Fahamu operesheni ya Marekani na Israel iliyompata na kumuua kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei
Shambulio lililomuua kiongozi mkuu wa Iran halikutokea usiku wa manane, kama ilivyotarajiwa, lakini katikati ya asubuhi.
Asia Masimba anayewaongoza wanawake 400 wachimbaji madini
Ujasiri na uthubutu wa Asia Masimba ni simulizi ya kuvunja miiko iliyodumu kwa miongo kadhaa...
Maelfu ya wakazi wa mashariki ya DRC watoroka makazi yao
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama kwenye wilaya ya Masisi jimboni Kivu Kaskazini, kumesababisha wimbi jipya la raia wanaokimbia makazi yao na kuingia…
Burkina Faso: Milipuko yasikika karibu na makazi ya Rais, Ouagadougou
Nchini Burkina Faso,milipuko ilisikika karibu na makaazi ya rais jijini Ouagadougou, mwishoni mwa wiki iliyopita na kuzua wasiwasi wa kuwepo kwa jaribio la kumpindua kiongozi wa jeshi Ibrahim Traore. Imechapishwa:…
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Chelsea na Newcastle katika mbio za kumsajili mshambuliaji Darwin Nunez
Chelsea wanaweza kujiunga katika kinyang'anyiro cha kumnunua mshambuliaji wa Al-Hilal Darwin Nunez, Manchester City wanataka kumnunua beki wa Newcastle United Tino Livramento na Crystal Palace hawataki kumuachilia kipa Dean Henderson.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 2, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Yanga, Simba zashindwa kutambiana Zanzibar
Ni sahihi kusema hakuna unyonge! Simba imemaliza uteja wa kupoteza michezo mitano dhidi ya Yanga baada ya kulazimisha suluhu kwenye mchezo mkali wa Dabi ya Kariakoo uliopigwa kwenye Uwanja wa…
Yanga, Simba ngoma imelala
Ni sahihi kusema hakuna unyonge! Simba imemaliza uteja wa kupoteza michezo mitano dhidi ya...
Utendaji wamng’arisha DC Mbeya
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Vijijini, imemtunukia Tuzo maalum...
Rais Mwinyi ahimiza amani na mshikamano nchini
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, amewataka Watanzania kudumisha amani, utulivu na...
Tanzania, Afrika itakavyoathirika na mzozo Mashariki ya Kati
Mashambulizi mapya ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yanahofiwa kusababisha athari kwa...
Nani kujaza nafasi ya Kiongozi Mkuu wa Iran?
Kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei katika mashambulizi ya anga ya...
Waziri Mkuu wadogo zako wakuige – Sumaye
Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, amewasihi wasaidizi wa Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba...
Ujumbe wa Johanna Ngeno Kuhusu Maisha ya baada ya Kifo Yaibua Hisia Akiangamia Katika Mkasa wa Ndege
Mbunge Johanna Ngeno alifariki katika ajali ya helikopta akitathmini uharibifu wa mafuriko. Matamshi yake ya kinabii kuhusu maisha ya baada ya kifo yameibua hisia
Simba yafika uwanjani, yatumia mlango usio rasmi
Kikosi cha Simba kimewasili Uwanja wa New Amaan Complex saa 12:37 jioni tayari kwa mchezo wa Dabi ya Kariakoo utakaopigwa kuanzia saa 2:15 Usiku.
Youth rediscover hope in revived coffee sector
MBINGA: A profound transformation is underway in the highlands of Mbinga, where coffee farmers are recording gains in productivity, profitability and confidence. What began as a technical support initiative has…
Ramadan Iftar highlights bank–community partnership
ZANZIBAR: The Second Vice President of Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, joined Muslims across the islands at an Iftar gathering hosted by National Bank of Commerce (NBC) for its customers and…
United yakwea nafasi ya tatu Premier
Manchester United imekwea hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu England baada ya...
Johanna Ngeno: Mkewe Mbunge Aonekana kwa Mara ya Kwanza baada ya Kifo cha Mumewe, Wakenya Wamfariji
Mwili wa Johanna Ngeno uliwasili Nairobi baada ya ajali mbaya ya helikopta yake. Mkewe, Nayianoi Ntutu, amefarijiwa na Wakenya huku akiomboleza kifo chake.
Mfanyabiashara Arusha aendelea kushikiliwa, Bunge laombwa idhini
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wilaya ya Arusha, Dominic Mollel, anaendelea kushikiliwa na Jeshi...
Ajali ya ambulensi yaua mgonjwa, wanne wakijeruhiwa Korogwe
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Zaharia Abraham (41), mkazi wa Goha wilayani Korogwe...
Dk Mwigulu aagiza vitendea kazi vya bodaboda na mama lishe visishikiliwe
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amezitaka halmashauri, majiji, manispaa na vyombo vyote...
Uongozi Kanisa la Wasabato wapata hisia mseto ukaguzi wa CAG
Uongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) Tanzania, umevunja ukimya juu ya tuhuma za...
Kanisa Anglikana Mbagala kufungisha ndoa za pamoja
Kanisa Anglikana la Mtakatifu Msalaba Mbagala jijini Dar es Salaam, limetangaza mpango wa...
Vijana Kagera wapewa elimu mikopo ya halmashauri
KAGERA: Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM, (UV CCM) mkoani Kagera imezindua kampeini ijulikanayo kama Vijana Daka Fursa na Samia maarufu kama VIDAFUSA ambayo…
Prof Shemdoe aagiza watumishi 14 Muheza kusimamishwa kazi
TANGA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amemuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza akisimamiwa na RAS…
Chongolo apiga marufuku uuzaji ardhi mradi wa umwagiliaji Pawaga
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo amepiga marufuku mtu yeyote kuuza au kununua ardhi ya...
Mwanza, Singida kuna ngoma nzito Ligi Kuu
BAADA ya hekaheka za Dabi ya Kariakoo iliyopigwa jana usiku kwenye Uwanja wa New Amaan visiwani Zanzibar, uhondo wa Ligi Kuu Bara umehamia katika miji ya Mwanza na Singida wakati…
Shadrack Nsajigwa apania Tanzania Prisons
KOCHA mpya wa maafande wa TZ Prisons, Shadrack Nsajigwa 'Fuso' amesema malengo makubwa aliyonayo kwa timu hiyo ni kuhakikisha timu hiyo inajinasua na janga la kushuka daraja, licha ya ushindani…
Kocha Laizer aweka mikakati Fountain
BAADA ya mwenendo mbaya wa matokeo ya Ligi Kuu Bara hadi sasa, Kocha wa Fountain Gate, Mohamed Ismail 'Laizer' amesema kazi kubwa aliyonayo katika kikosi hicho ni kutengeneza saikolojia ya…
Vita Iran: Viongozi wa dunia watofautiana kuhusu mauaji ya Khamenei
Viongozi wa dunia, wameendelea kutofautiana kuhusu mashambulio yaliyofanywa Iran na nchi za Israel na Marekani, mashambulizi ambayo yamesababisha kifo cha kiongozi wa juu wa kidini kwenye taifa hilo, Ayatollah Ali…
Je, nchi za Afrika zitaathirikaje na vita vya Mashariki ya Kati?
Nchi nyingi za Kiafrika zinategemea sana bidhaa kutoka nje, na kukatizwa kwa njia hii ya biashara na gharama kubwa za usafirishaji kunaweza kuchangia mfumuko wa bei.
Wananchi wagomea fidia kupisha upanuzi mgodi wa North Mara
Serikali mkoani Mara imetoa siku 90 kwa mkazi anayeishi jirani na bwawa la kuhifadhi maji yenye...
Polisi yaipiga ‘stop’ Bawacha Mei 8 Mara, Chadema yajibu mapigo
Polisi Mkoa wa Mara imezuia maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyoratibiwa na Baraza la...
Ujumbe wa mwisho wa Johanna Ngeno kwa mkewe kabla ya kifo wawagusa Wakenya: “Live Long”
Kenyans mourned Emurua Dikirr MP Johanna Ngeno's untimely death, reflecting on his heartfelt last message to his wife, Nayianoi Ntutu Ngeno, before he died.
Mbuni atwaa taji la ndege wa mwaka 2026 Tanzania
Mbuni amechaguliwa kuwa ndege wa Mwaka 2026, baada ya kuibuka mshindi katika kura za kitaifa...
Iran yatishia kujitoa Kombe la Dunia kufuatia mashambulizi ya Marekani, FIFA yatoa tamko
Shirikisho la Soka la Iran limetishia kuiondoa timu ya taifa katika Kombe la Dunia lijalo...
Kilio cha madawati Shule ya msingi Ziwani chasikika
Shule ya Msingi Ziwani, iliyopo Kata ya Pongwe jijini Tanga ambayo awali ilikuwa na madarasa...
DC Itunda atoa wito kuliombea taifa na kuendeleza maadili
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda amewahimiza wanawake kuendelea kuwa chachu ya...
Iran: Alireza Arafi ateuliwa kuongoza mpito baada ya kifo cha Khamenei
Alireza Arafi, mjumbe wa Baraza la Walinzi, ameteuliwa kuwa mjumbe halali wa Kamati ya Uongozi ya Iran, kuhudumu kama Kiongozi Mkuu hadi uchaguzi wa kiongozi mpya. Imechapishwa: 01/03/2026 – 13:02…
Kifo cha Johanna Ng’eno: Gachagua ataka uchunguzi wa kina kuhusu ajali ya helikopta iliyoua 6
Makamu wa Rais wa zamani Rigathi Gachagua anaomboleza kifo cha Mbunge Johana Ng'eno katika ajali ya helikopta, akitaka uchunguzi ufanyike kuhusu tukio hilo.
Epusha ubaguzi dhidi ya watu wanaoishi na VVU – UNAIDS
Katika siku ya kimataifa ya kutokomeza ubaguzi tarehe Mosi Machi, Umoja wa Mataifa unaadhimisha haki ya kila mtu ya kuishi maisha kamili na yenye tija kwa utu. Mwaka huu, shirika…
Israel yatangaza mashambulizi mapya ‘katikati mwa Tehran,’ milipuko kadhaa yasikika
Saa chache baada ya vyombo vya habari vya serikali ya Iran kuthibitisha Jumapili, Machi 1, kifo cha Ayatollah Ali Khamenei, jeshi la Israel limetangaza kuwa limezindua wimbi jipya la mashambulio…
Mkakati wasukwa ulinzi Ziwa Victoria
GEITA: SERIKALI inakusudia kuunda chombo maalum kwa ajili ya kuimarisha ulinzi na kudhibiti shughuli haramu ikiwemo uvuvi haramu ndani ya ziwa Victoria, mito na vyanzo vingine vya maji. Waziri wa…
Wakulima wa kahawa Mbinga, wapata tumaini jipya
Wakulima wa zao la kahawa katika Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma, wameanza kushuhudia ongezeko...
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deo mwanyika, amewaasa watanzania wenye uwezo kujitoa katika kuwasaidia …
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deo mwanyika, amewaasa watanzania wenye uwezo kujitoa katika kuwasaidia wasio na uwezo katika kipindi hiki ambacho wakristo na Waislamu wako katika…