Waziri wa Maji, Juma Aweso ametengua nafasi ya Meneja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wa Wilaya ya Kibamba kutokana na tuhuma za kutofanya majukumu yake vizuri, ikiwemo kutokuwa na taarifa sahihi za upatikanaji wa maji na kushindwa kuwasiliana na wananchi wa eneo hilo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *