#HABARI: Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mtwara ya Ligula, Ddara ya Watoto imesema kuna ongezeko kubwa la watoto wanaozaliwa njiti, huku sababu mbalimbali zikitajwa ikiwemo ya wanawake wajawazito kukosa lishe bora.
Hayo yamebainika baada ya Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Mtwara, Asha Moto, aliyeongozana na Wanawake wa UWT kutembelea wodi ya wazazi na watoto njiti.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania