Massanza: Guede ananikumbusha Sowah
OFISA Habari wa Singida Black Stars, Hussein Massanza, amesema moto alioanza nao mshambuliaji wa timu hiyo, Joseph Guede, unamkumbusha alivyokuwa Jonathan Sowah.
From hives to hashtags: how Adam is building a honey business online
IGUNGA: AT 25, Adam Joseph is part of a growing generation of young African entrepreneurs using digital platforms to bypass traditional barriers to market access and build businesses with regional…
Himid Mao atoboa siri ya ubora wake
KIUNGO wa Azam FC, Himid Mao ametoboa siri ya ubora wake akisema unachangiwa na namna ambavyo anayapokea majukumu kutoka kwa kocha na kuyatimiza inavyotakiwa.
Leo Brent Bozell ateuliwa kuwa balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini
Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Afrika Kusini, unatarajiwa kuwa mgumu mwaka wa 2026. Sababu: Kurudi kwa Donald Trump katika Ikulu ya White House na kuthibitishwa, mnamo Desemba 19…
High Court Simiyu Zone begins operations
SIMIYU: THE Judiciary has officially announced the commencement of operations of the High Court of Tanzania Simiyu Zone, effective January 2, 2026, following the completion of an Integrated Justice Centre…
Kocha Mlandege atupa taulo mapema Mapinduzi Cup
MABINGWA watetezi wa Kombe la Mapinduzi, Mlandege FC, hesabu zinaonyesha wameumaliza mwendo katika michuano hiyo baada ya kupoteza mechi mbili za kwanza hatua ya makundi.
Karamagi urges Tanzanians to support Samia’s initiatives
BUKOBA: KAGERA Regional CCM Chairman, Mr Nazir Karamagi, has appealed to Tanzanians to support initiatives spearheaded by President Dr Samia Suluhu Hassan, saying the projects are gaining international recognition and…
TRA Kagera exceeds quarterly revenue target
BUKOBA: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) in Kagera Region has collected 57.8bn/- in the first three months of the 2025/26 financial year, exceeding its target of 50.3bn/- and achieving 114…
Demonstration farms get 22-tonne fertiliser boost
DODOMA: A TOTAL of 16 local government authorities (LGAs) in four Lake Zone regions have received a total of 22 tonnes of fertiliser through the Tanzania Agricultural Inputs Support Project…
Viongozi wa dini wahamasisha amani 2026
wamewataka Watanzania kumweka mbele Mungu na kufanya kazi kwa bidii pamoja na kulinda amani ya nchi. Sambamba na hilo, wamesema Mungu hajawapa kisogo mwaka 2025 licha ya changamoto zilizotokea wakati…
Coast region to become manufacturing hub
BAGAMOYO: PLANS to transform the Coast Region into Tanzania’s leading manufacturing and logistics hub are at an advanced stage, with the establishment of the Bagamoyo Eco-Maritime City (BEMC) now firmly…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa: DRC yarejea kama mwanachama asiye wa kudumu
Mwanzoni mwa mwaka 2026, Somalia inachukua urais wa zamu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Kama ilivyo kawaida, baadhi ya viti visivyo vya kudumu katika chombo hiki cha…
Waziri Mkuu kukagua ujenzi Bwawa la Kidunda leo
Waziri Mkuu kukagua ujenzi Bwawa la Kidunda leo – HabariLeo WAZIRI Mkuu, Mwigulu Nchemba leo anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi mkoani Morogoro. Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu imesema…
Mechi tano za mtego wa Ubingwa England
Arsenal na Manchester City zinaendelea kuonekana kuwa timu mbili zenye nafasi kubwa ya kutwaa...
Mapitio ya #MAGAZETI leo Januari 2, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Januari 2, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Matatizo ya moyo, damu yanavyochangia vifo vya ghafla
Magonjwa ya kimya kimya yanayoweza kusababisha kifo cha ghafla, mara nyingi yanahusiana na...
Marais watano wa Afrika walioondoka madarakani kwa hiari
Tangu uhuru, baadhi ya viongozi wameondolewa madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi na mauaji. Katika mazingira haya, visa vya marais wa Afrika kuondoka kwa hiari katika nafasi ya juu ya utawala…
Mwaka mpya, mambo ya zamani kwa mstaafu!
Ni miaka ilee tulipokuwa tukiijenga nchi kwa jasho na damu mpaka kufika hapa, pa wawakilishi...
Unayofanya kila siku huamua afya ya moyo wako
Unajisikia sawa. Unaonekana mzima. Unaendelea na shughuli zako za kila siku kama kawaida.
#SWALILAKIPIMAJOTO:Taifa Stars kufuzu kwa maraya kwanza robo fainali ya michuano ya AFCON
#SWALILAKIPIMAJOTO:Taifa Stars kufuzu kwa maraya kwanza robo fainali ya michuano ya AFCON. Je, wapewe hamasa ili wafuzu pia hatua ya nusu fainali?
🔴#KUMEKUCHA: FURSA ZA MRADI WA KITUO CHA MABASI MAGUFULI
🔴#KUMEKUCHA: FURSA ZA MRADI WA KITUO CHA MABASI MAGUFULI.. JANUARI 02, 2026
Hekima na ubora wa miezi mitukufu kwenye Uislamu
Wanazuoni wamejitahidi kubainisha hekima ya utukufu wa miezi hii na siri ya kupangwa kwake kwa...
🔴 #MAGAZETI:TUME YA MARIDHIANO YAZUA MJADALA MPANA …JANUARI 02, 2026
🔴 #MAGAZETI:TUME YA MARIDHIANO YAZUA MJADALA MPANA ...JANUARI 02, 2026
Matukio yanayotarajiwa kutikisa tena Afrika kwa mwaka huu
Wakati mwaka 2026 ndio umeanza bara la Afrika na hasa eneo la Afrika Mashariki linatarajiwa kuendelea kushuhudia vurugu kama za mwaka uliopita, ambapo maelfu ya raia walipoteza maisha na wengine…
Maandamano zaidi yashuhudiwa Iran kupinga kupanda kwa gharama ya maisha
Waandamanaji na vyombo vya usalama wamekabiliana katika miji kadhaa ya Iran, watu 6 wakiripotiwa kupoteza maisha, ikiwa ni vifo vya kwanza tangu kuanza kwa maandamano ya raia kupinga kupanga kwa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…JANUARI 02, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...JANUARI 02, 2026
Pezeshkian: Jenerali Soleimani alikuwa nembo ya maelewano na utiifu kwa Kiongozi Muadhamu
Rais Masoud Pezeshkian amesisitiza kwamba, taifa la Iran litaendeleza njia ya Shahid Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu…
Baraza la Makanisa Duniani lataka kuwekewa vikwazo Israel kutokana na vita vya Gaza
Baraza la Makanisa Duniani (WCC) limeutaka Umoja wa Ulaya (EU) kuiwekea Israel vikwazo na vikiwemo vya silaha kutokana na mauaji ya kimbari yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni huko Gaza, na…
Jeshi la Somalia laangamiza makumi ya magaidi wa al-Shabaab
Makumi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabaab na lenye misimamo ya kufurutu ada la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya wanajeshi wa Somalia.
DRC: Watu 1,500 wameuawa mashariki mwa nchi
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema zaidi ya raia 1,500 wameuawa katika ghasia zinazoendelea katika jimbo la Kivu Kusini, mashariki mwa nchi hiyo tangu mapema mwezi Desemba, 2025…
Somaliland yajitoa kimasomaso, yakanusha kuafiki kujengwa kambi za kijeshi za Israel
Eneo la Somaliland la kaskazini mwa Somalia limekanusha madai kwamba lilikubali kuwa mwenyeji wa vituo vya kijeshi vya Israel na kuwapokea Wapalestina waliofurushwa kutoka Gaza ili kutambuliwa na Israel.
Kwa nini kiwango cha kujiua katika jeshi la Israel kimefikia kiwango cha juu zaidi?
Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Isarel, kwa kukiri kujiua kwa makumi ya wanajeshi wake, limekubali kuwa jumla ya wanajeshi 151 wamepoteza maisha katika mwaka huu wa sasa.
Ijumaa, Januari 2, 2026
leo ni Ijumaa tarehe 12 Rajab 1447 Hijria sawa na tarehe Pili Januari 2026.
Habari kubwa za Magazeti leo Januari 2,2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Wananchi wa mtaa wa Saeni katika kata ya Misugusugu Kibaha mkoani Pwani wameiomba serikali kupitia Baraza la Usimamizi wa Mazing…
Wananchi wa mtaa wa Saeni katika kata ya Misugusugu Kibaha mkoani Pwani wameiomba serikali kupitia Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kusimamisha uzalishaji wa viwanda vinavyotirisha maji taka yenye kemikali…
Tanzania keen to retain global conservation status
Dodoma: Tanzania has expressed its ambition to retain its position as a global leader in conservation following the acquisition of sophisticated technologies and transport equipment by the Tanzania Forest Services…
Kisiwa cha Taiwan kimeongeza uwekezaji katika sekta ya ulinzi ikiwa ni hatua ya tahadhari dhidi ya mazoezi ya kijeshi yaliyofany…
Kisiwa cha Taiwan kimeongeza uwekezaji katika sekta ya ulinzi ikiwa ni hatua ya tahadhari dhidi ya mazoezi ya kijeshi yaliyofanywa na China kuzunguka kisiwa hicho. Je, bajeti hiyo mpya inalenga…
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imepongeza ulipaji kodi wa hiyari sambamba na sera za uchumi kuwa kiini cha muendelezo wa mafani…
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imepongeza ulipaji kodi wa hiyari sambamba na sera za uchumi kuwa kiini cha muendelezo wa mafanikio ya kuvuka malengo la ukusanyaji wa kodi huku mamlaka…
Miongoni mwa fursa zilizojificha kwenye ‘kero na kubezwa’ ni ujasiriamali wa ukusanyaji na uzoaji wa takataka
Miongoni mwa fursa zilizojificha kwenye 'kero na kubezwa' ni ujasiriamali wa ukusanyaji na uzoaji wa takataka. Ndio, takataka ni fursa kwakuwa 'unawaondolea kero na hatari ya magonjwa' na ukitaka kuamini…
Makumi ya watu wanahofiwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika ukumbi wa baa kwenye hot…
Makumi ya watu wanahofiwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika ukumbi wa baa kwenye hoteli ya kifahari ya Crans-Montana iliyopo kwenye mji wa…
Baadhi ya abiria walionusurika kifo katika ajali iliyoua watu 10 usiku wa kuamkia Januari mosi, 2026 mkoani Morogoro wamesema aj…
Baadhi ya abiria walionusurika kifo katika ajali iliyoua watu 10 usiku wa kuamkia Januari mosi, 2026 mkoani Morogoro wamesema ajali hiyo imechangiwa kwa kiasi kikubwa na mwendokasi wa gari yao.…
Watu kumi wamefariki dunia na wengine 23 Kujeruhiwa kwenye ajali ilitoka usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Maseyu, Kata ya …
Watu kumi wamefariki dunia na wengine 23 Kujeruhiwa kwenye ajali ilitoka usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Maseyu, Kata ya Gwata Wilaya ya MorogoroBarabara kuu ya Morogoro Dar es…
Mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Handeni mkoani Tanga zimeendelea kusababisha athari kwa wananchi wilayani humo baada ya ida…
Mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Handeni mkoani Tanga zimeendelea kusababisha athari kwa wananchi wilayani humo baada ya idadi ya nyumba zilizoezuliwa na mvua hiyo inayoambatana na upepo mkali kuongezeka siku hadi…
🔴TAARIFA YA HABARI YA JANUARI 01, 2026 – WATANZANIA WASHEREHEKEA KUINGIA MWAKA 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA JANUARI 01, 2026 - WATANZANIA WASHEREHEKEA KUINGIA MWAKA 2026
#LIVE:TAARIFA YA HBARI YA USIKU – 01/01/2026
#LIVE:TAARIFA YA HBARI YA USIKU - 01/01/2026