Tathimini yafanyika kutatua kero ya barabara Uyole
Kilio cha barabara na huduma nyingine za kijamii katika Kata ya Uyole huenda kikaisha baada ya...
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusufu Mwenda amesema TRA imechangia Kwa kiwango kikubwa cha kuhakikisha nchi …
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusufu Mwenda amesema TRA imechangia Kwa kiwango kikubwa cha kuhakikisha nchi inakuwa salama na watu wake hasa mipakani Kwa ufanya ukaguzi Kwa…
Mradi kilimo biashara kunufaisha vijana 1,400
Vijana zaidi ya 1,400 wanatarajiwa kunufaika na mradi wa kuwawezesha vijana katika uzalishaji...
Mpole aanza kazi jeshini na malengo
SAA chache tangu mshambuliaji George Mpole kusaini mkataba wa miezi sita kuitumikia Tanzania Prisons, amesema anafurahia kurejea kazini baada ya kukaa nje kwa muda mrefu, tangu alipoachana na Pamba Jiji…
Wakulima kuwezeshwa kuendesha kilimo kwa kutumia umeme wa jua
Wakulima nchini wanatarajiwa kuanza kunufaika na matumizi ya mwanga wa jua katika kuendesha...
Sakata la Musukuma, mwekezaji, Serikali yatoa maagizo
Serikali imetoa siku 14 kutafutwa na kupatikana ufumbuzi wa mgogoro kati ya Kamati ya Uchumi na...
Mchengerwa aonya kuficha wagonjwa wa ukoma
DODOMA: Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameitaka jamii kuachana na dhana potofu ya kuficha wagonjwa wa ukoma na kujitokeza wanapobaini viashiria vya ugonjwa huo ili kurahisisha jitihada za Serikali kutokomeza…
TISEZA lures investors to boost cage fish farming in Lake Zone
MUSOMA: THE Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority (TISEZA) has continued to encourage Tanzanians and investors at large to invest in the fisheries sector, particularly in cage fish farming…
Cuban official accuses US of ‘piracy’ against sanctioned Caribbean island
COLOMBIA: A CUBAN diplomat has accused the United States of “international piracy”, as Washington continues to block Venezuelan oil from reaching the Caribbean island in the wake of the US…
Mauwasa yaonya wizi wa maji Maswa
Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Mjini Maswa (Mauwasa) imewaonya wananchi...
668 wabainika kuwa na mabusha Dar
Kati ya wananchi 1,300 waliojitokeza kupima afya zao katika kambi maalumu ya Yombo Kilakala...
Shemdoe amsifu Dk Samia fedha za barabara Nyang’hwale
GEITA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Sh Zaidi ya…
STAMICO pledges to increase clean energy production
KISARAWE: TANZANIANS have been urged to continue to support their country’s clean cooking energy campaign following an increase in production of the alternative charcoal briquettes produced by the National Minerals…
Tanzania approves 1bn/- for Geita-Nyang’hwale road project
GEITA: THE Tanzanian government has approved 1bn/- for the emergency construction of the 18-kilometer Kasamwa-Gamashi road, which will strengthen economic activities through the transport and logistics sector between Nyang’hwale District…
UVCCM yawataka vijana kulinda taswira ya Taifa mitandaoni
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini, umewataka vijana kuwa...
Waziri Dk Gwajima awatumia salamu wanaokwamisha huduma za wenye uhitaji
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Wanawake,Jinsia na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima amesema...
KVZ yabeba taji netiboli, Masauni akitia neno
MAAFANDE wa KVZ ya visiwani hapa imebeba ubingwa wa Ligi ya Muungano kwa mchezo wa netiboli, huku Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Injini Hamad Masauni akisema Maendeleo…
Shambulio familia ya Bobi Wine laibua taharuki Uganda, mkewe alazwa
Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, amesema mke wake ameshambuliwa na vikosi vya...
MV New Mwanza Kufungua fursa utalii Afrika Mashariki
MWANZA: MKURUGENZI wa Bodi ya Utalii nchini (TTB), Ephraim Mafuru, amesema Tanzania inaendelea kuweka historia katika uwekezaji wa miundombinu ya usafiri, usafirishaji na utalii barani Afrika, kufuatia uzinduzi wa meli…
#HABARI: Wabunge kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba Serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomo…
#HABARI: Wabunge kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba Serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya Serikali katika Kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo…
Profesa Shemdoe, ataka watendaji kuacha mazoea
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Profesa Riziki Shemdoe, amewapa wakuu wa mikoa...
Mkakati wa haki za kijinsia mbioni Zanzibar
Jaji Mkuu wa Zanzibar, Khamis Ramadhan Abdalla, amesema Mahakama ya Zanzibar inaendelea...
Jaruph afichua kinachombeba Morocco
MSHAMBULIAJI wa Ain Diab na Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni, Jaruph Juma ametaja siri ya kuwa na mwendelezo mzuri msimu huu na kuonyesha kiwango bora kwenye Ligi ya…
Miroshi aitaka Europa League
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Goztepe inayoshiriki Ligi Kuu Uturuki, Novatus Miroshi amesema lengo kubwa la timu hiyo ni kuhakikisha inafuzu michuano ya Ulaya msimu ujao.
Kwa Mudrick, haina kupoa Uturuki
BEKI wa Mersin inayoshiriki Ligi Kuu ya Walemavu Uturuki, Mudrick Mohamed amesema ushindani wa namba katika kikosi hicho ni mkubwa lakini ni chachu inayomfanya azidi kupambana kila anapopata nafasi.
Trident FC, Mourice Sichone ngoma ngumu
BADO hali haijawa shwari kwa kinda wa Kitanzania, Mourice Sichone na klabu anayoitumikia Trident FC ya Zambia ambao wanadai hawako tayari kumuachia kwa sasa hadi mkataba wake utakapotamatika.
#HABARI: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Yusuph Mwenda amesisitiza kuwa mpango kazi wa mamlaka hiyo ni kuhakikisha in…
#HABARI: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Yusuph Mwenda amesisitiza kuwa mpango kazi wa mamlaka hiyo ni kuhakikisha inaongeza ufanisi juu ya namna bora za kuwawezesha Mawakala wa Forodha…
Uchochezi wa uongozi wa kijeshi unaweza kusababisha mauaji ya halaiki Sudan Kusini: UN
Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu nchini Sudan Kusini jana Jumamosi ilitoa onyo kali kuhusu kile ilichokitaja kuwa ni ongezeko hatari la kauli za uchochezi kutoka kwa…
WHO: Mambo matano muhimu ya kufahamu kuhusu Ukoma
Dunia ikiadhimisha Siku ya Ukoma Duniani Januari 25 Januari Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa WHO limesema ukoma ni ugonjwa unaotibika na unaweza kuzuilika, lakini bado unaathiri mamia ya…
UNMISS yakemea vitisho vya vurugu zisizo na mipaka dhidi ya raia Sudan Kusini
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS umelaani vikali taarifa kwamba kiongozi mmoja mwandamizi wa kijeshi anawahimiza wanajeshi kutekeleza vurugu zisizobagua walengwa dhidi ya raia katika Jimbo la…
Usitishaji vita wa kimaonyesho Gaza; kifuniko cha Wazayuni cha kuendeleza jinai
Mkurugenzi wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina ameonya kuhusu kuendelea kuuawa raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
Usitishaji vita wa kimaonyesha Gaza; kifuniko cha Wazayuni cha kuendeleza jinai
Mkurugenzi wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina ameonya kuhusu kuendelea kuuawa raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
Mashabiki Benfica wamvamia Mourinho
Mashabiki lialia wa Benfica wamevamia uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo wakitaka majibu kuhusu...
Mwendesha Mashtaka wa Sudan: Tumewafungulia kesi mamluki 122 wa kigeni
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Sudan ameeleza kuwa kesi za jinai zimefunguliwa dhidi ya takriban mamluki 122 wa kigeni wanaopigana bega kwa bega na wanamgambo waasi wa Rapid Support Forces (RSF),…
Mahakama yaridhia shule kujitetea madai ya Sh127 milioni
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Bukoba imeruhusu Karagwe Development Association (Karadea)...
Pedro aanika udhaifu kichapo cha Al Ahly
Kocha Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves amesema kilichoiponza timu yake hadi ikapoteza mchezo...
Mashambulizi ya mabomu ya mapipa yalazimisha watu wengi kuhama makazi yao Sudan Kusini
Mapigano mapya nchini Sudan Kusini yamewalazimisha watu zaidi ya 180,000 kuyahama makazi yao, huku mashuhuda wakizungumzia utumiaji holela wa mabomu ya mapipa na raia kukimbilia kwenye vinamasi, huku hali tete…
Kamanda Mkuu wa Polisi ya Iran: Tutaendelea kuilinda Jamhuri ya Kiislamu
Brigedia Jenerali Ahmad Reza Radan, Kamanda Mkuu wa Polisi ya Iran amesema kuwa wananchi na maafisa wa Iran watailinda Jamhuri ya Kiislamu hadi tone la mwisho la damu yao.
Maporomoko ya udongo yaongezeka Indonesia; waokoaji wapambana kunusuru watu waliokwama
Wafanyakazi wa huduma za uokoaji nchni Indonesia leo wameendelea kufanya juhudi kubwa ndani ya matope kufuatia maporoko ya udongo yaliyoikumba nchi hiyo kwa lengo la kutafuta makumi ya watu ambao…
Waandamanaji Stockholm walaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza licha ya usitishaji vita
Wananchi wa Sweden wamefanya maandamano mengine katika mji mkuu wa nchi hiyo, Stockholm, kulaani mashambulizi ya Israel yanayowalenga Wapalestina katika Ukanda wa Gaza licha ya kufikiwa mapatano ya usitishaji vita.
TAMASHA LA MICHEZO..JANUARI 25, 2026
TAMASHA LA MICHEZO..JANUARI 25, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
HABARI: Makabiliano yameshudiwa katika kanisa alikokuwa anahudhuria aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ibaada y…
HABARI: Makabiliano yameshudiwa katika kanisa alikokuwa anahudhuria aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ibaada ya Jumapili katika Kanisa la ACK Wairima eneo la Othaya kaunti ya Nyeri. Polisi…
Naibu Waziri wa Ujenzi Eng
Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amewapongeza makandarasi na wasimamizi wa ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Geita na Shinyanga kwa kuzingatia kasi na ubora. Amesema Serikali…
Arsenal, Man United ngoma ya wakubwa
Arsenal leo inaikaribisha Manchester United kwenye Uwanja wa Emirates katika mchezo wa Ligi Kuu...
WHO yaijibu Marekani, yatolea ufafanuzi madai ya Uviko-19
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza kusikitishwa na taarifa ya Marekani kujiondoa katika...
Katika safari yake ya kuanza kazi ya ushonaji nguo, Mbunifua wa mavazi ambaye pia ni Mkurugenzi Mkurugenzi Mtendaji wa Anna Fash…
Katika safari yake ya kuanza kazi ya ushonaji nguo, Mbunifua wa mavazi ambaye pia ni Mkurugenzi Mkurugenzi Mtendaji wa Anna Fashion Academy na Anna Collection, Anna Lunguaya, anaeleza namna alivyopitia…
Kasekenya aridhishwa makandarasi wazawa
SHINYANGA: NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameridhishwa na kazi zinazotekelezwa na makandarasi wazawa waliokuwa wakijenga madaraja matatu yaliyogharimu zaidi ya Sh billioni 13.5 fedha kutoka ufadhili wa Benki…
Sh30 bilioni kupeleka huduma za matibabu Kaskazini Unguja
Ili kutatua changamoto za wananchi katika kufuata huduma za matibabu, Sh30.44 bilioni...
Afisa Mkuza Mitaala wa VETA, Thanasia Kisyeri, amesema kuwa sekta ya ubunifu wa mavazi ni miongoni mwa sekta zinazokua kwa kasi …
Afisa Mkuza Mitaala wa VETA, Thanasia Kisyeri, amesema kuwa sekta ya ubunifu wa mavazi ni miongoni mwa sekta zinazokua kwa kasi kubwa nchini akieleza kwa sasa VETA ina vyuo 59…
Ng’ombe wa huko kwenu anaweza kufanya haya
Ng’ombe wa huko kwenu anaweza kufanya haya Nchini Australia kumeshuhudiwa tukio la kushangaza baada ya ng’ombe anayeitwa Veronica kuonesha uwezo wa kipekee wa kutumia brashi na miti kujikuna mwilini mwake.…