Uamuzi mbovu Ligi ya Zanzibar chanzo ni pesa
WAKATI baadhi ya makocha wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), wakitoa malalamiko kwa baadhi ya waamuzi kutotenda haki huku wakiziomba mamlaka kuwachukulia hatua, Chama cha Waamuzi Zanzibar kimesema malipo…