#HABARI: Msemaji wa Rais Bola Tinubu amesema, wanafunzi 130 wa shule ya Kikatoliki Jimbo la Niger nchini Nigeria, waliokuwa bado…
#HABARI: Msemaji wa Rais Bola Tinubu amesema, wanafunzi 130 wa shule ya Kikatoliki Jimbo la Niger nchini Nigeria, waliokuwa bado wametekwa nyara, kutokana na uvamizi wa mwezi Novemba wameachiwa huru.…
Osman ameibuka tena kwenye mtego wa Kalesi Bey
Osman ameibuka tena kwenye mtego wa Kalesi Bey. Kwa Lukas anaenda shushushu mpya. Gonja hataki kumuona Holafira... 🥹 Usikose kutazama OTTOMAN leo saa 4:00 USIKU ndani ya #AzamTWO
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT), Hamis Livembe, amesema Serikali pamoja na Tume ya Maboresho ya Sheria z…
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT), Hamis Livembe, amesema Serikali pamoja na Tume ya Maboresho ya Sheria za Kodi zinapaswa kutangaza hadharani matokeo ya kazi ya tume hiyo, akibainisha…
Meli za kivita za Iran zaelekea Afrika Kusini kushiriki mazoezi ya kijeshi ya BRICS
Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesifu “kuongezeka kwa uwepo wa Iran baharini” nje ya eneo la Asia Magharibi, akitangaza kwamba meli kadhaa za kivita…
Viongozi wa Afrika wataka suluhisho la kikanda kwa mgogoro wa DR Congo
Viongozi wa nchi kadhaa Afrika siku ya Jumapili walitaka juhudi za kikanda zipewe kipaumbele katika kutatua mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), huku mipango ya kimataifa ikipewa nafasi…
Mkuu wa Majeshi ya Iran: Israel hutekeleza mashambulizi dhidi ya Wayahudi ili wengine walaumiwe
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa utawala wa Israeli unatekeleza mashambulizi ya “kujidhuru” dhidi ya jumuiya za Wayahudi maeneo mbali mbali duniani ili…
Iran yatengeneza kifaa cha kugundua saratani ya matiti kwa sekunde 15
Iran imezindua kifaa kipya cha kusaidia upasuaji wa saratani ya matiti kinachoitwa Cancer Diagnostic Probe (CDP), ambacho kinapunguza muda wa kugundua mipaka ya tishu zilizoathirika kutoka dakika 45 hadi sekunde…
Wanafunzi 130 waliotekwa nyara Nigeria waokolewa
Serikali ya Nigeria imetangaza kufanikiwa kuwaokoa wanafunzi 130 wa shule waliotekwa na watu wenye silaha kutoka shule ya Kikatoliki mwezi Novemba.
Kenya: Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki
Familia za waathiriwa wa maandamano ya kupinga serikali zimetangaza nia yao ya kuandamana hadi ikulu ya rais leo Jumatatu, Desemba 22, kuomba mkutano na Rais William Ruto ili kukemea ucheleweshaji…
“Mtu mwenye presha ya sikukuu huwa anaweza itakuwaje?
"Mtu mwenye presha ya sikukuu huwa anaweza itakuwaje? Ni mtu mwenye hali ya mashaka. Utaona ni watu ambao utaona mipango yake mingi anayopanga anategemea apate mrejesho kutoka kwenye jamii. Anapozungumza…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….DESEMBA 22, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....DESEMBA 22, 2025
“Mwisho wa mwaka ni kufunga mahesabu, zipo huduma za kijamii ambazo zilikuwepo na kuna maeneo ambayo watu wanakwenda kwenye mapu…
"Mwisho wa mwaka ni kufunga mahesabu, zipo huduma za kijamii ambazo zilikuwepo na kuna maeneo ambayo watu wanakwenda kwenye mapumziko. Kuna kufunga shule. Kuna watu wanauliza mbona watoto wanafunga shule…
#MEZAHURU: Je ni lazima uwe na kipato kikubwa ili ujenge nyumba
#MEZAHURU: Je ni lazima uwe na kipato kikubwa ili ujenge nyumba Kipi ni ukweli juu ya hili jambo. -Weka maoni yako hapa.
“Mwisho wa mwaka ni utamaduni wa jamii kukutana, shule zinakuwa zimefungwa
"Mwisho wa mwaka ni utamaduni wa jamii kukutana, shule zinakuwa zimefungwa. Ni mzunguko. Kunakuwa na mabadiliko ya bei ni kipindi cha mambo mengi sana. Unachotakiwa kufanya upo kwenye mzunguko ni…
Díaz na El Kaabi waipa Morocco mwanzo mzuri wa AFCON 2025
Kocha wa timu ya Morocco, Walid Regragui amesema walitumia muda wa mwaka mmoja na nusu...
Venezuela: Marekani yafuatilia meli nyingine ya mafuta katika Karibia
Washington inaendeleza kizuizi chake kwenye mafuta ya Venezuela. Baada ya kuizuia meli ya pili ya mafuta mwishoni mwa wiki hiii iliyopita huko Karibiani, Marekani imefuatilia meli ya tatu siku ya…
Wafanyabiashara 4,324 wanufaika na mikopo ya Sh9.8 bilioni
Zaidi ya Sh9.8 bilioni zimekopeshwa kwa wafanyabiashara ndogondogo 4,324 nchini kuanzia Machi...
Mazungumzo Miami: Wajumbe wa Marekani na Ukraine wasifu mazunguzo ‘yenye tija’
Wajumbe wa Marekani na Ukraine, katika taarifa ya pamoja siku ya Jumapili, Desemba 21, wamesifu majadiliano “yenye tija na yenye kujenga” yaliyofanyika wakati wa mazungumzo huko Miami. Muda mfupi kabla,…
Kocha Morocco aeleza walivyojiandaa kuizima Comoro
Kocha wa timu ya Morocco, Walid Regragui amesema walitumia muda wa mwaka mmoja na nusu...
Zein amsaidia Sarah kupata kazi kwenye kampuni anazotaka…Je, atahama
Zein amsaidia Sarah kupata kazi kwenye kampuni anazotaka...Je, atahama Usikose THE PRICE leo saa 3:00 usiku #AzamTWO
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: FURSA KWENYE NISHATI SAFI YA KUPIKIA DESEMBA 22, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: FURSA KWENYE NISHATI SAFI YA KUPIKIA DESEMBA 22, 2025
Haya Maega ana kazi ya kujitetea alivyofumwa na Sandra
Haya Maega ana kazi ya kujitetea alivyofumwa na Sandra. Sheiza ajifanya ameumia ili awe karibu na Radhia. Mfaume bado anaendelea kuwa mwiba kwa wote anaowataka wamsogeze kwenye hazina. Usikose #PichaYanguSeries…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….DESEMBA 22, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....DESEMBA 22, 2025
Nigeria: Wanafunzi 130 wa mwisho waliotekwa nyara mwezi Novemba waachiliwa
Mamlaka ya Nigeria imetangaza siku ya Jumapili, Desemba 21, kuachiliwa kwa wanafunzi 130 waliotekwa nyara mnamo Novemba 21 na watu wenye silaha kutoka shule ya Kikatoliki katika Jimbo la Niger,…
Serikali ya Nigeria imesema wanafunzi 130 zaidi waliotekwa nyara wameokolewa
Mamlaka ya Nigeria imefanikiwa kuokoa watoto wa shule 130 waliotekwa nyara na watu wenye silaha kutoka shule ya Kikatoliki mnamo Novemba 2025, msemaji wa rais alisema Jumapili, baada ya 100…
Jevdet ameisikiliza hadithi ya Aziza ni kama anafahamu wanaozungumziwa
Jevdet ameisikiliza hadithi ya Aziza ni kama anafahamu wanaozungumziwa. Jemo katikati ya wahuni wa Yavut. Usikose 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO 🥹
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 22, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 22, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Somalia yaimarisha usalama kabla ya uchaguzi wa kwanza wa mitaa katika miongo kadhaa
Somalia itapeleka zaidi ya maafisa 10,000 wa usalama katika mji mkuu, Mogadishu, kabla ya uchaguzi wa mitaa wiki ijayo - uchaguzi wa kwanza wa moja kwa moja katika karibu miaka…
Keane: Wachezaji wa Man United hawajitumi vya kutosha
Wachezaji wa zamani wa Manchester United, Roy Keane na Gary Neville, wamewashutumu vikali...
Guinea-Bissau: Ujumbe wa Senegal wataka wafungwa wa jaribio la mapinduzi waachiliwe
Karibu mwezi mmoja baada ya mapinduzi ya kijeshi ya Novemba 26, 2025, yaliyomwondoa Rais Umaro Sissoco Embaló nchini Guinea-Bissau, hali ya kisiasa inaendelea kupiga hatua. Ujumbe wa wakuu wa majeshi…
Jeshi la Ethiopia limesema zaidi ya wapiganaji 200 wamejisalimisha katika eneo la Oromia
Zaidi ya wapiganaji 200 wenye silaha wamejisalimisha kwa vikosi vya serikali ya Ethiopia katika eneo la Oromia Magharibi, jeshi la nchi hiyo lilisema Jumapili.
Mali: Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa ESA wafunguliwa kuimarisha ushirikiano wa kikanda
Mkutano wa saa 48 unaowakutanisha wakuu wa tawala za kijeshi nchini Mali, Niger, na Burkina Faso unafunguliwa leo Jumatatu, Desemba 22 matikamji mkuu wa Mali, Bamako. Imechapishwa: 22/12/2025 – 05:49…
Mdau ataja ugumu utekelezaji gridi ya Taifa ya maji, aonyesha njia
Wakati baadhi ya wananchi katika maeneo mbalimbali nchini wakiendelea kukabiliwa na upungufu wa...
DRC: Jenerali Philémon Yav Irung ashtakiwa kwa uhaini mbele ya Mahakama Kuu ya kijeshi
Miaka mitatu baada ya kukamatwa kwake, Luteni Jenerali Philémon Yav Irung, aliyepewa jina la utani “Tiger wa Katangese” katika jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, alikuwa akisikilizwa katika Mahakama…
Askofu Bagonza ataja ‘sumu’ tano kwenye maridhiano
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza...
Jumatatu, 22 Disemba, 2025
Leo ni Jumatatu tarehe Mosi Rajab 1447 Hijria, mwafaka na 22 Disemba 2025.
Morocco yaiburuza Commoro 2-0 mechi ya ufunguzi AFCON
Michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika, AFCON 2025, imeanza usiku wa kuamkia leo na katika mechi ya ufunguzi wenyeji Morocco waiiburuza timu ya taifa ya visiwa vya Commoro mabao…
Marekani na Ukraine zasifu mazungumzo ya Miami
Wawakilishi wa Marekani na Ukraine wamesema mazungumzo ya kujaribu kuvimaliza vita vya Ukraine yaliyofanyika mjini Miami nchini Marekani "yalikuwa na tija" lakini hawakuweka wazi makubaliano yoyote yaliyofikiwa.
Wenyeji Morocco waichapa Comoro 2-0 na kuanza kufukuzia taji lao la AFCON kwa kishindo
Wenyeji Morocco walishinda Comoro 2-0 katika mechi yao ya ufunguzi ya AFCON 2025 iliyochezwa kwenye Uwanja wa Prince Moulay Abdellah katika mji mkuu Rabat Jumapili.
Wayahudi wahimizwa kuhamia Israel kuepuka chuki
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Israel, Gideon Saar amewatolea mwito Wayahudi waishio kwenye mataifa ya magharibi kuhamia nchini Israel ili kuepuka chuki inayoongezeka dhidi ya jamii hiyo.
Nigeria yatangaza kuachiwa wanafunzi 130 waliotekwa nyara
Mamlaka nchini Nigeria zimesema zimefanikisha kuachiwa huru kwa wanafunzi 130 waliotekwa nyara na watu wenye silaha kutoka shule moja ya kikatoliki kaskazini mwa nchi hiyo mnamo mwezi Novemba.
Marekani yaifuatilia meli nyingine ya mafuta Venezuela
Marekani imetangaza kuwa inaifuatilia kwa lengo la kuimata meli nyingine ya mafuta inayodai kutumiwa na serikali ya Venezuela kukwepa vikwazo vya biashara ya mafuta vilivyowekwa na Washington.
Shambulizi la ndege zisizo na rubani za Sudan kwenye soko la Darfur laua watu 10, waokoaji wamesema
Shambulio la ndege zisizo na rubani kwenye soko lenye shughuli nyingi katika jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan liliua watu 10 mwishoni mwa juma, maafisa wa uokoaji walisema, bila kutaja…
Morocco yaibamiza Commoro 2-0 mechi ya ufunguzi AFCON
Michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika, AFCON 2025, imeanza usiku wa kuamkia leo na katika mechi ya ufunguzi wenyeji Morocco waliibamiza timu ya taifa ya visiwa vya Commoro mabao…
Rais Pezeshkian: Ushirikiano wa Iran na EAEU unafungua njia ya kuwa na ‘kanda yenye nguvu’
Rais Masoud Pezeshkian ameeulezea ushirikiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Kiuchumi wa Ulaya na Asia EAEU kama mkakati wa muda mrefu wa kuimarisha mamlaka ya…
#KIPIMAJOTO: Kampeni ya ukaguzi wa mabasi ya kubeba abiria kubaini mabasi mabovu
#KIPIMAJOTO: Kampeni ya ukaguzi wa mabasi ya kubeba abiria kubaini mabasi mabovu. Je, iwe endelevu?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…..DESEMBA 22, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DESEMBA 22, 2025
Albanese: Misri inaunga mkono mauaji ya halaiki ya Wapalestina
Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa ameitaja hatua ya Misri ya kuidhinisha makubaliano ya ununuzi wa gesi kutoka kwa utawala wa Israel kuwa ni uungaji mkono wa nchi hiyo kwa…