Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (Dart) ametangaza kurejeshwa kwa shughuli za usafirishaji kwa barabara ya Morogoro kuanzia kituo kikuu cha Ubungo kwenda Kivukoni gerezani na Muhimbili.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *