Mashambulizi ya Israel na Iran: Kenya Airways yafuta safari 5 za ndege kwenda UAE
Kenya Airways Limesimamisha safari za ndege kwenda Dubai na Sharjah kutokana na kufungwa kwa anga za UAE baada ya shambulizi la Israeli dhidi ya Iran.
6m/- cash prize on stake as Bunge Marathon draws battle lines
DAR ES SALAAM: THE pulsating 6,000,000/- package is the highest cash prize awaiting the winners of this year’s Bunge Marathon ahead of its flag off in Dodoma in mid-April this…
Chuo cha Aga Khan chatoa mafunzo ya malezi bora kwa watoto
Mafunzo hayo yanatekelezwa na AKU kupitia Taasisi ya Maendeleo ya Binadamu pamoja na Taasisi ya...
Kakamega: Manunda 6 wavamia kituo cha polisi, wamuua afisa na kujeruhi 2
Hali ya taharuki ilitanda Mumias Magharibi baada ya watu wenye silaha kuvamia Kituo cha Polisi cha Musanda, na kumuua afisa mmoja huku wakiwajeruhi wengine wawili.
Iran yasema itaendelea kujibu mashambulio ya Israel na Marekani
Marekani na Israel, zimetekeleza mashambulio ya kijeshi nchini Iran siku ya Jumamosi, ikimlenga kiongozi wa kiroho Ayatollah Ali Khamenei na rais Masoud Pezeshkian, huku Tehran ikilipiza kisasi kwa kurusha makombora…
Liberia: Choplife Gaming secures license to launch online sports betting and casino operations
Choplife Gaming, a pan-African digital entertainment and gaming group, has secured a license to operate online sports betting and casino services in Liberia, marking its official entry into the Liberian…
Korti yaruhusu mapitio shauri la kufutwa kazi ofisa wa Nida
Machi 10, 2023, mleta maombi ambaye ni Manyumba alipokea barua ya kuachishwa kazi kuanzia...
Orodha ya mabilionea wa Kenya wanaotawala sekta ya benki nchini, mamilioni ya gawio wanazopata
Sekta ya benki ya Kenya inaendelea kupata utajiri mkubwa kwa kundi teule la mabilionea na familia zenye utajiri mkubwa kupitia gawio kubwa wanazopata.
Bunge Marathon msimu wa 3, kuja kivingine!
DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Bunge Marathon na Bunge Bonanza, Festo Sanga, ametangaza kuwa mbio za Bunge Marathon msimu wa tatu zinatarajiwa kufanyika Aprili 18, 2026 katika Viwanja vya Jamhuri…
Hakuna mbadala wa mazungumzo kwenye kumaliza kinachoendelea Iran – Guterres
Katibu Mkuu wa UN asisitiza mazungumzo kumaliza uhasama Marekani yazungumzia operesheni Epic Fury Israeli yasema kilichofanyika leo kilikuwa ni lazima Iran yasema kutokulaani kinachoendelea ni dalili ya ushirika
Mashambulizi dhidi ya Iran na yale ya kulipiza kisasi yanatwamisha amani na usalama duniani
Marekani na Israeli zashambulia Iran, Iran yajibu Guterres ataka wachague njia ya amani Baraza la Usalama kukutana kwa dharura leo alasiri
Mafuriko Msumbiji: Mambo 10 ya kufahamu
Kwamujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji IOM, mafuriko makubwa yaliyoikumba Msumbiji hivi karibuni yamesababisha vifo, watu kufurushwa makwao, miundombinu kuharibika na changamoto nyingine lukuki ikiwa ni pamoja…
Keep A Child Alive delegation visits Tanzania ahead of neonatal facility launch in Mwanza
DAR ES SALAAM: A DELEGATION from Keep A Child Alive, a foundation established by internationally renowned artist Alicia Keys, has arrived in Tanzania t ahead of the official launch of…
‘Miradi ya miundombinu ikamilike wa wakati’
Wakati mvua zikiendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Dunstan...
Pakistan iko ‘vitani’ na Afghanistan – Waziri wa ulinzi
Mashambulizi hayo yalitokea baada ya Taliban wa Afghanistan kutangaza shambulio kubwa dhidi ya vituo vya kijeshi vya Pakistan karibu na mpaka Alhamisi usiku.
Marekani na Israel zafanya mashambulizi ya pamoja dhidi ya Iran, Tehran yajibu
Jeshi la Ulinzi la Israel linasema Iran imefanya shambulio la kulipiza kisasi nchini humo.
Joto Dabi ya Kariakoo, Amri Kiemba aipa Simba mbinu ya ushindi, amtaja Pacome, Depu
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
BOT yahamasisha kampeni ya malipo kidijitali
Mchambuzi kutoka Kurugenzi ya Masoko ya Fedha ya BoT, Ephraim Madembwe amewashauri wananchi...
Viongozi wajitokeza maziko ya Kardinali Pengo, Pugu
Ibada ya Misa Takatifu ya mazishi inaongozwa na viongozi wa Kanisa Katoliki, huku maelfu ya...
Waliohukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya bodaboda waachiwa huru
Kuachiwa kwao kumetokana na Mahakama ya Rufani kubaini kuwa upande wa mashtaka ulishindwa...
Takukuru Rafiki yafanikisha ujenzi zahanati Kabare
KIGOMA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kigoma imesema mpango wa taasisi hiyo kusikiliza kero za wananchi maarufu kama ‘TAKUKURU RAFIKI’ umefanikisha ujenzi wa zahanati kijiji…
ZEC yateketeza nyaraka 720,000 za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29
Kati ya nyaraka hizo 100,000 hazikutumika, zilizotumika Unguja ni nyaraka za kura 461,000 na...
Watumishi Kwimba wapewa elimu matumizi gesi ya kupikia
WATUMISHI wa idara ya afya Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza wamepatiwa mafunzo ya matumizi sahihi na salama ya gesi ya kupikia sambamba na kuelezwa kwa kina madhara yanayotokana…
Dakika 8 za kocha Simba akizungumzia dozi kulipa kisasi kwa Yanga, Kapombe asema…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Ndani ya Boksi: Kupatwa kwa mwezi, mwezini
Haikumtisha. Tayari bibie alikuwa ameshajiweka pembeni. Na zaidi hakuwa Hidaya yule wa Jeff...
Willis Raburu aamsha mzuka wa umati hafla ya Trevor Ombija huko Nyakach, atoa mchango wa KSh 20k
Willis Raburu alihudhuria hafla ya Trevor Ombija huko Nyakach ambapo aliwapa changamoto vijana kung'aa na kutoa KSh 20,000 kuwasaidia wanawake kununua gumboots.
Ida Odinga amkemea jamaa aliyekuwa akimfotoa bila idhini yake: “Usinipige picha”
Ida Odinga alimvaa jamaa liyekuwa akimrekodi kisiri huku akisubiri uteuzi wake katika Unep. Mitandao ya kijamii imejibu; wasiwasi wa faragha licha ya hadhi yake.
Wanafunzi vyuoni wajadili bunifu kusaidia jamii
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Youth Innovation Foundation imewakutanisha wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali kutokea Dar es salaam wanaosomea kada Sayansi na teknolojia kwa ajili ya bunifu zinazolenga kutatua matatizo katika…
Milipuko Tehran huku Israel ikianzisha mashambulizi mapya ya kijeshi Iran, yatangaza hali ya hatari
Israeli imezindua shambulio la mchana katika mji mkuu wa Iran huku wingu la moshi likipanda katikati mwa jiji karibu na ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei.
Lengo la Marekani ni kuharibu jeshi la Iran na kuiangusha serikali : Trump
Rais wa Marekani ametangaza kwamba nchi yake imetekeleza shambulio kubwa dhidi ya Iran. Imechapishwa: 28/02/2026 – 10:15 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata Kwa mujibu wa…
Miriam Odemba atunukiwa tuzo ya heshima Temeke
DAR ES SALAAM: MWANAMITINDO nguli wa Kimataifa Mtanzania anayeishi nchini Ufaransa, Miriam Odemba, ametunukiwa tuzo ya heshima na Uongozi wa Shule ya Msingi ya Jeshi la Wokovu iliyopo Temeke Dar…
Dereva wa bajaji adaiwa kujinyonga
Dereva bajaji, Msafiri Sanga (40), amekutwa amefariki dunia kwa kile kilichoelezwa kuwa...
Marekani na Israeli zathibitisha kuishambulia Iran
Marekani na Israel zimeanzisha mashambulio kuelekea katika Miji mbalimbali likiweo jijini kuu la Tehran nchini Iran. Imechapishwa: 28/02/2026 – 10:02 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Wakenya wajibu pendekezo la serikali watumishi wa umma waajiriwe tu kwa kandarasi sio kazi ya kudumu
Pendekezo la serikali ya Kenya la kuwahamisha watumishi wa umma kutoka masharti ya kudumu na ya kustaafu hadi mikataba inayotegemea utendaji limezua wasiwasi mkubwa.
Masauni ahimiza wajibu kuulinda muungano
ZANZIBAR: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Hamad Yussuf Masauni, amewaasa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuelimisha wananchi kuhusu misingi, faida na wajibu wao katika…
Wakenya watoa maoni baada ya Truphena Muthoni kukiri hajui kitu kuhusu kazi aliyopewa na Ruto
Truphena Muthoni alifichua kwamba haelewi kabisa maelezo mahususi kuhusu kazi aliyopewa na Rais William Ruto. Wakenya wameonyesha hisia tofauti kuhusu hali hiyo.
Tanzania kurejesha hekta milioni 5.2 mwaka 2030
"Tumejipanga hadi ifikapo mwaka 2030 Tanzania itakuwa imerejesha ardhi iliyoharibiwa, hekta...
Ruto ampanda kichwani Justin Muturi baada ya UDA kushinda katika wadi yake: “Na bado wanajigamba”
Rais William Ruto amemchekelea Justin Muturi baada ya UDA kushinda katika Wadi ya Evurore, ambacho ni kituo chake cha kupigia kura, akimaanisha hana nguvu kisiasa.
Bunifu MUHAS zaleta matokeo chanya sokoni
DAR ES SALAAM: Tanzania inaendelea kupiga hatua katika kujenga uchumi unaotegemea maarifa na ubunifu, kupitia sera na mikakati mbalimbali, huku Serikali ikiweka mazingira yanayowezesha watafiti, wabunifu kukuza mawazo yao na…
Watumishi afya Kwimba wapatiwa mafunzo ya nishati safi ya kupikia
Amesema kundi la watumishi wa afya limechaguliwa kwa kuwa ndilo hukutana moja kwa moja na...
Magazeti ya Kenya: Wakenya wakerwa na bajeti ya Ikulu ambayo ni KSh 123m kwa kila hafla ya Siku Kuu
Ikulu ya Serikali inatumia KSh123 milioni kwa chakula, mahema na burudani wakati wa kila sherehe tatu za kitaifa, Madaraka, Mashujaa na Siku ya Jamhuri.
Bunge Marathon yafanyika Julai 18 Dodoma
Kaulimbiu ya mwaka huu, “Njoo Ukimbie na Mbunge Wako,” inalenga kuimarisha afya za wananchi na...
Marekani na Iran zazindua shambulio wanalolitaja ni la ‘tahadhari’ dhidi ya Iran
Milipuko mitatu imesikika katikati mwa jiji la Tehran, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Iran.
Israel yatangaza kutekeleza shambulio la kombora nchini Iran
Milipuko yaripotiwa jijini Tehran, Israel ikitangaza kuwa imetekeleza shambulio la kombora nchini Iran. Imechapishwa: 28/02/2026 – 08:09Imehaririwa: 28/02/2026 – 08:23 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Grumeti yatumia Sh370 milioni kuboresha shule, afya na maji Mara
Kampuni ya Grumeti Reserves Limited imetumia takriban Sh370 milioni kununua vifaa vya elimu...
Ni mwamba: Miaka 20 ya Joh Makini katika rap!
Msanii wa Hip Hop Bongo, Joh Makini (45), ambaye anayawakilisha vizuri makundi ya River Camp na...
Vitisho vya Trump na mazungumzo ya nyuklia: Tulifikaje hapa
Waziri wa Ulinzi wa Israel Katz anasema shambulio dhidi ya Iran ni la 'kujikinga' na kutangaza hali ya dharura.
Israel inasema imeshambulia Iran, milipuko ikiripotiwa mjini Tehran
Waziri wa Ulinzi wa Israel Katz anasema shambulio dhidi ya Iran ni la 'kujikinga' na kutangaza hali ya dharura.
LIVE: Mamia walivyojitokeza Pugu mazishi ya Kardinali Pengo
Mwili wake unatarajiwa kuzikwa leo Jumamosi Februari 28, 2026 katika Kituo cha Hija kilichopo...
Je, Mamlaka ya Palestina inakarabia kuporomoka
"Dola ya Palestina, utambulisho wa Kipalestina, na hata uwepo wa Wapalestina katika ardhi yao ya asili sasa uko hatarini", anasema Sabri Saidam, aliyekuwa Waziri wa Mamlaka hiyo.