Serikali yatoa tahadhari ugonjwa wa silikosisi, 40 wakilazwa Kibong’oto
Mpaka sasa zaidi ya watu 40 wanaosumbuliwa na ugonjwa huo wamelazwa katika Hospitali maalumu...
Kiwira Mine tasked to increase coal production while supporting clean energy campaign
TABORA: THE Tanzanian government has directed the Board of the State Mining Corporation (STAMICO) to increase coal production at the Kiwira Mine in Mbeya Region as part of the government’s…
Kero zinazomsubiri Waziri Mkuu Mwigulu Arusha
Arusha. Wakati Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba akitarajiwa kuanza zira ya siku tatu mkoani...
Jukwaa vijana Shinyanga lazinduliwa
SHINYANGA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Dk Joel Nanauka amezindua rasmi Jukwaa la Vijana la Mkoa wa Shinyanga litakalowakutanisha na kuwashirikisha vijana pamoja ili kujadili fursa…
‘Punde si punde’ umeokota fuko lenye shilingi bilioni moja, utazifanyia nini ili utoboe kimaisha💰
'Punde si punde' umeokota fuko lenye shilingi bilioni moja, utazifanyia nini ili utoboe kimaisha💰 Tukutane kwenye comments✍ #AzamTVUpdates ✍John Mbalamwezi (Feed generated with FetchRSS)
Mwisho wa zama za Profesa Lipumba CUF
Huu ndiyo mwisho wa zama za Profesa Ibrahim Lipumba. Ndivyo unavyoweza kuelezea mfululizo wa...
Tanzania offers vocational training to motorcyclists, tricycle riders
MWANZA: THE Minister of State in the President’s Office – Youth Development, Joel Nanauka, has officially launched a Motorcycle (Bodaboda) and Tricycle (Bajaji) Driving Training Program at VETA College in…
Songwe lures development investors with the launch of a special platform
TUNDUMA: SONGWE Region has continued to show great awareness in the investment sector following a special seminar to promote investment provided by the Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority…
Tanzania set strategies to protect homes, farms against wild animals pests
DODOMA: THE Tanzanian government will continue to collaborate with conservation stakeholders in strengthening the protection of protected areas in parallel with addressing the challenge of wild animals and pests that…
Alicia Keys, WHO Chief underway to launch Tanzania’s facility for preterm infants
DAR ES SALAAM: THE Internationally renowned American artist, Alicia Keys is expected to arrive in Tanzania to take part in the inauguration of a special facility dedicated to the care…
CCM yamuonya mkandarasi soko la Mwanga
Chama hicho tawala kimesema wananchi wana ufahamu kuhusu mwenendo wa ujenzi wa soko hilo, hivyo...
Skills over degrees: How vocational training has become magic transforming tool inTanzania
AS Tanzania grapples with persistent youth unemployment and a widening disconnect between formal education and labour market needs, skills-based interventions are increasingly being recognised as a vital pathway to economic…
Why teachers should incorporate AI in teaching
DAR ES SALAAM: THE advancement of science and technology is invading each sector, hence requiring people to adapt to such changes or else they may be left far behind. Nowadays,…
Akutwa na uvimbe kilo 7 akidhani ujauzito
CHATO: HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) imefanikisha upasuaji wa kuondoa uvimbe wa kilogramu saba kutoka kwenye tumbo la mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 44. Mwanamke huyo ambaye…
Kliniki ya sheria yawaunganisha wanandoa waliotengena vyumba miaka minne
Hii ndio iliyoibuka kwa mwanandoa mmoja jijini Dar es Salaam, ambapo baba alidai kunyanyaswa na...
Zaidi ya wadau 600 kuhudhuria Mkutano Mkuu wa TFF 2026 Kahama
Kahama. Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) mwaka huu 2026, unatarajiwa kufanyika wilayani Kahama mkoani Shinyanga kwa siku mbili, Februari 27 na 28, huku wadau zaidi ya 600…
Why Samia calls for justice, implementation in climate action: Africa must rise with one voice
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has given a speech that captures Africa’s determination to confront the climate emergency with unity, justice, and resolve. President Samia reminds the African…
Video: Rigathi Gachagua asinywa na swali la mwanahabari wa Chamgei FM kumhusu Ruto
Katika mahojiano makali, naibu wa rais wa zamani Gachagua anawakabili waandishi wa habari, akiwemo Cheruto Rop, kuhusu madai ya uchungu dhidi ya Rais William Ruto.
AI lazima izingatie ujumuishaji, uwajibikaji na viwango vya kimataifa: Türk
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu, Volker Türk, ameonya kuwa bila kuweka mifumo madhubuti ya udhibiti kwa haraka, akili mnemba (AI) inaweza kuongeza pengo la usawa,…
WHO na Novo Nordisk kuendeleza elimu ya wahudumu wa afya Kenya
Kenya imepiga hatua kubwa katika uzalishaji wa rasilimali watu wa sekta afya, ikiwemo kuongezeka maradufu kwa idadi ya wauguzi, madaktari na wataalamu wengine wa afya katika kipindi cha muongo mmoja…
Mbunge aibuka na vita dhidi ya dawa za kulevya Tanga
Bandawe, ambaye aliwahi kuwa mraibu kwa zaidi ya miaka 22 kabla ya kupona, amesema zaidi ya...
MOROGORO: TRAVERSING through the…
MOROGORO: TRAVERSING through the legendary and mighty Nyerere National Park would be a lifetime and memorable event for visitors on safari in Southern Tanzania circuit by its most wild or…
CCM, ACT-Wazalendo wawekwa mezani kumaliza sintofahamu za uchaguzi Zanzibar
Kwa mujibu wa CCM, taarifa ya kuingia kwenye mazungumzo ilipokewa wakati wa kikao cha Kamati...
Polisi yachunguza mfanyabiashara aliyetoweka Kigoma
Kigoma. Jeshi la Polisi mkoa wa Kigoma limesema linafanya uchunguzi wa taarifa za kutoweka kwa...
How projects tell powerful story about leadership
MWANZA: AT the heart of every ward and council, development projects tell a simple but powerful story about leadership. A completed classroom, a functioning health facility, a reliable water point:…
Edwin Sifuna akaidi vitisho vya polisi, awaambia wafuasi kukaa ngumu amalemba: “Hatutoki”
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna aliwasihi wafuasi wake huko Kakamega baada ya chombo cha kutoa machozi kutumwa alipokuwa karibu kuanza hotuba yake.
Mafuriko yawakosesha makazi Tabata Dar
Katika maeneo ya Amani na Aloma, Mtaa wa Tabata Relini, takribani nyumba sita zimeathirika kwa...
Sikia hii ya Mkandala
KATIKA mabao mawili ya Ligi Kuu aliyofunga kiungo wa Coastal Union, Cleophace Mkandala, yote ameifunga Tanzania Prisons, ambapo nyota huyo aliwahi kukitumikia kikosi hicho cha maafande, kabla ya kuondoka na…
KeNHA yafafanua kuhusu ubomozi Githurai, wafanyabiashara wakadiria hasara
Mamlaka ya Barabara Kuu ya Kitaifa ya Kenya (KeNHA) imeelezea ubomoaji wa hivi karibuni wa majengo na vibanda vya muda kando ya Barabara Kuu ya Thika huko Githurai.
Nouma aanza mambo TRA United
BEKI wa kushoto wa TRA United, Valentin Nouma, ameanza vyema maisha yake mapya ndani ya kikosi hicho, baada ya kuifungia timu hiyo bao moja na la ushindi wa 1-0, dhidi…
Ansarullah: Kujizatiti upya kijeshi maadui katika eneo ni ishara kwamba Muqawama ungali hai
Mjumbe mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Yemen ya Ansarullah ametoa taarifa akieleza kwamba kuzungumziwa duru mpya ya vita vinavyotaka kuanzishwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran…
Licha ya vizuizi vikali vya Israel, Wapalestina laki moja wasali I’sha na Tarawehe Masjidul-Aqsa
Licha ya vizuizi vikali vilivyowekwa na utawala wa Kizayuni wa Israel vya kuingia katika Msikiti wa Al-Aqsa, makumi ya maelfu ya Wapalestina jana usiku walihudhuria katika msikiti huo mtukufu kusali…
Kenya yaitaka Russia iirejeshee miili na raia wake waliofungwa katika vita vya Ukraine
Serikali ya Kenya imeitaka Russia iirejeshe nyumbani miili ya raia wake waliouawa na wale waliokamatwa kama wafungwa wa vita, ambao wameripotiwa kuwa walipiigania Russia katika vita na Ukraine.
Watu 50 wauawa katika shambulio la wabeba silaha kaskazini magharibi ya Nigeria
Kundi moja la wabeba silaha limewaua watu wasiopungua 50 na kuwateka nyara wanawake na watoto katika shambulio la usiku kwenye kijiji kimoja kilichoko kaskazini magharibi mwa Jimbo la Zamfara nchini…
Uhispania: Ilikuwa ni ‘makosa’ Kamishna wa EU kuhudhuria mkutano wa ‘Bodi ya Amani’ ya Trump
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania Jose Manuel Albares amesema, ilikuwa ni "makosa" kwa Kamishna wa Umoja wa Ulaya kuhudhuria mkutano wa uzinduzi wa 'Bodi ya Amani' ya Rais…
Ibenge macho yote kwa Simba, Yanga
KOCHA Mkuu wa kikosi cha Azam FC, Florent Ibenge, anasema baada ya kumalizana na michuano ya kimataifa, kazi iliyosalia ni kuhakikisha timu hiyo haiachwi hata pointi moja na Simba na…
Tumia njia hizi tatu kupunguza uvimbe usoni
Kafeini hubana mishipa ya damu kwa muda, na kupunguza upana wa mishipa na baadaye kupunguza uvimbe unaonekana usoni
Aliyewasilisha maombi kupinga kufukuzwa kazi, akwama mahakamani
Maombi hayo namba 32222/2025, yaliwasilishwa dhidi ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tume ya...
Ukame wa mabao unavyomtesa Mayele Pyramids
Kwa kushindwa kufunga jana, Mayele sasa amefikisha idadi ya michezo 21 mfululizo ya mashindano...
Tunisia: Mbunge ahukumiwa kifungo cha miezi 8 jela kwa kumdhihaki Rais Kais Saied kupitia Facebook
Mbunge wa Tunisia Ahmed Saidani ahukumiwa jela kwa machapisho ya Facebook ya kumdhihaki Rais Kais Saied kuhusu mafuriko, na kuzua wasiwasi kuhusu uhuru wa kujieleza.
Arusha DC yapitisha bajeti ya Sh75.4 bilioni, madarasa 25 kujengwa
Arusha. Halmashauri ya Wilaya ya Arusha (Arusha DC) imepitisha mapendekezo ya bajeti ya Sh75.4...
Linda Mwananchi: Taharuki yatanda kabla ya mkutano wa Sifuna, polisi wafyatua vitoa machozi Amalemba
Hali ya wasiwasi imeongezeka Amalemba huko Kakamega huku polisi wakidaiwa kufyatua mabomu ya machozi kabla ya mkutano wa Linda Mwananchi unaoongozwa na Edwin Sifuna.
Shule mpya kumaliza kero ya wanafunzi kutembea umbali mrefu
Hai. Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, kata ya Weruweru, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro...
Trump awasuta majaji wa Mahakama ya Juu kwa kuharamisha ushuru wa kimataifa
Majaji sita walipiga kura dhidi ya ushuru huo, hatua ambayo ni pigo kubwa kwa sera ya kiuchumi ya utawala wake.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe David Kihenzile amesema Mkoa wa Kigoma na Wakazi wake wapendelewa sana na Serikali na kwamba kwa u…
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe David Kihenzile amesema Mkoa wa Kigoma na Wakazi wake wapendelewa sana na Serikali na kwamba kwa uzoefu wake wa kuzunguka maeneo mbalimbali Nchini Tanzania, hajaona…
Sh2.2 bilioni zanufaisha vikundi 76 kujikwamua kiuchumi
Zaidi ya Sh2.2 bilioni zimetolewa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya vijijini kwa ajili ya...
Hospitali ya Aga Khan yashinda tuzo ya ubora wa huduma
Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam imeendelea kung’ara baada ya kushinda Tuzo ya Ubora wa...