kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa…
#HABARI:Wanufaika wa Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) mkoani Tabora wametakiwa kutumia fedha za ruzuku walizopewa kwa kufuata masharti ili kuhakikisha malengo ya kuboresha maisha ya wananchi na kuhifadhi misitu yanafikiwa.…
#HABARI:Aliyekuwa Waziri Mkuu nchini Kenya Raila Odinga atazikwa siku ya Jumapili nyumbani kwake katika Kaunti ya Siaya. Taarifa hiyo imetolewa na Kamati ya Maandalizi ya mazishi inayoongozwa na Naibu Rais…
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa ufafanuzi kuhusu hatma ya wapigakura zaidi ya 106,00 ambao walijiandikisha kupiga kura kwenye vituo 292 vilivyokuwa kwenye kata 10 zilizofutwa kutokana na…
Mgombea Urais Hamad Rashid Mohamed ameahidi kuunganisha mfumo wa elimu ya madrasa katika mfumo wa elimu visiwani Zanzibar iwapo atafanikiwa kupata ridhaa ya wananchi ya kuwa Rais wa Zanzibar. Rashid…
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza siku saba za maombolezo ya Kitaifa kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu, Raila Odinga kilichotokea nchini India. Mbali ya siku hizo saba pia bendera…
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dkt Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuanzisha kituo maalum cha utoaji wa huduma za kitabibu kwa watu wenye ulemavu sambamba na kutoa vifaa visaidizi kwa…
Mgombea Urais kupitia chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya amewaahidi uzazi wa bure kwa wanawake sambamba na kupata chakula kwa miezi mitatu bure ili kuwasaidia kujenga afya zao. Mluya…
#HABARI: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha NLD, Bw.Doyo Hassani Doyo amesema akipata ridhaa ya kuongoza nchi, ataongeza ruzuku kwa wawekezaji wanaosambaza Nishati ya Gesi,…
Salum Mwalim anayegombea Urais kutokea chama cha CHAUMMA ameahidi kuendeleza mipango ya uchakataji wa gesi kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara ili kuongeza nafasi za ajira kwa wakazi wa mikoa…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert Chalamila, amekagua miradi ya ujenzi wa madaraja na barabara Jijini Dar es Salaam yenye gharama ya shilingi Bilioni 224.22 inayotekelezwa na…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 15, 2025 -LISSU AENDELEA KUMBANA SHAHIDI WA PILI
#HABARI:Shirika la Umeme TANESCO mkoani Katavi, limewakamata watu wanne na mmoja anaendelea kutafutwa wote wakazi wa Kitongoji cha Isagala kijiji cha Uruila, katika Halmashauri ya Nsimbo wilaya ya Mpanda kwa…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Kakonko, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Alan Thomas Mvano, ameiomba serikali kuhakikisha inajenga Barabara ya kuelekea soko la mpakani Muhange kwa kiwango cha lami, ili…
Abiria zaidi ya 700 wa treni ya abiria iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Kigoma kupitia reli ya kati, hatimaye wameendelea tena safari yao baada wahandisi wa TRC kukamilisha…
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025 hadi 2030, katika Jimbo la Peramiho kimeahidi kuiunganisha Tanzania na Msumbiji kwa barabara ya kiwango cha lami yenye…
#HABARI: Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro, ametoa onyo kwa watu wanaotoa matamko na vitisho kwa wananchi kuhusu kwenda kupiga kura na…
KOCHA wa Chippa United, Luc Eymael amesema itakuwa ni aibu kwa Romain Folz na Dimitar Pantev kama Yanga na Simba zitashindwa kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
KATIKA benchi la ufundi la Yanga linaloongozwa na kocha mkuu Romain Folz, vichwa vinauma wakati maandalizi kuelekea mechi ya ugenini ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silvers Strikers yakiendelea.…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Oktoba 15, 2025 amekagua miradi ya ujenzi wa madaraja na barabara jijini Dar es Salaam inayojengwa kwa zaidi ya shilingi…
Soma kwa undani hapa
Malori ya misaada yameanza kuingia Gaza na Israel imeanza maandalizi ya kukifungua kivuko cha Rafah baada ya kuzuka mzozo katika kurejesha miili ya mateka hali iliyotishia kuvuruga makubaliano tete ya…
Jarida la L'Express de Madagascar, limeripoti kwamba, kocha Romuald Rakotondrabe maarufu kwa jina la Rôrô, jana Oktoba 14, 2025, ametua jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya kujiunga na…
Salamu za rambirambi zinaendelea kutumwwa kutoka kwa viongozi wa Afrika na duniani kote kufuatia tangazo la kifo la Raida Odinga.
Mfuko wa Mitaji ya Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNCDF) kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania na wadau wa maendeleo umefanya mkutano jijini Dar es Salaam kujadili mabadiliko ya mazingira…
#HABARI: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Kizimamoto Temeke, Jijini Dar es Salaam, limefanya zoezi la utayari la kukabiliana na majanga ya mlipuko wa moto katika Soko la Stereo…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO: OKTOBA 15, 2025 - WAKULIMA WA MIWA WALALAMIKIA WADUDU WAHARIBIFU
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Dar es Salaam ipo Salama na kuwataka wananchi wa kupuuza taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu wito wa maandamano, na kueleza…
Roboti huyo anayejulikana kama IRIS, ana uwezo kufunza kwa kutumia lugha za Afrika Kusini, ikiwemo isiZulu, Afrikaans, Sesotho, na Kiingereza.
Dkt. Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameahidi kujenga uwanja mkubwa wa ndege katika eneo la Kyabajwa, Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, endapo atachaguliwa kuunda serikali…
Mwanasiasa huyo mkongwe nchini Kenya amefariki dunia Oktoba 15, 2025 nchini India, alipokuwa akipokea matibabu.