Mkakati wasukwa ulinzi Ziwa Victoria
GEITA: SERIKALI inakusudia kuunda chombo maalum kwa ajili ya kuimarisha ulinzi na kudhibiti shughuli haramu ikiwemo uvuvi haramu ndani ya ziwa Victoria, mito na vyanzo vingine vya maji. Waziri wa…
Wakulima wa kahawa Mbinga, wapata tumaini jipya
Wakulima wa zao la kahawa katika Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma, wameanza kushuhudia ongezeko...
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deo mwanyika, amewaasa watanzania wenye uwezo kujitoa katika kuwasaidia …
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deo mwanyika, amewaasa watanzania wenye uwezo kujitoa katika kuwasaidia wasio na uwezo katika kipindi hiki ambacho wakristo na Waislamu wako katika…
Mashambulizi dhidi ya Iran: Afrika Kusini, mwanachama wa BRICS, yatoa wito wa kujizuia
Kwingineko katika bara la Afrika, maoi mbalimbali yamekuwa yakimiminika tangu mashambulizi ya jana ya Marekani na Israel dhidi ya Iran. Katika kulipiza kisasi, Tehran ilizindua mashambulizi ya makombora dhidi ya…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limeagiza viongozi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – BAWACHA, …
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limeagiza viongozi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – BAWACHA, kuripoti tarehe 2 mbele ya Mkuu wa Upelelezi wa…
Timu ya Alicia Keys, DMF watua Amana
DAR ES SALAAM: Timu ya wawakilishi kutoka Taasisi ya Keep A Child Alive, ya msanii Alicia Keys, imewasili Tanzania ikiwa na lengo la kushiriki uzinduzi wa jengo la kisasa la…
Ayatollah Khamenei: Kiongozi mkuu wa Iran auawa kwenye shambulio la Israel-Marekani
Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kifo cha Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei. Khamenei aliuawa kufuatia shambulio la anga la Marekani na Israel.
Mkuu wa Haki za Binadamu UN apongeza kuundwa Tume ya matukio ya Oktoba 29
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk, ameipongeza Tanzania kwa...
Dk Janabi azindua jengo watoto njiti Kwimba
MWANZA: Jengo la kisasa lenye viwango vya kimataifa kwa ajili ya kuhudumia watoto njiti limezinduliwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani…
Daktari mmoja mwandamizi katika Hospitali ya umma Karachi aliiambia BBC News kwamba miili tisa na takribani watu 32 waliojeruhiw…
Daktari mmoja mwandamizi katika Hospitali ya umma Karachi aliiambia BBC News kwamba miili tisa na takribani watu 32 waliojeruhiwa walipelekwa hospitalini baada ya mapigano makali na polisi karibu na ofisi…
Johanna Ngeno: Walioangamia katika mkasa wa helikopta pamoja na mbunge watambuliwa
Watu sita akiwamo Mbunge Johanna Ng’eno, rubani, afisa wa misitu na mwanahabari, waliangamia katika ajali ya helikopta ya Nandi. Taifa linaomboleza.
Iran yatishia kujitoa Kombe la Dunia, FIFA yatoa tamko
Shirikisho la Soka la Iran limetishia kuiondoa timu ya taifa katika Kombe la Dunia lijalo...
Kijaji azindua mikanda ya mawasiliano ya tembo
DODOMA: Waziri wa Maliasili na Utalii, Ashatu Kijaji amesema uwekezaji wa tekinologia ya kutambua makundi ya tembo ili kudhibiti mwingiliano wa makundi ya wanyama na binadamu kutasaidia kupunguza vifo na…
Premier zinapigwa mechi kali
Shughuli ni pevu. Ndicho unachoweza kusema kufuatia mchakamchaka wa mechi za Ligi Kuu England...
Arsenal yapewa ufalme
Ndio hivyo. Arsenal imewekwa kwenye nafasi kubwa ya kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya...
Yanga hapa imefunika
Wakati ikisubiriwa kwa hamu leo mechi ya 'Kariakoo Derby', itakayopigwa kwenye Uwanja wa New...
SHIRECU yanunua tani 387 za dengu kwa mil 386/- Shinyanga
SHINYANGA: CHAMA Kikuu cha Ushirika mkoani Shinyanga (SHIRECU) kimenunua tani 387 za dengu kwa thamani ya Sh milioni 386 kutoka Vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS) sita katika msimu wa…
Dabi ya Kariakoo: Hali ilivyo nje ya Uwanja wa New Aman
Mamadou Gaye awatuliza mashabiki Nigeria, aitaka FIFA kuamua MTAALAMU wa soka barani Afrika, Mamadou Gaye, amewaomba wadau wa soka kuendelea kuwa wavumilivu wakati Nigeria ikisubiri uamuzi kutoka FIFA katika kesi…
Simba yafanya kufuru mazoezini New Amaan usiku, Gueye, Chama waongeza mzuka kuikabili Yanga kesho
Iran hatarini kushiriki Kombe la Dunia 2026, FIFA yatoa tamko NCHI ya Iran huenda ikajiondoa kwenye mashindano ya Kombe la Dunia 2026 kufuatia mashambulizi ya anga ya Marekani yaliyomuua kiongozi…
Ahmed Ally ashtukia jambo uwanja wa New Amaan Complex usiku huu kuelekea Dabi ya Kariakoo kesho
Mamadou Gaye awatuliza mashabiki Nigeria, aitaka FIFA kuamua MTAALAMU wa soka barani Afrika, Mamadou Gaye, amewaomba wadau wa soka kuendelea kuwa wavumilivu wakati Nigeria ikisubiri uamuzi kutoka FIFA katika kesi…
Vijana, watoto watakiwa kwenye michezo
SHINYANGA: WANANCHI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wameaswa kuwapa nafasi vijana na watoto kushiriki michezo kwani kufanya hivyo itawasaidia kupata mwanga na kufikia ndoto katika vipaji vyao.…
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki latangaza mkutano wa usio wa kawaida Jumatatu
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki litafanya mkutano wa usio wa kawaida siku ya Jumatatu, Machi 2, kwa ombi la Urusi, shirika hilo limetangaza siku ya Jumamosi jioni. Imechapishwa:…
Vigogo wa Iran waliouawa na Marekani-Israel
Kufuatia kuthibitishwa kwa mauaji ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, vyombo vya...
Furaha na hasira vyashuhudiwa nchini Iran baada ya kifo cha Ali Khamenei
Rais Trump alipotangaza kifo cha Kiongozi Mku wa kiroho wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, matukio ya shangwe yalionekana katika baadhi ya vitongoji vya Tehran na katika majimbo mengine, anaripoti mwandishi…
Iran begins 40-day mourning after Khamenei killed in US-Israeli attack
TEHRAN: IRAN has begun 40 days of mourning after Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei was killed in ongoing attacks by the United States and Israel, according to Iranian state media.…
Waliyoyasema viongozi duniani kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Viongozi wa dunia wamekuwa wakitoa maoni yao kuhusu mashambulizi yaliyofanywa katika miji kadhaa ya Iran na hatua za kulipiza kisasi za Tehran.
Iran yatangaza kifo cha Mkuu wake wa Majeshi na kiongozi wa Walinzi wa Mapinduzi
Mkuu wa Majeshi wa Iran, Waziri wa Ulinzi, na Kamanda wa kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi wameuawa katika mashambulizi ya Marekani na Israeli. Imechapishwa: 01/03/2026 – 09:52 Dakika 1 Wakati…
Mzozo Mashariki ya Kati kuathiri bei ya mafuta duniani
Mashambulizi yanayoendelea Mashariki ya Kati yanahofiwa kupandisha bei ya mafuta duniani...
Mambo sita mwanao anayohitaji kuyasikia
Watoto wadogo ni watu kamili wenye hisia kama sisi watu wazima. Hata kama wakati mwingine...
Presidential selfies, dreams to deadline: Race against AFCON 2027 clock
THERE is a peculiar way in which time behaves when a great event approaches. At first it strolls along like a distant caravan on the horizon: Visible, romantic and comfortably…
China yatoa wito wa kusitisha mashambulizi dhidi ya Iran
Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeeleza wasiwasi wake kuhusu mashambulizi ya Marekani na...
Ile siku imefika
Ngoja tuone itakuwaje? Yanga itaendeleza ubabe wake mbele ya Simba, au Wekundu wa Msimbazi...
Makamanda wa ngazi za juu wa Iran wameuawa shahidi katika hujuma ya kigaidi ya Israel, Marekani
Kundi la makamanda wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameuawa shahidi katika hujuma ya kigaidi ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Iran yajibu mapigo, yashambulia mataifa yenye mali za Marekani
Serikali ya Iran, jana Jumamosi, Februari 28, 2026, ilithibitisha mashambulizi yake dhidi ya...
Iran kutoa jibu kali kwa wauaji wa wanafunzi 150
Viongozi wa Iran wamelaani vikali shambulio la anga la utawala katili wa Israel dhidi ya shule ya msingi ya wasichana katika mji wa Minab, ulioko katika mkoa wa Hormozgan, kusini…
Dar Derby hits live today
ZANZIBAR: THE wait is over as the Dar es Salaam Derby is set to ignite, with Young Africans hosting Simba in a Mainland Premier League showdown at the New Amaan…
Iran yathibitisha kifo cha Ayatollah, yatangaza siku 40 za maombolezo
Vyombo vya habari vya Serikali ya Iran vimethibitisha kuwa Kiongozi Mkuu wa taifa hilo...
Msifanye ndoa zenu kuwa maabara
Neno maabara si geni masikioni mwa wengi. Ni mahali pa majaribio, pa kupima nadharia...
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameuawa shahidi katika hujuma ya kigaidi ya Marekani na Israel
Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Raji’un. Kufuatia shambulio la kikatili na la kigaidi la utawala wa Kizayuni na Marekani, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameuawa…
Tofauti za kihisia kati ya wanawake na wanaume
Wanaume na wanawake wana mifumo tofauti ya kihisia, jambo linaloathiri namna wanavyokabiliana...
Haya ndio madhara ya kukacha mikutano ya shule
Wazazi waliobahatika kuuanza mwaka 2026 wakiwa na watoto katika hatua mbalimbali za masomo...
Spika wa Iran: Israel, US zimekanyaga mstari wetu mwekundu
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Bagher Ghalibaf amesema Rais wa Marekani, Donald Trump na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu wamevuka mstari…
Majanga ya kuishi na mwenza haambiliki
Kuishi na mwenza asiyeambilika ni changamoto kubwa, inayoweza kuleta mgogoro na usumbufu katika...
How to thrive at work as an introvert-without pretending to be extroverted
DAR ES SALAAM: THERE’s absolutely nothing wrong with not being the loudest person in the room. However, according to both introverts and extroverts, it’s an extrovert’s world. The traits commonly…
Mamilioni ya Wairani wamuomboleza Kiongozi Muadhamu; taifa lazizima
Wananchi wa Iran wamemiminika mitaani na katika medani mbali mbali kumuomboleza Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, aliyeuawa shahidi katika shambulizi la kigaidi la Marekani na…
ONGEA NA AUNT BETTIE: Hataki nijishughulishe na kwetu hatoi huduma
Mume wangu ananikataza kufanya biashara ilihali hanitimizii mahitaji yangu na ya familia yangu.
Larijani: Taifa la Iran litawafanya maadui wajutie uchokozi wao
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Ali Larijani amesema taifa hili litazifanya Marekani na Israel kujutia uchokozi wao dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
Tetesi za soka Jumapili: Marcus Rashford akubali mkataba na FC Barcelona
Mshambuliaji wa England, Marcus Rashford (28), amekubali mkataba wa miaka mitatu na FC Barcelona.
Rose Njilo mwanamke wa kifugaji anayepigania ukombozi wa wasichana
Rose mwenye umri wa miaka 42, safari yake ya mapambano ilianza akiwa mtoto na aliozeshwa akiwa...