Likizo ya kazi kwa waajiriwa ni nafasi nzuri ya kupumzika na kujipanga upya kwa aijli ya kurejea na nguvu, ari, hamasa na mtazamo bora zaidi wa kufanya kazi huku wengi wa wanaopewa likizo wakizitumia kulala na kustarehe lakini kwa Daktari Bingwa Bobezi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Frank Muhamba hali ni tofauti.
Ungana na Benson Eustace kufahamu kwa kina.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi