UN yatoa onyo vita Ukraine viko katika zama hatari zaidi kwa raia
Miaka mitatu na nusu tangu uvamizi kamili wa Urusi, vita vya Ukraine vimeingia katika hatua hatari na ya vifo zaidi kwa raia, amesema leo Mkuu wa Haki za Binadamu wa…
Miaka mitatu na nusu tangu uvamizi kamili wa Urusi, vita vya Ukraine vimeingia katika hatua hatari na ya vifo zaidi kwa raia, amesema leo Mkuu wa Haki za Binadamu wa…
Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imeongeza muda wa udahili wa shahada ya kwanza katika programu ambazo bado zina nafasi kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Hatua hiyo inalenga kutoa nafasi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
BAADA ya kuwepo kwa taarifa za Kocha Mkuu wa Gaborone United, Dimitar Pantev kufikia makubaliano ya kusaini mkataba wa kuiongoza Simba, mapema leo asubuhi ameaga rasmi.
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendeleza sekta ya utalii mkoani Arusha kwa kukarabati na kupanua viwanja vya ndege vya Lake…
BODI ya Ligi Kuu Zanzibar, imeitoza Junguni United faini ya Sh200,000 kwa kuchelewa uwanjani kisha kufika bila ya kuwa na jezi na kusababisha mwamuzi kuvunja mechi.
Venezuela imeinyooshea kidole cha lawama Marekani kwa kile ilichokiita "uvamizi haramu " uliofanywa na ndege za kivita za Marekani katika eneo inalolidhibiti.
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
#HABARI: Kufuatia tukio la moto kutekeza bweni la shule ya sekondari Asha Rose Migiro Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, na kupelekea vifaa vya wanafunzi kuteketea, Serikali imeanza hatua ya kukarabati…
Baadhi ya vifo viliripotiwa katika kitengo cha jeshi la Israel kwa ajili ya usambazaji misaada, wakati Hamas ikitafakari majibu yake kwa pendekezo la Trump.
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametoa onyo kali kwa Marekani kuhusu uwezekano wa ongezeko la vita kati ya Urusi na Ukraine endapo Washington itatoa makombora ya masafa marefu aina ya…
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amesema serikali inaendelea na mikakati ya kuongeza thamani ya zao la zabibu ili wakulima wanufaike zaidi. Ameeleza kuwa mkoa huo tayari umepata kiwanda…
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi CCM Jimbo la Musoma Mjini kimelaani tukio la watu wanaotajwa kikundi cha vijana waliochana na kutoboatoboa mambango ya mgombea wao wa urais Dkt Samia Suluhu Hassan…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
Makamu wa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, Modest Katonto ameiasa jamii mkoani Rukwa kushirikiana na viongozi wa dini katika kukabiliana na changamoto ya mmomonyoko wa maadili. Mabadiliko ya…
#HABARI: Chini ya Rais Dkt. Samia Mradi wa ujenzi wa stendi mpya ya mabasi Jijini Arusha (Bondeni City) ni sehemu ya mpango wa TACTIC-Masoko unaotekelezwa na Halmashauri ya Jiji la…
Mwaka 2022, FIFA iliifungua Urusi baada ya majeshi yake kuivamia Ukraine, licha ya Urusi kuandaa fainali ya Kombe la Dunia, hapo awali.
#HABARI: Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imeongeza muda wa udahili wa wanafunzi wa shahada ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kupitia Awamu ya Tatu. Udahili huo utaanza tarehe…
#HABARI: Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, amefikishwa katika mahakama ya Harare, akikabiliwa na shtaka la kupatikana na dawa za kulevya. Robert Mugabe Jr (33) alikamatwa Jumatano asubuhi…
TIMU ya Fufuni kutoka Pemba, imekataa unyonge baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Kipanga katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), mechi ikichezwa Oktoba 2, 2025 kwenye…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
Mwaka 2022, FIFA iliifungua Urusi baada ya majeshi yake kuivamia Ukraine, licha ya Urusi kuandaa fainali ya Kombe la Dunia, hapo awali.
Kwa taarifa yako…nzi na funza wanaweza kukuinua kiuchumu… Fuatilia simulizi ya Denis Kamanzi, mwanzilishi wa BIOAKEMI, ambaye aliona fursa kwenye ufugaji wa nzi-chuma na funza. Fursa hii imebadili muelekeo wa…
“Sasa ni kitu gani kilichokufanya ujitokeze licha ya kujua kuwa umeua” “Nimejitokeza ili niwaeleze ukweli polisi. Nilikuwa ninajua kwamba polisi walikuwa hawajui kuwa watu waliokuwa wananyongwa walishahukumiwa kunyongwa ila walitoroshwa…
#HABARI: Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwa wilayani Tandahimba mkoani Mtwara kwenye Mkutano…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
Mwaka 2022, FIFA iliifungua Urusi baada ya majeshi yake kuivamia Ukraine, licha ya Urusi kuandaa fainali ya Kombe la Dunia, hapo awali.
#MEZAHURU: Kipi kinasababisha Tasnia ya Urembo kuonekana kama uhuni kwa watoto wa Kike.? na vilevile kutokuwa na Mchango kwenye Jamii.
Alichelewa sana humo chumbani mpaka nikainuka na kumfuata. Nikamkuta bado akijitazama kwenye kioo. “Twenzetu, umeshapendeza,” nikamwambia. Alikuwa amevaa suruali ya jeans, t-shirt na viatu vya mchuchumio.
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
NAIROBI – Jiji la Nairobi litakuwa mwenyeji wa tamasha kubwa la kwanza barani Afrika linalolenga kuweka mikakati ya kutoa fidia na haki za kutokana na dhuluma za kihistoria. Tamasha hilo,…
Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam iko mbioni kukamilisha jengo la ghorofa tano la shule ya kisasa ya Olympio ambalo linatarajiwa kuongeza udahili wa wanafunzi wa shule ya awali…
Sekta ya nishati inasalia kuwa muhimu nchini Angola ikichukua karibu asilimia 75 ya pato la serikali
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: MACHIMBO YA BIASHARA....OKTOBA 03, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu
🔴KUMEKUCHA: ...OKTOBA 03, 2025
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 3, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu
Waandamanaji katika maeneo mbalimbali duniani wamelaani hatua ya Israel kuzuia msafara wa meli uliokuwa umebeba misaada ya kibinadamu kuipeleka Gaza, wakitoa wito kwa serikali ya Tel Aviv kuwekewa vikwazo.
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameionya Marekani kuhusu uwezekano wa kuongezeka kwa mzozo kati ya Moscow na Kyiv endapo Marekani itaikabidhi Ukraine makombora ya masafa marefu aina ya Tomahawk.
Zaidi ya safari 17 za ndege zimefutwa katika uwanja wa ndege wa Munich, Ujerumani, kufuatia kuonekana kwa droni katika anga ya uwanja huo.
#KIPIMAJOTO: Kuharibu Miundombinu ya Umma kutokana na huduma mbovu. Je, ni suluhisho la tatizo?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 03, 2025
Wanaume wawili wa jamii ya Kiyahudi wamefariki dunia huku wengine watatu wakilazwa hospitalini wakiwa na majeraha mabaya kufuatia shambulio la gari na kisu lililotokea mjini Manchester, Uingereza.
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu