Moses Kuria amsifu Edwin Sifuna kwa mapendekezo yake kwa mkataba wa Ruto-Sakaja: “Well Done Omwami”
Moses Kuria amemsifia Seneta Edwin Sifuna kwa ukosoaji wake wa mkataba wa ushirikiano wa Nairobi, akiangazia mapendekezo yake ya kuboresha utoaji huduma.
Wakenya zaidi ya 1,000 wanashiriki katika vita vya Russia na Ukraine
Zaidi ya Wakenya 1,000 wamekwenda kupigana upande wa jeshi la Russia nchini Ukraine. Ripoti ya kijasusi iliyowasilishwa katika bunge la Kenya, imesema kuwa, wengi wa raia hao walidanganywa ili kusaini…
Tanzania seeks to expand research on appropriate medicine for schistosomiasis
MWANZA: THE Ministry of Health, in collaboration with the National Institute for Medical Research (NIMR), plans to expand research on medicines for treating schistosomiasis in children under five to further…
Prince Andrew akamatwa kwa tuhuma za ‘utovu wa nidhamu katika utekelezaji wa majukumu rasmi’
Mwanamfalme wa zamani Andrew, ambaye anatimiza miaka 66 siku ya Alhamisi, amekamatwa kufuatia madai ya “utovu wa nidhamu katika utendaji wa majukumu rasmi,” polisi ya Windsor imetangaza, kuhusiana na tuhuma…
Anayedaiwa kumtolea Vinicius kauli za kibaguzi afunguka
Staa wa Benfica, Gianluca Prestianni anayedaiwa kumtolea kauli za kibaguzi nyota wa Real...
Stephanie Ruto: Wakenya wavutiwa na kifaa cha ajabu kilichotundikwa kwenye mkono wa bintiye rais
Stephanie Jepchumba Ruto anaangazia harambee ya kuchangisha pesa, ambapo alitoa KSh 3 milioni kwa ajili ya ustawi wa watoto, akizingatia maendeleo ya vijana.
Waziri Mkuu aipa Wizara ya Maji wiki 2 kupata mkandarasi
WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba ameipa Wizara ya Maji kipindi cha wiki mbili kuhakikisha inakamilisha mchakato wa upatikanaji wa mkandarasi wa ujenzi wa mradi wa maji kutoka chanzo cha Ziwa…
PM orders efficiency in implementing strategic development projects
MWANGA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has urged public servants to increase speed and efficiency in overseeing the implementation of strategic development projects to ensure citizens receive quality services on time.…
Dk Mwigulu akutana na mwalimu wake mkutanoni Rombo
Mwalimu aliyemfundisha Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba jiografia darasa la nne...
Ubora wa P-Funk upo hapa..
Kabla ya P-Funk Majani kuwa mtayarishaji wa muziki mwenye mafanikio makubwa, awali kabisa...
Mashariki mwa DRC: Wakazi wa Uvira waomba mpaka na Burundi ufunguliwe tena
Wakazi na wafanyabiashara wa Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),wanaomba mpaka na Burundi ufuguliwe tena. Mwezi mmoja baada ya waasi wa AFC/M23 kuondoka katika mji wa Uvira,…
Mfuko wa Miundombinu Kenya Wakwama
MPANGO wa kuanzisha mfuko wa kitaifa wa miundombinu nchini Kenya umekumbwa na changamoto mbalimbali ambazo zimezua mjadala mkubwa kuhusu mustakabali wa uchumi wa nchi hiyo hasa wakati taifa hilo likijiandaa…
Tanzania’s agricultural transformation captivates Burundian envoys
DODOMA: A delegation of experts from the Burundian government has visited the country with the aim to learn about the various steps taken by the government to develop the agricultural…
AZAM FC: Je unafahamu ni mchezaji gani katika kikosi cha Azam ana hekaheka linapokuja suala la ‘menu’?
AZAM FC: Je unafahamu ni mchezaji gani katika kikosi cha Azam ana hekaheka linapokuja suala la 'menu'? Mzikilize mpishi mkuu wa klabu ya Azam akielezea uzoefu wake wakati wa chakula…
Picha ya mkongwe kikapu yawekwa katika mpira
NYOTA wa kikapu wa aliyetamba na Pazi msimu uliopita wa Ligi ya Kikapu Dar es Salaam, Josephat Peter 'Tekenya' amekuwa mchezaji wa kwanza wa mchezo huo picha yake kutumika kama…
Tanzanian tourism reaps fortune from Seven Seas Voyager’s tour
DAR ES SALAAM: OVER 600 tourists aboard the luxury cruise ship Seven Seas Voyager visited the country on February 18–19, this year. Information from the Tanzania Tourism Board (TTB) today,…
TFS tasked to increase export of forest products from 9,000 to 50,000 tonnes
MOROGORO: THE Tanzania Forest Services (TFS) has been urged to intensify tree planting, production, and export of forest products to reach 50,000 tonnes per year, in contrast to the current…
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mhe
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mhe. Ado Shaibu Ado amesema kuwa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kinapaswa kukamilisha ujenzi wa Kampasi ya Chuo hicho katika Kijiji cha Darajambili…
Je, Arsenal imeweka rehani ubingwa wa ligi kuu?
Iwapo Manchester City, walio nyuma kwa alama tano katika nafasi ya pili watashinda mechi zao 12 zilizosalia, ikiwemo mchezo wao wa nyumbani Etihad dhidi ya Arsenal, basi watamaliza kileleni katika…
Uzandiki na undumakuwili wa wazi wa Marekani katika sera yake ya kurutubisha urani
Waziri wa Nishati wa Marekani amesema, nchi hiyo itaanza tena kurutubisha madini ya urani
#HABARI: Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewafuta kazi Waziri wa Afya lijah Muchima na Elias Mubanga, anayeshughulikia maende…
#HABARI: Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewafuta kazi Waziri wa Afya lijah Muchima na Elias Mubanga, anayeshughulikia maendeleo ya biashara ndogo na za kati. Mabadiliko hayo, yanatokana na kifungu cha…
How beekeeping skills ‘sweeten’ widows’ economic futures
COAST REGION: IN Bagamoyo Town, the steady hum of bees is fast becoming the sound of opportunity. Here, more than 100 women from 10 regions recently gathered for intensive beekeeping…
Coutinho ajiandaa kuvunja mkataba Vaco da Gama
Kiungo Philippe Coutinho aliyewahi kuwa miongoni mwa wachezaji ghali zaidi katika historia ya...
From Dar es Salaam to Oslo: A journey into the legacy of the Nobel Peace prize
A JOURNEY spanning between 15 and 22 hours across two continents, Africa and Europe marked the beginning of my visit to one of the world’s most symbolic institutions of peace.…
Oketch Salah amlima Ruth Odinga kwa kumkana hadharani kwenye runinga: “Sijawahi jilazimisha kwako”
Mfanyabiashara Oketch Salah alimkashifu Ruth Odinga ambaye alimkana kwenye runinga akimshutumu kwa kusema uwongo kuhusu uhusiano wake na Raila Odinga.
Saudi Pro League inaendelea leo Alhamis
Saudi Pro League inaendelea leo Alhamis Saa 4:00 usiku, Al Ahli watakuwa uwanja wa nyumbani wakikipiga na Al Najmah Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports3HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000…
Wezi walivyopora benki fedha za kujenga mji mzima kwa saa 4 tu
Iliwezekanaje hakuna aliyegundua kilichokuwa kinaendelea Je, kulikuwa na ushirikiano wa mtu wa ndani? Vipi mashine za kuchimba hazikusikika Na wezi walijuaje eneo halisi lenye hazina hiyo?
Wananchi 1,142 kulipwa fidia kupisha ujenzi barabara Rombo
Serikali itawalipa fidia wananchi 1,142 ili kupisha ujenzi wa barabara ya Lower iliyopo Wilaya...
Stendi mpya Buza bado pasua kichwa
Uamuzi na msimamo wa Serikali juu ya matumizi ya stendi mpya ya daladala ya Buza Kwamama...
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI – 19/02/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 19/02/2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Msafara wa Mwenyekiti wa Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) Tundu Lissu ulivyowasili Mahakamani leo na Lissu a…
#HABARI: Msafara wa Mwenyekiti wa Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) Tundu Lissu ulivyowasili Mahakamani leo na Lissu anayetuhumiwa kwa Uhaini akaingizwa katika chumba na.1 cha Mahakama Kuu ya Tanzania…
#HABARI: Kaimu Balozi wa Marekani, Andrew Lentz amesema waliitaja Mtwara kama sehemu ya hatari katika tahadhari yao waliyoitoa m…
#HABARI: Kaimu Balozi wa Marekani, Andrew Lentz amesema waliitaja Mtwara kama sehemu ya hatari katika tahadhari yao waliyoitoa mwaka jana kwa wasafiri wanaotoka Marekani lakini hata hivyo amefuatilia na kufurahishwa…
Tanzania records a 23.2 percent increase in access to clean cooking energy
PARIS: THE access to clean cooking energy in Tanzania has risen from 6.9 percent in 2021 to 23.2 percent in 2025, representing more than a threefold increase over four years.…
#HABARI: Kaimu Balozi wa Marekani, Andrew Lentz amesema wamesitisha misaada kwa Tanzania na kuweka ushirikiano katika uwekezaji …
#HABARI: Kaimu Balozi wa Marekani, Andrew Lentz amesema wamesitisha misaada kwa Tanzania na kuweka ushirikiano katika uwekezaji katika miradi ambayo inagusa Watanzania hususan vijana. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI…
UFUNGAJI WA MIRADI YA KAGIS GEITA (KAGIS PROJECT CLOSE OUT)
UFUNGAJI WA MIRADI YA KAGIS GEITA (KAGIS PROJECT CLOSE OUT) (Feed generated with FetchRSS)
Ruth Odinga ajitenga na Oketch Salah, asema hakuwepo Raila alipofariki: “Simfahamu”
Hisia mseto zimeibuka Mbunge wa Kisumu Ruth Odinga akipinga madai ya mfanyabiashara Oketch Salah ya kuwa karibu na familia ya Odinga wakati Raila Odinga alifariki.
South Korean court hands life sentence to ex-president Yoon
The Seoul Central District Court on Thursday found former President Yoon Suk Yeol guilty of insurrection and undermining the constitution. Judges ruled that his declaration of martial law in December…
With 8.5tri/- injected, HESLB claims pole position in creating a skilled Tanzanian workforce
DAR ES SALAAM: THE Higher Education Students’ Loans Board (HESLB) has strengthened collaboration with the private sector to enhance youth participation in the digital economy and equip them with self-employment…
Mwenda unveils TRA United’s board of directors
DAR ES SALAAM: THE Commissioner General of the Tanzania Revenue Authority, Yusuph Juma Mwenda, on February 18, 2026, officially launched the Board of Directors for its Premier League team, TRA…
Kinachovifanya vyama vya Kiislamu vya Pakistan vipinge nchi hiyo kuwemo kwenye ‘Bodi ya Amani’ ya Trump
Shinikizo la kisiasa la vyama vikuu vyenye mielekeo ya Kiislamu nchini Pakistan kwa serikali ya nchi hiyo la kuitaka ijiondoe katika kile kiitwacho 'Bodi ya Amani' ya Trump limeongezeka.
CCT yaunga mkono juhudi za serikali kujenga mahusiano
JUMUIYA ya Kikristu Tanzania (CCT) imepongeza jitihada za Serikali kukuza ari ya mahusiano miongoni mwa jamii ya kitanzania hatua itakayosaidia kuleta utengamano na mshikamano wa kidugu. Hatua hiyo imekuja wakati…
Kenya’s national infrastructure fund plan in turmoil
NAIROBI: THE economic situation in Kenya is less stable than it was in the past, as the country prepares for the 2027 elections. This scenario is predicated on a comprehensive…
Serikali imeendelea na utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa vyuo vya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kati…
Serikali imeendelea na utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa vyuo vya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika wilaya 64 ambazo hazikuwa na vyuo hivyo, pamoja…
Martha’s fight for the forgotten girl
DAR ES SALAAM: IN the quiet, high-stakes halls of policy dialogue and the bustling heat of community schoolyards, one voice has become impossible to ignore. It is a voice that…
Sababu, Zahir Zorro kutaka azikwe na mashine za kuzima moto
Mwanamuziki mkongwe wa Dansi, Zahir Zorro, ametoa ufafanuzi kufuatia ujumbe aliouandika kwenye...
Kwa nini ni wakati sahihi kwa TFF kupata mshirika wa kamari?
Wadau wa soka wanasema kuwa sasa ni wakati mwafaka kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kushirikiana rasmi na kampuni ya kamari kama sehemu ya jitihada za kuhuisha uongozi na kufungua…
Phina, Eni wanavyocheza na akili za mashabiki
Kombinesheni ya msanii wa bongo fleva, Sarah Michael 'Phina' na Eni, raia wa Nigeria, inazidi...
From villages to Geita, nation united for IWD 2026
DODOMA: GET your batik ready! Tanzania is officially gearing up for a week-long celebration of sisterhood, progress, and power. From March 1 to 8, the nation will transform into a…
REA kupeleka umeme vitongozi 474 Kagera
KAGERA: WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umemtambulisha mkandarasi wa kutekeleza mradi wa umeme katika vitongoji 474 vya mkoani Kagera kuanzia Februari 2026 hadi Februari 2029. Mkuu wa Mkoa wa Kagera…
Vyoo vilivyogeuka shubiri, fursa kwa wafanyabiashara soko la Sabasaba Dodoma
Wakati Soko la Sabasaba likiendelea kuwa kitovu kikuu cha biashara katikati ya Jiji la Dodoma...