Serikali kuwekeza katika miundombinu kuendeleza vipaji kwa vijana
Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar Ali Abdulgulam Hussein amesema...
Kirusi kipya cha Uviko-19 kinachosambaa kwa kasi, dalili zafanana na mafua
Wakati dunia ikiendelea kuishi na maambukizi ya Uviko-19, wataalamu wa afya wameanza kufuatilia...
JKT TZ yaendelea rekodi mbovu
KIPIGO cha mabao 5-0, ilichokipata JKT Tanzania juzi kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, jijini, Dar es Salaam, katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya mabingwa watetezi Yanga, kimeifanya timu…
Uwajibikaji wasisitizwa mfuko maendeleo ya jimbo
ZANZIBAR: Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amefungua semina ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar na kusisitiza umuhimu wa kuimarisha…
TRA yawazawadia mamilioni washindi wa mawazo bunifu ya kodi
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa tuzo za ubunifu kwa washindi tisa waliowasilisha mawazo...
Bodi ya Wafamasia Wamkemea Daktari Aliyemrekodi Rigathi Gachagua Akinunua Dawa
Bosi wa DCP Rigathi Gachagua amekuwa kwenye kampeni moto ya siku tatu katika eneo la Gusii, ikijumuisha kaunti za Kisii na Migori, tangu Jumatatu, Februari 23.
Nsajigwa akiri ana kibarua kizito
SAA chache tangu awaage wachezaji aliofanya nao kazi Transit Camp, Kocha Shadrack Nsajigwa 'Fuso' amekiri ana kazi kibarua kikubwa cha kufanya kuhakikisha timu anayokabidhiwa inarudi kwenye ushindani.
Why climate change demands a global response
OSLO, NORWAY: The world is currently facing the challenge of environmental degradation and climate change that has not been witnessed in the past several decades. These changes are mostly attributed…
Josiah atambia rekodi mpya Dodoma
KOCHA Mkuu wa Dodoma Jiji, Amani Josiah, amesema suluhu (0-0), iliyoipata timu hiyo juzi dhidi ya Simba ni kutokana na wachezaji wa kikosi hicho cha 'walima Zabibu', kufuata vyema maelekezo…
Joseph Mureithi: Shahidi aeleza jinsi jamaa alivyofariki dunia baada ya kutupwa nje ya Super Metro
Msiba ulitokea Kitengela pale Joseph Mureithi wa miaka 25 akidaiwa kusukumwa nje ya matatu ya Super Metro, na kusababisha kifo chake baada ya kuzozana na makanga.
Picha za maficho ya kifahari ambapo “El Mencho” alitumia saa zake za mwisho kabla ya kuuawa na Jeshi la Mexico
Katika saa zake za mwisho akiwa hai, Nemesio Oseguera Cervantes, kiongozi wa Jalisco New Generation Cartel (CJNG) anayejulikana kama "El Mencho", alikuwa kwenye jumba la kifahari katika eneo maarufu la…
Mithika Linturi atangaza kujitosa katika kugombea ugavana Meru 2027: “Nimewasikiliza watu”
Mkurugenzi wa zamani wa Kilimo na Mifugo Mithika Linturi ametangaza nia yake ya kuwania kiti cha ugavana wa Meru katika Uchaguzi Mkuu ujao wa 2027.
Senegal inapendekeza sheria kali zaidi dhidi ya vitendo vya mahusiano ya jinsia moja
Waziri Mkuu wa Senegal amependekeza sheria mpya itakayoongeza adhabu dhidi ya mahusiano ya jinsia moja, ambapo watakaopatikana na hatia wanaweza kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka kumi jela.
Tanzania launches 2026-30 Jubilee strategy to develop children, families, communities
DAR ES SALAAM: THE Minister for Community Development, Gender, Women and Special Groups, Dr Dorothy Gwajima, has launched World Vision Tanzania’s five-year Jubilee Strategy (2026–2030) aimed at improving the well-being…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….FEBRUARI 26, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 26, 2026
Kapinga: Mfumo wa stakabadhi za ghala nguzo ya utekelezaji wa dira ya Maendeleo 2050
Serikali imesisitiza kuwa mfumo wa stakabadhi za ghala ni muhimu na kichochezi kuelekea...
Tanzania pledges to solve psychological problems caused by family conflicts
MWANGA: THE Tanzanian government has pledged to continue strengthening child upbringing and the provision of social welfare education to the public in order to reduce challenges related to stress, family…
Bishop Malasusa graces the opening of the Maendeleo Bank branch in Arusha
ARUSHA: MAENDELEO Bank, which operates under the Evangelical Lutheran Church in Tanzania, has unveiled its sixth branch in the country, at the heart of Arusha City, officially expanding to the…
Wananchi zaidi ya 1000 wafuturishwa soko la Magomeni
Kampuni ya Mawasiliano Yas imeendelea kudumisha utamaduni wake wa kuungana na jamii katika...
“Mpira wetu sisi JKT Tanzania mnaufahamu, mpira wa pasi mpira ambao kila mmoja akiutazama anaupenda, mpira uliopangiliwa…sasa …
"Mpira wetu sisi JKT Tanzania mnaufahamu, mpira wa pasi mpira ambao kila mmoja akiutazama anaupenda, mpira uliopangiliwa...sasa sisi tumeshtuka kidogo, mpira wa mbio...mnafukuzana kama sungura anafukuzwa na mbwa mwenye njaa,…
Dili ya ushirikiano kati ya Ruto na Sakaja huenda ikafa, wakili awasilisha kesi mahakamani kuipinga
Wakili wa Nairobi anapinga mkataba wa ushirikiano wa Ruto-Sakaja, akitaja ukiukaji wa ugatuzi, ukosefu wa ushiriki wa umma, na usawa katika kaunti.
Tanzania values the Global Fund’s support in boosting healthcare delivery
DODOMA: THE Tanzanian government has reaffirmed its commitment to strengthening collaboration with the Global Fund to boost healthcare delivery across the country. This was reached in a meeting between Tanzania’s…
Tanzania announces move to upgrade Kitonga into a four-lane road
IRINGA: The government is in the final stages of launching the expansion of the Kitonga Road section in Iringa Region, which will be upgraded into a four-lane highway with street…
Festus Omwamba: Mwanaume aliyekuwa akisakwa kwa kuwapumbaza Wakenya kwa kazi hatari za Ulaya anaswa
DCI ilimkamata Festus Omwamba kwa kuwarubuni Wakenya katika kazi hatari Ulaya. Kukamatwa huko kulifichua kundi linalowawinda watu wasiokuwa na ufahamu wa njama hizo.
#HABARI: Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya magari mawili ya kubeba mizigo kugongana na kutekeketea…
#HABARI: Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya magari mawili ya kubeba mizigo kugongana na kutekeketea kwa moto, katika Kijiji cha Kiongozi Kata ya Maisaka wilayani Babati…
Khaligraph Jones: Gumzo zilizovuja zafichua jinsi rapa alivyomvaa shabiki aliyempa ushauri wa bure
Khaligraph Jones alijibu kihuni ushauri wa shabiki wa kurekebisha mtindo wake wa muziki, na kuzua mijadala mtandaoni. Alijinaki kuhusu mafanikio yake.
Cutting costs, saving forests: The new era of tobacco curing
TABORA: THE Tobacco Research Institute of Tanzania (TORITA), headquartered in Tumbi, Tabora, is steadily positioning itself as a central force in environmental protection and farmer income growth through innovation in…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….FEBRUARI 26, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 26, 2026
Tanzania agrees to enhance ties with DRC in the transportation sector
DAR ES SALAAM: TANZANIA and the Democratic Republic of Congo (DRC) have agreed to strengthen cooperation in the transport sector to facilitate trade between the two countries. The agreement was…
Mitandao Yachemka baada ya Mwanamume wa Sudan Kusini Kusema Wakenya Hawajui Kiingereza
Maoni ya lofa wa Sudan Kusini kuhusu ufahamu wa Kiingereza wa Wakenya yamezua mjadala, yakiangazia mitazamo ya kitamaduni na tofauti za elimu katika Afrika Mashariki
Kwanini mzozo wa Tigray nchini Ethiopia unaweza kuwa mbaya zaidi mara hii
Hofu ya kurejea kwa vita kaskazini mwa Ethiopia inawafanya watu wengi kuondoka katika eneo la Tigray zaidi ya miaka mitatu baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kumalizika.
Je, Ethiopia inarejea vitani huko Tigray?
Hofu ya kurejea kwa vita kaskazini mwa Ethiopia inawafanya watu wengi kuondoka katika eneo la Tigray zaidi ya miaka mitatu baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kumalizika.
Mitaa kuingia Kariakoo yaanza kupumua, wafanyabiashara wapewa wiki moja
Siku tisa zikiwa zimepita tangu Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kutawatangazia...
Zanzibar injects 79bn/- for the construction of 698 Police Stations
ZANZIBAR: THE government of Zanzibar plans to spend over 79bn/- on the construction of 698 police stations nationwide as part of a strategy to strengthen the safety of citizens and…
TRA embarks on mobile services to reach all Tanzanian taxpayers
DAR ES SALAAM: TANZANIA’SFinance Minister, Khamis Mussa Omar, on February 25, 2026, launched two mobile offices (special vehicles) in the commercial areas of Mwenge and Tegeta in Dar es Salaam.…
#MEZAHURU: Mchezo wa WHEEL CHAIR TENNIS umepata hamasa kwenye taifa letu, Kipi kifanyike kukuza mchezo huu, au unashauri nini wi…
#MEZAHURU: Mchezo wa WHEEL CHAIR TENNIS umepata hamasa kwenye taifa letu, Kipi kifanyike kukuza mchezo huu, au unashauri nini wizara ya michezo kukuza mchezo huu..? -Weka maoni yako
Youths hold the key to peace, unity, national stability
DAR ES SALAAM: AGAINST the backdrop of Tanzania’s long-cherished calm where the rhythm of daily life has often flowed like a gentle breeze across its towns and villages, voices from…
TRA receives 72 vehicles to enhance revenue collection across Tanzania
DAR ES SALAAM: THE Minister for Finance, Mr Khamis Mussa Omar, on February 25, 2026, handed over 72 new vehicles to the Tanzania Revenue Authority (TRA) to enhance service delivery…
Sababu chapa za kimataifa kutumia warembo weusi
Katika miaka ya hivi karibuni, tasnia ya fasheni na urembo duniani imeonesha mabadiliko...
#HABARI: Mbunge wa Rorya Mhe
#HABARI: Mbunge wa Rorya Mhe. Jafary Chege amesema kwa sasa fedha za maendelo ya miradi watawaachia watalaamu kuzisimamia badala ya wanasiasa na wakizitumia vibaya watawachukulia hatua kali za kisheria. Mbunge…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55….FEBRUARI 26, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....FEBRUARI 26, 2026
WWF to spend 150bn/- for conservation of Tanzania’s natural resources
DAR ES SALAAM: THE World Wide Fund for Nature (WWF) has announced that a total of 150bn/- will be spent on the conservation of Tanzania’s natural resources over a five-year…
Mashindano ya Masauni & Seif Cup yaanza Zanzibar
ZANZIBAR: Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Ali Abdulgulam Hussein amesema serikali itaendelea kuwekeza katika miundombinu ya michezo ikiwa pamoja na ujenzi wa viwanja na kuangalia fursa…
Sh500 milioni kupunguza changamoto ya maji Kimochi
Naibu Waziri wa Maji, Kundo Mathew, amesema Serikali itapunguza kwa kiasi kikubwa changamoto ya...
Thika: Kizaazaa Mshukiwa wa Uchopozi wa Simu Akipanda Paa Kukwepa Kichapo cha Wananchi
Taharuki ilitanda Thika mshukiwa wa mwizi wa simu alipopanda juu ya paa ili kutoroka umati wenye hasira hali iliyoleta kufadhaika kwa jamii kutokana na uhalifu mdogo
Mfanyakazi wa Kaunti ya Siaya asimamishwa kazi kwa kudai Orengo hufanya Kazi akiwa mlevi
Afisa wa Kaunti ya Siaya Richard Omondi Odhiambo alisimamishwa kazi mara moja kwa kumtuhumu Gavana Orengo kuwa amelewa wakati wa mkutano wa kisiasa.
Kapinga: Wezesheni wakulima uzalishaji, uuzaji
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) na Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) zimeagizwa kuwa na mkakati wa kuwawezesha wakulima kuanzia uzalishaji ukusanyaji hadi uuzaji…
#HABARI: Maafisa wa Kurugenzi ya Upelelezi nchini Kenya (DCI) wanamsaka Afisa wa Polisi anayeishi katika Kaunti ya Busia kwa tuh…
#HABARI: Maafisa wa Kurugenzi ya Upelelezi nchini Kenya (DCI) wanamsaka Afisa wa Polisi anayeishi katika Kaunti ya Busia kwa tuhuma za kuhusika na tuhuma za mauaji ya mkewe waliyeachana katika…
Mkenya aliyekuwa hajielewi Uwanja wa Ndege wa Kuala Lumpura atambuliwa na kupelekwa hospitalini
Mwanamke Mkenya kwa jina Olivia ameokolewa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kuala Lumpur baada ya kupatikana akiwa amechanganyikiwa. Familia imejulishwa.