HALMASHAURI SONGWE YAPATA VIONGOZI WAPYA
HALMASHAURI SONGWE YAPATA VIONGOZI WAPYA #HABARI: Wajumbe wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe, iliyopo mkoani Songwe, wamemchagua kwa kura za ndio Bw. Abraham Sambila, ambaye ni…
#HABARI: Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mtwara ya Ligula, Ddara ya Watoto imesema kuna ongezeko kubwa la watoto wanaozaliwa njiti, h…
#HABARI: Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mtwara ya Ligula, Ddara ya Watoto imesema kuna ongezeko kubwa la watoto wanaozaliwa njiti, huku sababu mbalimbali zikitajwa ikiwemo ya wanawake wajawazito kukosa lishe…
Mahakama yaruhusu Warusi, Wabelarusi kufuzu Olimpiki
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imeondoa marufuku ya FIS na kuruhusu wanariadha wa Urusi na Belarus kushiriki mashindano ya kufuzu kwa Olimpiki ya Majira ya Baridi ya 2026, wakitimiza…
Huyu hapa kumrithi Pantev Simba
Baada ya uongozi wa klabu ya Simba kufikia makubaliano ya kumfuta Meneja Dimitar Pantev, klabu hiyo inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, imeanza harakati za kusaka mrithi wa kubeba mikoba yake.
‘Risasi zitakapopigwa, hazitachagua huyu ni wa dini gani’
Ujumbe wa Umoja wa Wahadhiri wa Kiislam Tanzania (Uwakta), umesema utaendelea kuhubiri amani ya...
Papa Leo XIV atoa wito wa amani Mashariki ya Kati
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa viongozi wa Mashariki ya Kati kusikiliza kilio cha amani cha wananchi wao na kuweka mbinu mpya za kukabiliana na…
Sima atetea umeya Mwanza, abebeshwa kero barabara kukosa taa
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, limemthibitisha Diwani wa Kata ya Mhandu...
Mrithi wa Pantev Simba huyu hapa
Baada ya uongozi wa klabu ya Simba kufikia makubaliano ya kumfuta Meneja Dimitar Pantev, klabu...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUKWA – DISEMBA 02, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUKWA - DISEMBA 02, 2025
Wanaodaiwa kuiibia benki ya Equity waendelea kusota rumande
Washtakiwa 11 wanaokabiliwa na mashtaka 20 yakiwemo ya kuongoza genge la uhalifu na kujipatia...
Tume ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU) imesitisha kibali cha udahili na usajili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Mwanz…
Tume ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU) imesitisha kibali cha udahili na usajili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Mwanza kutokana na ukiukaji wa sheria, pamoja na…
Waliofariki kutokana na mafuriko Asia Wapindukia 1,300
Vikosi vya dharura nchini Indonesia, Sri Lanka na Thailand vinapambana kuwafikia manusura na kuiokoa miili zaidi leo.
Machifu Mbeya wataka watekaji washughulikiwe
Viongozi wa kimila mkoani Mbeya, machifu, wamelaani vurugu zilizotokea Oktoba 29, huku...
UN yasema watu 300,000 wamekimbia mapigano Msumbiji
Umoja wa mataifa umesema leo kuwa una wasiwasi mkubwa na idadi ya watu wanaokimbia machafuko kaskazini mwa Msumbiji.
Tipu achaguliwa tena kuongoza Halmashauri ya Mtama
Baada ya kula kiapo, madiwani wa Halmashauri ya Mtama wamemchagua Diwani wa Kata ya Nyengedi...
Maulid ashinda umeya manispaa ya Kigoma
Diwani wa kata ya Mwanga Kusini, Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mussa Maulid amechaguliwa kuwa Meya...
Diwani Rwankomezi aapishwa mstahiki Meya Manispaa ya Bukoba
Diwani wa kata ya Kagondo katika Manispaa ya Bukoba Mkoa Kagera, Acton Rwankomezi ameapishwa...
Mussa Maulid meya mpya Kigoma Ujiji
KIGOMA; WAJUMBE wa Baraza la Madiwani Manispaa ya Kigoma Ujiji, wamemchagua Diwani wa Kata ya Mwanga Kusini Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mussa Maulid kuwa Meya wa manispaa hiyo kwa kipindi…
Meya mpya Ilemela aahidi amani, umoja
MWANZA; MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela wamemchagua Sarah Ngw’hani, ambaye Diwani wa Kata ya Buswelu kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa meya mpya wa manispaa hiyo.…
Sababu Chuo Kikuu cha Mwanza kufungiwa kudahili shahada ya udaktari
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imekifungia Chuo Kikuu Mwanza (MzU) kudahili wanafunzi wa...
Rais Samia: “Vurugu zilikuwa mpango wa kuiangusha Serikali”
Rais Samia Suluhu Hassan amefichua kuwa vurugu za uchaguzi nchini Tanzania ziliratibiwa na watu wa ndani na nje ya nchi kwa lengo la kuibomoa serikali, akizionya taasisi za dini, wanasiasa…
Tanzanian farmers reap 207bn/- from cashew auction
MTWARA: Cashew farmers under the Mtwara, Masasi, and Nanyumbu Cooperative Union (MAMCU) in Mtwara Region have generated 207bn/- from the sale of 82,000 tonnes of raw cashew nuts during the…
Rais Samia atoa msimamo, awagusa maaskofu Katoliki, EU
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msimamo wa Serikali anayoiongoza, akisema haitakubali kupangiwa...
Dk Magembe: Matumizi holela ya dawa janga jipya
SERIKALI imeiasa jamii katika Bara la Afrika kuunganisha nguvu na kushirikishana katika afua mbalimbali zitakazochangia katika kukabiliana na usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa (UVIDA) kutokana na kukithiri…
Tanzania cautions clerics against using personal beliefs in leading the nation
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian President, Dr Samia Suluhu Hassan, has urged religious leaders to refrain from assuming authority to direct the country based on their personal beliefs. She emphasized…
Mange Kimambi afunguliwa kesi ya uhujumu uchumi
Mwanaharakati maarufu kwenye mitandao ya kijamii ya X na Instagram anayeishi Marekani, Mange...
Qalibaf: Manuva ya Sahand 2025 ni ishara ya nguvu ya mataifa huru dhidi ya madola ya kibeberu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya iran amesema kuwa, manuva ya kupambana na ugaidi ya Sahand 2025 ni ishara ya nguvu ya mataifa huru dhidi ya madola ya…
AFWC tasks African nations to enhance protection of forests, wildlife
BANJUL: AS Tanzania is seen as a model in conservation, African governments have been urged to move quickly to protect forests and wildlife as climate change continues to threaten the…
Rais Samia: Vurugu za uchaguzi zililenga kuiangusha serikali
Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefichua kuwa vurugu za uchaguzi wa Oktoba 29 ziliratibiwa na watu wa ndani na nje ya nchi kwa lengo la…
Rais wa Iraq asisitiza kuimarisha uhusiano na Iran
Rais wa Iraq amesisitiza umuhimu wa kuimarishwa uhusiano kati yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Watetezi wa Haki za Binadamu wataka ICC iwakamate Netanyahu na Gallant kwa uhalifu wa vita Gaza
Kundi la mashirika ya kimataifa ya haki za binadamu limeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutekeleza hati za kukamatwa zilizotolewa dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na…
Sakata la usalama, Waziri wa Ulinzi wa Nigeria ajiuzulu
Waziri wa Ulinzi wa Nigeria, Mohammed Badaru Abubakar amejiuzulu, katika kipindi ambacho nchi hiyo inakabiliwa na mgogoro wa usalama unaojumuisha utekaji nyara wa watoto wa shule kwa wingi.
MAMCU yaingiza bil 207/- mauzo ya korosho
WAKULIMA wa Korosho kupitia Chama Cha Ushirika Cha Mtwara, Masasi na Nanyumbu (MAMCU) Mkoani Mtwara wameingiza shilingi bilioni 207 katika mauzo ya korosho ghafi tani 82 katika minada ya korosho…
Afcon 2025: Andre Onana hayuko kwenye kikosi cha Cameroon, kocha atimuliwa
Andre Onana, ambaye yuko katika timu ya Trabzonspor kwa mkopo kutoka Manchester United, hakutajwa miongoni mwa makipa wanne katika kikosi cha wachezaji 28.
Polisi Uganda wamkaba Bobi Wine katika kampeni za uchaguzi!
Matamshi makali ya mkuu wa polisi Uganda dhidi ya mgombea urais wa upinzani Bobi Wine yamechochea hofu mpya, yakionyesha ongezeko la mvutano wa kisiasa, matumizi ya nguvu na tuhuma za…
Madiwani na Meya Ubungo wala kiapo, waahidi…
Madiwani 19 wakiwemo wa viti maalumu wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam leo...
Tanzania revives ARVs production as Health Ministry inspects TPI plant
ARUSHA: THE Tanzanian government has stepped up efforts to restore local production of antiretroviral drugs (ARVs) as the Permanent Secretary in the Ministry of Health, Dr Seif Shekalaghe, on Monday…
Crop Trust lauds Tanzania’s productive agricultural projects
DODOMA: THE International Crop Trust has commended the Tanzanian government for its efforts to improve the agricultural sector and pledged to continue close collaboration in increasing crop production and productivity…
Milioni 500 za NMB zilivyorejesha tabasamu kwa watoto 125 JKCI
Mpango wa NMB wa kusaidia matibabu ya moyo ya watoto sio tu jukumu la kijamii ni uwekezaji...
RC Iringa aonya vyanzo vya maji visichezewe
IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameutaja mkoa wake “moyo wa Bonde la Rufiji” na kuhimiza ulinzi mkali wa zaidi ya vyanzo 440 vya maji vinavyolihudumia bonde hilo.…
Azam v Singida vita ya mbinu Ligi Kuu Bara
KOCHA wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi leo ana mtihani mgumu mbele ya Florent Ibenge anayeinoa Azam, wakati timu hizo zitakapocheza mechi ya Ligi Kuu Bara.
Mtihani wa Gamondi vs Ibenge
KOCHA wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi leo ana mtihani mgumu mbele ya Florent Ibenge anayeinoa Azam, wakati timu hizo zitakapocheza mechi ya Ligi Kuu Bara.
Meya Ngwada asisitiza uwajibikaji manispaa ya Iringa
IRINGA: Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Ibrahim Ngwada, ameagiza kuimarishwa kwa uangalizi na usimamizi wa miradi ya maendeleo ili kuhakikisha inatekelezwa kwa kiwango kinacholingana na thamani ya…
Kocha Fountain Gate kapiga mkwara huko!
KOCHA wa Fountain Gate, Mohamed Ismail 'Laizer' amesema mechi ya keshokutwa Alhamisi dhidi ya Yanga hawataingia kinyonge bali wataonyesha ushindani mkubwa mbele ya mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara.
Watu takriban 100,000 wakimbia ghasia Kaskazini mwa Msumbiji: UNHCR
Watu takribani 100,000 wamelazimika kuyakimbia makazi yao kaskazini mwa Msumbiji ndani ya wiki mbili pekee, limesema leo Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR likionya juu ya mashambulizi…
Msanii wa Tanzania Frida Amani ateuliwa kuwa mchechemuzi wa UNEP wa mifumo ya ikolojia
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, hip hop kutoka nchini Tanzania, Frida Amani, leo ametangazwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP) kuwa Balozi mwema na Mchechemuzi wake…
WHO yatenga fedha za dharura kusaidia waasthirika wa kimbunga Sri Lanka
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) leo limetoa dola 175,000 kama mfuko wa dharura kwa ajili ya Colombo, Sri Lanka, kufuatia kimbunga kilichosababisha hali mbaya zinazohatarisha maisha…