“Kuna watu wanatumia masanduku ya posta na hayajalipiwa na tayari wameshapewa watu wengine
"Kuna watu wanatumia masanduku ya posta na hayajalipiwa na tayari wameshapewa watu wengine. Nyaraka zao za Siri zinakwenda kwa watu wengine. Na utakwenda Sanduku la posta utaingiza fungua haitaingia. Utakwenda…