TRA United yamng’ang’ania Denis Nkane
MABOSI wa TRA United bado hawajakata tamaa juu ya kumnasa winga Denis Nkane anayeitumikia Yanga, baada ya sasa kuwasilisha maombi rasmi ya kutaka iwepe mchezahi huyo.
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….DESEMBA 22, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....DESEMBA 22, 2025
Ouma matumaini kibao Mapinduzi 2026
KOCHA msaidizi wa Singida Black Stars, David Ouma amesema michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 wanaibeba kwa ukubwa kwa kuitumia kwa ajili ya kuiweka timu katika ubora tayari kwa michuano…
Mpole aanika ‘code’ ya mastraika
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Pamba Jiji, George Mpole ametaja sababu ya washambuliaji wa ndani kushindwa kuwa na mwendelezo wa ubora, huku akiweka wazi nyota wa kigeni wanabebwa na viongozi na…
Sure Boy afagilia mechi za ‘ndondo’
KIUNGO wa Yanga, Salum Abubakar 'Sure Boy' amesema mabonanza yanayofanywa na wachezaji kipindi cha mapumziko ya Ligi Kuu Bara ni chachu ya kuboresha ushindani na kuwakutanisha pamoja.
Mauwasa yaanza kurejesha vyanzo vya maji New Sola
Vyanzo hivyo hupeleka maji katika bwawa la New Sola, ambacho ni chanzo kikuu cha maji kwa...
ASEAN: Thailand na Cambodia zisitishe vita baina yao
Mawaziri wa mambo ya nchi za nje, wa Kusini Mashariki mwa Asia, wamekutana mjini Malysia kwa mazungumzo yanayolenga kutatua mgogoro kati ya Cambodia na Thailand.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas, amefika katika mradi wa …
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas, amefika katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Amani Makolo–Ruanda wilayani Mbinga kutekeleza agizo…
Watoto 130 wa shule nchini Nigeria waliotekwa nyara katika uvamizi wa mwezi Novemba wameachiliwa huru, hatua inayohitimisha moja…
Watoto 130 wa shule nchini Nigeria waliotekwa nyara katika uvamizi wa mwezi Novemba wameachiliwa huru, hatua inayohitimisha moja ya matukio makubwa ya utekaji wa wanafunzi nchini humo katika miaka ya…
Wakulima wa jimbo la Isimani mkoani Iringa wameiomba serikali kuwapatia mbegu za muda mfupi, hususan za mahindi na mpunga, baada…
Wakulima wa jimbo la Isimani mkoani Iringa wameiomba serikali kuwapatia mbegu za muda mfupi, hususan za mahindi na mpunga, baada ya mazao yao kukauka kutokana na ukosefu wa mvua za…
Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu mpango wa bima ya afya kwa wananchi wote, unaotarajiw…
Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu mpango wa bima ya afya kwa wananchi wote, unaotarajiwa kuanza kutekelezwa Januari 2026. Chini ya mpango huo, kiasi cha…
Kongani ya viwanda Kahama kuwa kitovu cha uzalishaji, usambazaji ukanda wa SADC
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema kongani maalumu ya viwanda inayojengwa katika eneo...
Baqaei: Uwezo wa kujihami wa nchi si wa kujadiliwa; Vikosi vya ulinzi vimejiandaa kikamilifu kulilinda taifa
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa uwezo wa kiulinzi wa nchi hii kimsingi umeratibiwa kwa lengo la kuzuia mashambulizi yoyote ya wavamizi na si suala…
Maafisa wa ulinzi wa Cambodia na Thailand kukutana kujadili makubaliano ya kusitisha mapigano
Maafisa wa ulinzi wa Thailand na Cambodia watakutana Desemba 24 kujadili uwezekano wa kurejesha makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya nchi hizo mbili, waziri wa mambo ya nje wa Thailand…
Usiku wa kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo unaoambatana na nyimbo za sifa, ibada yaaani Christmas Carols hali huwa inakuwaj…
Usiku wa kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo unaoambatana na nyimbo za sifa, ibada yaaani Christmas Carols hali huwa inakuwaje… Kachero wa Usiku Kama Mchana @ntibashima_tz ametembelea moja ya eneo lililobeba…
ZFDA yakamata kilo 1,232 za nyama iliyoisha muda wake
Miongoni mwa kilo hizo, vipo vipapatio vya kuku boksi 55, kuku paketi 254, vidali vya kuku...
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55….DESEMBA 22, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....DESEMBA 22, 2025
Uhaba wa dawa za matibabu Gaza umefikia viwango vya kutisha kufuatia mzingiro wa Israel
Wizara ya Afya ya Gaza imetahadharisha kuhusu uhaba mkubwa na hatari zaidi wa dawa na vifaa vya matibabu. Imesema kuwa uhaba huo umelemaza uwezo wa eneo hilo wa kutoa huduma…
Mambo saba ushindi wa Morocco vs Comoros
Kabla ya mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 kati ya Morocco...
Jenerali wa ngazi ya juu wa Russia auawa katika shambulio la kuvizia mjini Moscow
Wachunguzi wa Russia wamethibitisha kuwa Mkuu wa Kurugenzi ya Uendeshaji ya Mafunzo ya Vikosi vya Ulinzi vya Russia ameuawa baada ya mada ya mlipuko ilioyokuwa imetegwa chini ya gari yake…
Afisa wa ngazi za juu wa jeshi la Urusi auawa
Mkuu wa Kurugenzi ya Mafunzo ya Uendeshaji kwenye Jeshi la Urusi Luteni Jenerali Fanil Sarvarov ameuawa kwa bomu lililotegwa chini ya gari lake, kusini mwa Moscow.
Cambodia na Thailand kujadiliana zaidi kuhusu mzozo kati yao
Thailand na Cambodia wamekubaliana kuwa na majadiliano zaidi ya kumaliza mzozo mbaya kabisa wa mpaka wiki hii, baada ya mazungumzo kuhusu mzozo huo kumalizika Malaysia.
Marekani yaziandama meli za mafuta za Venezuela
China imeikosoa Marekani ikisema inakiuka sheria ya kimataifa kwa kukamata meli za mafuta za Venezuela
Rwanda yafunga maelfu ya makanisa ya kiinjili
Rwanda imefunga zaidi ya makanisa 10,000 ya kiinjilisti kwa kushindwa kufuata sheria ya mwaka 2018 iliyoanzishwa kwa ajili ya kusimamia maeneo ya ibada.
China yaikosoa Marekani kwa kuzikamata meli za Venezuela
China imesema hatua ya Marekani ya kukamata kiholela meli za taifa jingine ni ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa.
Israel kutanua makazi ya walowezi katika Ukingo wa Magharibi
Baraza la Mawaziri la Israel limeidhinisha mpango wa kuanzisha makazi mapya ya wayahudi yapatayo 10 katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kimabavu, hatua inayofifisha uwezekano wa kuanzishwa kwa taifa la Palestina.
Arabi21: Utawala wa Kizayuni wa Israel unasambaza dawa za kulevya huko Gaza
Chombo cha habari cha Arabi21 kimeripoti kuwa, ingawa jeshi la Israel limezuia kuingia bidhaa nyingi muhimu huko Gaza, ripoti zinaonyesha kuwa usafirishaji haramu wa dawa za kulevya katika eneo hilo…
Morocco yaichapa Comoro 2-0 mechi ya ufunguzi AFCON
Pongezi za ufunguzi wa michuano ya mwanzo ya kandanda kwa mataifa ya Afrika, AFCON 2025 ilimwangukia Ayoub El Kaabi pale ambapo mwenyeji Morocco alifungua mashindano hayo ya 35 kwa ushindi…
#TANZIA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt
#TANZIA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba. #ITVDigital…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YADHUHURI – 22/12/2025
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YADHUHURI - 22/12/2025
“Zipo huduma za kijamii ambazo zilikuwepo na kuna maeneo ambayo watu wanakwenda kwenye mapumziko
"Zipo huduma za kijamii ambazo zilikuwepo na kuna maeneo ambayo watu wanakwenda kwenye mapumziko. Kuna kufunga shule. Kuna watu wanauliza mbona watoto wanafunga shule mwezi wa Sita na Desemba Mbona…
Pitso aitabiria makubwa Bafana Bafana
Kocha wa zamani wa Bafana Bafana, Pitso Mosimane, amesema soka la Afrika ni la tofauti na...
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….DESEMBA 22, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....DESEMBA 22, 2025
Kwa nini Afrika inadai fidia ya utumwa kutoka nchi za Magharibi?
Afrika imeazimia ipasavyo kulipwa fidia ya kipindi cha utumwa kutoka nchi za Magharibi, na katika suala hili, Rais wa Ghana amechukua jukumu la kudai fidia ya kipindi cha utumwa Wazungu…
LATRA yakagua magari 4805, kuanzia 8 hadi 20 Desemba na kubaini makosa 515 nchi nzima
LATRA yakagua magari 4805, kuanzia 8 hadi 20 Desemba na kubaini makosa 515 nchi nzima Ameyasema hayo CPA Dkt. Habibu Suluo Mkurugenzi Mkuu LATRA alipokuwa akifanya ukaguzi mkoani Kilimanjaro.
#HABARI: Waziri wa Madini Mhe
#HABARI: Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde, akiwa ametembelea eneo la kongani ya viwanda ya BUZWAGI Kahama (Buzwagi Special Economic zone), amewasihi wawekezaji wazawa kutumia fursa hiyo kuwekeza katika eneo…
Rwanda yafunga makanisa ya kiinjili zaidi ya 10,000
Sheria ya mwaka 2018 inataka makanisa yote yatume mipango ya mwaka ikieleza jinsi yanavyokidhi...
#HABARI: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wakandarasi kuweka kipaumbele utu na kuondoa kero kwa wananchi kila wanapop…
#HABARI: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wakandarasi kuweka kipaumbele utu na kuondoa kero kwa wananchi kila wanapopewa kazi za ujenzi hapa nchini kwani huo ndiyo mwelekeo wa Serikali ya…
Haaland kiboko ya nyavu EPL
Erling Haaland anaendelea kuonyesha kwa nini ni mmoja wa washambuliaji bora zaidi duniani...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55….DESEMBA 22, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....DESEMBA 22, 2025
Hii hapa ‘password’ inayotumiwa zaidi mwaka 2025
Kwa mujibu wa utafiti huo, passwords rahisi kama 12345, 12345678 na 123456789 bado zinatumika...
Mahamana Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Kampuni ya UDA Rapid Transport Ltd kumlipa fidia ya Sh
Mahamana Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Kampuni ya UDA Rapid Transport Ltd kumlipa fidia ya Sh. milioni 88.8 Frank Zebaza, baada ya kugongwa na basi la…
Ulimwengu wa Spoti, Dec 22
Hujambo mpenzi mskilizaji na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyoshuhudiwa ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia ukiwemo ufunguzi wa michuano ya AFCON…
#HABARI: Mamlaka ya uwekezaji na maeneo malumu ya kiuchumi Tanzania Kanda ya Magharibi, imepanga kushirikiana na Halmashauri ya …
#HABARI: Mamlaka ya uwekezaji na maeneo malumu ya kiuchumi Tanzania Kanda ya Magharibi, imepanga kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko kutafuta soko la uhakika la zao la muhogo linalolimwa…
#HABARI: Mahamana Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Kampuni ya UDA Rapid Transport Ltd kumlipa fidia ya Sh
#HABARI: Mahamana Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Kampuni ya UDA Rapid Transport Ltd kumlipa fidia ya Sh. milioni 88.8 Frank Zebaza, baada ya kugongwa na basi…
Uhaba wa maji Dar: Mamlaka kuchimba visima 14
Kwa wiki kadhaa sasa maeneo mengi ya Mkoa wa Dar es Salaam yamekuwa yakikabiliwa na uhaba wa maji hatua inayowalazimu kutumia muda mwingi kutafuta huduma hiyo.
🔴AFCON 2025…DESEMBA 22, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....DESEMBA 22, 2025 🔴AFCON 2025...DESEMBA 22, 2025
Mitikisiko ya demokrasia na mapinduzi ya kijeshi Afrika: 2025
Katika Afrika Magharibi na Kati, maendeleo ya hivi majuzi ya kisiasa yameibua wasiwasi kuhusu utaratibu wa kikatiba na kanuni za kidemokrasia. ECOWAS imetangaza hali ya hatari ya kikanda ili kukabiliana…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55….DESEMBA 22, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....DESEMBA 22, 2025
Mhesa: Winga anayekubali uwezo wake
Soka la kisasa linahitaji mawinga ambao wana uwezo wa kuchezesha timu na kufunga mabao kadri...