Skip to content
  • Tue. Oct 21st, 2025

LTV TANZANIA

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY

Latest Post

Mashirika ya ndege ya Qatar na Kenya kushirikiana “Itakuwa ni mechi ngumu kwa Yanga…” – @akingamkono akichambua kwa kina mtazamo wake kikosi cha Yanga SC, huku wakijiandaa na mch… Mchambuzi na mdau wa soka Tanzania, Ibrahim Masoud ‘Maestro’, anaeleza jinsi serikali inavyogusa maendeleo ya soka Tanzania hasa… Shinikizo la damu: Kuziba mapengo yanayozidi kuwa mabaya ya matibabu barani Afrika DABI YA MBEYA | Mtazamo wa mchambuzi wa soka Andrew Kingamkono akichambua kwa kina kuelekea mchezo wa leo wa dabi ya Mbeya ya #N…
BBC LIVE SOMA

Mashirika ya ndege ya Qatar na Kenya kushirikiana

October 21, 2025 mjombazecoder
SPORTVTV

“Itakuwa ni mechi ngumu kwa Yanga…” – @akingamkono akichambua kwa kina mtazamo wake kikosi cha Yanga SC, huku wakijiandaa na mch…

October 21, 2025 mjombazecoder
SPORTVTV

Mchambuzi na mdau wa soka Tanzania, Ibrahim Masoud ‘Maestro’, anaeleza jinsi serikali inavyogusa maendeleo ya soka Tanzania hasa…

October 21, 2025 mjombazecoder
BBC LIVE SOMA

Shinikizo la damu: Kuziba mapengo yanayozidi kuwa mabaya ya matibabu barani Afrika

October 21, 2025 mjombazecoder
SPORTVTV

DABI YA MBEYA | Mtazamo wa mchambuzi wa soka Andrew Kingamkono akichambua kwa kina kuelekea mchezo wa leo wa dabi ya Mbeya ya #N…

October 21, 2025 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Mashirika ya ndege ya Qatar na Kenya kushirikiana
BBC LIVE SOMA
Mashirika ya ndege ya Qatar na Kenya kushirikiana
“Itakuwa ni mechi ngumu kwa Yanga…” – @akingamkono akichambua kwa kina mtazamo wake kikosi cha Yanga SC, huku wakijiandaa na mch…
SPORTVTV
“Itakuwa ni mechi ngumu kwa Yanga…” – @akingamkono akichambua kwa kina mtazamo wake kikosi cha Yanga SC, huku wakijiandaa na mch…
Mchambuzi na mdau wa soka Tanzania, Ibrahim Masoud ‘Maestro’, anaeleza jinsi serikali inavyogusa maendeleo ya soka Tanzania hasa…
SPORTVTV
Mchambuzi na mdau wa soka Tanzania, Ibrahim Masoud ‘Maestro’, anaeleza jinsi serikali inavyogusa maendeleo ya soka Tanzania hasa…
Shinikizo la damu: Kuziba mapengo yanayozidi kuwa mabaya ya matibabu barani Afrika
BBC LIVE SOMA
Shinikizo la damu: Kuziba mapengo yanayozidi kuwa mabaya ya matibabu barani Afrika
aarifa Kuu Za App
Uncategorized
aarifa Kuu Za App
MICHEZO
Muhammad Ali kuzikwa Ijumaa ya wiki hii
Kesi ya Kabila nchini DRC: Vyama vya kiraia ninadai makumi ya mabilioni ya dola kama didia
Uncategorized
Kesi ya Kabila nchini DRC: Vyama vya kiraia ninadai makumi ya mabilioni ya dola kama didia
Watu kadhaa wajeruhiwa katika ndege ya Malaysia Airlines
Uncategorized
Watu kadhaa wajeruhiwa katika ndege ya Malaysia Airlines
Mashirika ya ndege ya Qatar na Kenya kushirikiana
BBC LIVE SOMA
Mashirika ya ndege ya Qatar na Kenya kushirikiana
“Itakuwa ni mechi ngumu kwa Yanga…” – @akingamkono akichambua kwa kina mtazamo wake kikosi cha Yanga SC, huku wakijiandaa na mch…
SPORTVTV
“Itakuwa ni mechi ngumu kwa Yanga…” – @akingamkono akichambua kwa kina mtazamo wake kikosi cha Yanga SC, huku wakijiandaa na mch…
Mchambuzi na mdau wa soka Tanzania, Ibrahim Masoud ‘Maestro’, anaeleza jinsi serikali inavyogusa maendeleo ya soka Tanzania hasa…
SPORTVTV
Mchambuzi na mdau wa soka Tanzania, Ibrahim Masoud ‘Maestro’, anaeleza jinsi serikali inavyogusa maendeleo ya soka Tanzania hasa…
Shinikizo la damu: Kuziba mapengo yanayozidi kuwa mabaya ya matibabu barani Afrika
BBC LIVE SOMA
Shinikizo la damu: Kuziba mapengo yanayozidi kuwa mabaya ya matibabu barani Afrika
BBC LIVE SOMA

Wafuasi wa Bolsonaro waandaman Brazil

September 8, 2025 mjombazecoder

Maalfu ya wafuasi wa rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro wamefanya maandamano jana katika miji kadhaa, siku chache kabla mahakama ya juu kabisa ya nchi hiyo kupitisha hukumu ikiwa…

BBC LIVE SOMA

08.09.2025

September 8, 2025 mjombazecoder

SK2 / S02S08.09.20258 Septemba 2025 Watu wanne wameuawa na wengine 15 wamejeruhiwa katika mashambulizi ya risasi mjini Jerusalem+++ Mamlaka zinazohusika na mawasiliano nchini Tanzania zimeufungia mtandao maarufu wa Jamii Afrika…

BBC LIVE SOMA

08.09.2025 Matangazo ya Asubuhi

September 8, 2025 mjombazecoder

DIRA.BZ08.09.20258 Septemba 2025 Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza…

BBC LIVE SOMA

08.09.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

September 8, 2025 mjombazecoder

08.09.20258 Septemba 2025 Rais wa Marekani Donald Trump aashiria yuko tayari kuongeza shinikizo dhidi ya Urusi kwa awamu ya pili ya vikwazo. Kundi la Hamas lasema liko tayari kwa mazungumzo…

BBC LIVE SOMA

Trump atoa ‘onyo la mwisho’ kwa Hamas kuhusu mateka

September 7, 2025 mjombazecoder

Kupitia ujumbe kwenye mitandao ya kijamii, Trump alisema: “Waisraeli wamekubali masharti yangu. Ni wakati wa Hamas pia kukubali. Nimewaonya kuhusu matokeo ya kutoafiki. Hili ndilo onyo langu la mwisho.” Mnamo…

BBC LIVE SOMA

Saudi yazindua mradi wa ujenzi mpya Damascus na viunga vyake

September 7, 2025 mjombazecoder

Saudi Arabia imetangaza Jumapili miradi mipya ya kibinadamu nchini Syria ikiwemo kuondoa vifusi vya vita karibu na mji mkuu Damascus, wiki chache baada ya kusaini mikataba ya uwekezaji yenye thamani…

BBC LIVE SOMA

Trump yupo tayari kwa vikwazo vipya dhidi ya Urusi

September 7, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kuanzisha awamu ya pili ya vikwazo dhidi ya Urusi, hatua inayoweza kulenga mauzo ya nishati ya Moscow na washirika wake. Hii ni…

BBC LIVE SOMA

Uhamiaji Marekani: Trump akumbana na pinzamini za kisheria

September 7, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump ameahidi kufukuza mamilioni ya wahamiaji kwa mpango mkubwa zaidi wa kuondoa watu kihistoria. Lakini ajenda yake ya uhamiaji inakabiliwa na majaribu makubwa mahakamani, huku sera…

BBC LIVE SOMA

Nishati ya jua Afrika: Mustakabali wa nishati jadidifu

September 7, 2025 mjombazecoder

Katika jimbo la Northern Cape, kusini mwa jangwa la Kalahari, mnara mrefu unaong’aa unasimama katikati ya vioo vya sola vilivyopangwa kwa mistari. Vioo hivyo hufuata mwanga wa jua mchana kutwa,…

Uncategorized

Marekani: Donald Trump atishia kuingilia kijeshi Chicago

September 7, 2025 mjombazecoder

Mvutano unaongezeka kati ya White House na mamlaka ya Chicago. Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine ametishia kuingilia kijeshi katika mji wa tatu kwa ukubwa nchini Marekani, unaotawaliwa…

Uncategorized

DRC: Serikali ya mkoa wa Kivu Kusini yaonya juu ya kuimarishwa kwa jeshi la Rwanda Idjwi

September 7, 2025 mjombazecoder

Serikali ya mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa DRC imetoa tahadhari ya kitaifa na kimataifa kuhusiana na kuimarishwa kwa wanajeshi wa Rwanda katika eneo la Idjwi. Katika taarifa kwa vyombo…

Uncategorized

Jean-Pierre Lacroix athibitisha uungwaji mkono wa UN kwa mchakato wa amani nchini DRC

September 7, 2025 mjombazecoder

Akihutubia wanahabari siku ya Jumapili, Septemba 7, mjini Beni (Kivu Kaskazini), Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na Operesheni za Amani Jean-Pierre Lacroix amebainisha dhamira ya Umoja wa…

BBC LIVE SOMA

Netanyahu asema jeshi linazidisha mashambulizi Gaza

September 7, 2025 mjombazecoder

Jeshi la Israel limesema majengo mawili marefu yaliyobomolewa wiki hii yalitumiwa na Hamas kufuatilia wanajeshi, madai yaliyokanushwa na kundi hilo. Hali hii imezidisha hofu ya kuzorota zaidi kwa hali ya…

BBC LIVE SOMA

Viongozi wa EU walaani mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine

September 7, 2025 mjombazecoder

Rais wa Halmashauri ya Ulaya Ursula von der Leyen amesema Kremlin “inadhihaki diplomasia, inakanyaga sheria za kimataifa na inaua kiholela,” huku Rais wa Baraza la Ulaya António Costa akiongeza kuwa…

Uncategorized

DRC: Jeshi lawaonesha watu wanaodaiwa kuwa ni wasaidizi wa AFC/M23 waliokamatwa Fizi na Uvira

September 7, 2025 mjombazecoder

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) limewaonyesha kwa waandishi wa habari siku ya Jumamosi, Septemba 6, watu sita waliokamatwa katika nyanda za juu za Fizi na Uvira, wakituhumiwa…

BBC LIVE SOMA

Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba ajiuzulu

September 7, 2025 mjombazecoder

Ishiba, aliyekuwa madarakani tangu Oktoba mwaka jana, alikabiliwa na ukosoaji unaoongezeka na wito wa kuachia ngazi ndani ya chama chake cha Liberal Democratic Party (LDP) kufuatia kupoteza wingi wa viti…

BBC LIVE SOMA

Saudi Arabia yazindua mradi wa ujenzi mpya wa Damascus

September 7, 2025 mjombazecoder

Saudi Arabia imekuwa mfadhili mkuu wa serikali mpya ya Syria, iliyochukua madaraka baada ya kuondolewa madarakani, mtawala wa muda mrefu Bashar al-Assad mwezi Desemba uliopita. Katika hafla iliyofanyika leo mjini…

BBC LIVE SOMA

Grossi aonya kuwepo kwa dunia yenye mataifa 25 ya nyuklia

September 7, 2025 mjombazecoder

Akizungumza na gazeti la Italia La Repubblica, Grossi alisema hatari ya mzozo wa nyuklia leo ni kubwa zaidi kuliko ilivyokuwa zamani, huku mchakato wa kupunguza au kuondoa silaha hizo ukiwa…

Uncategorized

Japan: Waziri Mkuu Shigeru Ishiba ajiuzulu kwa shinikizo la chama chake

September 7, 2025 mjombazecoder

Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba ametangaza kujiuzulu leo Jumapili, Septemba 7, chini ya mwaka mmoja baada ya kuchukua madaraka. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 68 anajiuzulu chini ya…

BBC LIVE SOMA

Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba atangaza kujiuzulu

September 7, 2025 mjombazecoder

Ishiba, mwenye miaka 68, alisema ataendelea kushika wadhifa huo hadi kiongozi mpya wa chama atakapochaguliwa. Aliongeza kuwa uamuzi wake unalenga kuepusha mgawanyiko zaidi ndani ya chama, akisema: “Sasa ndiyo wakati…

BBC LIVE SOMA

Wasyria warejea taratibu kutoka Ujerumani, wasiwasi bado upo

September 7, 2025 mjombazecoder

Idadi ya wakimbizi wanaorejea Syria kutoka Ujerumani tangu kuanguka kwa utawala wa muda mrefu wa Bashar al-Assad imekuwa ikiongezeka taratibu, ingawa bado iko katika kiwango cha chini. Wizara ya Mambo…

BBC LIVE SOMA

Urusi yatumia droni 800, makobora 13 katika shambulio Kyiv

September 7, 2025 mjombazecoder

Urusi imefanya shambulio kubwa zaidi la anga dhidi ya Ukraine tangu vita kuanza, kwa kurusha zaidi ya droni 800 na makombora 13 Jumapili alfajiri, na kuua watu wasipungua wanne, huku…

BBC LIVE SOMA

Urusi yafanya shambulizi kubwa zaidi la anga dhidi Ukraine

September 7, 2025 mjombazecoder

Msemaji wa jeshi la anga Yuriy Ihnat amethibitisha kuwa jumla ya droni 805 na makombora 13 yalirushwa, huku vikosi vya Ukraine vikiangusha droni 747 na makombora manne. Mengine yaliangukia maeneo…

BBC LIVE SOMA

Israel yasema vita vya Gaza vitaisha mateka wakiachiwa huru

September 7, 2025 mjombazecoder

Matamshi ya Saar wakati wa mkutano na waandishi wa habari mjini Jerusalem akiwa na mwenzake wa Denmark, yanakuja siku moja baada ya Hamas kusisitiza msimamo wake wa muda mrefu kwamba…

BBC LIVE SOMA

Waziri Mkuu wa Japan aamua kujiuzulu

September 7, 2025 mjombazecoder

Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa Ishiba, mwenye umri wa miaka 68, anataka kuepusha mgawanyiko wa chama, huku shinikizo la kuachia madaraka likiongezeka kutoka kwa viongozi wakuu akiwemo waziri…

BBC LIVE SOMA

Wakimbizi wa Syria wameanza kurejea kwao kutoka Ujerumani

September 7, 2025 mjombazecoder

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani imesema kufikia Agosti, Wasyria 1,867 walirudi nyumbani kwa msaada wa serikali, huku wengine wakiondoka kupitia programu za majimbo au bila msaada. Kwa sasa…

BBC LIVE SOMA

Sudan Kusini yamrejesha nyumbani kwao raia wa Mexico

September 7, 2025 mjombazecoder

Munoz-Gutierrez, alikuwa miongoni mwa kundi la watu wanane ambao wamekuwa chini ya ulinzi wa serikali ya nchi hiyo tangu walipotoka Marekani. Katika taarifa, wizara ya mambo ya nje ya Sudan…

BBC LIVE SOMA

Sudan Kusini yamrejesha Mexico mhamiaji waliyempokea kutoka Marekani

September 7, 2025 mjombazecoder

Jesus Munõz Gutierrez alikabidhiwa kwa balozi aliyeteuliwa wa Mexico, Alejandro Ives Estivill, ambaye aliwasili Juba siku ya Ijumaa, taarifa hiyo ilisema. Juba ilisema inabaki kujitolea kushirikiana na washirika wa kimataifa…

BBC LIVE SOMA

Omar Artan aweka historia ya kuwa mwamuzi wa kwanza wa Somalia kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA

September 7, 2025 mjombazecoder

Artan atajiunga na Jalal Jayed wa Morocco na Youcef Gamouh wa Algeria kama waamuzi wakuu kutoka bara la Afrika. Akiwa ni mwanzilishi katika soka la Kisomali, Artan hapo awali alikua…

BBC NEWS TANZANIA

Mamlaka Tanzania yafungia Jamii Forums kwa siku 90, wenyewe hawakubaliani na uamuzi huo

September 7, 2025 mjombazecoder

Chanzo cha picha, Maxence Melo 6 Septemba 2025 Imeboreshwa Dakika 7 zilizopita Muasisi wa JamiiForums, Maxence Melo, amesema jukwaa hilo linalazimika kukubali uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha…

BBC LIVE SOMA

Watoto kati ya 11 waliotoweka baada ya kiboko kupindua mashua nchini Côte d’Ivoire

September 7, 2025 mjombazecoder

Watu kumi na mmoja, wakiwemo watoto, walitoweka baada ya kiboko kupindua mashua yao kusini magharibi mwa Côte d’Ivoire, afisa wa serikali alisema Jumamosi. Waziri wa mshikamano wa kitaifa na mshikamano…

Uncategorized

Burkina Faso: Wakili mkosoaji wa serikali atekwa nyara Ouagadougou

September 7, 2025 mjombazecoder

Nchini Burkina Faso, Chama cha Wanasheria kinashutumu kukamatwa kwa wakili Ini Benjamine Doli. Aliporejea kutoka likizo nje ya nchi, “alitekwa nyara” kutoka nyumbani kwake huko Ouagadougou na watu wenye silaha.…

BBC LIVE SOMA

Uturuki inaadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya Aysenur Ezgi Eygi na vikosi vya Israeli

September 7, 2025 mjombazecoder

Eygi, mwenye umri wa miaka 26, ambaye alikuwa na uraia wa nchi mbili wa Uturuki na Marekani, aliuawa na jeshi la Israeli wakati wa maandamano dhidi ya makazi haramu ya…

Uncategorized

Nigeria: Boko Haram washukiwa kufanya mauaji mengine katika Jimbo la Borno

September 7, 2025 mjombazecoder

Hali ya kutisha kwa wakazi wa kijiji cha Dar El Jamal katika Jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria. Siku ya Ijumaa, Septemba 5, watu wenye silaha walivamia mji huu…

BBC NEWS TANZANIA

Unajua ni kwanini joto kali linazeesha binadamu haraka?

September 7, 2025 mjombazecoder

Chanzo cha picha, AFP via Getty Images Maelezo ya picha, Utafiti unaonyesha watu walio na viwango vya juu vya joto mara kwa mara wanazeeka haraka Maelezo kuhusu taarifa Author, Angela…

Uncategorized

Mashariki mwa DRC: Maelfu ya wanafunzi wa Kivu washindwa kurudi shule kutokana na mapigano

September 7, 2025 mjombazecoder

Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mwaka wa shule, uliopangwa awali kuanza siku ya Jumatatu, Septemba 1, haukuanza tena katika shule kadhaa katika mikoa ya Kivu Kaskazini na Kusini.…

Uncategorized

Senegal: Rais Bassirou Diomaye Faye afanya mabadiliko katika baraza la mawaziri

September 7, 2025 mjombazecoder

Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye ametangaza serikali mpya jioni ya Jumamosi, Septemba 6, ambapo Mawaziri wa Sheria na Mambo ya Ndani wameondoka na Waziri mpya wa Mambo ya Nje…

BBC NEWS TANZANIA

Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Bado kuna uwezekano wa Fernandes kuhamia Saudi

September 7, 2025 mjombazecoder

Chanzo cha picha, Getty Images Saa 1 iliyopita Nahodha wa Manchester United Bruno Fernandes, 30, bado anaweza kuhamia Saudi Arabia, Tottenham wanamtaka Morgan Rogers wa Villa, huku Arsenal wakikataa nia…

Uncategorized

Ukraine: Wimbi kubwa la mashambulizi ya Urusi yauwa watano, makao makuu ya serikali yashambuliwa

September 7, 2025 mjombazecoder

Makao makuu ya serikali ya Ukraine yalichomwa moto leo Jumapili, Septemba 7, mjini Kyiv wakati wa mashambulizi ya usiku ya Urusi yaliyosababisha vifo vya watu watano, ikiwa ni pamoja na…

Uncategorized

Ukraine: Wimbi kubwa la mashambulizi ya Urusi yauwa watano, makao makuu serikali yashambuliwa

September 7, 2025 mjombazecoder

Makao makuu ya serikali ya Ukraine yalichomwa moto leo Jumapili, Septemba 7, mjini Kyiv wakati wa mashambulizi ya usiku ya Urusi yaliyosababisha vifo vya watu watano, ikiwa ni pamoja na…

BBC NEWS TANZANIA

Israeli yaharibu jengo la pili kwa urefu huku mashambulizi ya mji wa Gaza yakiongezeka

September 7, 2025 mjombazecoder

Chanzo cha picha, Anadolu via Getty Images Jeshi la Israel limeharibu jengo la pili kwa urefu katika mji wa Gaza, kama lililokuwa imelilenga. Waziri wa Ulinzi Israel Katz aliweka video…

Uncategorized

Marekani: Takriban Wavenezuela na Wahaiti Milioni 1.1 waona hadhi yao ya kisheria ikidumishwa

September 6, 2025 mjombazecoder

Hii ni afueni kubwa kwa jamii za Venezuela na Haiti nchini Marekani. Zaidi ya raia milioni moja wa nchi hizi mbili, wanaotishiwa kufukuzwa, wanaweza kubaki Marekani—kwa sasa, angalau. Jaji wa…

BBC LIVE SOMA

Jeshi la Israel laporomosha ghorofa jingine Gaza City

September 6, 2025 mjombazecoder

Kwa mujibu wa walioshuhudia,jengo hilo refu ni la pili kudondoshwa baada ya Jeshi la Israel IDF kuliangusha jengo lingine refu hapo siku ya Ijumaa, kwenye eneo hilo. Taarifa ya kijeshi…

Uncategorized

Kenya: Katika Kesi ya mauaji ya Shakahola, mbinu za mchungaji Mackenzie zafichuliwa

September 6, 2025 mjombazecoder

Nchini Kenya kesi za muda mrefu za Paul Mackenzie zinaendelea, huku kesi zikisikizwa wiki hii katika mahakama ya watoto ya Tononoka mjini Mombasa, pwani ya Kenya. Mchungaji huyo na washitakiwa…

BBC LIVE SOMA

Zelenskyy: Putin akitaka aje Kyiv kwa mazungumzo

September 6, 2025 mjombazecoder

Zelenskyy, amemweleza Putin kuwa pendekezo la rais huyo wa Urusi kwamba wakutane mjini Moscow kwa mazungumzo haliwezekani na badala yake rais wa Ukraine amependekeza kuwa ingekuwa bora kama watakuna mjini…

Uncategorized

Israel yaharibu jengo jingine refu katika Jiji la Gaza

September 6, 2025 mjombazecoder

Jeshi la Israel limeharibu jengo jingine refu katika Jiji la Gaza siku ya Jumamosi, Septemba 6, likiwataka wakazi wake kuondoka kuelekea eneo ambalo limetangaza kuwa “la kibinadamu,” kwa kutarajia shambulio…

BBC LIVE SOMA

Mgodi wa dhahabu waporomoka Sudan na kuwaua watu 6

September 6, 2025 mjombazecoder

Mkurugenzi wa eneo la Berber Hassan Ibrahim Karar, amesema juhudi zinaendelea za kuwaokoa watu walionasa kwenye vifusi lakini hakutaja sababu ya kuporomoka kwa mgodi huo. Tangu mapigano yalipozuka nchini Sudan…

BBC LIVE SOMA

Jamii forums yafungiwa kwa siku 90 kwa ‘kudhalilisha serikali na Rais’ wa Tanzania

September 6, 2025 mjombazecoder

Jamii forums yafungiwa kwa siku 90 kwa ‘kudhalilisha serikali na Rais’ wa Tanzania Aidha TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano…

BBC LIVE SOMA

Watu sita wamefariki na wengine 20 wanaswa kwenye mgodi wa dhahabu ulioporomoka Sudan

September 6, 2025 mjombazecoder

Sudan, nchi ya tatu kwa ukubwa barani Afrika, inabaki kuwa miongoni mwa wazalishaji wakuu wa dhahabu barani humo. Hata hivyo, dhahabu nyingi inachimbwa kupitia shughuli za uchimbaji wa kienyeji na…

BBC LIVE SOMA

Trump kutohudhuria mkutano wa G20 nchini Afrika Kusini, na badala yake kumtuma makamu, Vance

September 6, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump alithibitisha Ijumaa kwamba hatashiriki mkutano ujao wa viongozi wa Kundi la 20 (G20) nchini Afrika Kusini mwezi Novemba, akisema atamtuma Makamu wa Rais JD Vance…

Posts pagination

1 … 160 161 162 … 185

Recent Posts

  • Mashirika ya ndege ya Qatar na Kenya kushirikiana
  • “Itakuwa ni mechi ngumu kwa Yanga…” – @akingamkono akichambua kwa kina mtazamo wake kikosi cha Yanga SC, huku wakijiandaa na mch…
  • Mchambuzi na mdau wa soka Tanzania, Ibrahim Masoud ‘Maestro’, anaeleza jinsi serikali inavyogusa maendeleo ya soka Tanzania hasa…
  • Shinikizo la damu: Kuziba mapengo yanayozidi kuwa mabaya ya matibabu barani Afrika
  • DABI YA MBEYA | Mtazamo wa mchambuzi wa soka Andrew Kingamkono akichambua kwa kina kuelekea mchezo wa leo wa dabi ya Mbeya ya #N…

Recent Comments

  1. A WordPress Commenter on aarifa Kuu Za App

Archives

  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • July 2025
  • August 2024
  • June 2016

Categories

  • BBC LIVE SOMA
  • BBC NEWS TANZANIA
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • LTV LIVE TV
  • LTV TV
  • MAGAZETI
  • MICHEZO
  • MWANANCHI
  • ONLINETV
  • SPORTVTV
  • Uncategorized
  • VIDEOS NEWS TV

You missed

BBC LIVE SOMA

Mashirika ya ndege ya Qatar na Kenya kushirikiana

October 21, 2025 mjombazecoder
SPORTVTV

“Itakuwa ni mechi ngumu kwa Yanga…” – @akingamkono akichambua kwa kina mtazamo wake kikosi cha Yanga SC, huku wakijiandaa na mch…

October 21, 2025 mjombazecoder
SPORTVTV

Mchambuzi na mdau wa soka Tanzania, Ibrahim Masoud ‘Maestro’, anaeleza jinsi serikali inavyogusa maendeleo ya soka Tanzania hasa…

October 21, 2025 mjombazecoder
BBC LIVE SOMA

Shinikizo la damu: Kuziba mapengo yanayozidi kuwa mabaya ya matibabu barani Afrika

October 21, 2025 mjombazecoder

LTV TANZANIA

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS