Brazil: Wafuasi 89 wa Bolsonaro wajeruhiwa kwa radi wakati wa maandamano
Wafuasi 89 wa rais wa zamani wa mrengo wa kulia nchini Brazil, Jair Bolsonaro, wamejeruhiwa baada ya kupigawa na radi, walipokuwa wakiandamana kumuunga mkono rais wao huko Brasilia siku ya…
Neema biashara za wananchi
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imepokea Sh bilioni 10.5 kwa ajili ya kutoa mikopo ya masharti nafuu na imeshatoa Sh bilioni 1.3 kwa wafanyabiashara 588.…
Nigeria: Gavana wa Kano aondoka chama cha upinzani cha NNPP, na kuzua gumzo
Gavana mwingine nchini Nigeria amejiondoa kutoka upinzani na anatarajiwa kujiunga rasmi na chama cha APC, chama tawala, Jumatatu, Januari 26, 2026, kulingana na msemaji wake. Gavana huyu ni Abba Kabir…
“Natoa miezi 6 wenye vibanda wachukue hatua”
SHINYANGA: DIWANI wa Kata ya Malunga Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, Ahamed Haruna ametoa miezi sita kwa wananchi waliofunga mikataba kwenye eneo la soko kwa ajili ya ujenzi wa vibanda…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….JANUARI 26, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....JANUARI 26, 2026
BetZillion yatoa mabadiliko ya Odds kufuatia kupanda kwa nafasi ya Tanzania katika viwango vya FIFA
Kupanda kwa nafasi ya FIFA si fahari tu kwa taifa, bali pia kumeleta mabadiliko katika mtazamo...
Chama na ujio wa tatu Msimbazi
Siku chache zimepita baada ya kiungo mshambuliaji, Clatous Chota Chama kurejea kwenye Klabu...
Makamu rais wa zamani wa Kenya adai jaribio la kumuua katika shambulio la Kanisa
Mwanachama maarufu wa upinzani nchini Kenya Rigathi Gachagua amedai kulikuwa na jaribio la kumuua wakati wa ibada ya siku ya Jumapili kanisani. Imechapishwa: 26/01/2026 – 06:27 Dakika 2 Wakati wa…
‘Hadi watu 30,000’ wameuawa katika ukandamizaji nchini Iran
Takwimu hii, iliyotolewa na wenzetu kutoka Jarida la Time, inaonyesha hisia ya vurugu za ukandamizaji nchini Iran. Idadi hiyo ya vifo inahuu siku za Januari 8 na 9 pekee, wakati…
Jinsi roketi ya utafiti wa hali ya hewa ya Norway ilivyokaribia kusababisha vita vya nyuklia
Kwa mara ya kwanza katika historia, kiongozi wa taifa alilazimika kuamsha kile kilichojulikana kama kifaa cha nyuklia, mfumo maalumu wenye maagizo na teknolojia ya kuidhinisha shambulio la nyuklia.
EU, India zajiandaa kwa makubaliano ya kihistoria ya biashara licha ya ushuru wa Marekani
Katika kile kinachoitwa ushindi wa biashara huria, EU na India zimejiandaa kukubaliana kuhusu “mama wa mikataba yote” na makubaliano ya ulinzi yanayolenga kuivutia India kutoka kwa uhusiano wake wa karibu…
Mgogoro Sudan Kusini waongeza ‘hatari ya vurugu kubwa’ dhidi ya raia, wataalamu wa UM wanasema
Wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa wameonya siku ya Jumapili kwamba kuongezeka kwa vurugu nchini Sudan Kusini kunaongeza hatari ya ukatili mkubwa dhidi ya raia, wakitaja mapigano mapya na maneno…
Nyayo za Madola ya Kigeni katika Machafuko ya Iran: Simulizi ya Nyaraka ya Uingiliaji Kati wa Marekani na Israel
Leo tunafuatilia nyayo za kuhusika Marekani na Israel katika ghasia na machafuko ya karibuni nchini Iran..
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Dk Razaro Komba kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge ka…
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Dk Razaro Komba kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge katika Jimbo la Peramiho. Uteuzi wa Dk Komba…
Utaratibu huu hapa bima ya afya kwa wote ikianza leo
Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote unaanza rasmi leo, Januari 26, 2026, ukiwa na lengo la...
Msiba wa Mtei ulivyoibua mijadala ya kisiasa
Fursa ya kutema nyongo, ndio tafsiri iliyotolewa na wachambuzi wa siasa kuhusu kauli za...
Waandamanaji wakusanyika Marekani baada ya afisa wa uhamiaji kutekeleza mauji
Gavana wa Minnesota Tim Walz ametoa wito wake kwa Rais wa Marekani, Donald Trump kuwaondoa maafisa hao wa shirikisho katika jimbo lake, akisema: "Huu ni wakati wa mabadiliko."
Nini kimeibadilisha Man United na kupata matokeo ya kushangaza
Ushindi wa Jumapili dhidi ya Arsenal ulikuwa ushindi na matokeo mengine ya kushangaza kwa Manchester United, walivutia kwa jinsi walivyoupata ushindi.
Katika mazungumzo na US, Misri yahimiza Israel iondoke Ghaza, ifungue tena kivuko cha Rafah
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Badr Abdelatty ametoa wito kwa utawala wa kizayuni wa Israel kujiondoa katika Ukanda wa Ghaza na kufungua tena kivuko cha mpakani cha Rafah…
Axios: Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya Putin na Zelensky ‘yako karibu sana’ kufanyika
Tovuti ya habari ya Axios imeripoti kuwa Rais wa Russia Vladimir Putin na mwenzake wa Ukraine Vladimir Zelensky wanaweza kukutana kwa mazungumzo ya ana kwa ana muda si mrefu ujao…
Dkt. Ghebreyesus: Marekani ilitoa sababu za uongo kujiondoa katika WHO
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema, sababu zilizotajwa na Marekani kujiondoa kwenye shirika hilo la afya la Umoja wa Mataifa si za kweli na…
Bangladesh yalaani India kumruhusu waziri mkuu mtoro Hasina kutoa hotuba ya hadhara
Bangladesh imesema "imeshangazwa" na "kushtushwa" kuona India imemruhusu waziri mkuu wa zamani mtoro Sheikh Hasina kutoa hotuba ya hadhara mjini New Delhi.
Tetesi za soka Ulaya: Man City wanamtaka Trent Alexander-Arnold
Manchester City wanaendelea kumfuatilia Trent Alexander-Arnold huku Liverpool wamewasiliana na Xabi Alonso na kupata ishara njema kuhusu kujiunga nayo
Uchunguzi wa Maoni: Wajerumani wengi wanamuona Trump kama tishio kwa nchi yao
Uchunguzi wa maoni unaonyesha kuwa Wajerumani wengi wanamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama tishio kwa nchi yao.
Jumatatu, 26 Januari, 2026
Leo ni Jumatatu 6 Sha'ban 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 26 Januari 2026.
Greenland; kulegeza msimamo Trump au kubadilisha mbinu?
Vyanzo vya habari, vikiwanukuu maafisa wa NATO na Rais wa Marekani Donald Trump, vimeripoti kuanza mazungumzo kati ya Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO, Marekani na Denmark kuhusu…
Serikali kuifungua Pemba kiutalii
ZANZIBAR: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania, Hamad Hassan Chande amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kushirikiana kuimarisha…
BoT yatahadharisha kuhifadhi fedha kwenye matiti, pindo la kanga
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewakataza wananchi, hususan kina mama, kuhifadhi fedha kwenye...
Serikali yazindua mwongozo wa kuongeza ujuzi kwa sekta ya kilimo
Serikali imeendelea kuchukua hatua za kimkakati kuboresha sekta ya kilimo kwa kulenga kujenga...
Limeulizwa swali muhimu jamani…kilio cha Cholo kina mengi…tujue 🥹
Limeulizwa swali muhimu jamani...kilio cha Cholo kina mengi...tujue 🥹 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2 (Feed generated with FetchRSS)
Chioma kaenda zake kazini kwa Side ili amuone tu 😅
Chioma kaenda zake kazini kwa Side ili amuone tu 😅 #NomaSeries (Feed generated with FetchRSS)
Kamati Kuu ya CCM, imewateuwa Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda na mbunge Livingstone Lusinde maarufu ‘Kibajaji’ …
Kamati Kuu ya CCM, imewateuwa Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda na mbunge Livingstone Lusinde maarufu 'Kibajaji' kuwania nafasi ya ujumbe wa Halmashauri Kuu CCM. Wawili hao wameteuliwa…
Uamuzi wa Tume ya Jaji Chande waibua maoni tofauti
Uamuzi wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 wa kuzuia...
CCM yafanya uamuzi ubunge Peramiho, yateua wajumbe wa NEC
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekata mzizi wa fitina, baada ya kumteua Dk Lazaro Komba aliyeshika...
Prisons bado yajitafuta Ligi Kuu, JKT yaambulia pointi moja
'Ushindi ni mchakato'. Ni kauli ya Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Zedekiah Otieno akielezea matokeo ya bila kufungana dhidi ya JKT Tanzania na mwenendo wa timu hiyo Ligi Kuu hadi…
Asilimia 30 ya madaraja Handeni Vijijini hatari kwa jamii -1
Takribani theluthi moja ya madaraja wilayani Handeni Vijijini, Mkoa wa Tanga, yako katika hali...
Heee mambo ni mazito nyie…Hivi unaanzaje kupitwa na hii kitu ya kuitwa NOMA?
Heee mambo ni mazito nyie...Hivi unaanzaje kupitwa na hii kitu ya kuitwa NOMA? Tukutane saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD (Feed generated with FetchRSS)
Azam yafanya kweli CAF, Kitambala akiandika rekodi mpya
Mshambuliaji wa Azam, Jephte Kitambala, ameandika rekodi mpya baada ya kuifungia timu hiyo bao la kwanza la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu, kufuatia ushindi wa kikosi hicho…
Yas yaingiza mabilioni kwenye uchumi wa Tanzania
Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Yas imesema katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita imewekeza...
Mashavu anatamba yeye tu…😎
Mashavu anatamba yeye tu...😎 (Feed generated with FetchRSS)
Ila Dotto 🤣
Ila Dotto 🤣 (Feed generated with FetchRSS)
Tanzania assesses operational performance of the Namanga Border Post
NAMANGA: THE Tanzanian government is assessing the operational performance of the Namanga One Stop Border Post (OSBP) on the Tanzanian side in the tour that also inspected the border’s infrastructure…
Tamisemi yaonya utendaji wa mazoea halmashauri
GEITA: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tamisemi, Profesa Riziki Shemdoe amewataka viongozi na watendaji wa Serikali kuacha kufanya kazi kwa mazoea hali inayorudisha nyuma kasi ya utekelezaji wa…
Bambucha akitamani kinachofanyika Yanga
MSANII mkongwe wa filamu za Kibongo, Omary Babuu ‘Bambucha’ amesema japo yeye ni shabiki wa Simba, lakini anatamani kile kinachofanywa na Yanga kinastahili kuigwa na timu hiyo anayoishabiki ili iweze…
Jamii yatakiwa kutowaficha wagonjwa wa ukoma
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameiasa jamii kuachana na dhana potofu ya kuficha wagonjwa...
ALAF’s quality products impress Industry and Trade Minister
DAR ES SALAAM: THE Minister for Industry and Trade, Judith Kapinga has toured ALAF limited, the popular firm in building solutions in Tanzania and expressed satisfaction in the quality and…