Ushahidi wa kwanza: Gesi ya klorini imetumika katika vita vya ndani Sudan
Uchunguzi wa timu ya FRANCE 24 Observers unaonyesha namna gesi ya klorini ilivyotumika kama silaha katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyoendelea nchini Sudan.
Wahitimu DUCE wafundwa kuwa waadilifu, wabunifu
Jumla ya wahitimu 1,823 wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) wametakiwa kuingia kwenye soko la ajira wakiwa kizazi kipya cha uongozi, ubunifu na uadilifu. Akizungumza katika mahafali…
Biashara ya nje ya Iran yapindukia dola bilioni 76.5 kuanzia Machi hadi Novemba
Biashara ya nje ya Iran katika miezi minane ya kwanza ya mwaka huu kwa mujibu wa kalenda ya Iran ya Hijria Shamsia yaani (Kuanzia Machi 21, 2025 hadi Novemba 21…
Wahitimu ESAMI wakumbushwa mageuzi kidigitali
WAHITIMU wa kozi mbalimbali katika Chuo Cha Usimamizi cha Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAMI) wametakiwa kukumbatia mageuzi ya kidigitali bila woga kwa uadilifu na maadili kwa maslahi ya…
Wahitimu wapewa mbinu kukabili tatizo la ajira kidijitali
Wakati Baraza la Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki (IUCEA), likionyesha zaidi ya asilimia 50 ya...
DC amuombea ushirikiano DED mpya Siha
Mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Christopher Timbuka, amewataka watumishi wa...
Meneja wa Yusuph Athuman afichua jambo
MENEJA wa Yusuph Athuman anayekipiga Napsa Stars inayoshiriki Ligi Kuu ya Zambia, Hon Simbeye amesema kama mshambuliaji huyo wa zamani wa Yanga ataendelea kupata nafasi ya kucheza huu unaweza kuwa…
Venezuela: Tunathamini uungaji mkono madhubuti wa Iran dhidi ya vitisho vya Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesema nchi yake inathamini kwa dhati uungaji mkono wa Iran kwa nchi hiyo ya Amerika ya Latini mkabala wa vitisho vya kijeshi na…
Takwimu za mbwana Samatta Le Havre
INGAWA nahodha wa timu ya taifa Tanzania, Taifa Stars Mbwana Samatta hajafunga bao lolote akiwa na kikosi cha Le Havre ya Ufaransa katika dakika 518, takwimu zinaonyesha ni mchezaji hatari…
Aisha Masaka kumfuata Opah Hispania
MABOSI wa Brighton & Hove Albion wanaangalia uwezekano wa kumtoa kwa mkopo mshambuliaji wa Kitanzania, Aisha Masaka kwenda Hispania baada ya kutopata nafasi ya kucheza kikosini hapo.
Siku ya kukumbuka waathiriwa wa vita vinavyotumia kemikali, Guterres atoa wito wa kujitolea upya kimataifa
Kila Novemba 30 ulimwengu huadhimisha Siku ya Kimataifa ya kukumbuka waathiriwa wote wa vita vinavyotumia kemikali, na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameutuia ujumbe wake wa mwaka…
Sababu ya Suzana Adama kurejea Bongo
MENEJA wa mchezaji Suzana Adam, James Mlaga amesema sababu za kiungo huyo kurejea Bongo na kujiunga na Tausi FC inayoshiriki Ligi ya Wanawake ni kumjengea hali ya kujiamini baada ya…
KANISA LA GWAJIMA: Uongozi wadai upotevu, uharibifu wa Sh2.7 bilioni
Uongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima umedai kuwepo kwa upotevu na...
Zanzibar yajitenga na askari wake kuhusika Oktoba 29
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hamza Hassan Juma, amesema hakuna...
Waziri Mavunde aahidi kudhibiti uholela, wachimbaji walia bei ya Cyanide
Waziri wa Madini, Antony Mavunde amesema Serikali imejipanga kudhibiti tabia ya baadhi ya...
Makao makuu ya Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria yazinduliwa
Makao makuu ya Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria ( LVBC) chini ya Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Four killed in shooting at child’s birthday party in California
AT least four people have been killed in a mass shooting at a child’s birthday party in California. Ten others were injured in the shooting at a restaurant on Saturday…
Haya hapa majina walioitwa mafunzo ya awali Jeshi la Magereza
Jeshi la Magereza limetangaza orodha ya majina ya waliochaguliwa kuhudhuria mafunzo ya awali ya...
Mkutano Mkuu Simba waacha maswali
Mkutano Mkuu wa Simba wa mwaka 2025, umeisha saa 5:59 asubuhi, huku ukiibua maswali kwa...
Global investors eye 948.5bn/- project to reshape Sabasaba Grounds
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Trade Development Authority (TanTrade) is evaluating five international investors who have expressed interest in the ambitious 948.5bn propject to redevelop the Mwalimu Julius Nyerere Trade…
Ura Saccos wajivunia hati safi
ARUSHA: CHAMA cha Kuweka na Kukopa cha Usalama wa Raia (Ura Saccos) kimepata hati safi kwa miaka tisa mfululizo kutoka kwa mkaguzi wa nje kutokana na uadilifu wa uendeshaji makini…
Changamoto mbili zinazoutesa utawala wa Kizayuni baada ya vita vya siku 12 dhidi ya Iran
Katika ripoti yake ya hivi karibuni kabisa, tovuti ya Middle East Eye imefanya uchunguzi kuhusu changamoto zinazoikabili Tel Aviv baada ya vita vya kivamizi na kichokozi vya siku 12 ilivyovianzisha…
Mkutano Simba waacha maswali kibao, Mangungu atakiwa kujiuzulu
MKUTANO Mkuu wa Simba wa mwaka 2025, umeisha saa 5:59 asubuhi, huku ukiibua maswali kwa wanachama kutokana na aina ya ulivyomalizika.
Simba inazitaka 29 Bilioni msimu huu
Simba imetangaza inakusudia kukusanya kiasi cha sh 29.5 Bilioni kwenye msimu huu wa 2025/26...
Watoto wasome karibu kuepuka hatari barabarani Dar
NI mida ya usiku, wanaonekana wanafunzi wa shule ya msingi katika kituo cha daladala wakisubiri usafiri jijini Dar es Salaam. Nalazimika kuwahoji sababu za kuwa kituoni hapo muda huo ambao…
Simba inazitaka Sh 29 Bilioni msimu huu
SIMBA imetangaza kuwa, inakusudia kukusanya kiasi cha Sh 29.5 Bilioni kwenye msimu huu wa 2025/26 kama bajeti ya klabu hiyo.
Mkutano Mkuu Simba hakuna utulivu
Wakati Mkutano Mkuu wa mwaka wa Simba ukiendelea leo Kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini...
Wakimbizi wa Burundi kutopewa uraia Tanzania
BURUNDI: SERIKALI ya Tanzania imewataka wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi nchini wawe tayari kurejea nchini mwao ambako imewahakikishia kurejea kwa hali ya amani na utulivu. Waziri wa Mambo ya…
Singida BS wapania kung’ara kimataifa
ZANZIBAR; TIMU ya Singida Black Stars leo itaivaa Stellenbosch FC katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar mchezo wa Kombe la Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika. Kocha wa Singida…
Myama pumzi muhimu leo
SIMBA inacheza mchezo wa pili wa Kundi D, Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Stade Malien ya Mali. Katika mchezo huo, Simba ambao walipoteza mchezo wa kwanza kwa 0-1 kutoka…
Yanga wafagiliwa matokeo ugenini
ALGERIA; KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Concalves ame furahishwa na kiwango kilichooneshwa na kikosi chake kwenye mchezo wa Ligi ya Ma bingwa Afrika dhidi ya wenyeji JS Kabylie katika Uwanja…
Mwana FA atoa maagizo ya serikali Mkutano Mkuu Simba
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA), amesema licha ya maneno...
Bandari ya Tanga yazidi kufunguka
TANGA: BANDARI ya Tanga imezidi kufunguka kutokana na kupokea meli za mizigo kwa wingi ambapo MV Parnia yenye mizigo ya makasha 463 kutoka Iran imetia nanga. Hatua hiyo ni sehemu…
Fanya haya kurudi kwa mpenzi mliyetosana
Wako wengi sana wanaopata shida sana katika namna ya kuanza kumuonyesha mpenzi wa zamani kuwa...
Kisa ripoti, Mangungu abanwa Mkutano Mkuu Simba
Wakati ikisomwa ripoti ya mapato na matumizi ya mwaka uliopita kwenye mkutano mkuu wa Simba...
Neno moja linavyoweza kuvunja ndoa
Katika jamii ya leo, ambapo mitandao ya kijamii imerahisisha mawasiliano, mara nyingine watu...
Kilimo cha muhogo kuzalisha ajira 100,000
LINDI: SERIKALI imetoa ekari 62,000 za ardhi kwenye vijiji vinne katika Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi kwa Kampuni ya Pan Tanzania Agriculture Development kwa ajili ya uwekezaji wa kilimo cha…
MO apigiwa shangwe mkutano Simba
WAKATI wanachama wa Simba wakisomewa ripoti ya mapato na matumizi, wameonyesha kukoshwa na rais wao wa heshima Mohammed Dewji 'MO' na namna anavyoipa fedha klabu hiyo.
Mkutano Mkuu Simba tafrani tupu
WAKATI Mkutano Mkuu wa mwaka wa Simba ukiendelea leo Kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, wanachama wa klabu hiyo wameonekana wakiwa katika hali ya tafrani huku baadhi…
Kabudi awausia vijana kulinda misingi ya nchi
ARUSHA: WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amewataka vijana nchini kuwa na tabia ya kusikiliza hotuba za viongozi wakuu wa nchi na wasifu wao ili wawe…
Tanzania clubs aim to bounce back
DAR ES SALAAM: TANZANIAN clubs Simba SC and Singida Black Stars will take to the field today in their respective CAF interclub competitions, following the weekend outings of fellow Tanzanian…
Over 200m/- set for conservation education as Tanzanian wins TUSK award
MORE than 200m/- is set to be invested in providing environment conservation education and expanding community forests across various parts of Tanzania. The Executive Director of the Community Forest Conservation…
Mangungu abanwa mkutano mkuu Simba
Wakati ikisomwa ripoti ya mapato na matumizi ya mwaka uliopita, umeibuka mzozo baada ya hoja kumbana Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu.
Sakata la marekebisho ya Katiba Simba, Mwana FA ang’ata na kupuliza
NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA), amesema licha ya maneno mengi kuhususiana na mabadiliko ya Katiba ya Klabu ya Simba, ila serikali haitoingilia uamuzi wa…
Yanayoendelea kanisani kwa Askofu Gwajima
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima leo Novemba 30, 2025 wamefanya...
European tourism agents scout Tanzania’s potential
NGORONGORO: LEADING tourism agents from the United Kingdom are in Tanzania touring its iconic national parks, wildlife reserves and scenic landscapes with the aim of showcasing the country’s unique attractions,…
Fading echoes of clubhouse games: Tanzania’s forgotten sporting past
DAR ES SALAAM: THERE was a time when a weekend in Dar es Salaam, Arusha or Moshi felt like an eccentric colonial radio broadcast drifting into real life. You’d hear…
Ulezi watoto wa kambo unavyopitia changamoto
Unapokuwa na mtoto akalelewa na mzazi wa kambo ni jukumu lako kujenga mazingira na uhusiano...
Barua ya Pezeshkian kwa Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Palestina
Katika ujumbe wake kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Palestina ya tarehe 29 Novemba, Rais wa Iran ametangaza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inalichukulia suluhu pekee…
Marais wa Rwanda na DRC kutia saini makubaliano ya amani
Marais Felix Tshisekedi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame wiki ijayo wanatarajiwa kutia kusaini makubaliano ya mwisho yanayolenga kufikia amani ya kudumu mashariki mwa…