Ni sahihi mzazi kumchagulia mtoto mchumba wa kuwa naye?
Ni sahihi mzazi kumchagulia mtoto mchumba wa kuwa naye? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 . Hosted by @missloloh_ @djfantastic255…
Ni sahihi mzazi kumchagulia mtoto mchumba wa kuwa naye? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 . Hosted by @missloloh_ @djfantastic255…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 17/12/2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA DESEMBA 17, 2025 -MAJI BADO CHANGAMOTO DAR ES SALAAM
Taka ni Taka haijalishi imetoka kwenye mitindo, fashion au urembo, ikishakuwa taka, basi ni taka tu Cha muhimu ni kataa taka. Tunashona, tunadarizi, tunanunua, tunaagiza, tunavaa na tunapendeza yote ni…
Serikali ya Tanzania imewataka Watanzania wote wanaosafiri kwenda Marekani kuzingatia kikamilifu masharti ya viza zao, kufuatia uamuzi wa Marekani kuiweka Tanzania kwenye orodha ya nchi zenye vikwazo visivyokamilika (partial restrictions)…
#HABARI: Wananchi zaidi ya 1062 wa Kijiji cha Makunda, wilayani Iramba, mkoani Singida, walioomba kupatiwa hati miliki za kimila zaidi ya miaka mitatu iliyopita, hatimaye wamepatiwa hati hizo kupitia mpango…
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, Ndg. Juma Hokororo, amesema Serikali imetoa jumla ya shilingi milioni 137 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya elimu katika…
#HABARI: Mwanamke mmoja Mzee anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 70, mkazi wa Mtaa wa Mbirani, Kata ya Kidongo Chekundu, Manispaa ya Tabora, amenusurika kushambuliwa na wananchi wenye hasira kali,…
Unamjua Jully Taxi? Huyu hapa staa kutoka Mwanza ambaye alitamba kwa sauti na kipaji adhwimu cha uigizaji. Alama zake ni nyingi pengine SARADINI unaikumbuka zaidi. Tuko naye usiku wa leo…
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewataka Watanzania wote wanaosafiri kwenda Marekani kuzingatia kikamilifu masharti ya viza walizopewa, ikieleza kuwa kutofuata masharti hayo ndicho chanzo kikuu cha Tanzania kuwekwa…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MANYARA - DESEMBA 17, 2025 -
Sehemu ya tamthilia zkitakazoruka wiki hii kupitia kisimbuzi chako cha AzamTV. Kwa kifurushi cha shilingi 19,000 unatazama tamthilia hizi. #AzamTVBurudaniKwaWote
Wasaliti hawajui wamesogelewa na moto mkali. Binti Tekfur, iwe ndoto jamani. Usikose kutazama #OTTOMAN leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamTWO
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kakonko kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Alan Mvano amesema atapambania huduma za elimu, afya, maji na miundombinu ya Barabara ili ziweze kupatikana katika vijiji vyote…
6 OF US leo kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO, chaneli namba 102 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTWO
Usipange kukosa uhondo wa UMMY leo kuanzia saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO Stori kuhusu BASMA kupotea au kutekwa bado inaendelea.
#HABARI: Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umesababisha vifo vya watoto wawili wa familia moja pamoja na majeruhi wawili waliokuwa ndani ya nyumba ya makazi Mtaaa wa Katanini, Kata ya Karanga,…
Usikose kutazama THE PRICE leo saa 3:00 USIKU. Saraha anamwambia Ibrahim amechelewa kuhusu matibabu ya mtoto. Huu msiba ni wa nani? 🥹
#MEZAHURU "...kama wewe upo kwenye chanzo na hicho chanzo kinatumika kinahudumia watu una jukumu la kukitunza, kwa hiyo ushauri wangu ni wananchi waweze kushirikiana na bodi zetu za maji za…
#MEZAHURU"....hatua amezieleza Mheshimiwa Waziri na tumeshaanza kuzitekeleza pamoja na ujenzi wa miundombinu kwa mfano tunazungumza hili bwawa la Kidunda alilosema lina uwezo mkubwa wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi....Bwawa la…
#HABARI: Watahiniwa 4,414 wa tasnia za Uuguzi na Ukunga nchini, wanaotarajia kufanya mtihani wa usajili na leseni wa Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC), wamehasishwa kujiepusha na tabia za udanganyifu…
Mkazi wa Mbezi mwisho naviunga vyake Mabalozi wa AzamTV wanakukaribisha Magufuli Bus Stand upate huduma ya visimbuzi na nyinginezo #AzamTVBurudaniKwaWote
#MEZAHURU“….Wizara ya Maji ina jukumu la kutoa huduma ya maji kwa Watanzania waishio mijini na vijijini, lakini kwa eneo hili la Dar es Salaam na eneo la Pwani, tumeipa ama…
#HABARI: Kuelekea mchezo wa Derby ya mashabiki wa Simba SC na Yanga SC, Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw. Edward Mpogolo amewakabidhi pesa taslimu kiasi cha shilingi milioni tano, umoja…
“…na wale wanaotukana tukana wa yale mataifa wanaotukana mimi niwaambie tunasoma wanachokiandika, tunasoma wanachotukana na yule aliyehamasisha maandamano amekiri kwa mdomo wake kwamba kuna taifa moja limetusaidia…”-Waziri Mkuu – Dkt.Mwigulu…
Katika harakati za kuuondoa Mkoa wa Rukwa katika orodha ya mikoa inayoongoza kwa udumavu kwa watoto chini ya umri wa miaka mitano nchini, wakulima wilayani Kalambo wametakiwa kuzingatia usalama wa…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema ofisi hiyo inaandaa mfumo wa kiteknolojia utakaowawezesha vijana kuwasilisha changamoto zao moja kwa moja na kupatiwa ufumbuzi kwa…
Watu watano wamefariki dunia na wengine tisa wameruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana, Desemba 16, katika eneo la Karasha mkoani Songwe, kwenye barabara kuu inayounganisha Mbeya na Tunduma. Taarifa…
🔴#MEZAHURU:MAJI .. DESEMBA 17, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....DESEMBA 17, 2025
“….wanaoathirika ni zaidi ya wanaowalenga….watu ambao wao wanaamini wanawachukia madhara yanayotukuta ni zaidi ya wanaowachukia….hakuna tunda linaloota bila mbegu, mbegu ya vurugu za tarehe 29 na vurugu walizotaka zifanyike tarehe…
Bado siku moja kufika Desemba 18, siku ambayo tamthilia ya Mrs Garcia itaanza. #MrsGarcia #AzamONE
Adam anajishauri kumwambia Irene ukweli anaumwa nini 🙌 #NomaSeries
Ibra mkubwa akili zimerudi 🥶
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI-17/12/2025
DROO POOLU TABLE: Tazama droo ya upangaji wa mechi za Wakali wa Pool msimu wa pili ambayo ipo LIVE kupitia cheneli ya #AzamSports3HD muda huu. Mjomba Mrisho Mpoto naye yupo.…
Wakati Tanzania ikijiandaa kuwa mwenyeji wa tuzo za World travel awards mwaka 2026. Tanzania imekuwa king’ara katika tuzo hizo zilizofanyika desemba mwaka huu kwenye falme za Bahrain. Ambapo Tanzania ilishinda…
#PichaYangSeries RADHIA @nana_dollz Binti aliyekua pasina malezi ya baba na mama..anachukuliwa kituo cha kulelea watoto na kupelekwa nje ya nchi ambako anakulia na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo ujasusi unaombatana na…
Kabla ya kujiunga na vikundi vya fedha, msikilize Mshauri wa Uchumi na Fedha, Janeth Soka akifafanua vitu muhimu vya kuzingatia. #AzamTVUpdates ✍Juliana James Mhariri | John Mbalamwezi
VIWANJANI: “Yeye anabeba picha ile ya soka la Tanzania” Mchambuzi wa soka @michaelhyera_ anasema uzoefu alionao nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, utawasaidia wachezaji vijana kuweza kufanya vile inatakiwa katika…
TUZO YA JAFO YALENGA KUINUA VIWANGO VYA UTENDAJI KWA WENYEVITI WA VIJIJI KISARAWE Na.Mwandishi Wetu-Kisarawe Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo, ametangaza kuanza kutolewa kwa Tuzo ya Jafo…
Rukwa ni miongoni mwa mikoa inayoongoza nchini kwa udumavu wa watoto chini ya umri wa miaka mitano. Unashauri nini kifanyike kukabiliana na udumavu kwa watoto? Tuandikie maoni yako na tutayasoma…
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @akingamkono anasema miongoni mwa mbinu ambazo Kocha Miguel Gamondi ataingianazo kwenye fainali za #AFCON2025 ni pamoja na kuhakikisha timu yake hairuhusu kufungwa magoli mengi ili kupata…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....DESEMBA 17, 2025
Maega amsikia Bisura akipanga mipango ya kuzinasa hazina...Mzee kwa dharau anaondoka zake huku akijifanya hajasikia chochote, Bisura anadhani anaonewa wivu wa kimapenzi 😅 Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila…
Hivi ni vipande vya video vilivyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Urusi kati ya Desemba 9 na 16 vikionesha maeneo kadhaa ya mji wa Guliaipole, kitovu muhimu cha usafirishaji katika…
#HABARI: Serikali ipo katika utekelezaji wa hatua ya awali ya manunuzi kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa barabara ya lami ya harakishi (express way) yenye urefu wa kilometa 210…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....DESEMBA 17, 2025
"Unapokuwa na maji kidogo, kazi kubwa ni kuhakikisha haya maji hayapotei hovyo. Tumepewa maelekezo cha kwanza tuhakikishe tunafanya kazi mivujo yote inayopatikana kwenye maeneo yetu kusudi hiki kidogo kinachopatikana kiweze…
#HABARI: Godfrey Nyange Kaburu, Makamu Mwenyekiti wa zamani wa Simba, mchakato wa mabadiliko wa uendeshaji wa klabu ulichelewa kwa kuwa kuna watu walikwamisha lakini kwa sasa anaamini kila kitu kipo…