🔴 #ITVMAGAZETINI: CHANZO CHA MVI MAPEMA HIKI HAPA- 28 DISEMBA 2025
🔴 #ITVMAGAZETINI: CHANZO CHA MVI MAPEMA HIKI HAPA- 28 DISEMBA 2025
🔴 #ITVMAGAZETINI: CHANZO CHA MVI MAPEMA HIKI HAPA- 28 DISEMBA 2025
Mbolea ya ruzuku inayotolewa na Serikali. Je, inawafikia wakulima kwa wakati kuendana na msimu wa kilimo ?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DISEMBA 28, 2025
Aaaah Binti Msumi mwamba bwana kapindisha 🙌😅
Tony amemchukua mtoto wake...Ila Nadia 😅
Likizo ya kazi kwa waajiriwa ni nafasi nzuri ya kupumzika na kujipanga upya kwa aijli ya kurejea na nguvu, ari, hamasa na mtazamo bora zaidi wa kufanya kazi huku wengi…
Wakazi wa manispaa ya Mtwara Mikindani wamesema ubovu wa miundombinu ya barabara unawaathiri katika shughuli zao za kila siku huku wakiziomba mamlaka ziwatatulie tatizo hilo. #AzamTVUpdates Mhariri | @moseskwindi
Bei za baadhi ya bidhaa za vyakula katika soko la Mawenzi, mkoani Morogoro zimepanda kwa zaidi ya asilimia 50 hali iliyochangiwa na sababu mbalimbali kama inavyoeleza taarifa ya Theresia Mwanga.…
Kuna kitu Chioma hakijui? 😅
🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 27, 2025 - NAMTUMBO YAPOKEA SHEHENA YA MBOLEA ZA RUZUKU
🔴HAPA NA PALE KUTOKA NJOMBE - DISEMBA 27, 2025
#HABARI: Mwili wa Afisa Usafirishaji kupitia pikipiki, Hamisi Ramadhan (18) mkazi wa Kata ya Isevya Wilaya ya Tabora umekutwa umetelekezwa kwenye mtaro wa maji katika mtaa na Kata ya Malolo…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA JIONI - 27/12/2025
Diwani wa Kata ya Chanika Wilaya ya Handeni Mjini, Mkoani Tanga, Dkt. Habibu Mbota, amepiga marufuku tabia ya kuweka viroba vya taka barabarani, akieleza kuwa kitendo hicho kinachafua mazingira na…
Leo biashara nzuri kwa Side Boy ila anaipata pata kutoka kwa Dotto Magari 😅
Kampuni ya mabasi ya safirishaji wa abiria ya Esther Luxry coach imewataka watanzania kutohusisha kampuni hiyo na masuala ya kisiasa,hali iliyosababisha kampuni kupata hasara kubwa ambapo mabasi sita na ofisi…
Kadri athari za mabadiliko ya tabianchi zinavyozidi kuongezeka kote duniani, dunia imeanza kutambua kuwa mabadiliko ya tabianchi siyo tu janga la kimazingira, bali pia ni mgogoro wa haki za binadamu.
Mwandishi wa vitabu na mlezi wa masuala ya kijamii, Eva Mrema, amesema kuwa watoto huwa na maswali mengi yanayohitaji majibu sahihi kutoka kwa wazazi au walezi wao. Ameeleza kuwa pale…
Mjomba haoni watu washavurugwa 😅
Ukiambiwa mambo ya wali nyama vitani ndio haya...
Pazia la michuano ya Mapinduzi Cup 2026 inafunguliwa Jumapili hii Disemba 28 katika dimba la New Amaan Complex. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii mbashara kupitia AzamSports3HD. #MapinduziCup2026…
Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewapongeza viongozi wote katika Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ambao wanajitolea kwa hali na mali kuisaidia Jamii kwa matendo na kuigusa…
Baada ya kumtandika bondia Stanley Eribo kutokea nchini Nigeria, unatamani kumshukudia bondia @hassanmwakinyojr akizichapa na bondia gani ulingoni ?
#HABARI:Askofu Mkuu wa Kanisa la Biblia Tanzania, Daktari Stanslaus Komba amewataka wazazi na walezi kuzichunga familia zao na kutoiachia mitandao kulea watoto wao ili kujenga kizazi chenye maarifa ya kujituma,…
Kadri mwaka unavyokaribia kuisha na kuanza mwaka mpya, wataalamu wa masuala ya afya ya akili wanahimiza jamii kutumia kipindi hiki kama fursa ya kujitathmini. Akizungumza kuhusu umuhimu wa mchakato huo,…
Hifadhi za wanyama pori ni mojawapo ya sehemu ambazo mtu anaweza kwenda kujifunza na kufurahia mambo mengi yanayopatikana humo ikijumuisha wanyama pori ambao mara nyingi wanaonekana kupitia runinga. Msikilize Afisa…
🔴UCHAMBUZI MASHINDANO YA AFCON 2025
"Mmeonyesha uwezo mkubwa sana juzi...mlitupa nguvu, sasa kuhakikisha kwamba watanzania wako na nyinyi, juzi baada ya mechi na jana nimepokea simu za Watanzania...na walionipigia simu ni watu ninaowaamini, wameniambia nenda…
Mambo yanazidi kuwa magumu lakini Hashmet hana hata habari na yanayoendelea. Aziza anajaribu kutoroka na baba yake anamnyooshea bastola. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
🔴#KUMEKUCHA:MIRADI YA MAENDELEO MTAA WA MWENGE ...DISEMBA 27, 2025
Usikose kutazama tamthilia ya Ummy leo saa 1:00 usiku kupitia #AzamTWO
🔴 #MAGAZETI: MABADILIKO JESHI LA POLISI YAIBUA MAZITO...DISEMBA 27, 2025
Usikose kutazama #NomaSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DISEMBA 27, 2025
Nawanda sasa kazi anaitenda vyema 😅
Muda wote huwa wanaona wanacheleweshwa utasema wanaenda sehemu 😅
itvtz #HABARI: Serikali imeagiza kufanyika kwa uchunguzi wa kina katika Hospitali ya Temeke kufuatia kubainika kwa utendaji usioridhisha na vitendo vya rushwa, uzembe na ukosefu wa maadili miongoni mwa baadhi…
Wahenga husema ‘Mungu hamtupi mjaa wake’ usemi huu unajihidhihirisha kwa Verian Mlewa (75) mkazi wa Kata ya Mtumba, mkoani Dodoma aliyetaka kuuza nyumba yake kwa shilingi 500,000 ili kupata matibabu…
Guinea inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu siku ya Jumapili, Desemba 27 mwaka huu. Nchi hiyo inatarajia kurejesha utawala wa kiraia baada ya mapinduzi yaliyofanyika mwaka 2021 wanajeshi walipovamia Ikulu na kumuondoa…
#HABARI: Nyumba 46 zimeanguka katika kata ya lwiche Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa kutokana Mvua iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali Disemba 26, 2025 na kusababisha watu watatu kujeruhiwa na wengine…
Vijana mkoani Singida waja na njia mpya ya 'kuku choma damdam' kushawishi uchangiaji damu kuokoa maisha hususan kwa vijana, ambapo wameunganisha utamaduni wa kula nyama na zoezi la kuchangia damu.…
Wakati wananchi wakisherehekea sikukuu ya kufungua zawadi (Boxing Day) ambayo mara nyingi huenda sambamba na kutoa na kupokea zawadi, ujumbe wa upendo umetolewa na viongozi wa dini huku baadhi ya…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 26/12/2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 26, 2025 - MVUA NA UPEPO MKALI VYAANGUSHA NYUMBA 46
🔴HAPA NA PALE KUTOKA LINDI - DISEMBA 26, 2025
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa Jeshi la…
Ni siku ya kupokea na kufungua zawadi kutoka kwa tuwapendao na tunaofurahi nao kila siku 🎁 Na sisi Makachero, tupo tayari kupokea mazawadi hayo nasi tutatoa kwa washkaji zetu wanaokuwa…