#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani imewahukumu Mohamed Juma Mohamed (Mudy Mweusi), miaka 23, Dereva bodaboda, …
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani imewahukumu Mohamed Juma Mohamed (Mudy Mweusi), miaka 23, Dereva bodaboda, Mkazi wa Mtongani - Mlandizi na Ashrafu Adam Kida (Shila), miaka…
Uturuki yataka wanachama wa UN kuunga mkono azimio la Palestina wakati Gaza inakaribia kuangamia
Mwakilishi wa Ankara ameliambia Baraza Kuu kwamba uungaji mkono wa kimataifa wa suluhu ya mataifa mawili unaongezeka, lakini anaonya kwamba upanuzi wa makaazi ya walowezi wa Israel na ghasia katika…
Jeshi la DRC na waasi wa M23 watuhumiana kwa ukiukaji wa makubaliano ya usitishaji vita
Jeshi la DRC na waasi wa M23 wanaosaidiwa na Rwanda, wamerushiana maneno kila mmoja akimtuhumu mwingine kukiuka makubaliano ya usitishaji mapigano, siku moja kabla ya viongozi wa Kinshasa na Kigali…
Serengeti Boys ilivyotwaa ubingwa CECAFA U-17
ETHIOPIA; Picha za matukio mbalimbali wakati timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) ilipotwaa ubingwa wa michuano ya Baraza la Mpira wa…
Tuipe nafasi Tume ifanye kazi yake
TUME ya Rais ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Oktoba 29, 2025 imetaka umma wa Watanzania uiamini, ikiahidi kutekeleza majukumu yake kwa weledi, uadilifu…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: SIMBU ASHIKA NAFASI YA PILI TUZO ZA MWANARIADHA BORA ….DESEMBA 03, 2025
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: SIMBU ASHIKA NAFASI YA PILI TUZO ZA MWANARIADHA BORA ....DESEMBA 03, 2025
Uganda: Bobi Wine adai maisha yake yako hatarini wakati kampeni zikishika kasi
Mgombea urais wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu Bobi Wine sasa anasema maisha yake yako hatarini na ameamua kuvaa koti la kuzuia risasi. Imechapishwa: 03/12/2025 – 05:59 Dakika…
Jeshi la Sudani lachukua tena mji wa Kusini Kordofan baada ya mapambano na vikosi washirika wa RSF
Jeshi la Sudan liliuteka tena mji wa Mabsut katika jimbo la Kordofan Kusini siku ya Jumanne, baada ya mapigano na vikosi vinavyoshirikiana na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF), walioshuhudia…
Nchi zinazoendelea zatishia kufunga mipaka yao kwa mataifa ya magharibi
Mkurugenzi wa baraza la wakimbizi la Uholanzi, amesema nchi zinazoendelea ambazo nyingi zinatoa hifadhi kwa wakimbizi, huenda zikafunga mipaka yao ikiwa mataifa ya magharibi yataendelea kupunguza misaada yao. Imechapishwa: 03/12/2025…
Jumatano, 03 Disemba, 2025
Leo ni Jumatano tarehe 12 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria mwafaka na tarehe 3 Disemba, 2025.
Samia: Tumejipanga, tutailinda Tanzania
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali yake itailinda Tanzania kwa nguvu zote. Akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, Rais Samia amesema waliohamasisha vurugu siku ya Uchaguzi Mkuu…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 3,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 3,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Joto kampeni za uchaguzi Uganda lapanda, Museveni akacha mdahalo
Kampeni za uchaguzi nchini Uganda zimezidi kupamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa Januari 15...
Hotuba ya Rais kwa Taifa kupitia Wazee wa Dar es Salaam
Hotuba ya Rais kwa Taifa kupitia Wazee wa Dar es Salaam. Je, imetoa mustakabali na mwelekeo wa nchi ?
Libya inasema kwamba wakimbizi wa Sudan watakuwa kama Walibia na watapata shule, hospitali
Mamlaka ya Libya ilisema Jumanne kwamba itaongeza kasi ya kuwarejesha wahamiaji wa Kiafrika walio chini ya Jangwa la Sahara katika nchi zao, lakini ikasema wakimbizi wa Sudan watachukuliwa kama Walibya…
🔴#MAGAZETI: “WEWE NANI UTUPANGIE”..DISEMBA 03, 2025
🔴#MAGAZETI: "WEWE NANI UTUPANGIE"..DISEMBA 03, 2025
Putin: Tuko tayari kupigana na Ulaya kama itataka vita
Rais wa Russia, Vladimir Putin, ameishambulia vikali Ulaya katika matamshi yake ya jana Jumanne, akitangaza utayarifu wa nchi yake kupigana vita dhidi Ulaya, anayoituhumu kuwa inafanya jitihada za kuharibu makubaliano…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…DESEMBA 03, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 03, 2025
Maduro aapa Venezuela haitakubali “amani ya utumwa” ya Marekani
Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, amesema Caracas haitainama mbele ya shinikizo la kijeshi na kisiasa kutoka Washington, akisisitiza taifa hilo linapinga aina yoyote ya amani ambayo ni sawa na "utumwa"…
UNHCR: Watu 100,000 wamekimbia Kaskazini mwa Msumbiji huku machafuko yakishadidi
Watu takribani 100,000 wamelazimika kuyakimbia makazi yao kaskazini mwa Msumbiji ndani ya wiki mbili pekee. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya Jumanne ya Shirika la Umoja wa Mataifa la…
WHO yaafiki matumizi ya dawa za kupunguza uzito, utipwatupwa ni ugonjwa sugu
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO limetoa mwongozo wake wa kwanza kuhusu matumizi ya kundi jipya la dawa za kupunguza uzito, hatua inayowakilisha mabadiliko makubwa katika sera…
Wakuu wa ECOWAS wazuru Guinea-Bissau baada ya mapinduzi ya kijeshi
Ujumbe wa upatanishi wa ngazi ya juu kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ulifanya mkutano Jumatatu na viongozi wa mpito wa Guinea-Bissau kujadili njia ya amani…
Jeshi la DRC na M23 walaumiana kukiuka kusitisha vita
Jana Jumanne, jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wametupiana lawama za kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano.
Mwandishi ameripotiwa kuuawa Ukanda wa Gaza
Vyombo vya habari vimeripoti tukio la kuuwawa kwa mwandishi wa habari kulikotokana na shambulizi la Israel katika eneo la Ukanda wa Gaza,
Utajiri wa madini ya Yemen na jicho la tamaa la madola ya kibeberu
Yemen imegundua utajiri mkubwa wa rasilimali za madini, ikiwa ni pamoja na akiba kubwa ya dhahabu, chuma, titani na madini ya viwandani. Rasilimali hizi zinaweza kufungua njia ya maendeleo ya…
Haiti inapanga kufanya uchaguzi wake Agosti 2026
Haiti iliyoathiriwa na magenge imepiga hatua kuelekea kufanya uchaguzi wake wa kwanza katika takriban muongo mmoja baada ya mamlaka kutangaza kwamba nchi hiyo ya Caribbean itafanya uchaguzi majira ya kiangazi…
Rais Macron kuelekea China kwa ziara ya kikazi ya siku tatu
Rais Emmanuel Macron anaelekea China kwa ziara ya siku tatu inayolenga biashara na mazungumzo ya kidiplomasia, huku rais wa Ufaransa akitaka kuishirikisha Beijing katika kushinikiza Urusi kusitisha mapigano na Ukraine.
Urusi: Witkoff kumtaarifu Trump baada ya mazungumzo na Putin
Mjumbe Maalum Steve Witkoff anarejea Marekani kwa lengo la kumjulisha Rais Donald Trump kuhusu mazungumzo yake ya Jumanne na Rais wa Urusi Vladimir Putin mjini Moscow.
03.12.2025
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limevilaumu vikosi vya RSF nchini Sudan vinavyopigana na jeshi la serikali+++Israeli imesema matokeo ya uchunguzi wa mabaki yaliyorudishwa huko kutoka…
03.12.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wametupiana lawama za kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano jana Jumanne, ikiwa ni siku mbili kabla…
Papa Leo XIV kutembelea bara la Afrika
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani, analenga kuanza ziara yake hiyo kwa kuitembelea kwanza nchi ya Algeria.
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 02 DESEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 02 DESEMBA 2025
#HABARI: Rais wa Kenya, William Ruto, amesema hana mpango wa kufanyia Katiba marekebisho yatakayomruhusu kuendelea kuongoza taif…
#HABARI: Rais wa Kenya, William Ruto, amesema hana mpango wa kufanyia Katiba marekebisho yatakayomruhusu kuendelea kuongoza taifa hilo zaidi ya vipindi viwili vya miaka mitano vilivyowekwa kikatiba. Ruto amesisitiza kuwa…
#HABARI: Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimekutana na zaidi ya walimu viongozi 400 kutoka mikoa sita ya Nyanda za Kusini na Mas…
#HABARI: Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimekutana na zaidi ya walimu viongozi 400 kutoka mikoa sita ya Nyanda za Kusini na Mashariki, kujadili changamoto na masuala mbalimbali ya kiutumishi ambapo…
Mapigano mapya yazuka siku chache kabla ya Tshisekedi na Kagame kutiliana saini mkataba wa amani
Katika taarifa yake kuhusu mapigano hayo, Jeshi la Ulinzi la nchini DRC (FARDC), limeituhumu Rwanda kwa kushirikiana na kikundi cha waasi wa M23 kwa kuratibu mfululizo wa mashambulizi katika maeneo…
Simba Sports Club ya Tanzania ‘yamtimua’ Dimitar Pantev
Pantev alichukua mikoba ya kuwafundisha ‘Wekundu wa Msimbazi’ mwezi Oktoba 2025, akitokea Gaborone United ya Botswana.
Watu watatu akiwemo mwanamke mwenye umri wa miaka 65, wamekamatwa na askari wa maliasili kwa madai ya kukutwa wakilima ekari tis…
Watu watatu akiwemo mwanamke mwenye umri wa miaka 65, wamekamatwa na askari wa maliasili kwa madai ya kukutwa wakilima ekari tisa za dawa za kulevya aina ya bangi katika Kijiji…
Katika kuleta mabadiliko ya kijamii na uchumi katika sekta ya elimu, Shule ya Rahma World iliyopo Dodoma, imeanzisha program maa…
Katika kuleta mabadiliko ya kijamii na uchumi katika sekta ya elimu, Shule ya Rahma World iliyopo Dodoma, imeanzisha program maalum ijulikanayo kama ‘zaidi ya kijifunza’, ambapo wanafunzi wanatumia ujuzi wanaoupata…
Wakazi zaidi ya 3000 wa vijiji vya Nangumi na Likonde, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara vijijini wamedai upatikanaji wa maji saf…
Wakazi zaidi ya 3000 wa vijiji vya Nangumi na Likonde, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara vijijini wamedai upatikanaji wa maji safi na salama umekuwa kwa kiwango cha chini tangu kuanza…
#HAARI: Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dalmia Mikaya, amepongezwa kwa hatua kubwa za kuboresha Mazingira ya Utendaji wa Baraza la …
#HAARI: Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dalmia Mikaya, amepongezwa kwa hatua kubwa za kuboresha Mazingira ya Utendaji wa Baraza la Wazee la Ushauri la Wilaya ya Kigamboni, ikiwemo kuwapatia ofisi…
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 02, 2025 -RAIS SAMIA AELEZA KUHUSU MUSTAKABALI WA TAIFA
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 02, 2025 -RAIS SAMIA AELEZA KUHUSU MUSTAKABALI WA TAIFA
#HABARI: Wakulima wa zao la Korosho, katika Wilaya ya Mtwara, wameiomba Bodi ya Korosho, kuwapa elimu ya ubora wa zao hilo, amba…
#HABARI: Wakulima wa zao la Korosho, katika Wilaya ya Mtwara, wameiomba Bodi ya Korosho, kuwapa elimu ya ubora wa zao hilo, ambalo kipindi hiki cha mauzo wamekuwa wakipata bei isiyoridhisha,…
#MICHEZO: Mwanariadha wa Mbio Ndefu wa Kimataifa kutoka Tanzania, mwenye rekodi ya medali ya dhahabu katika Mashindano ya Dunia …
#MICHEZO: Mwanariadha wa Mbio Ndefu wa Kimataifa kutoka Tanzania, mwenye rekodi ya medali ya dhahabu katika Mashindano ya Dunia ya Tokyo Japan, amerejea nchini na kushika nafasi ya pili katika…
TCU yasitisha udahili Chuo Kikuu Mwanza
TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesitisha udahili na usajili wa wanafunzi wa shahada ya udaktari wa binadamu kwa mwaka wa masomo 2025/26 katika Chuo Kikuu cha Mwanza, kutokana na…
Hotuba ya Rais Samia yawaibua ACT-Wazalendo, Chadema wakisema…
Saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia Taifa na kubainisha mambo mbalimbali...
Madaktari, wauguzi wamkingia kifua tabibu aliyesimamishwa Tabora
Vyama vya kitaaluma, likiwemo Baraza la Madaktari Tanzania (MAT), vimesema utaratibu...
Strategis Insurance yawahimiza wamiliki wa shule kuyakatia mabasi ya shule bima kubwa
Kampuni ya Strategis Insurance imewahimiza wamiliki wa shule nchi nzima kuhakikisha kwamba...
Serengeti Boys yatwaa kibabe Ubingwa CECAFA
Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya Umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imetwaa ubingwa...