Zikiwa zimebaki siku chache kuelekea mwaka mpya, tazama jinsi mji mkuu wa Urusi Moscow ulivyopambwa kwa taa na mapambo mbalimbal…
Zikiwa zimebaki siku chache kuelekea mwaka mpya, tazama jinsi mji mkuu wa Urusi Moscow ulivyopambwa kwa taa na mapambo mbalimbali. Urusi inaingia mwaka wa tano wa kile wanachokiita “operesheni maalum…
Afrika Kusini yawafukuza Wakenya saba walioajiriwa na Marekani
Afrika Kusini imewafukuza Wakenya Saba walioajiriwa na Marekani kama sehemu ya mpango wake wa kuwapa makazi mapya Waafrikana, Wazungu walio wachache. Hili haliwezekani kuboresha uhusiano ambao tayari ulikuwa mgumu kati…
Stars yaenda Morocco kwa matumaini
KIKOSI cha timu ya taifa, Taifa Stars kimeagwa rasmi jana kabla ya kuanza safari ya kwenda Morocco katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zinazoanza Jumapili, Tanzania…
Fainali za AFCON2025 zinaanza Jumapili hii Disemba 21, nchini Morocco
Fainali za AFCON2025 zinaanza Jumapili hii Disemba 21, nchini Morocco Mechi za hatua ya makundi. Kwa kifurushi chashilingi 28,000 unatazama michezo hii, lipia sasa usipitwe na michezo hii. #AFCON2025 #Azamtvsports
Kuzuia mali za Urusi ni ‘upuuzi,’ Orban aonya wakati viongozi wa EU wakijadili fedha za Ukraine
Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban, anakosoa mapendekezo ya Umoja wa Ulaya ya kuchukua mali za Urusi zilizozuiliwa kwa ajili ya Ukraine, akidai kuwa hatua hiyo itaongeza migogoro na kupunguza…
Dk Mwigulu: Amani ni msingi wa maendeleo
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba leo Desemba 18, 2025 amezungumza na wakazi wa Kiwira mkoani Mbeya ambapo yupo kwenye ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya umma na mali za…
Serikali imeombwa kutekeleza mpango wa ujenzi wa nyumba salama katika halmashauri ili kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya ukat…
Serikali imeombwa kutekeleza mpango wa ujenzi wa nyumba salama katika halmashauri ili kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya ukatili, kwani baadhi yao hushindwa kutoa taarifa za matukio hayo yanayowakumba majumbani…
Utoaji wa elimu na uhamasishaji kwa umma kuhusu mpango wa utekelezaji wa bima ya afya kwa wote unaendelea kufanyika katika maene…
Utoaji wa elimu na uhamasishaji kwa umma kuhusu mpango wa utekelezaji wa bima ya afya kwa wote unaendelea kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini. Mpango huo unalenga kufikia lengo la asilimia…
Wanafunzi 15,003 waliokatisha masomo warejeshwa kwenye mfumo wa elimu
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) imesema, kwa kipindi cha miaka mitano, wanafunzi 15,003...
Mkoani Kagera linafanyika tamasha la Ijuka Omuka, linalolenga kujadili masuala ya maendeleo na kuweka mikakati ya kuendeleza mko…
Mkoani Kagera linafanyika tamasha la Ijuka Omuka, linalolenga kujadili masuala ya maendeleo na kuweka mikakati ya kuendeleza mkoa huo katika sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi. #AzamTVUpdates Mhariri | John…
Watafiti wasisitizwa kukusanya taarifa sahihi kupata matokeo halisi
Watafiti na wasaidizi wa kisheria wametakiwa kuhakikisha wanakusanya taarifa sahihi ili kupata...
Rais wa zamani wa Iraq achaguliwa kuiongoza UNHCR, Katibu Mkuu UN apongeza
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, anakaribisha hatua iliyochukuliwa leo na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ya kumchagua Bwana Barham Ahmed Salih wa Iraq kuwa Kamishna Mkuu…
Vijana changamkieni fursa za mafunzo kwa vitendo kimataifa
Vijana hususan wanaomaliza vyuo vikuu ambao wengi wao hawana ujuzi wa vitenda wameshauriwa kutafuta fursa za mafunzo kwa vitendo hususani katika Umoja wa Mataifa kwani wengi waliopata fursa za kujifunza…
Ripoti ya UN yafichua mauaji, ubakaji na njaa ya makusudi katika kambi ya Zamzam, Sudan
Ripoti mpya iliyotolewa leo na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu OHCHR, imefichua mauaji ya raia kwa kiwango kikubwa, ukatili wa kingono, mateso na utekaji nyara uliotekelezwa…
Wahamiaji wachochea maendeleo na fursa kila mahali: UN
Katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wahamiaji, Umoja wa Mataifa na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji IOM wametaja uhamiaji kama nguvu kubwa inayochochea ukuaji wa uchumi, kubadilishana tamaduni, na…
Usafrishaji bidhaa duniani kote hivi karibuni utakuwa wa gharama nafuu zaidi, kwa kasi zaidi, na kwa urahisi zaidi
Kusafirisha bidhaa kote duniani kunaweza kuwa nafuu zaidi, kwa haraka zaidi na kwa urahisi mkubwa, kufuatia kupitishwa kwa makubaliano mapya yanayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa ambayo yanahuisha nyaraka zinazotumika…
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema yuko tayari kupanua zaidi udhibiti wa kijeshi nchini Ukraine endapo viongozi wa Ulaya hawa…
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema yuko tayari kupanua zaidi udhibiti wa kijeshi nchini Ukraine endapo viongozi wa Ulaya hawatakubali mapendekezo yanayoendelea kujadiliwa kuhusu makubaliano ya Amani. #AzamTVUpdates Mhariri |…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….DESEMBA 18, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....DESEMBA 18, 2025
UN: Zaidi ya raia 1,000 waliuawa katika shambulio la RSF Darfur
Ripoti iliyotolewa Alkhamisi na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema zaidi ya raia 1,000 waliuawa wakati kundi la waasi wa Sudan lilipotwaa udhibiti wa kambi ya…
Fainali za AFCON2025 kuanza Disemba 21, nchini Morocco
Fainali za AFCON2025 kuanza Disemba 21, nchini Morocco Taifa Stars ipo Kundi C na hizi ndio mechi zake za hatua ya makundi. Kwa kifurushi chashilingi 28,000 unatazama michezo hii, lipia…
Mapato ya utalii yaongezeka kwa asilimia sita Serengeti
Hali ya utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti imezidi kuimarika, huku mapato yake...
Wafahamu baadhi ya ndugu na mapacha waliowahi kucheza pamoja michuano ya AFCON
Imekuwa ni jambo la kawaida kushuhudia mapacha na ndugu wa familia moja, kuchezea mataifa yao kwa pamoja, wakati wa michuano ya kuwania Kombe la Mataifa ya Afrika, maarufu kama AFCON.
Haya ndio matarajio mkutano wa kimataifa wa tiba asilia
Mkutano wa pili wa Kimataifa wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu tiba asilia, unaoandaliwa...
Viongozi wa EU kuamua ikiwa watatumia mali za Urusi
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanakutana siku ya Alhamisi mjini Brussels, Ubelgiji, kujadili iwapo mali za Urusi zilizozuiwa katika Umoja huo zitumike kuisaidia Ukraine kifedha.
Marekani kuiuzia Taiwan silaha zenye thamani ya $ bilioni 11
Marekani imeidhinisha mpango wa kuiuzia Taiwan silaha zenye thamani ya dola bilioni 11 za Kimarekani.
Makonda kuiongoza Taifa Stars AFCON 2025 Morocco
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ndiye ataongoza msafara wa...
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55….DESEMBA 18, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....DESEMBA 18, 2025
Trump ausifu utawala wake aulaumu wa mwenzake Biden
Rais wa Marekani, Donald Trump, amelihutubia taifa na kujimiminia sifa, akiisifu serikali yake kwa kuleta maendeleo makubwa nchini Marekani. Trump amesema mwaka wake wa kwanza madarakani umekuwa wa mafanikio.
Kigoma Ujiji, Makamba kucheza fainali ujirani mwema
TIMU ya Kombaini ya Makamba ya Burundi na Kombaini ya Manispaa ya Kigoma Ujiji ya mkoa Kigoma, Tanzania zinatarajia kumenyana katika mchezo wa fainali ya mashindano ya ujirani mwema ya…
DRC: M23 watangaza kuanza kuondoka katika mji wa Uvira
Taarifa za kuanza kujiondoa kwa waasi wa M23 katika mji wa Uvira zimethibitishwa na uongozi wa kundi hilo pamoja na mamlaka za eneo hilo.Kiongozi wa kisiasa wa M23, Bertrand Bisimwa…
Boxing on Boxing Day
Boxing on Boxing Day Disemba 26, katika ukumbi wa Warehouse Masaki, vitasa vitapigwa, bondia Hassan Mwakinyo atapanda ulingoni kuzichapa na Stanley Eribo kutoka Nigeria. Pambano hili litasindikziwa na mapambano mengine…
Rais Pezeshkian atoa mwito wa umoja wa Waislamu duniani
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu, Imam Rouhullah Khomeini (MA) alikuwa mjumbe wa umoja na mshikamano miongoni mwa watu, akisisitiza kwamba mataifa ya Waislamu yanapaswa…
Baridi kali yaua Wapalestina 17 Gaza; Israel yaendelea kuzuia misaada
Dhoruba na baridi kali zimesababisha vifo vya Wapalestina 17 katika Ukanda wa Gaza tangu mwanzoni mwa mwezi huu, kwa mujibu wa serikali za mitaa Gaza, huku Israel ikishadidisha vikwazo vikali…
Qatar: Ukiukaji wa usitishaji mapigano wa Israel ‘unahatarisha’ mchakato mzima wa Gaza
Waziri Mkuu wa Qatar ameonya kwamba, ukiukaji unaofanywa kila siku wa Israel wa makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza unatishia mchakato mzima wa mapatano hayo, huku akitoa wito wa kutekelezwa haraka…
Aliyekuwa bingwa wa Disco Tanzania afariki
Aliyewahi kuwa bingwa wa Taifa wa Club Raha Leo Show na mchezaji maarufu wa disco nchini...
Putin: Madai ya Magharibi kuwa Russia ni tishio ni urongo, upuuzi
Rais wa Russia, Vladimir Putin amepuuzilia mbali madai ya Magharibi kuhusu shambulio 'tarajiwa' kutoka Moscow na kuyaeleza kuwa "uongo na upuuzi," akisisitiza kwamba kauli hizo zinatolewa kwa makusudi ili kushadidisha…
Waziri Sangu aagiza kibano zaidi waajiri wanaokwepa kuwasilisha michango NSSF
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu amewaagiza viongozi...
Polisi Morogoro wachunguza kifo cha msichana, magari yakichomwa moto
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linafanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha tukio la...
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….DESEMBA 18, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....DESEMBA 18, 2025
Waathirika Oktoba 29 waendelea kutoa ushahidi
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imeendelea kwa siku ya nne kusikiliza ushahidi wa majeruhi, ndugu…
Jifunze namna bima ya takaful inavyofanya kazi
Uvumbuzi wa huduma mbadala za kifedha unaendelea kuongezeka kila siku kwa mtindo mbalimbali...
Mfumo wamng’oa Mfaransa Mlandege
MLANDEGE ilimsajili kwa mbwembwe, Mshambuliaji Mfaransa, Enzo Claude Sauvage, lakini jamaa hakuanza katika mechi tisa za Ligi Kuu Zanzibar msimu huu kati ya 13 ilizocheza timu hiyo na siri imefichuka…
Bei ya mawese yapanda soko la dunia, mauzo ya nje yakipaa
Tanzania iko katika nafasi nzuri ya kutengeneza fedha za kigeni ikiwa itawekeza zaidi katika...
Wananchi wameaswa kujiandaa kupokea, kujifunza na baadaye kujiunga na bima ya afya kwa wote ili kuwa na uhakika wa kupata matiba…
Wananchi wameaswa kujiandaa kupokea, kujifunza na baadaye kujiunga na bima ya afya kwa wote ili kuwa na uhakika wa kupata matibabu na kuchangia katika uchumi wa Taifa. Kwa upande wako,…
#HABARI: Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam, SACP Butusyo Akim Mwambelo, amewat…
#HABARI: Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam, SACP Butusyo Akim Mwambelo, amewataka waendesha vyombo vya moto, kuzingatia sheria wakati wanapoendesha vyombo vya…
GGML kulipa fidia wakazi Nyakabale baada ya miaka 25
KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu ya Geita (GGML) inatarajia kuanza kulipa fidia kwa wakazi wa mtaa wa Nyakabale mjini Geita ili kupisha leseni ya uchimbaji wa madini ifikapo Januari 2026.…
Tuzo za Oscar kuonyeshwa mubashara YouTube 2029
TUZO za Oscar zitaanza kuonyeshwa mubashara kupitia YouTube kuanzia mwaka 2029, baada ya kampuni ya teknolojia kushinda zabuni ya haki za utangazaji dhidi ya watangazaji wengine. The post Tuzo za…
Mapito ya mradi wa mwendokasi 2025
Imepita miaka tisa sasa tangu mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT), uanze kufanya kazi ambapo...