‘Valentine is coming’ wimbo unaowasuta walio singo
Moja ya nyimbo zinazotamba katika msimu huu wa Valentine ni ‘Valentine si Coming’. Wimbo...
Trump apinga mpango wa Israel wa kunyakua maeneo ya Palestina
Hatu zilizotangazwa na Waziri wa Fedha Bezalel Smotrich na Waziri wa Ulinzi Israel Katz ni pamoja na kuondoa sheria za muda mrefu zinazowazuia Wayahudi kununua ardhi katika Ukingo wa Magharibi.
Silver finish signals Tanzania’s rising pool power
SOUTH AFRICA: TANZANIA’S men’s national pool team delivered a spirited and impressive performance at the African Pool Championships, finishing as runners-up after a hardfought final against hosts South Africa in…
Mkuu wa Jumuiya ya Madola ahimiza kasi kuelekea mazungumzo ya fidia ya utumwa
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth), kundi la mataifa 56 linaloongozwa na Mfalme Charles wa Uingereza, amesema anatarajia nchi wanachama wa jumuiya hiyo zitapiga hatua ya kuanza mazungumzo kuhusu…
Road to AFCON 2027: PM assures CAF of smooth preps
DAR ES SALAAM: THE government is accelerating preparations for the eagerly awaited Africa Cup of Nations (AFCON) 2027, with a sharp focus on sports infrastructure, youth development and cross-sector collaboration.…
RC Geita aagiza kutengwa fungu maalum la CSR kwa vijana
MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella ameiagiza Halmashauri ya Manispaa ya Geita kutenga fungu maalum la uwezeshaji wa vijana kutoka Fedha za Uwezeshaji wa Makampuni kwa Jamii (CSR). Shigella…
Central bank backs ethical investment talent
DAR ES SALAAM: THE Bank of Tanzania (BoT) is supporting initiatives aimed at developing ethical investment talent to strengthen market integrity and professionalism within the country’s financial sector. Through the…
Hamas: Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu mateka inathibitisha uhalifu wa Israel
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kwamba taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, ambayo imerekodi ukatili unaofanywa na utawala vamizi wa…
Dar hosts disability football kick-off in bold national push
DAR ES SALAAM: DAR ES SALAAM has been selected to host the opening round of the National Disability Football Premier League in June, marking a significant step in Tanzania’s drive…
Rais wa Colombia asema amenusurika jaribio la mauaji
Rais Gustavo Petro wa Colombia amesema alinusurika jaribio la mauaji jana Jumanne, baada ya miezi kadhaa ya maonyo kuhusu njama inayomlenga ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya.
Pezeshkian: Dunia ishuhudie jinsi Wairani walivyojitokeza kwa wingi katika maadhimisho ya Bahman 22 ili kuihami nchi yao
Rais Masoud Pezeshkian amesema kuwa dunia inapasa kuona jinsi mailioni ya wananchi wa Iran walivyomiminika mitaani katika maandamano ya mamilioni ya wananchi kote nchini ili kulinda mapinduzi yao, kutii uongozi…
Mama yake Chid Benz afariki dunia
Mama wa msanii wa Hip-hop nchini, Rashid Abdallah (Chid Benz), Hawa Idd Mwamanda amefariki...
#INTERTAINMENTUPDATE
#INTERTAINMENTUPDATE Bad Bunny alipanda jukwaani kwenye Super Bowl LX 2026 kwa onyesho la halftime ambalo liliibua mijadala mikubwa duniani kote. Wengine waliliona kama hatua ya kihistoria kwa muziki wa Kilatini,…
Familia ya Nyeri yazungumza baada ya binti aliyetoweka anayedaiwa kuuawa na mjomba kupatikana chooni
Familia huko Mathira Yaomboleza Binti yao wa miaka tisa, Shantel Waruguru, Kuuawa Kinyama. Msemaji wa familia alishiriki hali ya kuhuzunisha ya mwili wake.
FGS: The overlooked disease affecting millions of African women
DAR ES SALAAM: ALONG the shores of Lake Victoria, the banks of the Rufiji River, and countless streams and irrigation canals across Tanzania, freshwater is part of daily life. It…
Government embraces AI to boost farm productivity
DEPUTY Minister for Agriculture, Mr David Silinde has said that the government has adopted various measures to expand the use of digital technologies, including artificial intelligence (AI), to enhance productivity…
Edwin Sifuna Asusia Mkutano Muhimu wa ODM Huku Kukiwa na Mipango ya Kumpokonya Wadhifa wa SG
Edwin Sifuna alisusia kikao muhimu cha NEC kilichongozwa na Oburu Oginga, na kuzua wasiwasi kuhusu mustakabali wake kama katibu mkuu kukiwa na msukosuko chamani.
Change is how we live: Transformation lessons
DAR ES SALAAM: PRACTICAL insights for navigating change at work, in business and in life CHANGE is often discussed as a project, a strategy or an initiative. We label it…
Handcrafted art finds global home online
DAR ES SALAAM: MS Aurelia Venus, a vibrant 28-yearold entrepreneur based in Arusha, has called on Tanzanian youths to boldly tap into the vast opportunities of the digital world, urging…
KMC na kibarua kigumu dhidi ya Simba
KMC itakuwa kwenye Uwanja wake wa nyumbani wa KMC, Complex uliopo Mwenge, Dar es Salaam...
New strategies target better epilepsy care, reduced stigma
DAR ES SALAAM: THE Ministry of Health, in collaboration with the World Health Organisation (WHO) and the Tanzania Epilepsy Association (TEA), has rolled out new strategies aimed at strengthening access…
Lissu aibwaga Jamhuri sakata la mashahidi fiche
Mbali na hoja hiyo moja mahakama imekataa hoja nyingine nne za Lissu za pingamizi hilo ikiwa ni...
Social protection policy, ‘Hifadhi Scheme’ for self-employed launched
ARUSHA: THE government, has launched the National Social Protection Policy alongside a new social security scheme for self-employed citizens, known as the Hifadhi Scheme, aimed at expanding social security coverage…
Govt backs electric mobility for sustainable growth
DAR ES SALAAM: THE Permanent Secretary in the Vice-President’s Office (Environment) Dr Richard Muyungi, has said that the government recognises and appreciates the efforts of innovators developing technologies that help…
‘Don’t impose unfriendly procurement terms on local suppliers’
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Mining Suppliers and Service Providers Association (TAMISA) has warned that some foreign investors in the country’s mining sector are failing to prioritise Tanzanians in employment…
Farming is business, not village punishment
DAR ES SALAAM: YOUTH across Tanzania face a defining choice. Every year, many leave villages for towns, believing success lives in concrete and crowds. Too often they meet unemployment, high…
Zanzibar courts embrace digital transformation for faster, fairer justice
ZANZIBAR: IN many developing countries, including Zanzibar, going to court has long meant navigating bureaucracy, mountains of paper files and waiting months, or even years, for cases to be heard.…
UWT comforts elderly, calls for greater community care
ZANZIBAR: MEMBERS of Chama Cha Mapinduzi (CCM) Women’s Wing, UWT in North Pemba Region have visited elderly residents at the Limbani Elderly Care Centre in Wete, calling on the community…
Tanzania to spur mineral wealth
CAPE TOWN: TANZANIA and Finland have deepened their bilateral ties in the mining sector through a new cooperation framework designed to enhance technical capacity and improve the quality of geoscientific…
Protect urban environment, Pemba leaders told
ZANZIBAR: THE North Pemba Regional Commissioner (RC), Ms Mgeni Khatib Yahya, has directed leaders of Wete Municipal Council and Micheweni District Council to take immediate action, using existing laws and…
Pingamizi la Chadema katika kesi ya mgawanyo wa rasilimali latupwa
Jitihada za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) za kupangua kwa mbinu za kiufundi kesi...
Zanzibar expands global education options
ZANZIBAR: ZANZIBAR’S Minister for Education and Vocational Training, Ms Lela Mohamed Mussa, has said recently that the introduction of the Cambridge International Curriculum at Leera International School demonstrates the institution’s…
Maabad akuna kichwa, mastaa wakirejesha mzuka Coastal
WAKATI Coastal Union ikichekelea kurejea kwa nyota wake waliokuwa majeruhi, straika wa timu hiyo Maabad Maulid amesema kwa sasa anajitathimini alipokwama ili kurejesha kasi yake ya kufunga mabao Ligi Kuu.
Aga Khan Foundation kuviwezesha vikundi vya wanawake Dodoma
Taasisi ya Aga Khan kwa kushirikiana na Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania kupitia mradi wa...
Mfahamu Bad Bunny, kabla ya ustaa wake
Benito Antonio Martínez Ocasio, ndilo jina halisi la Bad Bunny. Moja ya wasanii wenye ushawishi...
Huko Prisons kimenuka, Otieno anahesabiwa saa tu
‘LOLOTE linaweza kutokea’. Ni kauli ya Mtendaji Mkuu wa Tanzania Prisons, Godfrey Madegwa akielezea hatma ya kocha mkuu wa timu hiyo, Mkenya Zedekiah Otieno kutokana na matokeo yasiyoridhisha iliyonayo maafande…
ODM kufanya mkutano wa Halmashauri ya Kitaifa huku SG Sifuna akikabiliwa na uwezekano kubanduliwa
ODM inatazamiwa kuandaa mkutano muhimu wa NEC mjini Mombasa kushughulikia mizozo ya ndani, mizozo ya uongozi wa Azimio na uvumi kuhusu mustakabali wa Edwin Sifuna.
Caleb Amisi avuliwa uanachama wa Kamati ya Utendaji ya Kitaifa ya ODM
Mbunge wa Saboti Caleb Amisi ameondolewa kwenye wadhifa wa naibu katibu mratibu wa ODM huku mizozo ya ndani ya chama ikiendelea kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Mpango wa ushirikiano taasisi za elimu, viwanda mwarobaini soko la ajira
SERIKALI juzi imezindua Mpango wa ushirikiano baina ya waajiri, vyuo vya elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi na taasisi za elimu ya juu, ambao imesema ni wa lazima…
Video: Hofu nyoka akimtatiza Seneta Onyonka huku akimsuta Ruto mkutanoni
Seneta Richard Onyonka alikumbana na usumbufu wakati wa mkutano wa Nakuru wakati nyoka alipovamia, jambo lililozua taharuki akimhoji Rais Ruto kuhusu ufisadi.
Kutimuliwa kwa Gachagua: Korti yaweka tarehe za kusikilizwa kesi ya madai ya fidia ya aliyekuwa DP
Tarehe za kusikilizwa kwa kesi za kuondolewa kwa Rigathi Gachagua zimepangwa. Naibu Rais wa zamani anaomba fidia kwa madai ya kuondolewa kwake kinyume cha sheria.
Mamilioni wamiminika mitaani Iran kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Mamilioni ya wananchi kutoka matabaka yote ya kijamii wamejitokeza mitaani kote nchini Iran kushiriki maandamano ya kitaifa yanayoashiria maadhimisho ya miaka 47 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Serikali ya Kenya kusaidia familia za Waislamu wenye njaa mwezi wa Ramadhani
Serikali ya Kenya imeweka mpango wa kusaidia familia za Kiislamu zilizo katika mazingira magumu huku zikijiandaa kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhan wiki ijayo.
Mawaziri Zimbabwe wapitisha muswada kumuwezesha Rais Mnangagwa kutawala hadi 2030
Baraza la Mawaziri la Zimbabwe limeunga mkono muswada unaokusudia kubadilisha katiba ili kumruhusu Rais Emmerson Mnangagwa kubakia madarakani hadi angalau mwaka 2030.
Maelfu waandamana Australia kupinga ziara ya rais wa utawala wa Israel
Ziara rasmi ya rais wa utawala wa Israel, Isaac Herzog, nchini Australia ilikumbwa na maandamano makubwa siku ya Jumatatu, huku maelfu ya waandamanaji wakijitokeza katika miji kadhaa, hali iliyopelekea kuwepo…
Jumatano, tarehe 11 Februari, 2026
Leo ni Jumatano tarehe 22 Sha'ban 1447 Hijria sawa na Februari 11 mwaka 2026.
Reuters: Kuna kambi ya siri ya wapiganaji wa RSF nchini Ethiopia
Ripoti ya shirika la habari la Reuters, iliyotokana na picha za satalaiti na ushuhuda rasmi, imefichua kuwepo "kambi ya siri" nchini Ethiopia kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa maelfu ya…