Saudi Pro League inaendelea leo Alhamis
Saa 4:00 usiku, Al Ahli watakuwa uwanja wa nyumbani wakikipiga na Al Najmah
Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports3HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Saudi Pro League mwezi mzima.
#SaudiProleague #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)