🔴KIPIMAJOTO: ILANI YA CCM 2020-2025 JE,IMETEKELEZWA IPASAVYO KUJENGA IMANI KWA ILANI YA 2025-2030, OKTOBA 03, 2025
🔴KIPIMAJOTO: ILANI YA CCM 2020-2025 JE,IMETEKELEZWA IPASAVYO KUJENGA IMANI KWA ILANI YA 2025-2030, OKTOBA 03, 2025
🔴KIPIMAJOTO: ILANI YA CCM 2020-2025 JE,IMETEKELEZWA IPASAVYO KUJENGA IMANI KWA ILANI YA 2025-2030, OKTOBA 03, 2025
Tanzania na Kenya zimeondoa vikwazo vinne vya kibiashara visivyo vya kiushuru kati ya vikwazo 14 vilivyojadiliwa katika mkutano wa tisa wa Kamati ya Pamoja ya Biashara baina ya nchi hizo…
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na taasisi ya Heart Team Afrika (HTAF) wameandaa mashindano ya uandishi wa insha kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI OKTOBA 03 , 2025 - KAMPENI ZA UCHAGUZI ZASHIKA KASI MIKOA MBALIMBALI
#HABAI: Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendelea kupeleka pembejeo za mbolea ya ruzuku kwa wakulima wa Wilaya ya Hanang, Mkoa…
#HABARI: Mashabiki na wanachama wa Simba kwa sasa wana hamu ya kuona klabu yao, ikimtangaza kocha mpya kabla ya wiki hii kumalizika, ambapo mpaka sasa Kocha Mbulgaria kutoka Gaborone United…
Wakati Tanzania ikielekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, mitandao ya kijamii imekuwa kitovu cha kampeni na mijadala ya kisiasa. Je, kura zitaamuliwa majukwaani, au kwa "like", "share" na mijadala ya mtandaoni?
#HABARI: Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) kimesaini makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Kuimarisha Uwajibikaji nchini (WAJIBU), kwa lengo la kufanya utafiti utakaobainisha changamoto…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz ametoa wito wa uwepo wa mwanzo mpya kwa Ujerumani katika hotuba yake aliyoitoa leo, taifa hilo linapoadhimisha miaka 35 tangu kuungana kwa Ujerumani ya Mashariki…
#HABARI: Hali ya majonzi imetanda katika Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro baada ya mwanamke mmoja mwenye umri wa takriban miaka 36 kufariki dunia usiku akidaiwa kuwa…
Tarehe 3 Oktoba, Ujerumani huadhimisha kuungana tena kwa pande za Mashariki na Magharibi. Lakini iliwezekanaje? Sherehe hufanyikaje? Na Wajerumani wanasemaje leo kuhusu hilo? Tunakuletea majibu.
Israel imewarejesha makwao wanaharakati wanne raia wa Italia ambao ni miongoni mwa mamia ya wanaharakati inaowashikilia, waliokuwa kwenye boti za misaada kuelekea katika Ukanda wa Gaza.
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amesema yuko tayari kusikiliza na kutafuta suluhisho la matatizo yanayokikabili kisiwa hicho. Ameyasema hayo Ijumaa 03.10.2025 katika hotuba yake kwa raia.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Geita imewataka viongozi wa dini nchini kuweka kipaumbele katika kutoa elimu na mahubiri yenye kukemea rushwa kwa waumini wao. Hayo yamesemwa…
Uingereza imemteua Sarah Mullally kuwa Askofu Mkuu mpya wa Cantebury Ijumaa. Kuteuliwa kwake kunamfanya mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Kanisa la Anglikana nchini Uingereza katika kipindi cha miaka takriban…
Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula, WFP, limetangaza kuwa lina mpango wa kupunguza msaada wa chakula kwa maelfu ya watu nchini Somalia ifikapo mwezi Novemba mwaka huu.
Serikali ya Israel imewarejesha nyumbani wanaharakati wanne raia wa Italia, ikiwa ni hatua ya kwanza inayowalenga mamia ya wanaharakati waliokamatwa.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amewataka Wajerumani kushikamana na kuanza upya. Ameyasema hayo wakati wa maadhimisho ya miaka 35 tangu zilizokuwa Ujerumani Mashariki na Magharibi zilipoungana na kuwa taifa moja.
Mamilioni ya watu nchini Somalia wanakabiliwa na baa la njaa wakati huu mashirika ya Kimataifa yakipunguza fedha za msaada kuyasaidia mashirika kama WFP kuendelea kutoa msaada. Imechapishwa: 03/10/2025 – 17:44…
Katika video ya moja kwa moja iliyotumwa siku ya Ijumaa, Andry Rajoelina alidai vijana waandamanaji ‘wametumiwa kuchochea mapinduzi. Imechapishwa: 03/10/2025 – 17:33 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara…
Ndani ya muda mfupi kuanzia sasa, Simba itamtambulisha Dimitar Pantev kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo akirithi mikoba iliyoachwa wazi na Fadlu Davids aliyetimkia Raja Casablanca ya Morocco.
Ujerumani Magharibi na Mashariki bado zinatofautiana kwa mambo mengi. Hali hiyo pia inawahusu vijana waliokulia katika Ujerumani iliyoungana. Ni nini chanzo chake? Mjumbe mpya wa Mashariki anajaribu kufafanua.
Kama mteja wa #AzamTV tunazidi kusogea karibu nawe kwa burudani na huduma rafiki zenye kukurahisishia maisha, kwa wewe unayetumia #AzamMaxApp hii hapa namna ya kuunganisha App na kisimbuzi chako cha…
#KIPIMAJOTO: ILANI YA CCM 2020-2025 JE,IMETEKELEZWA IPASAVYO KUJENGA IMANI KWA ILANI YA 2025-2030.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SHINYANGA: OKTOBA 03, 2025 - WAJASIRIAMALI WAOMBA SOKO LA MATUNDA
Sarah Mullally ameteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Canterbury, mwanamke wa kwanza kuwa katika nafasi hiyo katika historia ya Kanisa la Angilikana duniani. Imechapishwa: 03/10/2025 – 16:58 Dakika 1 Wakati wa…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
#HABARI: Mama mwenye watoto 7 na wajukuu 4 aliyefahamika kwa jina la Majabu Sufiani Mohamedi (52) Mkazi wa Kijiji cha Kwamgwe wilayani Handeni mkoani Tanga, amedaiwa kuuawa na mumewe wakiwa…
#HABARI: Issa Ramadhani (35), mkazi wa Mtaa wa Mnyakongo, Kata ya Nkuhungu, jijini Dodoma, anatuhumiwa kubaka na kuwalawiti watoto watatu wenye umri chini ya miaka mitatu, na kuwasababishia majeraha makubwa…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi uboreshaji wa barabara katika wilaya za Karatu na Monduli, mkoani Arusha,…
Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa daraja la Msangano lenye thamani ya shilingi bilioni tatu katika barabara ya Chindi–Msangano, Wilaya ya Momba, Songwe. Daraja hilo litaunganisha…
Shirika la Kuendeleza Kilimo Hai nchini (Toam) na Wizara ya Kilimo wanatarajia kufanya mkutano wa nne wa kitaifa wa kilimo ikolojia hai, utakaoambatana na tafiti mbalimbali za sekta hiyo ambazo…
Wapalestina wasiopungua 57 wameuawa kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na jeshi la Israel katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza kwa siku ya Alhamisi 02.10.2025 wakati Israel ikiendelea na mashambulizi makali.
Urusi imefanya mashambulizi makubwa dhidi ya miundombinu ya nishati ya Ukraine katika maneo kadhaa usiku wa kuamkia Ijumaa 03.10.2025. Hayo ni kwa mujibu wa Wizara ya miundombinu ya Ukraine.
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Zainab Khamis Shomari, amesema kuwa uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu utakuwa mwepesi kwa chama hicho…
Umoja wa Mataifa umesema raia wasiopungua 91 waliuawa nchini Sudan katika kipindi cha siku kumi mwezi uliopita katika mji wa el-Fasher uliozingirwa na wapiganaji wa kikosi cha RSF.
Yasmin Abdi Farah aliteuliwa kuwa rubani kamili mwaka 2022, na kuwa mwanamke wa kwanza wa Kisomali kuwa rubani katika kipindi cha miaka 35.
Jeshi la polisi nchini Ujerumani limesema safari za ndege katika Uwanja wa ndege wa Munich zinaendelea baada ya kusimamishwa kwa muda Alhamisi jioni kutokana na kuonekana kwa droni katika anga…
#HABARI: Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema ikiwa atapewa ridhaa ya kuongoza katika awamu ijayo atahakikisha kiwanja cha ndege cha Wasso kitafanyiwa ukarabati ili…
🔴MEZA HURU: UREMBO NA JAMII...OKTOBA 03, 2025
Makamu wa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, Modest Katonto, ameiasa jamii kushirikiana na viongozi wa dini katika kukabiliana na mmomonyoko wa maadili unaoendea kutokana na mabadiliko ya sayansi…
Wakandarasi mkoani Katavi wametakiwa kuachana na visingizio na badala yake kuelekeza nguvu katika kuhakikisha miradi ya ujenzi wa meli kwenye Ziwa Tanganyika inakamilika kwa wakati. Viongozi wa mkoa wamesisitiza kuwa…
Kupitia programu ya mafunzo ya Kituo cha Biashara cha Kimataifa (ITC), Kenya imekuwa makao ya mojawapo ya idadi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani, ikiwa na takriban wakimbizi 300,000 wanaoishi katika…
Mratibu Mkazi na wa Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan, Denise Brown, ametoa onyo kali kuhusu kuzorota kwa hali nchini humo, akieleza kuwa hali imekuwa “janga la kibinadamu.”
Kufuatia kifo cha Jane Goodall mwanamazingira, mtaalamu wa sokwe na nyani, halikadhalika mjumbe wa amani kilichotokea Jumatano Oktoba 1 leo tunakurejesha mwaka 2002 alipoteuliwa kuwa mjumbe wa amani, halikadhalika salamu…
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza imefikia hatua ya kutisha, huku hospitali zikigeuzwa kuwa uwanja wa mapambano, kukizidiwa na wagonjwa na misaada kukwama. Maafisa…
Mashirika ya Umoja wa Mataifa, lile la Mpango wa Maendeleo, (UNDP) na la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) kwa ushirikiano na viongozi wa sheria nchini Kenya hadi…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, amepokea kwa moyo wa faraja na ametiwa moyo na tamko lililotolewa na wanamgambo wa Kipalestina wa Hamas kwamba wako tayari kuachilia mateka…