Na Sanduku la Barua ni identity
Na Sanduku la Barua ni identity. Yupo mtu ana Sanduku la Barua anakwambia Sanduku lake la Barua ni kizazi cha Tatu, lilianzia kwa babu, baba na sasa hivi anamiliki yeye.…
Ahmed Musa anastaafu na rekodi zake Nigeria
Mfungaji Bora wa muda wote wa Nigeria katika Kombe la Dunia, Ahmed Musa leo Jumatano, Desemba...
#MICHEZO”…nadhani mwaka huu kama ulikuwa shuhuda mzuri kwenye mashindano ya CECAFA yaliyofanyika pale Burundi, hapo bado tukaone…
#MICHEZO”…nadhani mwaka huu kama ulikuwa shuhuda mzuri kwenye mashindano ya CECAFA yaliyofanyika pale Burundi, hapo bado tukaonesha tupo kwenye kasi ya kwamba sisi ni hodari wa mpira wa miguu hasa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55….DESEMBA 18, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....DESEMBA 18, 2025
#MICHEZO“…ikumbukwe kwamba ni mpira ambao ndio uliofungua dimba kwa timu za taifa kuweza kupata vigezo katika kombe la dunia….hi…
#MICHEZO“…ikumbukwe kwamba ni mpira ambao ndio uliofungua dimba kwa timu za taifa kuweza kupata vigezo katika kombe la dunia….hizi juhudi zote ambazo zimefanyika maana yake kuna watu walikuwa nyuma yake….nadhani…
Katika miaka ya karibuni, kumekuwa na utamaduni unaokua kwa kasi miongoni mwa Watanzania wa kupeana zawadi mwishoni mwa mwaka, i…
Katika miaka ya karibuni, kumekuwa na utamaduni unaokua kwa kasi miongoni mwa Watanzania wa kupeana zawadi mwishoni mwa mwaka, iwe ni kwa kusherehekea sikukuu, kuhitimisha mwaka, au kuimarisha mahusiano sehemu…
Mapinduzi Cup mambo yanazidi kunoga, vigogo wasubiriwa
Wakati zikibaki siku 11 kabla ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2026 kuanzia, waandaaji wa...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha katika kipindi…
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha katika kipindi hiki cha mpito, ratiba ya mgao wa maji inakuwa wazi,…
Takriban watu 12 wameuawa katika eneo la uchimbaji madini nchini Nigeria
Takriban watu 12 wameuawa na wengine watatu kutekwa nyara wakati watu wenye silaha waliposhambulia eneo la uchimbaji madini katika kijiji cha Atoso katika jimbo la Plateau nchini Nigeria, kiongozi wa…
Serikali imewataka maafisa maendeleo ya vijana nchini kutekeleza hatua za kimkakati zilizowekwa kwa lengo la kuimarisha mifumo y…
Serikali imewataka maafisa maendeleo ya vijana nchini kutekeleza hatua za kimkakati zilizowekwa kwa lengo la kuimarisha mifumo ya sera, sheria na utendaji kuhusu maendeleo ya vijana ambayo nids chanson cha…
ACT yasema utulivu uliopo ni wanachama kuwatii viongozi wao
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema utulivu uliopo nchini...
Bisura akubali yaishe…amesema anaondoka, lakini huyu ni jasusi pia sio wa kumuamini
Bisura akubali yaishe...amesema anaondoka, lakini huyu ni jasusi pia sio wa kumuamini... Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD
Kombo, Kabudi watembelea kambi stars
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, wameitembelea Timu ya Taifa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55….DESEMBA 18, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....DESEMBA 18, 2025
Mahakama itakavyoamua hatima shauri la kupinga Tume ya Rais leo
Hatima ya shauri la kupinga uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani...
Tantrade yaibuka kidedea tuzo za ubunifu sekta ya umma
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeshiriki na kushinda tuzo ya Ubora...
Katika jitihada za kupunguza changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana, Mkuu wa Wilaya ya Makete, Kissa Kasongwa, kwa kushirikia…
Katika jitihada za kupunguza changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana, Mkuu wa Wilaya ya Makete, Kissa Kasongwa, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, amewezesha ugawaji wa mbolea bure kwa vijana…
Iran yaalani vikwazo vya upande mmoja vya baharini vya Marekani dhidi ya Venezuela
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa na kulaani vitisho vya Marekani kwamba itaiwekea vikwazo vya baharini Venezuela na kuitaja hatua hiyo kuwa uharamia unaofadhiliwa na serikali.
Iran yaalani vikwazo vya baharini vya Marekani dhidi ya Venezuela
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa na kulaani vitisho vya Marekani kwamba itaiwekea vikwazo vya baharini Venezuela na kuitaka hatua hiyo kuwa uharamia unaofadhiliwa na serikali.
“Uandishi wa barua umepungua kwa kiasi kikubwa kwa sababu wengi tumebadilisha mawasiliano tumetoka kwenye barua na kuhamia kweny…
"Uandishi wa barua umepungua kwa kiasi kikubwa kwa sababu wengi tumebadilisha mawasiliano tumetoka kwenye barua na kuhamia kwenye vifaa vya kiditali kama simu, email na mawasiliano mengine. Lakini taasisi bado…
Tazama namna Jeshi la Marekani (Kamandi ya Kusini) lilivyofanya shambulio la kijeshi dhidi ya chombo kinachodaiwa kujihusisha na…
Tazama namna Jeshi la Marekani (Kamandi ya Kusini) lilivyofanya shambulio la kijeshi dhidi ya chombo kinachodaiwa kujihusisha na usafirishaji wa dawa za kulevya katika Bahari ya Pasifiki ya Mashariki na…
“Leo hii unanunua bidhaa China kupitia mtandao na unafanya muamala kupitia mtandao lakini ile bidhaa haiwezi kutumwa kwa njia ya…
"Leo hii unanunua bidhaa China kupitia mtandao na unafanya muamala kupitia mtandao lakini ile bidhaa haiwezi kutumwa kwa njia ya mtandao. Ule utaratibu wa kutuma bidhaa yako hadi ikufikie ile…
“Tunatoa elimu kuhusu umuhimu wa kuwa na Sanduku la Barua
"Tunatoa elimu kuhusu umuhimu wa kuwa na Sanduku la Barua. Na Sanduku la Barua ni identity. Yupo mtu ana Sanduku la Barua anakwambia Sanduku lake la Barua ni kizazi cha…
“Kuna watu wanatumia masanduku ya posta na hayajalipiwa na tayari wameshapewa watu wengine
"Kuna watu wanatumia masanduku ya posta na hayajalipiwa na tayari wameshapewa watu wengine. Nyaraka zao za Siri zinakwenda kwa watu wengine. Na utakwenda Sanduku la posta utaingiza fungua haitaingia. Utakwenda…
Askofu Mkuu wa kanisa la Menonite Tanzania Askof Nelson Kisare amewashauri viongozi wa Dini Nchini kusaidia Serikali Kujenga na …
Askofu Mkuu wa kanisa la Menonite Tanzania Askof Nelson Kisare amewashauri viongozi wa Dini Nchini kusaidia Serikali Kujenga na kurejesha Umoja na mshikamano pamoja na kutafta njia sasahihi ya kuwasikiliza…
Kupitia The Spark ya Clouds TV, @queenbees wameeleza kuwa bado hawajapata wawekezaji wa kueleweka
Kupitia The Spark ya Clouds TV, @queenbees wameeleza kuwa bado hawajapata wawekezaji wa kueleweka. Hadi sasa, wamekutana na watu wanaotoa ahadi za kuwasaidia kushoot video, huku wengine wakiwa wanawasaidia kwa…
Kalesi anaona kwamba ameshinda vita dhidi ya Osman
Kalesi anaona kwamba ameshinda vita dhidi ya Osman. Binti Tekfur yupo kwenye mtihani mzito. Duh huyu mke wa Aleiddin nini mbaya dhidi ya Holafira 🥹 Usikose kutazama OTTOMAN leo saa…
@queenbees wameeleza kuwa wana mpango wa kuhamia Dar es Salaam ili kunufaika na fursa zilizopo kama uwepo wa vyombo vingi vya ha…
@queenbees wameeleza kuwa wana mpango wa kuhamia Dar es Salaam ili kunufaika na fursa zilizopo kama uwepo wa vyombo vingi vya habari, studio za muziki, na wasanii wakubwa wanaoweza kushirikiana…
Kwa mujibu wa wasanii wa kike wa Hip Hop @queenbees, kwa sasa Arusha ni kama Nigeria kutokana na wingi wa wasanii wanaochipukia …
Kwa mujibu wa wasanii wa kike wa Hip Hop @queenbees, kwa sasa Arusha ni kama Nigeria kutokana na wingi wa wasanii wanaochipukia na vipaji vinavyoendelea kung’ara. Wanasema Arusha imekuwa kitovu…
Njoo tuimalize Mines of Passion leo saa 3:00 usiku ndani ya #AzamONE, ni vilio kwa vicheko na kila mtu kupata anachostahili
Njoo tuimalize Mines of Passion leo saa 3:00 usiku ndani ya #AzamONE, ni vilio kwa vicheko na kila mtu kupata anachostahili. #AzamONEWeSpeakSeries
Waasi wa M23 wamebaki Uvira licha ya kutangaza kuwa tayari kuondoka katika mji huo
Waasi wa kundi la M23 hawajaondoka katika mji wa Uvira mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo licha ya mapema wiki hii kutangaza kuwa wataondoka katika mji huo.
Watu wasiopungua 12 wauawa katika shambulizi kwenye eneo la uchimbaji madini huko Plateau, Nigeria
Takriban watu 12 wameuawa na wengine watatu kutekwa nyara baada ya watu wenye silaha kushambulia eneo la uchimbaji madini katika kijiji cha Atoso katika jimbo la Plateau nchini Nigeria.
Maduro: Mpango wa Marekani wa kuigeuza Venezuela kuwa koloni lake ‘kamwe hautatokea’
Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema kuwa matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu "kurejesha mikononi mwa nchi hiyo" ardhi na mafuta ya Venezuela yamefichua nia na sura halisi…
Polisi wa Uhispania wawafurusha mamia ya wahamiaji haramu katika mji wa Badalona
Polisi nchini Uhispania Jumatano waliwafurusha mamia ya wahamiaji haramu waliokuwa wakiishi katika jengo la shule lililotelekezwa katika mji wa Badalona unaopakana na mji wa Barcelona kaskazini-mashariki mwa Uhispania.
Kamati ya maridhiano Kitaifa imemkabidhi mkuu wa mkoa wa Mara kanali Evans Mtambi ,Jeshi la Polisi na kikosi cha zimama Moto na…
Kamati ya maridhiano Kitaifa imemkabidhi mkuu wa mkoa wa Mara kanali Evans Mtambi ,Jeshi la Polisi na kikosi cha zimama Moto na uokoaji pamoja na mamlaka ya mapato Tanzania TRA…
#MEZAHURU: Kitu gani unashauri benchi la ufundi kwenye kikosi cha Taifa stars ili tupate heshima kubwa kwenye mashindano ya AFC…
#MEZAHURU: Kitu gani unashauri benchi la ufundi kwenye kikosi cha Taifa stars ili tupate heshima kubwa kwenye mashindano ya AFCON 2025..? -weka maoni yako.
Usikose kutazama THE OLD MAN leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamONE
Usikose kutazama THE OLD MAN leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamONE
#HABARI: Wakazi wa Mji wa Uvira huko Kivu Kusini mwa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, wameweka bayana msimamo wao baada ya Vikosi…
#HABARI: Wakazi wa Mji wa Uvira huko Kivu Kusini mwa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, wameweka bayana msimamo wao baada ya Vikosi vya Waasi wa AFC/M23 kutangaza kuondoka katika mji…
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Prof
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Prof. Peter Msoffe, amewataka wadau wa sekta binafsi kuchangamkia biashara ya kaboni kutokana na fursa nyingi zilizopo, akieleza kuwa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….DESEMBA 18, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....DESEMBA 18, 2025
Jambo lipi hilo ulilifanya kwa siri?
Jambo lipi hilo ulilifanya kwa siri? Mkeo au mpenzi akajua #LiveonClouds360 #Clouds26Nyoosha #LainiYawana .
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Njombe mkoani Njombe imetoa tamko la kuunga mkono ushindi wa kishindo uli…
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Njombe mkoani Njombe imetoa tamko la kuunga mkono ushindi wa kishindo uliopatikana kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.…
Tusa yafunguliwa UDOM, vyuo vyahimizwa kuwekeza katika michezo
Taasisi za elimu ya juu zimetakiwa kuimarisha uwekezaji kwa kutenga bajeti katika michezo ili kukuza na kuibua vipaji vya wanafunzi nchini.
Sarah hataki kabisa kumsikia bwana mkubwa Zein na haamini kinachotokea
Sarah hataki kabisa kumsikia bwana mkubwa Zein na haamini kinachotokea. Usikose THE PRICE leo saa 3:00 usiku #AzamTWO
Guardiola awakosoa Cherki, Savinho
Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola, amewataja nyota wake wawili, Rayan Cherki na Savinho,...
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 18, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 18, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Hahaha ila huyu mama Hashmet
Hahaha ila huyu mama Hashmet. Yavuz ana kwa ana na Jevdet. Duh hii chuki ya Fidan kwa Zeliha inazidi kuwa mbaya. Usikose 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
Airtel yafungua ukurasa mpya wa mawasiliano Afrika
Airtel Afrika imeweka historia mpya katika sekta ya mawasiliano barani Afrika baada ya kuwa...