Nanauka asisitiza umuhimu wa michezo kuboresha afya
MTWARA: Waziri wa Vijana, Joeli Nanauka amesisitiza kuwa umuhimu wa ushiriki wa sekta mbalimbali katika kukuza afya, umoja na maendeleo ya kijamii kupitia michezo. Nanauka ambaye alikuwa mgeni rasmi wa…
Today
Today Jumapili hii Desemba 07, katika NBC Premier League inapigwa Derby ya Mzizima Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Benjamin Mkapa akiwakaribisha AzamFC. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 11:00 jioni…
Serikali yaweka mkazo usalama wa matumizi ya kemikali
Wasimamizi wa kemikali 170 kutoka taasisi mbalimbali za Serikali na sekta binafsi katika Kanda...
Wasira awataka vijana wasikubali kurubuniwa kuvuruga amani ya nchi
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Stephen Wasira, amewataka vijana...
WHO: Serikali zapaswa kutanua tiba mpya za VVU
Shirika la Afya Duniani, WHO linatoa wito kwa serikali na washirika kutanua upatikanaji wa tiba mpya zilizoidhinishwa ikiwa ni pamoja na tiba mpya ya kuzuia maambukizi ya virusi vya HIV…
Kenya, Somalia stock market controllers agree on cross-border investment, financial integration
NAIROBI, KENYA: The Nairobi Securities Exchange Plc (NSE) of Kenya and the National Securities Exchange of Somalia (NSES) have today signed a landmark Memorandum of Understanding (MoU) to deepen cooperation…
NBC Premier League Jumatano hii
NBC Premier League Jumatano hii Saa 3:00 usiku, AzamFC watakuwa uwanja wa nyumbani Azam Complex wakiwakaribisha Singida BS. Ni mechi inayowakutanisha kocha Florient Ibenga na Miguel Gamondi kwa mara ya…
Msemaji wa SEPAH: Tutajibu vikali mno na zaidi, uovu wowote mpya wa adui
Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, amesisitiza kwamba adui hana uthubutu wa kufanya uvamizi mpya wala uwezo wa kurudia makosa yake ya huko nyuma na kuongeza…
Baghaei: Marekani ni tishio kubwa zaidi kwa amani na usalama wa kimataifa
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi yetu amesema kuhusu vitendo vya Marekani dhidi ya amani ya dunia kuwa, ukweli ni kwamba Marekani ni tishio kubwa zaidi kwa…
Watu 1,000 wafariki dunia katika mafuriko Indonesia, Sri Lanka, Thailand, Malaysia
Mafuriko mabaya yaliyozikumba nchi za Indonesia, Sri Lanka, Thailand na Malaysia yamepelekea zaidi ya watu 1,000 kupoteza maisha katika kipindi cha chini ya wiki moja. Kwa uchache watu 502 wameripotiwa…
Ethiopia yazindua mkakati wa miaka mitano wa kuendeleza uchumi wa kidijitali
Serikali ya Ethiopia imezindua Mkakati wa Kidijitali wa Ethiopia 2030, unaolenga kukuza matumizi ya teknolojia katika sekta zote za kiuchumi na kuugeuza uchumi wa nchi hiyo ya Pembe ya kuwa…
Baraza la Uongozi la Sudan lasisitiza kuwa liko tayari kushirikiana na UN
Mkuu wa Baraza Kuu la Mpito la Sudan, Jenerali Abdel Fattah Al-Burhan, amesema kuwa serikali yake iko tayari kushirikiana na Umoja wa Mataifa katika kuunga mkono juhudi za kibinadamu, maendeleo…
Msanii wa Nigeria Candy Bleakz akutana na magumu Afrika Kusini
Mwimbaji maarufu wa Nigeria, Blessing Akiode Mariam, anayejulikana zaidi kama Candy Bleakz...
Marekani yatoa tahadhari kwa raia wake Tanzania
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, umetoa tahadhari kwa raia wake walioko nchini Tanzania kuwa makini kufuatia maandamano dhidi ya serikai yaliyopangwa kufanyika tarehe 9 Disemba.
Africa’s Central Banks governors approve 2026-28 work programme
YAOUNDE: A call to accelerate the establishment of the African Monetary Institute, as well as exploring ways to strengthen payment systems cooperation through the use of national and regional infrastructures,…
Burna Boy abadilishia upepo Marekani
Nyota wa muziki wa Afrobeats kutoka Nigeria, Burna Boy, anaripotiwa kufuta maonyesho yake...
Samia endorses 54bn/- in a move to curb traffic congestion in cities
DAR ES SALAAM: TANZANIAN President, Samia Suluhu Hassan, has approved 54bn/- to address traffic congestion challenges in Dar es Salaam and Coast regions. Minister for Works, Abdallah Ulega, informed the…
Shirika la Afya Duniani linaeleza kuwa, baada ya miongo kadhaa ya maendeleo, vita dhidi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) sasa ipo njia…
Shirika la Afya Duniani linaeleza kuwa, baada ya miongo kadhaa ya maendeleo, vita dhidi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) sasa ipo njia panda kutokana na ukweli kwamba huduma za kuokoa…
Usiyofahamu kuhusu Joe Thomas mkali wa muziki aliyetua Bongo
Wikiendi iliyopita moja kati ya matukio makubwa yaliyotokea ilikuwa ni shoo ya msanii wa...
Upgraded Mikumi Airstrip brings fortune to Nyerere National Park
MOROGORO: JAMBO Aviation pilot Hammad Hassan has said that the upgrading of Kikoboga Airstrip, located inside Mikumi National Park, has significantly contributed to the increase in the number of aircraft…
Tunapodai haki, tukumbuke wajibu wa kutii sheria
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Juma Homera amesema haki lazima iendane na wajibu kwa hiyo ni lazima watu watimize wajibu kwa kutii sheria za nchi na walinde amani na…
NBC Premier League leo Jumatau
NBC Premier League leo Jumatau. Saa 10:15 jioni, Mashujaa watakuwa dimba la nyumbani Lake Tanganyika wakiwakaribisha Coastal Union. Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD. Je, ni Wazee wa mapigo na…
Tunapaswa kuchagua amani, si uchochezi
KAULI ya Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba kuwataka Watanzania wakatae kushawishiwa na wanaharakati wanaochochea vurugu si kauli ya kawaida. Ni kauli iliyobeba uzito wa hali halisi ya dunia na mazingira…
A new dawn for Tanzania’s food systems — Led by YEFFA’s rising youth wave
MBEYA: The highlands of Mbeya have always been rich with promise from the fertile land, but today that promise carries a different kind of energy. It is the energy of…
Rais Samia kuhutubia Taifa kupitia wazee wa Dar kesho
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kesho Jumanne, Desemba 2, 2025, Rais wa...
Viongozi wa dini wasisitizwa kuomba amani, utulivu
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amewaomba viongozi wa dini watoe mahubiri ya kumuomba Mungu ili nchi iendelea kuwa ya amani na utulivu. Malima ametoa rai hiyo juzi wakati…
Tazama video zilizotolewa na jeshi la Israel zinaonesha, kwa mujibu wa maelezo yao, wanajeshi wake wakitekeleza operesheni na ku…
Tazama video zilizotolewa na jeshi la Israel zinaonesha, kwa mujibu wa maelezo yao, wanajeshi wake wakitekeleza operesheni na kutoboa tundu la handaki katika eneo la Rafah, kusini mwa Ukanda wa…
ILO trainees educate domestic workers on working rights
MWANZA: TWENTY FIVE domestic workers who received certificates from the Tanzania Labour College in Mbeya, under the Tanzania Labour College, and are also employed as domestic workers from six different…
‘Watanzania msikubali kutia doa taifa’
SHEHE wa Mkoa wa Mtwara, Jamaldin Chamwi amewasihi viongozi, wanasiasa, wananchi na wadau wote kutoruhusu dosari zozote zinazoweza kutia doa taifa la Tanzania. The post ‘Watanzania msikubali kutia doa taifa’…
Bil 54/- kukabili foleni Dar, Pwani
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza mameneja wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) nchi nzima wahakikishe hakuna foleni zitakazokwamisha na kuzorotesha shughuli za kiuchumi na kijamii kwa wananchi. The post…
…Aagiza aliyebaka mgonjwa afukuzwe kazi
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi kwa daktari aliyekuwa akimtibu msichana mwenye umri wa miaka 18 aliyekuwa na tatizo la uzazi kwa kumbaka baada ya kumchoma sindano ya…
Simba set sights on stronger revenue
··· Club celebrate 90 years of glory DAR ES SALAAM: SIMBA Sports Club has unveiled an ambitious 29.5bn/- revenue target for the 2025/26 campaign, a 13.5 per cent increase on…
Tanzania U17 seal AFCON final berth
ADDIS ABABA: TANZANIA’S Under-17 side yesterday booked their place at the U-17 Africa Cup of Nations after a commanding 3–1 victory over Kenya in the CECAFA Zone semi-final at the…
SanlamAllianz targets 140bn/- premium before year-end
DAR ES SALAAM: THE SanlamAllianz General Insurance Tanzania is projecting to close the year with over 140bn/- in gross written premium, a milestone expected to position the company’s run in…
Tanzania’s livestock sector emerges as economic powerhouse
DAR ES SALAAM: THE livestock sector continues to be a vital pillar of Tanzania’s economic and social development. In recent years, the government, under the leadership of President Samia Suluhu…
TanTrade to boost presence with Kigoma office
KIGOMA: TANZANIA Trade Development Authority (TanTrade) is set to open a new office in Kigoma as part of a broader diversification strategy aimed at strengthening trade facilitation and expanding market…
…Aagiza Polisi wasimtafute Askofu Gwajima
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Polisi liache kumtafuta Askofu Dk Josephat Gwajima. Dk Mwigulu amesema hayo wakati akizungumza na wakazi wa Arumeru…
Valverde achafua hali ya hewa Madrid, Man United yamfungulia milango
Kuna dalili za kutokea kwa vita mpya ya usajili baina ya Manchester United na Real Madrid...
CTI welcomes scrapping of container tax
KIBAHA: THE Confederation of Tanzania Industries (CTI) has welcomed the government’s decision to scrap the container loading and offloading tax, saying the move will ease operational costs for manufacturers and…
Your words, your liability: Tanzania’s defamation law
DAR ES SALAAM: REPUTATION is a strange, invisible kind of wealth. You cannot hold it in your hand, lock it in a bank vault or insure it against theft, yet…
Organic farming opens vacancies for local entrepreneurs
DAR ES SALAAM: SUSTAINABLE Agricultural Tanzania (SAT), in partnership with the nongovernmental organisation I Am Organic and funded by Bio-Vision, recently organised a one-day open market in Dar es Salaam…
Mwigulu: Tukatae kugawanywa
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania wakatae kugawanywa. Dk Mwigulu amesema hayo mkoani Arusha wakati akikagua uharibifu kwenye kituo cha polisi cha Kikatiti wilayani Arumeru katika Mkoa wa Arusha…
DUCE celebrates rare quadruple graduates with top GPAs
THE Dar es Salaam University College of Education (DUCE) is on the spotlight after producing four top graduates with each accumulating a 4.7 GPA, a unique performance that many students…
Madrid yashindwa kurudi kileleni La Liga
Real Madrid imeshindwa kurudi kwenye kilele cha Ligi Kuu Hispania maarufu kama La Liga baada ya...
Why unite action to stop resistant microbes
ANTIMICROBIAL resistance (AMR) is no longer a distant or theoretical threat. Across the region, we now regularly witness lives disrupted or lost because infections no longer respond to medicines that…
New mining licences push Tanzanian youth toward prosperity
TANZANIA has launched a pivotal shift in its mining sector by placing young people at the forefront of future growth, with the Minister for Minerals, Anthony Mavunde, initiating a youth-focused…
Kisa Arsenal, Maresca alia na waamuzi England
Kocha wa Chelsea, Enzo Maresca, amepongeza kikosi chake kwa kupambana kikiwa na wachezaji 10 na...
From broadband to beyond: Powering country’s digital future
DAR ES SALAAM: ACROSS the country’s hills, plains and towns, a quiet technological revolution is taking place, one that most citizens rarely see. Deep underground, fiber-optic cables now stretch thousands…
TAZARA reawakens solidarity across three nations
THE opening of Shoulder to Shoulder on the Same Path, a joint art exhibition celebrating the Tanzania-Zambia Railway’s 50-year legacy, marked a renewed affirmation of a shared history built through…