Ministry sets over 1tri/-to empower special groups
DODOMA: THE government has set aside more than 1tri/- in public procurement tenders to empower special groups across the country, enabling them to participate in major development projects and improve…
Kabudi calls for revival of reading culture among youth
ARUSHA: MINISTER for Information, Culture, Arts and Sports, Professor Palamagamba Kabudi has urged Tanzanians, especially the youth, to cultivate a strong reading culture, saying books open doors to knowledge, creativity…
Katika mazungumzo na Fidan, Rais wa Iran aziasa nchi za Kiislamu zisahilishe badala ya kutatiza mambo
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hali hasasi na nyeti iliyopo hivi sasa katika Ulimwengu wa Kiislamu na kueleza kwamba: "wakati maadui wa pamoja wa mataifa…
Guinea-Bissau: Senegal yatoa wito wa kurudi kwa utaratibu wa kikatiba
Baada ya kusimama kwa muda mfupi huko Dakar, Rais wa Guinea-Bissau Umaro Sissoco Embaló amesafiri hadi Brazzaville. Kupokelewa kwake kulionyeshwa na madokezo kutoka kwa Waziri Mkuu kuhusu “njama” inayozunguka mapinduzi…
SIPRI: Kushamiri kwa vita kumeyapatia faida ya kupindukia makampuni makuu ya uundaji silaha
Takwimu mpya zilizotolewa kwenye ripoti ya Tasisi ya Utafiti wa Amani ya Kimataifa ya Stockholm (SIPRI) zinaoneysha kuwa, mapato yanayotokana na mauzo ya silaha na huduma za kijeshi ya makampuni…
CCM reveals mayoral, council chair candidates
ZANZIBAR: THE ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) has released the official list of candidates approved to contest for positions of mayor, deputy mayor and chairpersons of town, municipal and district…
Liberia eyes Tanzania’s TADB model
DAR ES SALAAM: A HIGH-LEVEL delegation from the Central Bank of Liberia is in Tanzania, to study the operations and governance framework of the Tanzania Agricultural Development Bank (TADB), as…
Guinea yaadhimisha mwaka mmoja baada ya tukio baya kutokea katika uwanja wa soka wa Nzérékoré
Guinea inaadhimisha kumbukumbiya ya mwaka mmoja tangu kutokea tukio baya la watu kukanyagana lililosababisha vifo vingi katika uwanja wa soka wa Nzérékoré. Imechapishwa: 01/12/2025 – 07:18 Dakika 2 Wakati wa…
#MEZAHURU: Kwanini wafiwa mara nyingi wanapinga wosia wa Marehemu?
#MEZAHURU: Kwanini wafiwa mara nyingi wanapinga wosia wa Marehemu? (Feed generated with FetchRSS)
Unity, healing gain ground
ARUSHA: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has urged Tanzanians to safeguard peace as the foundation of national development, warning that instability risks undoing decades of hardwon socio-economic progress. Dr Nchemba…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: KIPATO NA ELIMU YA BIASHARA…DESEMBA 01, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: KIPATO NA ELIMU YA BIASHARA...DESEMBA 01, 2025 (Feed generated with FetchRSS)
Nigeria: Mchungaji na waumini 11 watekwa nyara katika kanisa
Angalau watu kumi na wawili, akiwemo mchungaji, wametekwa nyara siku ya Jumapili, Novemba 30, wakati wa ibada ya Jumapili katika kanisa la vijijini katikati mwa Nigeria, tukio la hivi karibuni…
Kampeni ya ‘Komboa Mateka Wapalestina’ walioko kwenye magereza ya Israel yazidi kupamba moto
Maelfu ya waandamanaji jana Jumamosi walimiminika kwenye eneo la katikati mwa mji mkuu wa Uingereza, London katika maandamano ambayo ni sehemu ya kampeni ya "Komboa Mateka Wapalestina", wakitaka kuachiliwa huru…
Wabeba silaha wateka nyara watu wengine 14 Nigeria, yumo bibi harusi na kitoto kichanga
Washambuliaji wenye silaha wamewateka nyara wanawake 13 na mtoto mchanga katika hujuma mpya ya uvamizi uliofanywa usiku wa kuamkia jana Jumapili kaskazini mashariki mwa Nigeria, ukiwa ni mwendelezo wa matukio…
Maelfu ya Waisrael wafurika kwenye ubalozi wa Ureno Tel Aviv kuomba uraia wa nchi hiyo
Tovuti ya gazeti la kizayuni la Times of Israel imeripoti kuwa, maelfu ya Waisrael wamepanga foleni ndefu mbele ya ubalozi wa Ureno mjini Tel Aviv kwa lengo la kuomba uraia…
Maelfu ya Waisrael wafurika kwenye ubalozi wa Ureno mjini Tel Aviv kuomba uraia wa nchi hiyo
Tovuti ya gazeti la kizayuni la Times of Israel imeripoti kuwa, maelfu ya Waisrael wamepanga foleni ndefu mbele ya ubalozi wa Ureno mjini Tel Aviv kwa lengo la kuomba uraia…
#HABARI: Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo nchini Sri Lanka imezidi watu 330, huku nchi hiy…
#HABARI: Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo nchini Sri Lanka imezidi watu 330, huku nchi hiyo ikikabiliana na mojawapo ya maafa mabaya zaidi ya hali…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ….DISEMBA 01, 2025
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ....DISEMBA 01, 2025 (Feed generated with FetchRSS)
Afisa mkuu wa zamani wa Uingereza ameambia uchunguzi kuwa jeshi la Uingereza lilitenda uhalifu wa vita nchini Afghanistan
Jeshi la Uingereza hapo awali lilifanya uchunguzi kadhaa kuhusu madai ya utovu wa nidhamu nchini Afghanistan, lakini Wizara ya Ulinzi ilisema hakuna aliyekuwa na ushahidi wa kutosha wa kufunguliwa mashtaka.
ECOWAS inatuma ujumbe wake kwenda nchini Guinea Bissau
Jumuiya ya ECOWAS inatuma ujumbe wake kwenda nchini Guinea Bissau, msafara ambapo msafara huo utaongozwa na mwenyekiti wa sasa wa jumuiya hiyo rais wa Sierra Leone, Julius Maada Bio, kujaribu…
Mapagale, maeneo ya wazi yatumika kufanyia vitendo viovu Moshi
Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wamelalamikia majengo na maeneo ya...
Kigali na Kinshasa zaendelea kutuhumiana kuhusu mzozo wa DRC
Wakati nchi za Rwanda na DR Congo zikitarajiwa kutia saini wiki hii makubaliano ya amani jijini Washington Marekani, Kigali na Kinshasa zimeendelea kutuhumiana kuhusu mzozo wa mashariki ya Kongo. Imechapishwa:…
Uganda: Rais Yoweri Museveni akosa kuhudhuria mdahalo wa Urais
Nchini Uganda, usiku wa Jumapili ya wiki iliopita kulifanyika mdahalo wa kwanza wa televisheni kwa nafasi ya Urais, mdahalo ambao kwa mara ya kwanza mgombea wa chama tawala NRM, Yoweri…
Umoja wa Afrika wasimamisha uanachama wa Guinea-Bissau
Umoja wa Afrika umesimamisha uanachama wa Guinea-Bissau baada ya mapinduzi ya kijeshi ukisema hautavumilia mabadiliko ya serikali kinyume cha katiba. Imechapishwa: 01/12/2025 – 04:13Imehaririwa: 01/12/2025 – 04:19 Dakika 1 Wakati…
Rais wa Afrika Kusini amtuhumu Trump kwa kutoa ‘kauli zisizo za kweli’ kuhusu nchi yake
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini jana alimtuhumu Rais Donald Trump wa Marekani kwa kuendelea kutoa "taarifa zisizo za kweli" kuhusu nchi yake.
Uvumbuzi wa Bioteknolojia Iran: Manyoya ya kuku kuwa lishe ya mifugo
Iran imezindua uvumbuzi wa kisayansi unaoweza kubadilisha tasnia ya mifugo na kuku, kuimarisha usalama wa chakula wa ndani na kupunguza utegemezi wa uagizaji wa chakula cha mifugo kutoka nje.
Kituo kipya cha Treni cha Maria Mtakatifu chafunguliwa Tehran
Halmashauri ya Jiji la Tehran imezindua rasmi kituo kipya cha metro (treni ya chini ya ardhi) kinachoitwa Maryam-e Moqaddas , yaani Maria Mtakatifu , kama ishara ya kuonyesha maelewano na…
ICC kupokea malalamiko dhidi ya viongozi wa FIFA na UEFA wanaohusika na uhalifu wa vita wa Israel
Wachezaji wa kandanda wa Kipalestina, vilabu na mashirika ya kimataifa wanapanga kuwasilisha malalamiko katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) dhidi ya wakuu wa mashirikisho ya kandanda duniani, FIFA na…
Ripoti: Wayahudi huwatemea mate watalii Wakristo wanaotembelea Quds (Jerusalem)
Ripoti mpya imeibua taswira ya matukio ya unyanyasaji na mashambulizi unaotekelezwa na Wayahudi dhidi ya wageni Wakristo wanaotembelea Mji wa Kale wa al-Quds (Jerusalem).
Changamoto za Umoja wa Ulaya katika kuchangisha fedha kwa ajili ya Ukraine
Umoja wa Ulaya umekumbwa na changamoto nzito katika kuzishawishi nchi wanachama zikubali kuchangia fedha za kuendelea kuiunga mkono Ukraine kwenye vita vyao na Russia.
Jumatatu, Mosi Disemba, 2025
Leo ni Jumatatu tarehe 10 Mfunguo Tisa Jamaduthani 1447 Hijria mwafaka na Mosi Disemba 2025.
Dakika 810 zamtosha Malale Mbeya City, atemwa na wenzake kikosini
Baada ya kuitumikia Mbeya City kwa takribani miezi nane pekee, Kocha Mkuu, Malale Hamsini na wenzake wa benchi la ufundi wamesitishiwa mkataba leo Jumapili Novemba 30, 2025.
Tchakei aiokoa Singida, ikivuna pointi ya kwanza CAF
BAO la penalti katika dakika za majeruhi lililofungwa na mtokea benchi, Marouf Tchakei imeiwezesha Singida Black Stars kuandika historia ya kuvuna pointi ya kwanza ya katika mechi za makundi ya…
Imekuwa Jumapili ngumu kwa Simba
LICHA ya wenyewe kujinasibu kwamba Jumapili huwa ni siku nzuri kwa klabu yao, lakini hali kwa Jumapili ya leo imekuwa kinyumw kwa Simba baada ya awali kuvurugana katika Mkutano Mkuu…
Ulega awageukia mameneja wa Tanroads
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewaagiza mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads)...
Mchuano kusaka mameya CCM
Kesho macho na masikio yatakuwa kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nchi nzima...
Viongozi wa ushirika watakiwa kuzingatia sheria, kuimarisha uadilifu
Viongozi wa vyama vya ushirika nchini wametakiwa kuimarisha uadilifu kwa kuzingatia kanuni...
Ijue chanjo mpya ya saratani inayotumia teknolojia ya mRNA
Katikati ya makali ya ugonjwa wa saratani duniani, Russia imeanza kusambaza chanjo inayotumia...
KCMC kuanzisha benki ya vinasaba kuimarisha utafiti
Katika juhudi za kuinua kiwango cha utafiti na ubunifu katika kada mbalimbali za afya nchini...
Profesa Kabudi: Tawasifu za viongozi ni dira ya taifa katika vipindi vya misukosuko
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amesema endapo...
Man United yapata ushindi muhimu
Baada ya kupita katika kipindi kigumu cha kutopata ushindi katika mechi tatu mfululizo za Ligi...
Dk Mwigulu ataka Watanzania kuwakataa wachonganishi
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania kulinda amani na kuwakataa watu wachache...
Mashabiki City ‘wamkataa kocha
Hali imeendelea kuwa tete kwa Mbeya City baada ya kupoteza mchezo wa tatu mfululizo katika Ligi...
Dk Mwigulu amwagiza IGP kuacha kumtafuta Askofu Gwajima
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camilius...
Mashabiki City ‘wamtimua’ Kocha Malale, Namungo ikitakata Sokoine
Mbeya. Hali imeendelea kuwa tete kwa Mbeya City baada ya kupoteza mechi ya tatu mfululizo katika Ligi Kuu kwa kufungwa bao 1-0 na Namungo, huku mashabiki wakionekana kumkatia tamaa kocha…
Kilio cha vijana kwa Serikali
Uhaba wa ajira, uhuru wa kujieleza, ukimya wa Serikali kuhusu matukio ya utekaji, na ugumu wa...
Serikali kutathmini mlipuki wa bei kemikali ya sianidi
GEITA: SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imepanga kufanya kikao maalum cha kufanya tathimini juu ya kiini cha tatizo la uhaba na kupanda mara dufu kwa bei ya kemikali ya sianidi…
Tume kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 kupingwa kortini
Baada Rais Samia Suluhu Hassan kuunda tume ya kuchunguza chanzo cha matukio ya wakati na baada...
Championship kumeanza kuchangamka, vita ipo hapa
UHONDO wa Ligi ya Championship kwa msimu wa 2025-2026, unaendelea tena leo kwa mechi sita za raundi ya nane kupigwa na ushindani umekuwa ni mkubwa, hasa kwa timu kuanzia ya…