Skip to content
  • Thu. Jul 2nd, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Azam yazipiga bao Yanga, Simba “Miradi ya kimkakati Kinondoni ipewe kipaumbele” 18 waitwa Kabaddi Zanzibar Maboresho Simba Queens kuelekea CECAFA Azam bingwa NBC U20 Youth League
MWANASPOTI

Azam yazipiga bao Yanga, Simba

July 2, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

“Miradi ya kimkakati Kinondoni ipewe kipaumbele”

July 2, 2026 mjombazecoder
MWANASPOTI

18 waitwa Kabaddi Zanzibar

July 2, 2026 mjombazecoder
MWANASPOTI

Maboresho Simba Queens kuelekea CECAFA

July 2, 2026 mjombazecoder
MWANASPOTI

Azam bingwa NBC U20 Youth League

July 2, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Azam yazipiga bao Yanga, Simba
MWANASPOTI
Azam yazipiga bao Yanga, Simba
“Miradi ya kimkakati Kinondoni ipewe kipaumbele”
HABARILEO
“Miradi ya kimkakati Kinondoni ipewe kipaumbele”
18 waitwa Kabaddi Zanzibar
MWANASPOTI
18 waitwa Kabaddi Zanzibar
Maboresho Simba Queens kuelekea CECAFA
MWANASPOTI
Maboresho Simba Queens kuelekea CECAFA
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
HABARI ZA KIPEKEE
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
Azam yazipiga bao Yanga, Simba
MWANASPOTI
Azam yazipiga bao Yanga, Simba
“Miradi ya kimkakati Kinondoni ipewe kipaumbele”
HABARILEO
“Miradi ya kimkakati Kinondoni ipewe kipaumbele”
18 waitwa Kabaddi Zanzibar
MWANASPOTI
18 waitwa Kabaddi Zanzibar
Maboresho Simba Queens kuelekea CECAFA
MWANASPOTI
Maboresho Simba Queens kuelekea CECAFA
HABARI ZA KIPEKEE

Umoja wa Mataifa: Mwanamke mmoja huuliwa kila baada ya dakika 10

November 25, 2025 mjombazecoder

Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa jana Jumatatu ilisema kwamba karibu wanawake 50,000 waliuawa na jamaa zao mwaka wa 2024, kwa kiwango cha mwanamke mmoja kila baada ya dakika 10,…

Tanzania, Qatar zakubaliana vyeti vya mabaharia

November 25, 2025 mjombazecoder

LONDON; Serikali ya Tanzania na Serikali ya Qatar zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya kutambuliana vyeti vya mabaharia katika hafla ya utiaji saini iliyofanyika jijini London. Hafla hiyo imefanyika pembezoni…

LTV ENGLISH NEWS

A call for accuracy, context and responsible journalism

November 25, 2025 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: WHEN CNN released its video report on the October 29 protests in Tanzania, many viewers expected a clear, factual and balanced account of the day’s events. International…

MWANANCHI

Mchengerwa atoa maagizo sita kuimarisha uzalishaji bidhaa za afya

November 25, 2025 mjombazecoder

Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ametoa waraka mahususi unaoanzisha utekelezaji wa mkakati wa...

HABARI ZA KIPEKEE

IEBC yawataka wanasiasa wa Kenya wasichochee machafuko na uvunjivu wa amani

November 25, 2025 mjombazecoder

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya (IEBC), imewataka wanasiasa kuelekeza nguvu zao katika kuhimiza amani na utulivu, badala ya kutoa matamshi yanayoweza kuchochea taharuki miongoni mwa wananchi.

Mwigulu aagiza Watanzania wapewe kandarasi

November 25, 2025 mjombazecoder

SERIKALI imeagiza wakandarasi wazawa wapewe kazi za ujenzi wa miradi ya barabara. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametoa agizo hilo alipozungumza na wakazi wa Dar es Salaam katika mkutano wa…

Ndejembi ataka kasi utafutaji gesi, mafuta

November 25, 2025 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kubuni mikakati thabiti itakayosaidia kuongeza kasi ya utafutaji wa mafuta na gesi…

Uncategorized

Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 25,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108

November 25, 2025 mjombazecoder

Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 25,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates

LTV ENGLISH NEWS

Uhuru Day funds redirected

November 25, 2025 mjombazecoder

To fund post-unrest recovery DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has cancelled this year’s December 9 Independence Day celebrations, directing that the funds be used to restore infrastructure damaged…

Uncategorized

🔴KUMEKUCHA KISHINDO: SEKTA YA MAUA..NOVEMBA 25, 2025

November 25, 2025 mjombazecoder

🔴KUMEKUCHA KISHINDO: SEKTA YA MAUA..NOVEMBA 25, 2025

Uncategorized

🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 25, 2025

November 25, 2025 mjombazecoder

🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 25, 2025

TRT SWAHILI

Mwanajeshi wa zamani wa Uingereza anayesakwa nchini Kenya kwa mauaji anyimwa dhamana

November 25, 2025 mjombazecoder

Mwili wa Wanjiru ulipatikana kwenye tanki la maji taka katika Hoteli ya Lion's Court katika mji wa Nanyuki nchini Kenya mnamo Juni 2012. Wanjir alionekana mara ya mwisho akiwa na…

Uncategorized

#MEZAHURU: Hivi ni kweli Mwanaume akijaliwa kipato anaijali familia yake na Mwanamke akipata kipato anahitaji kuwa peke yake…..

November 25, 2025 mjombazecoder

#MEZAHURU: Hivi ni kweli Mwanaume akijaliwa kipato anaijali familia yake na Mwanamke akipata kipato anahitaji kuwa peke yake..? Tupe sababu. #SaaTisaKamiliMchana #Mezuhuru

Dk Mwinyi akemea vikao hoteli za kitalii

November 25, 2025 mjombazecoder

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameagiza makatibu wakuu wa wizara waache kuidhinisha vikao vifanyike katika hoteli za kitalii. Dk Mwinyi alitoa agizo hilo wakati akiapisha makatibu wakuu na naibu…

BoT yaonya upotoshaji amana benki za biashara

November 25, 2025 mjombazecoder

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema mifumo ya malipo ya Taifa na amana za wateja katika benki za biashara nchini ni salama. BoT imekanusha taarifa za upotoshaji kuhusu usalama wa…

TRT SWAHILI

Marekani yaondoa ushuru wa 15% kwa kakao ya Ghana, mauzo ya nje

November 25, 2025 mjombazecoder

Ghana imepata uthibitisho rasmi kutoka Marekani kwamba Washington imeondoa kikamilifu ushuru wa asilimia 15 uliowekwa kwa mauzo ya nje ya kakao na mazao mengine katika taifa hilo la Afrika Magharibi.

Uncategorized

🔴#KUMEKUCHA MICHEZO..NOVEMBA 25, 2025

November 25, 2025 mjombazecoder

🔴#KUMEKUCHA MICHEZO..NOVEMBA 25, 2025

MWANANCHI

Ifahamu CNN na maajabu yake

November 25, 2025 mjombazecoder

CNN ni wimbo wa hip-hop wa rapa marehemu Albert Mangwea 'Ngwair' na Fid Q uliyoachiwa rasmi...

Mwigulu atoa agizo usafiri mwendokasi

November 25, 2025 mjombazecoder

SERIKALI imetoa siku 10 kwa watendaji wa taasisi zinazohusika na usafiri wa mwendokasi Dar es Salaam wainishe maeneo ya kufanyiwa kazi haraka. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametoa agizo hilo…

Sudan: RSF yatangaza kusitisha mapigano kwa miezi mitatu

November 25, 2025 mjombazecoder

Kundi la RSF limetangaza kusitisha mapigano kwa muda wa miezi mitatu hatia inayokuja ikiwa imepita siku moja baada Jeshi la sudan kukataa wito wa kimataifa wa kustisha vita unaongozwa na…

TRT SWAHILI

Volcano ya Ethiopia yalipuka baada ya utulivu wa miaka 12,000

November 25, 2025 mjombazecoder

Volcano katika eneo la kaskazini mashariki mwa Ethiopia ililipuka kwa mara ya kwanza katika takriban miaka 12,000, na kurusha moshi mwingi hadi kilomita 14 angani.

Guinea Bissau: Mgombea huru adai kuibuka mshindi wa uchaguzi wa urais

November 25, 2025 mjombazecoder

Nchini Guinea Bissau mgombea huru Fernando Dias da Costa, anayeungwa mkono na chama cha Social Renewal Party (PRS) na Muungano wa kisiasa wa Terra Ranka amedai kushinda duru ya kwanza…

TRT SWAHILI

Jukumu la Afrika kama ‘mzalishaji wa malighafi litafikia kikomo hivi karibuni,’ mkuu wa AU anasema

November 25, 2025 mjombazecoder

Umoja wa Afrika (AU) Jumatatu ulitoa wito wa kuwepo kwa uwakilishi wa kudumu wa Afrika kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa pamoja na uwakilishi sawa katika taasisi za…

Uncategorized

🔴KUMEKUCHA: NOVEMBA 25, 2025

November 25, 2025 mjombazecoder

🔴KUMEKUCHA: UMUHIMU WA STADI ZA MAISHA NOVEMBA 25, 2025

Visa zaidi ya Elfu 2 vya ukiukaji wa haki za binadamu vyaripotiwa DRC

November 25, 2025 mjombazecoder

Ofisi ya haki ya Umoja wa Mataifa, imesema imeorodhesha visa 2,767 vya ukiukaji wa haki za binadamu na sheria za kimataifa za msaada nchini Kenya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya…

Uncategorized

🔴#MAGAZETI: WAZIRI MKUU AAGIZA KANISA LA GWAJIMA LITOLEWE KIFUNGONI- 25 NOVEMBA 2025

November 25, 2025 mjombazecoder

🔴#MAGAZETI: WAZIRI MKUU AAGIZA KANISA LA GWAJIMA LITOLEWE KIFUNGONI- 25 NOVEMBA 2025

Uncategorized

Uamuzi wa kuadhibu Viongozi wa Taasisi zilizofanya makosa badala ya kufungia Taasisi husika, Je, utaondoa malalamiko yaliyokuwa …

November 25, 2025 mjombazecoder

Uamuzi wa kuadhibu Viongozi wa Taasisi zilizofanya makosa badala ya kufungia Taasisi husika, Je, utaondoa malalamiko yaliyokuwa yanajitokeza

HABARI ZA KIPEKEE

IRGC: Mauaji ya kamanda wa Hizbullah yamefichua udhaifu wa Israel mbele ya Muqawama

November 25, 2025 mjombazecoder

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limesema kuwa mauaji ya kikatili yaliyofanywa na Israel dhidi ya kamanda wa ngazi za juu wa Harakati ya Hizbullah ya…

Uncategorized

🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…NOVEMBA 25, 2025

November 25, 2025 mjombazecoder

🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 25, 2025

LTV ENGLISH NEWS

Mjawa centre improves Kibiti medical access

November 25, 2025 mjombazecoder

KIBAHA: IN a move to improve access to quality health services, Kibiti District Council in Coast Region supported by the Government has successfully implemented several health projects across the district.…

DW SWAHILI

UN: Mwanamke mmoja aliuawa kila baada ya dakika 10

November 25, 2025 mjombazecoder

Ripoti ya Umoja wa Mataifa imesema kila baada ya dakika kumi mwanamke mmoja, mahali fulani duniani aliuliwa na mtu wa karibu, mwaka uliopita, huku ukilalamikia hatua dhaifu katika vita dhidi…

DW SWAHILI

Uingereza kuongoza majadiliano ya mpango wa amani wa Ukraine

November 25, 2025 mjombazecoder

Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer hii leo anatarajiwa kuzungumza na washirika wa Ukraine wa Ulaya, kufuatia majadiliano ya mpango wa awali wa amani katika taifa hilo lililokumbwa na vita.

DW SWAHILI

Amnesty yawashutumu RSF kwa uhalifu El-Fasher

November 25, 2025 mjombazecoder

Shirika la haki za binadamu la Amnesty International limewashutumu wanamgambo wa RSF nchini Sudan kwa uhalifu wa kivita katika mji wa El-Fasher huko Darfur pamoja na Umoja wa Falme za…

DW SWAHILI

Marekani kuwachunguza upya wakimbizi walioingia 2021-2025

November 25, 2025 mjombazecoder

Serikali ya Rais Donald Trump inapanga kufanya mapitio ya wakimbizi wote walioingia nchini Marekani wakati wa utawala wa Joe Biden, hii ikiwa ni kulingana na hati iliyoonwa na shirika la…

DW SWAHILI

Wakfu ‘tata’ wa misaada Gaza watangaza kufunga shughuli zake

November 25, 2025 mjombazecoder

Wakfu wa Misaada ya Kiutu kwenye Ukanda wa Gaza uliokuwa ukiratibiwa na Marekani kwa kushirikiana na Israel unafunga shughuli zake wiki sita baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano kuanza kutekelezwa.

LTV ENGLISH NEWS

Join VETA Ukerewe for skills development, youth tipped

November 25, 2025 mjombazecoder

UKEREWE: ACTING Executive Director of Ukerewe District Council, Dr Charles Mkombe, has urged parents and guardians to continue enrolling their children at the Vocational Education and Training Authority (VETA) centre…

HABARI ZA KIPEKEE

Kura ya maoni: Wamarekani wengi wanapinga hatua za kijeshi dhidi ya Venezuela

November 25, 2025 mjombazecoder

Kura ya maoni iliyofanywa na CBS News ikishirikiana na kampuni ya utafiti ya YouGov imeonyesha kuwa Wamarekani wengi wanapinga hatua zozote za kijeshi dhidi ya Venezuela.

HABARI ZA KIPEKEE

Familia za watoto waliotekwa nyara Nigeria zachanganyikiwa kutokana na kukaririwa vitendo hivyo mashuleni

November 25, 2025 mjombazecoder

Familia za wanafunzi waliotekwa nyara nchini Nigeria zimenasa kati ya matumaini na kukatishwa tamaa kutokana na vitendo vya kukaririwa vya utekaji nyara wanafunzi wakiwa mashuleni.

HABARI ZA KIPEKEE

Hamas: Ukiukaji wa Israel wa makubaliano ya kusitisha mapigano ya Gaza unadhoofisha makubaliano hayo

November 25, 2025 mjombazecoder

Hazem Qassem, msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) huko Gaza, amesema kwamba ujumbe wa harakati hiyo umefanya mazungumzo na maafisa wa Misri huko Cairo kujadili awamu…

HABARI ZA KIPEKEE

Rais wa Korea Kusini: Mifumo ya kimataifa ya AI inapasa kuhakikisha mataifa yote yanapa teknolojia hiyo kwa usawa

November 25, 2025 mjombazecoder

Rais wa Korea Kusini, Lee Jae Myung amesema kuwa mifumo ya kimataifa ya akili mnemba (AI) inapasa kuhakikisha kuwa mataiafa yote yanapata teknolojia hiyo kwa usawa.

HABARI ZA KIPEKEE

Mamluki wa kigeni wana jukumu gani katika kuchochea vita nchini Sudan?

November 25, 2025 mjombazecoder

Kamati ya Uchunguzi wa Haki za Binadamu imetangaza kuhusu ushirikiano uliopo kati ya mamluki wa kigeni na Vikosi vya Msaada wa Haraka vya Sudan RSF katika vita vya ndani nchini…

LTV ENGLISH NEWS

NGO promotes clean cooking for women empowerment

November 25, 2025 mjombazecoder

BELEM: A Non-Governmental Organisation, the Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), has reiterated its commitment to scaling up clean cooking solutions as a catalyst for improved health, women’s empowerment and environmental protection.…

HABARI ZA KIPEKEE

Jumanne, Novemba 25, 2025

November 25, 2025 mjombazecoder

Leo ni Jumanne tarehe 4 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria mwafaka na 25 Novemba 2025.

LTV ENGLISH NEWS

Persons with disabilities in Coast Region to benefit from Uwezo project

November 25, 2025 mjombazecoder

KIBAHA: COMMUNITIES in the Coast Region have been urged to value people living with disabilities and to effectively involve them in social and development opportunities to help them utilise their…

DW SWAHILI

Starmer kuongoza mjadala wa mpango wa amani wa Ukraine

November 25, 2025 mjombazecoder

Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer hii leo anatarajiwa kuzungumza na washirika wa Ukraine wa Ulaya, kufuatia majadiliano ya mpango wa awali wa amani katika taifa hilo lililokumbwa na vita.

LTV ENGLISH NEWS

Zanzibar confronts rising malnutrition among pregnant women, children

November 25, 2025 mjombazecoder

ZANZIBAR: ZANZIBAR is facing a troubling rise in poor nutrition among pregnant women and children, the Director of Preventive Services and Health Education in the Ministry of Health, Dr Salim…

LTV ENGLISH NEWS

‘Prioritise discipline, national interests’

November 25, 2025 mjombazecoder

ZANZIBAR: THE Minister of State in the President’s Office (Constitution, Legal Affairs, Public Service and Good Governance), Haroun Ali Suleiman, has urged staff in his ministry to intensify their efforts…

LTV ENGLISH NEWS

TRA Kagera surpasses three-month revenue target

November 25, 2025 mjombazecoder

BUKOBA: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) in Kagera Region has collected 57.8bn/- during the first three months of the 2025/26 financial year, exceeding its target of 50.3bn/- and achieving 114…

LTV ENGLISH NEWS

Residents urged to support VETA students

November 25, 2025 mjombazecoder

DODOMA: KONGWA District residents have been urged to support students of the Vocational Education and Training Authority (VETA) by using products and services made at the institution as part of…

LTV ENGLISH NEWS

RAS: Allocate funds to improve education infrastructure

November 25, 2025 mjombazecoder

DODOMA: DODOMA Regional Administrative Secretary, Dr Khatibu Kazungu, has directed council directors in the region to allocate funds in their budgets to upgrade education infrastructure in order to improve teaching…

Posts pagination

1 … 747 748 749 … 1,028

Recent Posts

  • Azam yazipiga bao Yanga, Simba
  • “Miradi ya kimkakati Kinondoni ipewe kipaumbele”
  • 18 waitwa Kabaddi Zanzibar
  • Maboresho Simba Queens kuelekea CECAFA
  • Azam bingwa NBC U20 Youth League

Recent Comments

  1. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. TrickSit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. Larryverse on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • July 2026
  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

MWANASPOTI

Azam yazipiga bao Yanga, Simba

July 2, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

“Miradi ya kimkakati Kinondoni ipewe kipaumbele”

July 2, 2026 mjombazecoder
MWANASPOTI

18 waitwa Kabaddi Zanzibar

July 2, 2026 mjombazecoder
MWANASPOTI

Maboresho Simba Queens kuelekea CECAFA

July 2, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS