Kiongozi wa kiroho wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameuawa
Kiongozi wa juu wa kiroho wa Iran ameuawa katika shambulio la Israeli na Marekani- Televisheni ya inayomilikiwa na serikali ya Iran. Imechapishwa: 01/03/2026 – 04:47Imehaririwa: 01/03/2026 – 05:06 Dakika 1…
Ayatollah Khamenei: Jinsi kiongozi mkuu wa Iran alivyofanikiwa kuidhibiti Iran kwa ‘mkono wa chuma’
Khamenei alikumbatia sera kali dhidi ya shinikizo lililoongezeka la mageuzi kwa kipindi cha takriban miongo minne madarakani. Khamenei amekumbatia sera kali dhidi ya shinikizo linaloongezeka kwa mageuzi katika takriban miongo…
Modern neonatal care training enhances staff readiness
KWIMBA: HEALTHCARE workers preparing to serve in the new neonatal unit at Kwimba District Hospital have successfully completed specialised training designed to enhance care for premature infants and their mothers.…
Usikubali kupoteza mwelekeo, elekeza moyo kwa Yesu
Bwana Yesu asifiwe, karibu katika tafakari ya neno la Mungu. Ninaitwa Mwalimu Erasto Maliganya...
Alcohol addiction is reversible, try this
DAR ES SALAAM: WALKING away from any kind of addiction is not easy as it requires the concerned person to fully commit to the quitting decision in order not to…
Tunachokijua kuhusu shambulizi la Marekani- Israel dhidi ya Iran kufikia sasa
Iran imelipiza kisasi shambulio la Marekani na Israel kwa kurusha kombora kuelekea Israel, huku milipuko ikisikika nchini Qatar, Bahrain, Saudi Arabia na Falme za Kiarabu UAE.
Mwanamume aliyekuwa ameabiri helikopta iliyomuua Mbunge Ng’eno asema rubani alikuwa haraka
A close friend recalls MP Johanna Ng’eno's final moments before the tragic helicopter crash in Nandi County that killed six, revealing their heartfelt day together.
EU supports Tanzania’s integrated urban development strategies
TANZANIA’s urban centres are growing faster than ever, bringing enormous opportunities for economic growth but also urgent challenges in waste management, water supply and environmental sustainability. Rapid urbanisation has amplified…
Johanna Ng’eno: Shahidi asema helikopta iliyomuua mbunge ililipuka mara baada ya kutua kwa dharura
Eyewitnesses recount the harrowing helicopter crash on February 28, killing MP Johanna Ng’eno and five others, as police confirm the tragic incident in Nandi County.
Chapisho la mwisho la Johanna Ngeno mitandaoni laibuka baada ya kufariki katika mkasa wa helikopta
Matukio ya mwisho ya mbunge wa Emurua Dikirr, Johana Ngeno yameibuka kwenye mitandao ya kijamii kufuatia ajali ya helikopta huko Nandi iliyoua rubani na abiria wote.
Magazeti ya Kenya, Machi 1: Mazungumzo kati ya rubani na wenyeji kabla ya Aaali iliyomuua Ng’eno
Ajali ya helikopta yaua Mbunge Johana Ngeno na wengine watano huko Chepkiit; mashahidi wakumbuka ukungu, kishindo kikubwa, miali ya moto kabla na baada ya mkasa.
Stop turning death into hashtags, we share fate
DAR ES SALAAM: SURELY, surely, Donne wrote, “every man’s death diminishes me.” In that single line, the seventeenth century English poet reminds us that all human beings are fundamentally connected.…
Anti plastic pollution drive in top gear
KAGERA: INVESTORS producing biodegradable bags will continue receiving government backing as the nation steps up efforts to curb plastic pollution and promote environmentally friendly packaging. Deputy Minister of State in…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 1, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Janabi graces the launch of the neonatal unit at Kwimba Hospital
NGUDU: A STATE-of-the-art neonatal care building constructed to international standards has been officially launched at Kwimba District Hospital in Mwanza Region. The facility was inaugurated by Dr Mohamed Janabi, WHO…
Election Unrest Inquiry: Tanzania wins UNHRC praise
GENEVA: THE United Nations Human Rights Commission has commended Tanzania for its decisive steps to address violent incidents that occurred during and after the October 2025 General Election. Addressing the…
Ntorya–Madimba Pipeline to boost power supply
MTWARA: THE government has intensified efforts to meet its target of generating 8,000 megawatts of electricity by 2030, following steady progress in the construction of the Ntorya–Madimba natural gas pipeline…
Rural water coverage surpasses target
DODOMA: RURAL water coverage has reached 85.2 per cent, surpassing the 85 per cent target set for 2025 under the CCM election manifesto, the Ministry of Water has announced. The…
Kulipiza kisasi kwa Iran kwazua maswali kuhusu ulinzi wa anga wa Marekani
Iran imelenga kambi ya Jeshi la Wanamaji la Marekani nchini Bahrain, ikionyesha udhaifu katika ulinzi wa anga, jambo ambalo litaitia wasiwasi Washington na washirika wake katika eneo hilo
Tanzania commits strong EAC support
DAR ES SALAAM: TANZANIA has pledged continued support for East African Community (EAC) priorities aimed at deepening regional integration, boosting trade and strengthening economic cooperation ahead of the bloc’s Heads…
Anko Kitime: Muziki una nguvu za ajabu sana- 1
Muziki una siri kubwa sana. Muziki una nguvu kubwa sana. Muziki unaweza kuliwaza, unaweza...
Moses Wetang’ula atangaza rasmi kifo cha Mbunge Johanna Ng’eno: “Kwa masikitiko makubwa”
Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula alitangaza kifo cha Mbunge wa Emurwa Dikkir Johanna Ng'eno siku ya Jumamosi, Februari 28. Ajali ya helikopta ilimuua.
Johanna Ngeno: Picha za kabla ya ajali za mbunge aliyekuwa ndani ya helikopta iliyoanguka zaibuka
Video ya Mbunge wa Emurua Dikirr Johanna Ngeno akiwa kwenye helikopta iliyoanguka Kaunti ya Nandi, na kusababisha vifo vya watu sita, imeibuka na kuzua huzuni.
Nairobi: Mwanafunzi wa Gredi ya 9 asombwa na mafuriko akiwafuata wenzake kweenda kucheza
John Mutuku, mwanafunzi wa Darasa la 9, alisombwa na mafuriko jijini Nairobi. Familia yake na marafiki zake walimtafuta kwa hamu huku kukiwa na huzuni na msiba.
Mashambulizi ya Israeli na Iran: Donald Trump aapa kuharibu silaha za Iran kabisa
Donald Trump ametangaza kampeni "kubwa" ya kijeshi, Operesheni Epic Fury, dhidi ya Iran, ikilenga mpango wake wa nyuklia huku Iran ikilipiza kisasi kwa makombora.
Kilifi: Mwanamume aliyemuua mkewe kwa sababu ya Instagram asukumwa jela miaka 30
Murad Awadh Mbaraka, aliyehukumiwa miaka 30 kwa kumuua Nuru Ibrahim kwa sababu ya mitandao ya kijamii, aliwaacha watoto na mshtuko kufutaua tukio hilo.
Nandi: Mbunge miongoni mwa watu 6 wanaohofiwa kufa baada ya helikopta kuanguka na kulipuka moto
Angalau watu sita wanahofiwa kufariki baada ya helikopta kuanguka katika Kaunti ya Nandi Jumamosi jioni, Februari 28. Ajali hiyo ilithibitishwa na mkuu wa polisi.
Kardinali Pengo alivyoumaliza mwendo, kauli za viongozi
Kardinali Pengo ametambuliwa kama kiongozi wa kiroho aliyepita mipaka ya madhehebu na kuwa...
Cornel amrithi Almas Kasongo TPLB
ALIYEKUWA mkurugenzi wa Fedha wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Cornel Barnabas, ameteuliwa kuwa ofisa mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB).
Pacome atengwa Yanga ikipiga tizi la mwisho kabla ya Dabi
ZIKIWA zimesalia saa chache ipigwe mechi ya Dabi ya Kariakoo kwenye Uwanja wa New Amaan Complex hapa Unguja, kikosi cha Yanga leo Februari 28, 2026 kimefanya mazoezi ya mwisho kuelekea…
Wajumbe SHIRECU wapitisha rasimu bajeti bil 2.8/-
SHINYANGA: WAJUMBE wa Chama Kikuu Cha Ushirika mkoani Shinyanga (SHIRECU) wamepitisha rasimu ya bajeti ya zaidi ya Sh bilioni 2.8 kwa mwaka wa fedha 2026/2027 huku ikijizatiti kuanza kukopesheka kwenye…
Fountain Gate yalamba dili
TIMU ya Fountain Gate imeingia makubaliano ya miaka miwili yenye lengo la kuhakikisha kwamba wachezaji na benchi la ufundi wanakuwa katika mazingira bora ya kiutendaji wanapokuwa katika majukumu yao uwanjani.
Bunge lawaita wananchi kushiriki marathoni
MBUNGE wa Makete na Mwenyekiti wa Bunge Bonanza, Festo Sanga amewataka wananchi kujumuika na wabunge katika mbio za marathoni za Bunge zinazotarajiwa kufanyika Julai 18, mwaka huu.
Offen Chikola ni mapambano tu
KIUNGO mshambuliaji wa Singida Black Stars, Offen Chikola amesema msimu huu upande wake ni wa kujifunza vitu vingi, huku akiwa amecheza kwa dakika 50 pekee dhidi ya Fountain Gate tangu…
Wakulima wa parachichi walilia ukaguzi wa mizani
Mkutano huo umeitishwa na WMA Mbeya kutoa elimu ya umuhimu wa uhakiki wa nembo kwenye mizani...
Mbunge wa UDA aambia mrengo wa ODM wa Oburu kusahahu kabisa kiti cha naibu wa Ruto: “Ni cha Kindiki”
Kinyang'anyiro cha nafasi ya mgombea mwenza wa Rais William Ruto kinaendelea kusababisha hisia, huku kundi la Oburu Oginga katika ODM likiambiwa haiwezekani.
Mtanzania adai kuteswa Uarabuni, aomba msaada kurejeshwa Tanzania
Zaidatu alisafiri Agosti 30, 2025 kwenda katika nchi hiyo akiwa na matumaini ya kujiongezea...
‘Taasisi za kifedha ziwezeshe wajasiriamali’
DAR ES SALAAM: Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es Salaam, Rashid Mangara, amezitaka taasisi za kifedha kuongeza ubunifu katika utoaji wa huduma zao, hususan mikopo yenye masharti nafuu ili…
Mtendaji Mkuu mpya Bodi ya Ligi Kuu huyu hapa, Kasongo arejea kivingine
Karia ametangaza uteuzi wa Cornel wakati akiweka hadharani majina ya wakurugenzi mbalimbali wa...
Health workers trained on safe gas use to promote clean cooking
MWANZA: ALL health department employees in the Kwimba District Council, Mwanza Region, have received training on the correct and safe use of cooking gas, alongside an in-depth explanation of the…
Vihiga: Jirani amgeuka naibu chifu, amshambulia kwa upanga kisa chang’aa
Assistant Chief Moses Mbarani of Kigama suffers machete injuries after a violent confrontation over illegal chang’aa production, raising concerns over local safety.
Tunachokijua kuhusu shambulizi la pamoja la Marekani- Israel dhidi ya Iran
Iran imelipiza kisasi shambulio la Marekani na Israel kwa kurusha kombora kuelekea Israel, huku milipuko ikisikika nchini Qatar, Bahrain, Saudi Arabia na Falme za Kiarabu UAE.
Tume ya uchunguzi yakutana na mmiliki mabasi ya Esther
Kwa sasa tume inaendelea na mahojiano na waathirika wa matukio hayo kwa ajili ya hatua zaidi...
Mashambulizi ya Israel na Iran: Kenya Airways yafuta safari 5 za ndege kwenda UAE
Kenya Airways Limesimamisha safari za ndege kwenda Dubai na Sharjah kutokana na kufungwa kwa anga za UAE baada ya shambulizi la Israeli dhidi ya Iran.
6m/- cash prize on stake as Bunge Marathon draws battle lines
DAR ES SALAAM: THE pulsating 6,000,000/- package is the highest cash prize awaiting the winners of this year’s Bunge Marathon ahead of its flag off in Dodoma in mid-April this…
Chuo cha Aga Khan chatoa mafunzo ya malezi bora kwa watoto
Mafunzo hayo yanatekelezwa na AKU kupitia Taasisi ya Maendeleo ya Binadamu pamoja na Taasisi ya...
Kakamega: Manunda 6 wavamia kituo cha polisi, wamuua afisa na kujeruhi 2
Hali ya taharuki ilitanda Mumias Magharibi baada ya watu wenye silaha kuvamia Kituo cha Polisi cha Musanda, na kumuua afisa mmoja huku wakiwajeruhi wengine wawili.
Iran yasema itaendelea kujibu mashambulio ya Israel na Marekani
Marekani na Israel, zimetekeleza mashambulio ya kijeshi nchini Iran siku ya Jumamosi, ikimlenga kiongozi wa kiroho Ayatollah Ali Khamenei na rais Masoud Pezeshkian, huku Tehran ikilipiza kisasi kwa kurusha makombora…