Msingi endelevu, na jumuishi wa wanasiasa wanawake nchini
Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na msukumo mkubwa wa kitaifa na kimataifa wa...
Droni ya upelelezi ya Iran yakamilisha kazi yake kwa mafanikio katika maji ya kimataifa
Droni ya doria na ya intelijinsia ya vikosi vya ulinzi vya Iran imefanikiwa kukamilisha kwa mafanikio operesheni yake katika maji ya kimataifa huku ripoti zikiarifu kuwa askari wa Marekani wameitungua…
NBC Premier League leo Jumatano
NBC Premier League leo Jumatano Saa 10:00 jioni, Fountain Gate watakuwa uwanja wa nyumbani Tanzanite Kwaraa wakiwakaribisha Namungo FC. Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000…
Ripoti ya kila mwaka ya Human Rights Watch: Idadi ya mashahidi waliouawa Gaza inazidi makadirio rasmi
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limethibitisha katika ripoti yake ya kila mwaka iliyotolewa leo Jumatano kwamba katika mwaka mzima wa 2025 Israel ilifanya uhalifu wa…
Ronaldo agoma akidai timu yake inanyanyaswa Saudi Arabia
Nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo ameanzisha mgomo wa kuichezea Al Nassr huku ikiripotiwa kuwa...
Ghannouchi akataa kukata rufaa ya kifungo cha miaka 20 jela kutokana na “ukosefu wa dhamana ya haki”
Rached Ghannouchi, mkuu wa harakati ya Ennahda na spika wa zamani wa Bunge la Tunisia, alitangaza jana Jumanne kwamba hatakata rufaa mahakamani dhidi ya hukumu ya kifungo cha miaka 20…
Duru za Kimataifa: Israel inatumia mrengo wa kulia wa Ulaya kupiga vita Uislamu
Vyombo vya habari vya kimataifa viimefichua uhusiano unaokua kati ya utawala haramu wa Israel na mrengo wa kulia barani Ulaya, hasa katika kupiga vita Uislamu na Waislamu katika nchi za…
Abiy Ahmed: Ethiopia kuzindua chuo kikuu cha pili duniani cha AI mwaka 2027
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, jana alieleza kuwa Chuo Kikuu cha pili duniani kilichojikita katika akili mnemba (AI) kinatarajiwa kuzinduliwa nchini Ethiopia mwaka kesho wa 2027.
Muthomi Njuki: Shaghalabaghala huku Gavana wa Tharaka Nithi akihepa kuhojiwa kuhusu pesa za umma
Gavana Muthomi Njuki alikanusha madai ya kutoroka uwajibikaji huku baada ya hali ya kuchanganyikiwa kujiri katika Kamati ya Seneti kuhusu matumizi ya pesa za umma.
Katiba Mpya; Je itakuwa ya kwanza ya Wananchi?
Katika makala hii, ninaichambua Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ambayo...
Mashariki mwa DRC: Serikali ya Kongo na AFC/M23 wafafanua mkataba wa amani uliosainiwa Doha
Hii ni hatua mpya kwa mchakato wa amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Serikali ya Kongo na kundi lenye silaha la AFC/M23 walisaini hati mpya Jumatatu, Februari…
Wanne mbaroni wakidaiwa kuiba gari la wagonjwa Mara
Watuhumiwa hao wakazi wa Tarime mkoani Mara na jijini Arusha wanatuhumiwa kuiba gari hilo mali...
Saif Al-Islam Gaddafi: Mwanawe Muammar Gaddafi auawa karibu na mpaka na Algeria, dadake athibitisha
Saif al-Islam Gaddafi, mwana wa mtawala wa zamani wa Libya, amefariki chini ya hali zenye utata, na kuacha urithi mgumu katika siasa za Libya tangu kifo cha babake.
Ally Star kuzikwa leo Kilosa
Aliyekuwa mwimbaji nyota wa taarabu, Ally Star, anatarajiwa kuzikwa leo Jumatano Februari 4...
Sababu Alikiba kuvuta msanii wa Rwanda kwenye lebo yake
Mitandaoni kumekuwa na maswali mengi kwa nini msanii Alikiba amesaini msanii wa kike kutoka...
DRC: Raia wanne wauawa katika shambulio kuvizia la waasi wa ADF Mulolya
Raia wanne wameuawa na pikipiki sita kuchomwa moto katika shambulio lililohusishwa na waasi wa ADF siku ya Jumanne, Februari 3, katika kijiji cha Mulolya, kilichopo kilomita kumi magharibi mwa wilaya…
Mfanyabiashara wa Nakuru aliyelia baada ya kukosa wateja hotelini mwake asema alipoteza KSh 2.3m
Mwanasiasa maarufu wa Nakuru aliyejirekodi akilia kwa ukosefu wa wateja alishiriki kwamba aliingiza KSh 2.3 milioni katika biashara yake kabla ya kuporomoka.
Jamaa akutwa amekufa baada ya matokeo ya DNA kuonyesha watoto wote 4 kutoka ndoa ya miaka 9 si wake
Mwanamume kwa jina Benjamin Offi alipatikana amekufa siku chache baada ya kugundua kuwa watoto wote wanne aliowalea katika ndoa yake ya miaka tisa si wake.
Marekani: Ujumbe kadhaa wa Kiafrika mjini Washington kwa ajili ya mkutano kuhusu madini muhimu
Utawala wa Marekani unatarajia kupokea takriban wawkilishi wa nchi zaidi ya arobaini mjini Washington leo Jumatano, Februari 4, 2026, kwa ajili ya mkutano kuhusu madini muhimu. Mkutano huo, ulioandaliwa na…
Nairobi: Wanaume 2 wafariki baada ya polisi kuwapiga, kuwalazimisha kula mahindi na pilipili mbichi
Wakazi mtaani Kahawa West walipandwa na hasira kufuatia vifo vya James Muraga Maina na Daniel Nudhu Njoki wanaodaiwa kukutana na ukatili wa polisi.
Ukraine, Urusi, na Marekani wanakutana katika duru mpya ya mazungumzo Abu Dhabi
Wajumbe kutoka Ukraine, Urusi, na Marekani wamenza tena mazungumzo huko Abu Dhabi kwa duru ya pili ya mazungumzo yenye lengo la kutafuta suluhisho la vita nchini Ukraine. Baada ya duru…
Mjakazi Kutoka Uganda akikiri kumuua bosi wake raia wa Syria ambaye ni mwigizaji mkongwe
Mjakazi raia wa Uganda, Vicky Ajok, anadaiwa kukiri kumuua mwigizaji wa Kisiria Huda Shaarawi. Mwigizaji huyo alipatikana amefariki dunia huko Damascus.
Kifo cha Saif al-Islam Gaddafi: Libya wanamzungumziaje, alikuwa nani katika kisiasa za Libya
Saif al-Islam Gaddafi, mtotoa mdogo wa Muammar al-Gaddafi na mgombea katika uchaguzi wa rais wa 2021, ambao hatimaye haukufanyika, ameuawa nyumbani kwake Zintan, jiji lililoko kaskazini magharibi mwa Libya, siku…
Magazeti ya Kenya: ODM kimya kimya yamkabidhi Oburu Oginga nafasi ya hayati Raila bila kura ya NDC
ODM kilichukua hatua ya kubadilisha uongozi wake mkuu, na kuzua wasiwasi wa ndani kuhusu utaratibu, uhalali na umoja wa chama kabla ya maamuzi muhimu ya kisiasa.
Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 4, 2026 kwenye #Moorning Trumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 4, 2026 kwenye #Moorning Trumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Libya: Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa kiongozi wa zamani wa Libya, amefariki
Saif al-Islam Gaddafi, mmoja wa watoto wa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi, ambaye kwa muda mrefu alichukuliwa kuwa mrithi wake na alikuwa akitafutwa na Mahakama ya Kimataifa ya…
Pakua Programu
NHK WORLD-JAPAN ni huduma ya kimataifa ya shirika la umma la utangazaji la Japani, NHK. Linatoa taarifa za hivi karibuni kuhusu Japani na bara la Asia kupitia televisheni, redio na…
Roku
Watch NHK WORLD-JAPAN on your Roku. NHK WORLD-JAPAN is the English-language international broadcasting service of NHK, Japan's only public broadcaster. This app provides you with news and a variety of…
NHK WORLD-JAPAN – Programu zilizo kwenye Google Play
Habari na huduma za mahitajiko kutoka nchini Japani.
NHK WORLD-JAPAN App
Download NHK WORLD-JAPAN by NHK (Japan Broadcasting Corporation) on the App Store. See screenshots, ratings and reviews, user tips, and more games like NHK…
Arteta: Fainali ya EFL tumeisubiri kwa miaka
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, amesema kufuzu kwa timu yake kwenye fainali ya Kombe la EFL...
FYATU MFYATUZI: Kama miwaya inakula umeme kwa nini umeme usiile miwaya
Juzi, nilishangaa nusura nife. Si kuna eti utafiti uliofanywa kubaini kwanini umeme unatumika...
Waislamu waadhimisha siku ya kuzaliwa Mwokozi wa Akheri Zamani
Waislamu wa madhehebu ya Shia katiika maeneo mbalimbali ya dunia Leo Jumatano mwezi 15 Shaaban wanaadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam wa Zama, Imam Mahdi AS, Imam wa 12…
NIKWAMBIE MAMA: Wabunge wapya waielewe Serikali
Binadamu wanavutiwa sana na vitu vilivyo tofauti. Kama nguo nzima ikiwa nyeupe lakini ikapata...
Je, usingizi unaweza kuhifadhiwa kwa matumizi ya baadaye?
Utafiti mmoja uliofanyika katika hospitali moja nchini Marekani mwaka 2023 ulibaini kuwa watu waliolala kwa dakika 90 za ziada kwa siku, kwa siku tatu kabla ya kuanza zamu za usiku…
Mawaziri, ma-RC wanavyoibeba ahadi ya uwajibikaji kidigitali
Kwenye mfumo wa uendeshaji wa Serikali, uwajibikaji ni muhimu kwa sababu unalenga kuleta...
Maisha mapya kwa Watanzania waliohamia Marekani
Mashaka, wasiwasi na woga ndio mtindo mpya wa maisha ya Watanzania wanaoishi nchini Marekani...
Marekani, Iran zaelekea kwenye mazungumzo
Iran na Marekani zimethibitisha rasmi kwenda kwenye mazungumzo yanayolenga kuepusha makabiliano ya moja kwa moja kati yao, lakini bado Rais Donald Trump hajaondosha uwezekano wa hatua za kijeshi dhidi ya…
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Liverpool na Man United zapigana vikumbo kwa Wharton
Liverpool yaungana na Manchester United na Real Madrid kumfukuzia Adam Wharton, Manchester United huenda ikawasajili Jean-Philippe Mateta na Sandro Tonali, na je, mlinda lango wa Leeds Illan Meslier analekea Uturuki?
Marekani yasema imerejesha $500m kwa Venezuela
Marekani imerejesha fedha za mauzo ya mwanzo ya mafuta ya Venezuela, ikiwa ni sehemu ya makubaliano baina ya Caracas na Washington yaliyofikiwa mwezi uliopita, baada ya kupinduliwa na kutekwa Rais…
Wahamiaji 15 wafa baada ya ajali ya mashua Ugiriki
Mamlaka nchini Ugiriki zinasema watu 15 wamekufa kufuatia ajali ya kugongana kwa mashua ya walinzi wa pwani ya Ugiriki na ile ya wahamiaji kando ya ufukwe wa Kisiwa cha Chios…
Saif al-Islam Gaddafi auawa
Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa kiume wa aliyekuwa kiongozi wa Libya, Muammar Gaddafi, ameuawa kupitia kile ofisi yake ilichosema ni "tendo la kihalifu na la woga" katika mji wa magharibi…
Marekani yaongeza muda wa AGOA kwa mwaka mmoja
Rais Donald Trump wa Marekani amesaini sheria ya kuongeza muda wa programu ya biashara yenye masharti nafuu kati ya nchi yake na Afrika hadi tarehe 31 Disemba mwaka huu.
Makomando 4 walizima kamera na kumpiga risasi… Maelezo mapya yaibuka kuhusu mauaji ya Saif al-Islam Gaddafi
Timu ya kisiasa ya Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi, imefichua kwamba mauaji yake yamefanywa na watu wanne wasiojulikana waliokuwa na silaha,…
Iran yazindua miradi mitatu ya kimkakati ya teknolojia ya anga za mbali
Iran imezindua rasmi mafanikio matatu ya kimkakati ya ndani ya nchi katika sekta za miundombinu ya anga, mawasiliano na picha za satelaiti katika kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya…
Iran yawaita mabalozi wa Umoja wa Ulaya kulalamikia tuhuma dhidi ya IRGC
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewaita mabalozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya azimio la hivi karibuni la EU linalolenga Jeshi…
Brazil yapima uwezekano wa kumvua Bolsonaro hadhi ya kijeshi
Katika hatua isiyo ya kawaida, mahakama ya kijeshi nchini Brazil imetangaza azma ya kuanzisha uchunguzi utakaomua endapo itapaswa kumvua hadhi ya kijeshi rais wa zamani wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro.