Je, Mamlaka ya Palestina inakarabia kuporomoka
"Dola ya Palestina, utambulisho wa Kipalestina, na hata uwepo wa Wapalestina katika ardhi yao ya asili sasa uko hatarini", anasema Sabri Saidam, aliyekuwa Waziri wa Mamlaka hiyo.
Katibu Mkuu wa UN: ‘Uhamiaji si mgogoro’, ahimiza ushirikiano wa kimataifa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amezitolea wito nchi mbalimbali kupinga simulizi zinazochochewa na hofu kuhusu suala la uhamiaji, akisisitiza kwamba "uhamiaji si mgogoro".
Amnesty International: Upanuzi wa Israel wa vitongoji vya walowezi katika Ukingo wa Magharibi ni changamoto dhahiri kwa sheria za kimataifa
Shirika la Amnesty International limetangaza kwamba tangu mwezi Disemba mwaka jana, serikali ya Israel imezidisha harakati zake katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu huko Palestina, ikiwa ni pamoja na…
Guinea imewaachia huru wanajeshi 16 wa Sierra Leone waliokamatwa mapema wiki hii
Katika hatua inayolenga kupunguza mvutano, Sierra Leone imesema kuwa Guinea jana iliwaachilia huru wanajeshi na maafisa wake wa polisi 16 waliokamatwa siku ya Jumanne.
Polisi Kenya kukabiliana na ongezeko la ukosefu wa amani mijini kipindi cha Uchaguzi Mkuu
Idara ya Polisi ya Kenya imetangaza mipango ya kuunda vikosi maalumu cha kukabiliana na ongezeko la ukosefu wa usalama jijini Nairobi na katika miji mingine mikubwa huku nchi ikielekea katika…
Selena ashauriwa kuachana na mumewe kisa uchafu!
Mwigizaji na mwanamuziki kutoka Marekani, Selena Gomez (33,) ameshauriwa kuachana na mume wake,...
Wimbi jipya la upinzani dhidi ya vita nchini Marekani; dalili ya kudhoofika zaidi Trump
Kadiri matamshi ya kivita yanavyozidi kutoka kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, pamoja na baadhi ya maafisa wa utawala wake, wimbi jipya la upinzani dhidi ya uwezekano wa a vita…
Iran yahimiza kusitishwa mapigano mara moja kati ya Afghanistan na Pakistan
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imezitaka Pakistan na Afghanistan kuketi kwenye meza ya mazungumzo haraka iwezekanavyo ili kusimamisha mapigano na kupunguza mvutano, huku mapigano ya mpakani kati ya…
Chalamila asisitiza amani, umoja kwa wakazi wa Dar
DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wakazi wa mkoa huo kuendeleza umoja na upendo miongoni mwao, akisisitiza kuwa mwezi mtukufu wa Ramadhani ni…
Hekaya za Mkevi: Guantanamo ndani ya Bongo!
Baada ya kubainika kuwa mifungo ya Ramadhan na Kwaresma ingeanza kwa pamoja, mlevi mmoja...
Charles msanii anayerudisha kumbukumbu za mastaa waliofariki
Katika ulimwengu huu wa teknolojia, yaliyokuwa yanaonekana hayawezekani sasa yanawezekana.
Vijana 336 wahitimu ufundi stadi, wakabidhiwa vifaa vya Sh69 milion
Katika utekelezaji wa mradi huo, zaidi ya Sh160 milioni zimetumika kulipia ada za mafunzo na...
Beldina na miongo miwili ya kufufua matumaini ya waliokata tamaa
Akiwa mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Beldina...
Mwanafunzi afa maji akienda shuleni
Mwanafunzi huyo, Daniel Joseph (11) wa darasa la nne katika Shule Msingi Terrat iliyopo Kata...
Iran: Mafanikio ya mazungumzo ya nyuklia yanategemea kuwa jadi Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kwamba, mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani yatafanikiwa tu iwapo Washington…
OIC yaonya dhidi ya vitisho vya kuishambulia kijeshi Iran
Kamati ya Utendaji ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeonyesha wasiwasi wake kuhusu vitisho vya hivi karibuni dhidi ya Iran.
Iran: Kutochukua hatua Baraza la Usalama dhidi ya jinai za Israel ni ‘janga’
Iran imelishutumu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kufumbia macho mashambulizi mabaya yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon, ambayo yanakiuka makubaliano ya kusitisha mapigano…
Israel yaendelea kuwazuia Wapalestina kuswali Masjidul Aqsa
Jeshi la Israel jana lilipeleka idadi kubwa ya wanajeshi katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, hasa katika vituo vya ukaguzi vinavyoelekea katika mji wa Quds (Jerusalem), sanjari na kuimarisha…
UNHCR: Sudan Kusini ina wakimbizi zaidi ya 600,000
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema Sudan Kusini ni mwenyeji wa wakimbizi na waomba hifadhi 613,710 katika kaya 164,574 katika majimbo 29 kote nchini.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 28, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Geneva, Uswisi
Geneva, Uswisi Wakati mwenendo wa hali ya haki za binadamu katika baadhi ya mataifa duniani ukiwa mbaya; Tanzania imemwagiwa sifa kuwa na mwenendo mzuri wa kushughulikia haki za binadamu. Sifa…
#KIPIMAJOTO: “Tafiti Tanzania hapa zimefanyika nyingi kadhaa na serikali kwa kushirikiana na mashirika binafsi wamefanya tafiti …
#KIPIMAJOTO: “Tafiti Tanzania hapa zimefanyika nyingi kadhaa na serikali kwa kushirikiana na mashirika binafsi wamefanya tafiti kama moja imetoka jana kubwa kuhusiana na hali ya malezi na maendeleo ya awali…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 27, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 27, 2026
#KIPIMAJOTO: “Ukuaji wa mtoto upo katika vipengele gani?…..Kwanza tunaanza na ukuaji wa kimwili ukuaji wa mwili kwa macho tuna…
#KIPIMAJOTO: “Ukuaji wa mtoto upo katika vipengele gani?.....Kwanza tunaanza na ukuaji wa kimwili ukuaji wa mwili kwa macho tunaona kila mtu atashuhudia kuongezeka kwa mtoto kimwili…………………..” Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 27, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 27, 2026
#KIPIMAJOTO: “Malezi yanapishana kama nilivyosikia kwa mtaalam alivyoelezea, mimi binafsi jinsi ninavyolea Watoto wangu kuna mud…
#KIPIMAJOTO: “Malezi yanapishana kama nilivyosikia kwa mtaalam alivyoelezea, mimi binafsi jinsi ninavyolea Watoto wangu kuna muda wa kusoma kuna muda wa kucheza na pia pengine hatukujua hicho kitu…….” Powered by…
#HABARI: Watumishi kutoka Idara na Vitengo mbalimbali vya Wizara ya Nishati wamepongeza kasi kubwa ya utekelezaji wa Mradi wa Bo…
#HABARI: Watumishi kutoka Idara na Vitengo mbalimbali vya Wizara ya Nishati wamepongeza kasi kubwa ya utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), ambao sasa umefikia…
#HABARI: Mawasiliano ya Barabara Kati ya Vijiji vya Karema na Itetemya, Kapalamsenga, na Ikola wilayani Tanganyika mkoani Katavi…
#HABARI: Mawasiliano ya Barabara Kati ya Vijiji vya Karema na Itetemya, Kapalamsenga, na Ikola wilayani Tanganyika mkoani Katavi, yamekatika kufuatia mvua iliyonyesha kusomba daraja linalowaunganisha, hali iliyolazimu wananchi kuvuka kwa…
#HABARI: Mvua zilizonyesha majira ya jioni katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro, zimesababisha maji kufunika barabara ka…
#HABARI: Mvua zilizonyesha majira ya jioni katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro, zimesababisha maji kufunika barabara katika eneo la Melela Kololo, kwenye barabara Kuu ya Morogoro – Iringa. Hali…
Tumezungumza na Padre Modest Pengo ambaye ameeleza sababu ya majina yeke kufanana na ya Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo
Tumezungumza na Padre Modest Pengo ambaye ameeleza sababu ya majina yeke kufanana na ya Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi (Feed generated with FetchRSS)
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Martin Ch…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Martin Chigong wamesaini makubaliano ya mkataba wa bunge unaofanya…
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore amesema kuwa miongoni mwa sababu zilizowaf…
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore amesema kuwa miongoni mwa sababu zilizowafanya waanzishe kozi maalum kwa wasichana wa kazi za ndani ni…
Wakuu watakiwa kuongeza ubora wa elimu kwenye taasisi wanazosimamia
Arusha. Wakati matokeo ya mitihani na ubora wa elimu vikiendelea kuwa kipimo cha ufanisi wa...
#HABARI: Viongozi wa Upinzani nchini Kenya wameikosoa Serikali ya Rais William Ruto, baada ya kubainika kuwa kiongozi wa kundi l…
#HABARI: Viongozi wa Upinzani nchini Kenya wameikosoa Serikali ya Rais William Ruto, baada ya kubainika kuwa kiongozi wa kundi la waasi la Rapid Support Forces la Sudan -RSF, Mohamed Hamdan…
Serikali ipo mbioni kujenga barabara kutoka Songea hadi Njombe, ambayo tayari imepata mkandarasi atakayezaanza ujenzi wa kilomit…
Serikali ipo mbioni kujenga barabara kutoka Songea hadi Njombe, ambayo tayari imepata mkandarasi atakayezaanza ujenzi wa kilomita 100, ili kupunguza changamoto za ubovu wa miundombinu katika eneo hilo. #AzamTVUpdates Mhariri…
Mkoa wa Singida una mambo mengi yanayoutambulisha, mathalani mandhari ya mawe makubwa, upepo wa msimu, na kilimo cha alizeti… la…
Mkoa wa Singida una mambo mengi yanayoutambulisha, mathalani mandhari ya mawe makubwa, upepo wa msimu, na kilimo cha alizeti… lakini je, unajua kuna kijiji kinaitwa Nyuki? Hiki ni kijiji kilichojipatia…
#HABARI: Mamlaka ya Ziwa Victoria na Mamlaka ya Ziwa Tanganyika, Maziwa ambayo yanazungukwa na nchi zaidi ya sita Afirika Mashar…
#HABARI: Mamlaka ya Ziwa Victoria na Mamlaka ya Ziwa Tanganyika, Maziwa ambayo yanazungukwa na nchi zaidi ya sita Afirika Mashariki na Kati, wamesaini mkataba wa makubaliano utakaolenga kusaidiana katika maswala…
#KIPIMAJOTO: CHANGAMOTO ZA MALEZI KWA WATOTO HAPA NCHINI
#KIPIMAJOTO: CHANGAMOTO ZA MALEZI KWA WATOTO HAPA NCHINI. JE, JAMII INAWAJIBIKA IPASAVYO?
#HABARI: Ziara ya Waziri Mkuu, Dkt
#HABARI: Ziara ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Jijini Arusha, imewazindua watendaji na kujikuta wakibaini ujenzi wa shule ya ghorofa usio na vibali na watoto kulazwa katika bweni wakati ujenzi…
Mwanaume Mrusi Aanika Video Nyingine na Kisura wa Kangemi Aliyemtembelea
Katika hali ya kushangaza, video mpya ya jamaa wa Urusi Yaytseslav inawaonesha wanawake Wakenya waliovutiwa naye, na hivyo kuzua hasira na kufichua siri zinazosumbua
Kamishna: Nidhamu, uadilifu ni msingi wa polisi
Morogoro. Jumla ya askari 785 wa Jeshi la Polisi wamehitimu mafunzo ya uongozi mdogo katika...
“Mfuko wa maendeleo ya Jimbo ulianzishwa kutetea maendeleo ya Majimbo ya uchaguzi, kuanzia mwaka 2020 hadi mwaka 2026 fedha za m…
"Mfuko wa maendeleo ya Jimbo ulianzishwa kutetea maendeleo ya Majimbo ya uchaguzi, kuanzia mwaka 2020 hadi mwaka 2026 fedha za mfuko wa Jimbo zilizopokelewa Zanzibar ni Tsh. bilioni 8.434, lengo…
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 27- 2026 – MAWASILIANO YA BARABARA KATAVI YAKATIKA
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 27- 2026 - MAWASILIANO YA BARABARA KATAVI YAKATIKA
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba ametoa Sh1.8 milioni mkazi wa Arusha, Florah Mbeve amekabidhiwa Sh1.8 milioni ili akalipe deni …
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba ametoa Sh1.8 milioni mkazi wa Arusha, Florah Mbeve amekabidhiwa Sh1.8 milioni ili akalipe deni alilomkopea mumewe kwenye Kikoba. Hata hivyo, mara baada ya kumpatia fedha…
Truphena Muthoni akiri haelewi kazi aliyopewa na Ruto: “Sielewi kidogo”
Truphena Muthoni azua wasiwasi kuhusu jukumu lake la balozi katika kampeni ya upandaji miti baada ya kutambuliwa na Rais Ruto. Tazama maelezo ya hali yake.
Kardinali Pengo alivyoagwa Dar
Kwa mujibu wa Askofu Mchamungu, Kardinali Pengo aliishi kile alichokihubiri. Unyenyekevu wake...
UDA wakejeli upinzani baada ya ushindi mkubwa katika chaguzi nne ndogo: “Rudderless and clueless”
Ushindi mkubwa wa UDA katika uchaguzi mdogo wa Februari 26 unaangazia uungwaji mkono wa umma kwa uongozi wake, huku ikikemea masimulizi ya upinzani usio na msimamo.
Helios yatoa vifaa vya mil 30/- kukuza TEHAMA shuleni
NYASA, RUVUMA: Wakati taifa likichukua hatua mbalimbali kukuza uchumi wa kidijiti, Kampuni ya Helios Towers imetoa vifaa vya kisasa vya maabara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) vyenye thamani…
Uingereza yawaondoa wafanyakazi wa ubalozi wake nchini Iran kutokana na ‘hali ya usalama’
“Kutokana na hali ya usalama, wafanyakazi wa Uingereza wameondolewa kwa muda kutoka Iran. Ubalozi wetu unaendelea kufanya kazi kwa njia ya video,” Wizara ya Mambo ya Nje imesema kwenye tovuti…