CEO Simba aanika mafanikio ya msimu wa 2024-2025
OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba (CEO), Zubeda Sakuru, amesema klabu hiyo imepata mafanikio makubwa kwa msimu wa 2024-2025, licha ya changamoto mbalimbali zilizojitokeza.
Ujenzi barabara uende na uwekaji taa -Ulega
KILIMANJARO: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuelekeza Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kilimanjaro kuhakikisha anamsimamia Mkandarasi, Kings Builder kukamilisha ujenzi wa madaraja saba ya dharura katika eneo la Kileo lililopo…
Nguvu ya msamaha kwenye ndoa, uhusiano
Msamaha si tu kitendo cha kiroho, bali pia ni tiba ya kihisia na kiakili. Ni nguzo kuu...
Hofu ya Mungu inavyozaa huruma ya kweli kwa watu
Bwana Yesu asifiwe. Naitwa Mwalimu George Mbwambo kutoka Usharika wa KKKT Buza, jijini Dar es...
Mwisho wa mwaka na wajibu wa wazazi kwa watoto wao
Mazungumzo ya kina baina ya mzazi na mtoto kuhusu masomo, changamoto anazokutana nazo na...
Mume wangu anavutiwa na wanawake wembamba
Nimeolewa huu ni mwaka wa tatu, mume wangu ananishangaza kwani tulipokutana alisema mimi ni...
Kwa mnasaba wa Siku ya Mshikamano, Iran yasema: Palestina ni jeraha kubwa zaidi linaloungulisha dhamiri ya wanadamu
Kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Watu wa Palestina, Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesisitizia tena uungaji mkono usioyumba wa Jamhuri ya Kiislamu…
Elimu inayotolewa kwa wananchi kuhusu ulinzi na Usalama wa miundombinu ya bomba la gesi alisia
Elimu inayotolewa kwa wananchi kuhusu ulinzi na Usalama wa miundombinu ya bomba la gesi alisia. Je, iambatane na uanzishwaji ulinzi shirikishi katika maneno hayo kudhibiti wahalifu?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…NOVEMBA 30 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 30 2025
Foleni za watu wenye njaa huko Ghaza zimezidi kuwa ndefu + Picha
Licha ya kusitishwa mapigano huko Ghaza, lakini bado mateso ya njaa na ukosefu wa usalama na utulivu wa nafsi yanaendelea kuzisumbua familia za Wapalestina. Foleni ndefu za watu wenye njaa…
Spika wa bunge la Libya atoa mwito wa kufanyika uchaguzi wa haraka wa rais
Spika wa Bunge la Libya lenye makao yake mashariki mwa nchi hiyo ametoa mwito kwa Tume Kuu ya Uchaguzi kutekeleza mara moja sheria ya kuitisha haraka uchaguzi wa rais wa…
Israel: Hatuna mpango kabisa wa kuondoka kusini mwa Syria
Jeshi la Israel limejigamba kuwa halina mpango kabisa wa kuondoka kwenye ardhi ulizozivamia na kuzikalia kwa mabavu huko Syria licha ya wanajeshi wake sita kujeruhiwa wakati wananchi wa Syria walipoamua…
Ukraine yashambuliia meli mbili za mafuta za Russia Bahari Nyeusi
Ripoti mbalimbali za vyombo vya habari zimesema kuwa, mashambulio ya Ijuuma dhidi ya meli mbili za mafuta za Russia katika Bahari Nyeusi yamefanywa na shirika la kijasusi la Ukraine na…
Jumapili, 30 Novemba, 2025
Leo ni Jumapili mwezi 9 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria mwafaka na 30 Novemba 2025 Miladia.
Sababu za Marekani kuitambua harakati ya Ikhwanul Muslimin kuwa ni tishio la kigaidi
Rais Donald Trump wa Marekani ametia saini amri ya utendaji dhidi ya Ikhwanul Muslimin (Muslim Brotherhood), na kuyaweka baadhi ya matawi ya kundi hilo la Kiislamu katika orodha ya "mashirika…
Tanzania, partners cooperation laudable
DAR ES SALAAM: TANZANIA and the diplomatic corps accredited to the country have reaffirmed their continuous commitment to deepening cooperation and strengthening the bonds of mutual partnership. The Minister for…
Tanga Port marks milestone
TANGA: Tanga Port yesterday received a 13,000-tonne container vessel, the first to dock directly from Iran, thanks to significant port expansion and improved efficiency. The towering vessel arrived carrying 463…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 30, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
BoT achieves gold milestone
MWANZA: THE Bank of Tanzania (BoT) has recorded a significant milestone, purchasing 15.37 tonnes of gold within the first year of its gold acquisition programme, which was launched on October,…
Minister calls for science focus to harness global opportunities
DODOMA: THE Minister for Education, Science and Technology, Prof Adolf Mkenda, yesterday stressed the urgency of accelerating education reforms to keep pace with the global shift toward science and technology,…
Ufundi seremala na ufundi uashi ni miongoni mwa fani zenye mahitaji makubwa kila siku katika jamii, lakini changamoto ni uhaba w…
Ufundi seremala na ufundi uashi ni miongoni mwa fani zenye mahitaji makubwa kila siku katika jamii, lakini changamoto ni uhaba wa wanafunzi katika vyuo vinavyofundisha fani hizo. Habari Wikiendi imezungumza…
Walimu wa Sekondari ya Mndeme iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Vijijini, wameanzisha kilimo cha kabeji ili kurahisisha up…
Walimu wa Sekondari ya Mndeme iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Vijijini, wameanzisha kilimo cha kabeji ili kurahisisha upatikanaji wa mboga kwenye chakula cha wanafunzi shuleni. #AzamTVUpdates Mhariri | John…
Wakazi wa Kijiji cha Kankwale, Manispaa ya Sumbawanga, wameiomba serikali kujenga miundombinu bora ya barabara na kivuko ili kur…
Wakazi wa Kijiji cha Kankwale, Manispaa ya Sumbawanga, wameiomba serikali kujenga miundombinu bora ya barabara na kivuko ili kurahisisha usafiri. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
Baada ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam kurejea katika Barabara ya Morogoro kati ya Ubungo Maji hadi Gerezani n…
Baada ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam kurejea katika Barabara ya Morogoro kati ya Ubungo Maji hadi Gerezani na Kivukoni, abiria wameziomba mamlaka ziharakishe kurejesha huduma hiyo…
🔴TAARIFA YA HABARI NOVEMBA 29, 2025: AWAMU YA KWANZA YA KUREJESHA HUDUMA ZA MWENDOKASI YAZINDULIWA
🔴TAARIFA YA HABARI NOVEMBA 29, 2025: AWAMU YA KWANZA YA KUREJESHA HUDUMA ZA MWENDOKASI YAZINDULIWA
Latra yasisitiza nidhamu kwa waendesha bodaboda, bajaji
Waendesha pikipiki na bajaji nchini wametakiwa kuongeza nidhamu katika utoaji wa huduma ili...
Serikali yatenga Sh1 trilioni kwa ajili ya watu wenye ulemavu
Serikali imetenga zaidi ya Sh1 trilioni kwa ajili ya kuwawezesha watu wenye ulemavu kushiriki...
Ulega akemea uharibifu taa za barabarani Arusha
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wananchi wa Wilaya ya Arumeru kutunza miundombinu...
Dk Ashatu awahakikishia watalii Tanzania ni salama
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, amesema kuwa Tanzania ni salama na...
Vijana waeleza matumaini yao kuanzishwa kwa Wizara ya Vijana
Wahitimu wa Chuo cha Biashara (CBE) wamepongeza uwapo wa Wizara ya Vijana wakitaja kuwa...
Chadema yamlilia mbunge wake wa zamani
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeungana na familia kuomboleza kifo cha Naomi...
Mradi wa Sh1.57 trilioni kuwezesha wakulima Lindi
Wakulima zaidi ya 10,000 kutoka vijiji vinne vya wikaya ya Kilwa wanatarajiwa kunufaika na soko...
Ridhiwani awataka wahitimu TPSC kuzingatia miiko na maadili ya utumishi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani...
‘Ruska kuanzisha makumbusho binafsi’
Makumbusho ya Taifa ya Tanzania imewataka Watanzania kuchangamkia nafasi ya kuanzisha...
Trump aonya juu ya kufungwa kwa anga ya Venezuela
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa onyo leo akisema kuwa anga inayozunguka Venezuela inapaswa kuzingatiwa kuwa imefungwa.
Ujumbe wa Ukraine waelekea Washington kwa mazungumzo
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema leo kwamba ujumbe unaoongozwa na katibu wa baraza la usalama Rustem Umerov ulikuwa njiani kuelekea Marekani kuendelea na mazungumzo kuhusu makubaliano ya kukomesha vita…
Serikali yasema haina mpango wa kuwapa wakimbizi wa Burundi uraia
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema Serikali haina mpango wa kutoa uraia kwa...
Thailand, Indonesia yaanza kusafisha baada ya mafuriko
Idadi ya vifo kutokana na mafuriko makubwa na maporomoko ya ardhi Kusini-mashariki mwa Asia, imepindukia watu 400.
Hong Kong yaomboleza wahanga wa moto uliowaua watu 128
Hong Kong imeanza maombolezo ya vifo vya watu 128 waliokufa katika moto mkubwa kwenye jengo la ghorofa huku idadi ya waliokufa ikihofiwa kuongezeka wakati watu 150 wakiwa bado hawajulikani walipo…
Chama cha siasa kali AfD chazindua tawi jipya la vijana
Mkutano wa uzinduzi wa tawi jipya la vijana la chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha AfD nchini Ujerumani, ulicheleweshwa kwa zaidi ya saa mbili leo baada ya…
Watano wajitokeza kuwekeza uwanja wa Sabasaba
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) inaendelea kuwafanyia tathmini wawekezaji...
Hezbollah yamtaka Papa Leo kukataa dhuluma za Israel
Kundi la wanamgambo wa Hezbollah, limemhimiza Papa Leo XIV kupinga dhuluma na uchokozi wa Israel dhidi ya Lebanon, katika ujumbe kwa kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani atakayewasili Beirut mwishoni…
Vita umeya yahamia katika kura za maoni
Hatima ya majina ya watakaoteuliwa kuingia katika kinyang’anyiro cha umeya wa manispaa na...
Mgore akemea uchonganishi na kupigana shoti, ajipanga kuisuka upya Musoma
Mbunge wa Musoma Mjini (CCM), Mgore Miraji amewataka wanachama wa chama hicho kuepuka majungu...
Dk Kiruswa: Miundombinu inachochea ukuaji madini ya ujenzi
Ukuaji wa sekta ya miundombinu na uzalishaji wa bidhaa za ujenzi umetajwa kuchochea ongezeko la...
Wananchi wa vijiji takribani 140 vinavyopitiwa na mradi wa bomba la gesi asilia kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam wamehimizwa kul…
Wananchi wa vijiji takribani 140 vinavyopitiwa na mradi wa bomba la gesi asilia kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam wamehimizwa kulinda na kutunza miundombinu hiyo kwa kuepuka kufanya shughuli zozote…