Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 25, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
RSF ya Sudan yatangaza usitishaji vita kwa miezi mitatu bila ya makubaliano ya pamoja
Kiongozi wa wapiganji wa RSF alisema Jumatatu jioni kwamba wapiganaji wake watasitisha mapigano kwa kipindi cha miezi mitatu kwa misingi ya kibinadamu.
Zaidi ya waendesha bajaji 4,000 kutoka mikoa ya Dodoma, Arusha, Morogoro na Tanga wanatarajia kunufaika na mpango wa kuongeza vi…
Zaidi ya waendesha bajaji 4,000 kutoka mikoa ya Dodoma, Arusha, Morogoro na Tanga wanatarajia kunufaika na mpango wa kuongeza vituo vya usambazaji na ujazaji wa gesi katika mikoa hiyo unaotarajiwa…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 24 NOVEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 24 NOVEMBA 2025
Jeshi la Sudan lazima shambulio jipya la wapiganaji wa RSF Kordofan Magharibi
Jehsi la Sudan mjini Babnousa vimekabili na kurudisha nyuma shambulio la wapiganaji wa RSF huku mapigano makali yakiendelea katika majimbo yote ya Kordofan.
Waendelea kusaka walipo ndugu zao
Wakati Serikali ikiwataka wanaotafuta ndugu zao kufika vituo vya polisi, baadhi ya Watanzania...
Zaidi ya watuhumiwa 200 vurugu za uchaguzi waachiwa huru
Watuhumiwa wa makosa ya kuchoma moto, kuharibu mali za umma na unyang’anyi wa kutumia silaha...
#HABARI: Mwanaume mmoja, mkazi wa Makoko, Manispaa ya Musoma, Mkoa wa Mara, amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kubaka n…
#HABARI: Mwanaume mmoja, mkazi wa Makoko, Manispaa ya Musoma, Mkoa wa Mara, amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kubaka na kulawiti watoto wake wa kambo nyakati tofauti. Polisi…
TFS yakabidhiwa magari kuimarisha uhifadhi Uzungwa, Kilombero
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania(DPP), amewafutia kesi na kuwaachia huru...
Kinachofanya kupooza usingizini kuwa zaidi ya tatizo la kiafya
Kupooza usingizini huhusisha sayansi na imani za kiroho, na kuonyesha jinsi tamaduni zinavyoathiri namna watu wanavyoitikia hali inayochanganya kati ya uhalisia, ndoto, na udhaifu wa kibinadamu mbele ya hofu.
Watanzania wanavyokataa kubaguana kwa itikadi za dini
Wamekataa kubaguana, ndiyo uhalisia wa kinachoonekana katika mitandao ya kijamii nchini...
🔴DAKIKA 45 NA DKT.DONALD MMARI MKURUGENZI MTENDAJI REPOA, NOVEMBA 24, 2025
🔴DAKIKA 45 NA DKT.DONALD MMARI MKURUGENZI MTENDAJI REPOA, NOVEMBA 24, 2025
TCCIA: Wafanyabiashara jiandaeni ushindani wa kibiashara Afrika
Wafanyabiashara nchini wametakiwa kujiandaa na ushindani wa kibiashara, kufuatia hatua ya...
TFS yakabidhiwa magari kuimarisha uhifadhi Udzungwa, Kilombero
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania(DPP), amewafutia kesi na kuwaachia huru...
Fedha za sherehe za Uhuru kukarabati miundombinu
Serikali imetangaza mwaka huu, hakutakuwa na sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika...
Siku ya kimataifa ya pacha walioungana imeadhimishwa leo, na katika kuikumbuka siku hiyo Azam News inaangazia hali ya watoto map…
Siku ya kimataifa ya pacha walioungana imeadhimishwa leo, na katika kuikumbuka siku hiyo Azam News inaangazia hali ya watoto mapacha waliotenganishwa baada ya kuzaliwa wakiwa wameungana, ambao kwa sasa wanaendelea…
Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) amewaondolea mashtaka jumla ya watu 208 waliokuwa wameshtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo…
Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) amewaondolea mashtaka jumla ya watu 208 waliokuwa wameshtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo uhaini, unyang’anyi wa kutumia silaha, uharibifu wa mali pamoja na njama za kuvuruga…
Wadau wa afya wameishauri serikali kuhakikisha kuwa katika kutekeleza sera ya bima ya afya kwa wote wanazingatia vifurushi kulin…
Wadau wa afya wameishauri serikali kuhakikisha kuwa katika kutekeleza sera ya bima ya afya kwa wote wanazingatia vifurushi kulingana na uwezo tofauti wa wananchi ili kila mmoja aweze kunufaika na…
Bidhaa zaanza kupanda bei kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka Kilimanjaro
Wakati msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka ukikaribia, bei za bidhaa mbalimbali za vyakula...
Sh2.8 bilioni kutumika ujenzi soko la kisasa la ndizi Rungwe
Serikali imetoa zaidi ya Sh2.8 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya soko la kisasa la...
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU- 24 NOVEMBA 2025- WAZIRI MKUU ATOA SIKU 10 HUDUMA ZA MWENDO KASI
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU- 24 NOVEMBA 2025- WAZIRI MKUU ATOA SIKU 10 HUDUMA ZA MWENDO KASI
#HABARI: Waziri wa Nishati, Mhe
#HABARI: Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb), ametoa wito kwa viongozi na watendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) pamoja na Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa…
Wazembe wafukuzwe, wasihamishwe
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametaka mfanyakazi yeyote wa umma atakayebainika kuwa mzembe au...
#HABARI: Serikali ya Jamhuri ya Korea kupitia Shirika lake la Maendeleo KOICA imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji safi n…
#HABARI: Serikali ya Jamhuri ya Korea kupitia Shirika lake la Maendeleo KOICA imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji safi na salama wenye thamani ya shilingi bilioni 27, mradi utakaowanufaisha…
#HABARI: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe
#HABARI: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Hamad Chande, amekabidhi pikipiki ya miguu mitatu (BAJAJI) kwa mtumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Bw. Elihuruma Rashid, Askari…
#HABARI: Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati Mhe
#HABARI: Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati Mhe. Salome Makamba ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kuimarisha njia bora na ya haraka ya usafirishaji wa…
Uturuki itaendelea kujitahidi kuhakikisha amani ya kudumu kati ya Urusi na Ukraine: Erdogan
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amemwambia mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, kwamba Ankara itaendelea kusaidia kuhakikisha kuwa vita kati ya Urusi na Ukraine vinamalizika kwa amani ya haki na…
Kanisa la Askofu Gwajima kufunguliwa
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima, huku...
Vikwazo vya kimataifa kwa Iran vyaathiri sekta ya madawa
Vikwazo vya hivi karibuni vya kimataifa vilivyotangazwa tena dhidi ya utawala wa Iran juu ya mpango wake wa nyuklia, vimeanza kuleta athari kubwa haswa upande wa upatikanaji wa dawa muhimu…
Wakili aliyekuwa akiwatetea wenye kesi za maandamano Mwanza afariki
Wakili aliyekuwa akiwatetea watuhumiwa wa kesi za maandamano katika Wilaya ya Nyamagana mkoani...
Kenya inakabiliwa na janga kubwa la njaa
Shirika la Chakula na Kilimo FAO na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP yameonya kwamba Kenya huenda ikakabiliwa na janga kubwa la njaa Mashirika hayo yameonyesha ongezeko la hatari…
Mazungumzo yaendelea Geneva kuhusu Amani ya Ukraine
Marekani na Ukraine zinaendelea na mazungumzo nchini Uswisi ili kufikia mpango wa amani unaokubalika kwa pande zote. Hayo ni baada ya kukubaliana kurekebisha pendekezo la Marekani
Je, unashauri nini kifanyike katika kuhakikisha utekelezwaji wa sera ya bima ya afya kwa wote unafanikiwa
Je, unashauri nini kifanyike katika kuhakikisha utekelezwaji wa sera ya bima ya afya kwa wote unafanikiwa Tuandikie maoni yako, tutayasoma kwenye #AzamNews leo kuanzia saa 2:00 usiku kupitia #UTV.
Hii ndiyo sababu ya jeshi la Yanga kuwahi mapema Algeria | Balla Conte, Boka waongeza mzuka CAFCL!
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Deputy Minister urges EWURA to embrace innovation
DODOMA: Energy Deputy Minister, Ms Salome Makamba, met with members of the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) management in Dodoma on Monday to discuss various operational issues and…
Wakfu wa Thabo Mbeki wakosoa uchaguzi wa Tanzania
Wakfu wa Thabo Mbeki, rais wa zamani wa Afrika Kusini umetoa tamko kuhusu uchaguzi wa hivi karibuni Tanzania na kueleza kwamba ulikosa misingi na miongozo inayosimamia chaguzi za kidemokrasia katika…
Ongezeko la matukio ya ubakaji nchini na athari zake
Katika kipindi cha miaka minne, Tanzania imeendelea kushuhudia mfululizo wa matukio ya ukatili...
Wadau waitwika Tume ya Rais ‘zigo’ la uchunguzi wa haya
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiizindua tume aliyoiunda kuchunguza yaliyofanyika wakati wa...
Al Burhan akataa pendekezo la Marekani, alitaja kuwa baya zaidi kwa ajili ya utatuzi wa mgogoro wa Sudan
Mkuu wa Baraza la Utawala wa Mpito la Mpito nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, amekataa pendekezo lililowasilishwa na mshauri wa Rais wa Marekani kuhusu masuala ya Kiarabu na Afrika, Massad…
Iran yakosoa mauaji ya Ali Tabatabai yaliyofanywa na Israel
Iran imeilaani Israel kwa mauaji ya kamanda mkuu wa kijeshi wa kundi la Hezbollah nchini Lebanon, katika shambulio la tano kufanyika kwenye mitaa ya kusini mwa Beirut.
Mohsein Rezaei: Israel inaharakisha anguko lake kwa kuwauwa makamanda wa Muqawama
Kamanda Mkuu wa zamani wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameonya kuwa mauaji yanayofanywa na utawala wa Israel dhidi ya makamanda wa Muqawama yanaharakisha kuangamia utawala huo.
Chalamila kushughulikia yanayoichonganisha Serikali na wananchi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametaja baadhi ya huduma zinazotolewa na...
Mv Liemba kurudi kivingine, Ziwa Tanganyika
Ukarabati wa meli kongwe ya MV Liemba, ambayo ilisitisha safari zake mwaka 2018 kutokana na...
Maelezo ya mashahidi 20 waliosalia kesi ya bosi wa Jatu, kusomwa Jumatano
Mkurugenzi wa Kampuni ya Jatu na wenzake wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka...
Tanzania kuanza kujenga bandari yenye thamani ya dola bilioni 10 mwezi Desemba
Tanzania itaanza ujenzi wa bandari mpya mashariki mwa nchi mwezi Desemba mwaka huu na hivyo kumaliza muongo mmoja wa ucheleweshaji kutokana na pingamizi la serikali kwa masharti ya awali ya…
Matokeo finyu ya mkutano wa mazingira wa COP30 yalalamikiwa
Nenda kwenye ukurasa wa kwanza / COP 30 Mkuu wa tume ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa, Volker Turk, amelalamikia kile alichokisema makubaliano finyu ya mkutano wa hali…
UNRWA yatahadharisha kuhusu njaa ya kupanga huko Gaza
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetahadharisha kuhusu hali mbaya ya njaa, kusitishwa huduma muhimu na tishio la maisha ya mamilioni ya wakimbizi wa Kipalestina…